kaka kazi nzuri sana ila naona kama tangazo la app ungeliweka mwanzo au mwisho au mwanzo na mwisho ingekua unyama sana kuliko kuliweka katikati kaka !!! hongereni sana na Mungu awabariki
Tumeshukuru Sana Kwa funzo lenye temelipata ama kwel Hakuna Aijuaye Kesho coz imewekwa kama fumbo Na aiminiye Leo anaiwinda kesho bila mawindo Kelvin, Nyuki Na Dada Victoria nmependezwa Sana Na mienendo yenu N party kutoka Kenya Mombasa
Mungeenda kula denda wote basi mzigo amujala Sasa héla tena mnakimbilia navisimu n'a vipochi mumemaliza vibaya munge enda mupa chamoto ajutiye kula vyawatu.
Representing Mombasa Kenya 🥰🎉❤❤❤
Wakwanza kutoka Kenya Nairobi ..likes zangu
Watu wanairob hatun shoo mbovu
Kenya Watching, twapenda. Kazi nzuri mzidi kutufurahisha.
Waoooo I love you ❤ Loveness 🥰 nawapenda sana donta family ❤️
REO nimecherewa sana Tanzania Kenya wote naomba Like
Loveness aky wewe mungu kakupa sura mrembo
Wa tatu leo😂😂😂😂 Jamani nipeni like 🏃🏃🤗🤗🤗🤗🤗
Duuh victori umeongea pointi sana leo
Kwani musipo like nitapungukiwa nini 😢😢😢
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
hai is the best
🎉🎉🎉🎉🎉 love penda san wew ❤❤❤❤ maan unaigiza vizur ila vick. Sas pia mzuri lakin kun muda anajichukiz na roh mbay 😅😅😅😅
Much love from Kenya guys like back❤😂
Nakupenda love huna huna kazi mbaya😂😂😂😂
kaka kazi nzuri sana ila naona kama tangazo la app ungeliweka mwanzo au mwisho au mwanzo na mwisho ingekua unyama sana kuliko kuliweka katikati kaka !!! hongereni sana na Mungu awabariki
Kabisa aiseee linaharibu
Ten linatukoshesha utamu
Vyiza cane kandi ndabakunda❤️🇧🇮(vizuri sana tena nawapenda❤️🇧🇮)
Lavenesi kayatimba😂😂😂😂😂😂
Nmewai leo🎉🎉🎉🎉
Ila mnajua sanaa 🔥🔥🔥
Nampenda Victoria sna ❤❤
Kamwene victory mnogage ❤❤❤❤❤❤
Loveness wewe nimkora dada waaaa❤❤❤❤ nakupenda bure🎉🎉🎉🎉
Mkali sana huyu❤
Love nec umetish kwa swaga lako
Hongera lisa abel kwa story nzuri . Hongereni wote kwa kuvaa uhusika
Lovenes Bwana 😂😂😂😂
Loveness u never disappoint
duuh love upon xawa kabisa
Love kimekuramba ❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Kelvin kaenda wapi jamani nammiss
LOVENESS UMEUPIGAMWINGI 🎉🎉❤❤🥰🥰
jaman mpeni huyu dada mauwa yake hakuna cha uwongo hata kimoja yani nimefurah hapo kwenye feni 😅😅😅😅
Oye uyudada ana ushauri unao faa nimependa kweli
Ama kweli kayatimba😅😅😅😅
Oyooooo tukutane uwanjani❤❤
Namm nimo jamoon 😂❤❤
Tumeshukuru Sana Kwa funzo lenye temelipata ama kwel Hakuna Aijuaye Kesho coz imewekwa kama fumbo Na aiminiye Leo anaiwinda kesho bila mawindo Kelvin, Nyuki Na Dada Victoria nmependezwa Sana Na mienendo yenu N party kutoka Kenya Mombasa
Yan kari kweri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
jamani uyu kheri anajua sana maana anajitaidi kuvaa uhusika
Jamn mchwa unakuka acha kabsaaaaa😅😅😅😅😅😅
😂😂 loveness ❤❤
Mungeenda kula denda wote basi mzigo amujala Sasa héla tena mnakimbilia navisimu n'a vipochi mumemaliza vibaya munge enda mupa chamoto ajutiye kula vyawatu.
😂😂😂😂 watu wafupi ni kweli
Love Ness nakupenda bure aki umecheza
Tabiya ya wabongo 😂😂😂😂
Love wewe ni noma sana😂😂😂
Calvin mbn hueleweki ñaww utakuwa lini hatutaki matangazo katikat c huwek mwishon jmniiii
Aky nyinyi ateme mzigo upi😅😅😅😅😅
😂😂hapo sijui wanatupa chini wananikomoa
Nakubali sana
Kweli loveness ni mzuri ❤❤❤❤❤
Nawapenda san loveness na Victoria
😂😂😂😂😂😂LOVENESS UKO MWISHO AKY
Love nesss wewe kuigisha kali
😂😂love nakupenda bule😂 lakini kimekulamba😅😅
nawapend note
Dada Vick umenifanya natoa machozi aisee pole sana
Love ni mzuri ila Sasa viguu hvy😂
😂😂😂loveness weye mungu anakuona
Wakenya mpo!!!?
Duuuuh!😂😂laveness Mungu anakuonaaaaaa😂😂😂
Yaaan n kiboko, script imeenda ikiendaaa 🎉
Had upange nabei unayotaka jmn❤❤❤❤
Kheri umehamia donta tv na mv yetu ya pilot ujatumalizia
duh sijuw
Love yu guys from 🇰🇪
Duh love muongoo
Mm naulizia wembe alienda wapi
Noma san
😂😂😂😂😂 love
😂😅😂😅😅😂😅😂😂😅😂😅Love
😂😂😂😂 mtoto mzuri anskula kama muchwa
Loveness leo umekuwa mchwa, duh pole.
🎉🎉🎉🎉🎉
Aki nmeshindwa nseme nn yani
Good job
😂😂😂😂😂 loveness my dear 😘 kimekuramba 🎉🇰🇪
😂❤😂😂😂😂😂😂😂😅
Ila love bhana 😂😂😂😂😂
MWIZi 😅😅😅😅
😂😂 love noma sana
UMEUPIGAMWINGI 😊😊🎉❤❤❤
😂😂loveness!! Wee kiboko!!
duh jaman love ww nihatal
Kayatimba do kusema nn jameni
Mh jmn wanaume kama hawa ivi bado wapo mh wajinga kwrli ndo waliwao lavu chukua maua 🎉🎉 yako
Hongeren sana
Hhhhhhhh mangi lzm ufilisike ty 😂😂😂😂
nmetisha sana endelea kutufulaisha
Kelvin wapi , amepotea mtu wangu
namtafuta 🎉
❤❤❤❤❤
😁😁😁😁aki loveness wanchekesha
Much love ❤❤❤❤
Duuuh feni siku hiz ni upepo .....nipo kwenye bodaboda baby 😂😂😂😂we dereva taratibu utaniangusha huoni haya matuta🤣🤣🤸🤸🤸🤸
Lavo weweeeeeee
Love chukuaaa🎉🎉🎉🎉❤
Iyo team bila kelvin amna kitu kabisa
❤❤❤❤😂😂😂😂
Lavnes duu
🤣😅🤣😅🤣😅🤣😅😂🤣😂🤣😂🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Ila love 😂😂😂😂eti boda boda
Kilakitu kinamwisho wake
Loveless umewaweza wanaume😂😂😂😂😂😂😂