I love you for free rose, you're such a blessing to my heart. You encourage me so much, let your God be my God and the praises and worships be in me in jesus name. Amen
Rose Muhando mama yetu Mungu akulinde. Kenya tunakupenda na upendo wa Kristo. Umekua msaada wa kusikia sauti ya Mungu kupitia uimbaji na kuimba nyimbo zina upako. Yesu azindishe baraka tele kwa jina la Yesu. Amen
Wow,, glory to God, He has used madam Rose to nourish my spiritual life since my childhood and every moment i come in to contact with these songs,, my heart leaps with the joy of the lord,, Rose my mentor be highly favoured
I can imagine how the devil wanted to suppress this beautiful, talented voice from proclaiming the gospel to prevent her from touching lives. Congratulations mama Rose for the good work you are doing. You withstood the suffering but you didn't allow it to discourage you from continuing the good work assigned by God of touching souls through your gospel music.
Am so happy and grateful to God to see you shine again mama Rose. I have followed since my childhood, wakati wa uwe macho. Those songs sound new and even today. Wewe hakika u mbegu ya Mungu . Hutoshindwa, keep serving faithfully. I love your ministry
When I listen to your songs I feel is I direct message from God.your songs bless me so much.may God give you long life so that you continue spreading gospel through your anglic songs.we love you Rose
Thanks dearest Rose you have blessed me very much. I feel healed spiritually and physically too. God bless. If only you start singing live you can make the difference and you will bless the World.
Wimbo unaupako na maneno ya hekima na busara unachuguza mioyoni ya wengi. Mungu akuinue viwango vya juu zaidi mama wa kimataifa wa nyimbo za injili
I mean unaguza moyo
Kenya imefanya kazi kubwa kwa huyu mama Mungu awakumbuke wakenya wote👏
Ni kweli kabisa
Amen 🙏
Huyu rose ni mmoja wetu hapa kenya
Amen
Yale mema mlonitendea wakenya yamegusa moyo wa mungu, YESU TUMA MALAIKA WALINDE WAKENYA DHIDI YA MAADUI ZAO,eeeh mungu tuma MALAIKA!!!!
Kama nawewe unahitaji malaika wakulinde hebu achia like yako hapa
I can’t get enough of this album. It’s gonna be on Replay for a long time. Thank you ROSE MUHANDO for sharing your creativity 💫
Kama hamjawahi ona mteule wa MUNGU angalieni huyu mama... Ni mfano kamili ❤️❤️❤️
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wimbo umenigusa sana ,
Kusema kweli Baba nilinde njiani(maisha haya ni Yako tu )...kweli huu wimbi unaupako ,na baraka tele....from me to you Rose Muhando be blessed ❤❤❤
Hio Album is on fire 🔥🔥 Touch to many😭😭😭inapasua moyo wangu Kila nikiimba na nikitafakari ninayo yapitia but God above all 🙏
Am getting healed through these songs that Rose has released today, be blessed today inthe Mighty name of Jesus Christ
The Queen of the Gospel is back🔥
Allelujah, kila sehemu , kila dhehebu imeakilishwa vilivyo. Kama unakubaliana na Malkia Wetu ,piga like pale pale🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love you for free rose, you're such a blessing to my heart. You encourage me so much, let your God be my God and the praises and worships be in me in jesus name. Amen
Uuu7u7u777u77
@@mwandetamapala1963 qQ
Rose Muhando mama yetu Mungu akulinde. Kenya tunakupenda na upendo wa Kristo. Umekua msaada wa kusikia sauti ya Mungu kupitia uimbaji na kuimba nyimbo zina upako. Yesu azindishe baraka tele kwa jina la Yesu. Amen
The days I spend praying for you in my closest I thank God ......he is a great restorer
Mama ameamua atuuue na nyimbo.Ubarikiwe mama
Amen 🙏 Baba maadui ni wengi lakini Niko na wewe mulinzi mwema
Huanga unAfanya ni miss Angela chimbalonza mlikuanga mArafiki...a gekuwa hai mkepeleka mziki wa injili ata far zaidi rose we love u
Hallelujah yesu ni shike mkono thma malaika anikinde pamoja na uzao wangu, Christmas date 25 nimebarikiwa glory to God
The love i have for this G. O. A. T. My all time gospel artist
haleluuuuuuuuya!!
