Laa hasha ..sii eti ni muchawi ila part zingine hazichezi vizuri njinzi inavyo takiwa ...kwa maoni yangu ..yy ali ona jua mbele yetu ..so hizo part za kichawi ana jua kuingiza tena sana😂😂 ..hadi waeza muazia mabaya bure ..pia twajifunza mengi kutoka kwakwe...pokea maua yako bibi kigoma❤❤❤❤
kapela hiki kionjo ulichotupa tumekielewa mnooo ,,,,, Allah akujaaalie ukiyoa nyingine iwe bomba zaifi ya hiii ,,,,,,kapela unajuwa mpaka unakeraaaa season ni fupi lakini umeeeleweka sanaaaa big up brooo,,, mauwa yako chukuwa kapela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Walai huyu bibi migomba na pia kama wamufahamu bibi mwenda..kwenye part za kichawi walai wana cheza hadi waeza thania ni wachawi kweli 🤣🤣🤣mahali walipo mm huwa sibanduki hadi ni watch finally ya movie ndipo ni rithike🤣🤣🤣🤣ndo uzuri huo 😂😂
Namugubali sana mwasi naomba like hata moja
Me nawakubal wote maana wamechaguwana humu wote wako sawa❤❤❤😂ila bwela kidume hajal nani wala nani anampa mtu ukwel hacheleweshi.
Wanda Wanda Wanda nakukubali sana
Kazi juu ya kazi mpaka kieleweke
Safi sana 🎉🎉🎉Much love from Kenya 🇰🇪
Nakupenda sana mbwela❤ movie zako mzuri mno alafu ile movie ya taifa naomba uiendeleze🎉tafadali
Safi sana,kazi nzuri chukua maua yenu🌹🌹🌹💕mbwela pole sitaki kuona machozi yako tena inaniuma sana😂😂
Nakupenda sana mbwela❤ halafu huyu bi migomba mbona kila muvi anakuwa mchawi nimchawi kweli huyu
Laa hasha ..sii eti ni muchawi ila part zingine hazichezi vizuri njinzi inavyo takiwa ...kwa maoni yangu ..yy ali ona jua mbele yetu ..so hizo part za kichawi ana jua kuingiza tena sana😂😂 ..hadi waeza muazia mabaya bure ..pia twajifunza mengi kutoka kwakwe...pokea maua yako bibi kigoma❤❤❤❤
Safi safi safi 👌ndo tunaanza episod zitazid natumai ata kumi zitafik isiwe episode fupi👍💙💚❤️
ndomana mm hupenda movie za kaka kapela walai mm hu enjoy ❤❤tena sana..keep going brother
😂😂😂we mama😂hatar wawanga mchana 😮hio kazi imekubobea.kazi nzur hongeren sana.
😂😂😂 nimeipenda iyoo usha yako niweke yangu mwasi amekupata kapela 😂😂😂
Kazi safi sana Kapela❤❤❤
Kapela ongera sana kwa kazi nzuri
ahsante sana
The end mean imeisha au😂😂😂😂😂 nice one nawanea eighteen,kaka mbwela,sengo,zumba,kapela pamoja na dada mwasi na kim vevo jukua maua yenu please 🌹🌹🌹🌹🌹💕
Safi sana B,mikomba hiyo uchawi isikuingie akilini nikali hiyo kapiza😂😂😂 omwasi hongera sana dada
kapela hiki kionjo ulichotupa tumekielewa mnooo ,,,,, Allah akujaaalie ukiyoa nyingine iwe bomba zaifi ya hiii ,,,,,,kapela unajuwa mpaka unakeraaaa season ni fupi lakini umeeeleweka sanaaaa big up brooo,,, mauwa yako chukuwa kapela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
shsante na inshaallah
Nakubari kak kazi nzuri ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Good nice one job brother kapela🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 nanyanyuka nakutia vibao 😂😂😂
Kaz nzur
😂😂mama msela etiy uwo niufala dah😂😂
Mpuuzi mmoja wewe😂😂😂ila bi migomba jamani 😅😅😅😅
Hila bi migomba hatari 😂😂yaaani manzonge aoni kitu 😂😂
bibi migomba bana hata uku mtaanii tutakuogopa usicheze sana hizo scene bibi migomba
aki ww kaka 😂😂😂😂
Ivyo vigora sijui vinakazigani kelele tu
UKITOA SNAKE BOY NA MKOBA WA MAMA. HII BINADAMU NI KALI SANA PIA🔥🔥
Hii Kali Kuna funzo kubwa hapa
Nzuri sana 👏 👏 😍
Kumbe wachaw ndowanavo tukatia mauno ivo baatiyao hawaonekaga p dd angedili nao😅😅😅
Bi migomba 😂😂😂😂et mchawi hanaakili
🎉🎉🎉🥰🔥🔥
Kapela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from mozambiq
Kaka mwenyewe kawaida 😂😂😂😂
Mbwela na kapela one chama
🔥🔥🔥🔥🔥
Walai huyu bibi migomba na pia kama wamufahamu bibi mwenda..kwenye part za kichawi walai wana cheza hadi waeza thania ni wachawi kweli 🤣🤣🤣mahali walipo mm huwa sibanduki hadi ni watch finally ya movie ndipo ni rithike🤣🤣🤣🤣ndo uzuri huo 😂😂
Mbwela ❤🎉
Kapela utuletee epsode2 kaka nawakubali wote
tayar ndugu
Kazi kapera!
Nice 👌
Pia kuku aione mchawi kali
Jamani mi naomba urafiki na Mazonge kama inawezekana.
Bi migombaa😂😂😂
kongole bro
Mbona kwangu Haiti saut
saut gan tena salma
❤❤😊😊😊
❤❤❤
Movie zenu zote maadili yake ya kichawi tu
Couzin unakabia juu😢❤
😂😂😂😂❤❤❤❤❤
😂😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂😂😂
👍👍👍👌🏻❤❤🤝😊
𝐖𝐚𝐚𝐚 𝐛𝐢 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐤𝐚𝐬𝐡𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐚😂😂
❤❤