The first day it released is the day I downloaded.
Thanks for this blessings
I've been on replay because this is my prayer too🙏
Rose, you are a blessing to this generation, big blessings to you eternally
What a funga mwaka, God bless you Queen 👑👑
Wow,, glory to God, He has used madam Rose to nourish my spiritual life since my childhood and every moment i come in to contact with these songs,, my heart leaps with the joy of the lord,, Rose my mentor be highly favoured
Our Christmas season is well loaded here,keep the songs coming my sister, God bless you 🙌.
Another one here,,,zidi kubarikiwa
A Song after a song,God bless your talent👏
Ubarikiwe malkia na uwe na maisha marefu ili uzidi kufikisha ujumbe.
Mbna nyimbo za Dec zote ziko na hiyo Red clothe !pia zote ni vibe
Leo napiga camp hapa UA-cam nikitegea classic audios ... Hii imeenda shule. Nimei-approve 🇰🇪🔉®️💫
Mama, Mungu akulinde na akutende mema
Queen of Gospel🙏🙏 I salute you..
mama of many❤❤❤🔥🔥🔥
Ubalikiwe mtumishi huo wimbo uliewa na roho wa mungu kwani wachawi ni wengi na wapo kimywa kimywa. Mungu akubaliki amen 🙏
At this point. Mungu nitumie Malaika wako wa Amani na ulinzi maishani mwangu😭😭😭😭😭😭. Dear lord ni wewe nategemea😭😭
Huu wimbo mama ulikaa chini kweli kuitunga,yaani huu wimbo wanisongesha karibu na Mungu kabisaa,naisi kweli kumsongea Mungu,barikiwa🙏🙏🙏
Amen.Amen wishing y the best as y continue to bless us .
From Congo , très touchant cette mélodie
Tuma Malaika, tuvuke Christmas 2022 na kuuona New Year 2023
This song has really blessed me🙏🙏
Nilinde njiani bwana. Usiniache🙏🏿🙏🏿🥺Usinitupe Yesu
Yaani nazidi kubarikiwa na wimbo baada ya mwingine,ubarikiwe sana malkia wa gospel mama Rose Muhando
Rose may God bless you even as you entertain us and praise our glorious king, sour high and higher
Nice worship Song I love the way you made my heart strong mum I love you live long 🔥🔥🔥🙏🙏🥰🥰🥰
❤️❤️❤️ Mungu akutunze mama
Great of all time queen of gospel music.
Likes za hapa🇰🇪 Rose to the world always ❤️❤️
Tuma malaika wako anilinde nimalize mwaka huuu
I can imagine how the devil wanted to suppress this beautiful, talented voice from proclaiming the gospel to prevent her from touching lives.
Congratulations mama Rose for the good work you are doing. You withstood the suffering but you didn't allow it to discourage you from continuing the good work assigned by God of touching souls through your gospel music.
YESU TUMA MALAIKA, GOD BLESS YOU ONLY QUEEN 👑 OF GOSPEL MUSIC EAST AFRICA
Am so happy and grateful to God to see you shine again mama Rose. I have followed since my childhood, wakati wa uwe macho. Those songs sound new and even today. Wewe hakika u mbegu ya Mungu . Hutoshindwa, keep serving faithfully. I love your ministry
Wewe Simba wakike ubarikiwe mpaka ushangae ❤❤❤
Mungu tuma malaika awepamoja nasi
Yaan nafanya kazi ya ku-Download🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙌🙏🙌🙏 wambie umefukuka tena aku sauti kama Yako ata waende kuzimu never
Mungu akulinde dada. Uendako ni mbali, we need this kind of music even in generations to come.
Nakupenda na kukuombea nilipewa kazi hiyo na bwana Yesu,Mungu akutumie vile apendavyo Yesu ajitukuze ndani ya nyimbo zako na ktk sauti aliyokupa amina
❤️💕💕🥰💕💕 this is my Most favorite song from the latest ones
Mama Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ombi langu pia mama ...
🙏🙏🙏
Hakika wewe ni malkia wa mziki wa gospel.
Neema ikutoshe 🙏
Nashukuru mungu kufka siku ya leo
Definitely my favorite from the new album
Yesu tuma malaika awe pamoja nasi kila siku🙏🙏wapi like za rose muhando 🌹 af Leo mnifikisheni 1k subscribers ♥️
Yesu ni wewe tu natazamia 🙏🙏🙏
Sure it's all about you lord........ Tulinde njiani🙏🙏
Asante dada Rose.kweli ww ni malkia wa nyimbo za Injili.Hujawahi kutuangusha.stay blessed forever.
Nyota yako ni yako queen 👑 endeleys mbele.
I appreciate 🙏
Hii album ni fireeee
When I listen to your songs I feel is I direct message from God.your songs bless me so much.may God give you long life so that you continue spreading gospel through your anglic songs.we love you Rose
Mungu was Rose muhando... Thanks you for the second chance ☺️
Queen of Gospel music I salute you Rose #amoh_official
Rose wimbo zako zimenifanya niogoke God bless you watching from 🇸🇦🇰🇪
Amina ulindwe na MUNGU
Mama niombee please
@@rosemuhandoofficial5676 Amen🙏
@@gladyskananu3651 sawa
I feel so touched 🙏🙏. Likes for this song❤️
Rose mimi nakupendaga sana mugu akubaliki kwanyimbo nzuri
Wapi likes za rose muhando!!
I'm proud of you Rose muhando, pray for me if you see this post because I want to be a good singer like you my role model
Barikiwa Rose
My mom 😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Queen of gospel Rose Muhando 😍🔥🔥❤️🔥
Yesu nitumie malaika wakati huu mgumu ninaaopitia🙏🙏🙏🙏
GOD BLESS YOU MY SISTER PASTOR ROSE MUHANDO
Kitu shwafi kabisa, congratulations 👏👏
Queen of gospel music 🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥👏👏🌹💖💓❤️ Hallelujah
Mimi ni Eric na kupenda Sana ndiko hapa mu rwanda
Wimbo unatia moyo kweli kweli Asante mama yetu
congratulations,i love your songs go on my sister am from kenya and am a big fan,may God silence every evil spirit on our ways thankyou
Yes very true may mighty God guide us as we go through this new year 2023
Mama kwetu,malkia wa nyimbo za injili.........respect
Good work mama rose continue spreading the Gospel..you really bless me through your songs ..Mungu unilinde njiani bwana my prayer 2023..🙏🙏🙏👏👏👏
Simba wa kike huyoooo ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 all glory to God 🙏🏾
What a song wow be blessed mamaa
Niwewe Baba I need you protection guidance my father you are my hope and my fighter ,,,🙏
You're Such A Vibe 💯💯...
Powerful Song 🔥🔥🔥🔥
Great music Father protect me on my way...... destroy all snares
LIKES 4 ROSE YOU ARE THE BEST ....FOR 3DECADES NOW
Hallelujah 🙏 wimbo mzuri huu
Thanks dearest Rose you have blessed me very much. I feel healed spiritually and physically too. God bless. If only you start singing live you can make the difference and you will bless the World.
Ilove this song aky ikiiimba inaniweka kiwango kingine
Oooh my God!!!! Rose is a true blessing to the world of believers in christianity
Nisema tu wewe ndie mbarikiwa Mama❤❤
Hongera kioo cha jamii wimbo mzuri sana
Wow what a beautiful song indeed you are blessed woman of God keep going mama 🔥🔥🔥🔥💪
My cross over prayer into 2023. Tuma malaika 🙏 🙏
Nakupenda sna kipenzi changu ♥️❤️❤️🙏💕🙏
😭😭😭😭😭😥😭 Ee MUNGU nilinde,nisaidie,naomba nishike mkono