- 35
- 834 933
KAPELA FILMS
Tanzania
Приєднався 20 жов 2023
Karibu katika channel hii, Tazama filamu za kitanzania kwa lugha ya kiswahili pia naomba gusa neno SUBSCRIBE ili kuonesha ushirikiano wako kwetu. Asante +255 614149184 whatup only
Відео
WIZARD | EPISODE 6
Переглядів 12 тис.14 днів тому
#movie #atearinthefabricoflife #bongomovie #love #toomuchlovewillkillyou #africancinema #letlovehavethelastword #soniauche #soniauchetv #africanmovies
Kazi nzur sana 🎉🎉
Kapela kazi nzur sana ❤❤❤❤
Mbongo anashoot uhalisia wake KAZI mnazojua za uchawi Tu jaribuni kubadilisha
Chaku chaku mchakuleeeee....ilo Pala la kapela sio poa😂😂 .....Ila Kuna kipande nimeisikia action jaman bt nice job wanga sasa mtakoma
😅😅😅
Simbazule yangazule 😅
Kazi nzur sana ila mnapo edit kaz zenu kuweni makini kuna sauti zinasikika zikisema action
❤❤❤🎉🎉😢
Tunasubiri kwa mda mrefu
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
Good nice one story brother kapela 🎉🎉🎉🎉
Inamafunzo mengi hi filamu
Kapelaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
Tamika kazi nzuri kapele okoawatu
Mm pia wa kwanza kaz nzur bro
Good job, Kabela
Honger kapera kwa Kaz nzur❤❤🎉
Wangapi leo tumeangalia NDOA,KING WA MADEMU,ALBASTINI,MATHN ya wake wenza na saii tumalizia kwa WIZARD kwa raha zetu❤🎉🎉😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪
🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Duu uku n moto ju moto sasa❤❤❤❤
😂 🎉😂
Duuuh mbwela kaondoka na ujauzito wawatu 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
❤❤
Safi sana🎉
Hira naumia sana 😭 kapela jmniiii 😭 sitaki kuona wengine wakiumia Kwa sababu yako 😢😢
❤❤❤
Salute
Kazi nzuriii🎉🎉🎉🎉
Safi sana
God job kapela & you're team
Leo sijacelew❤ kapela ongerasana
From kanairo,wakwanza aki ,nipeni likes
salute
Sucesso para sempre By Boy from Palma Moz 🇲🇿
Kapela man on fire😢
Wa tatu kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wakwanza leo
Kapela na timu yako nzima mmeweza kazi nzur 🎉🎉🎉 Wadau like zao zishuke hp kama mvua ya mawe🎉🎉
Hakuna kitu kizito km mapenzi ya kweli tamika chukuwa🎉🎉🎉,musiingie uchawi kwa kulazimishwa au kwa mapenzi yenu mapenzi nikitu chakipekee bora mtoto utamla lakin mtu aloumilik moyo wako lazima itakuuma hata km utaweza kumtowa kafara 😢😢
Kaz nzr sn illa mnakawakuitowa mapema
Kapela umenifurahisha venye umelia 😂😂😂😂lkn pole kwa kuondokewa na mpenzi wako🎉🎉🎉❤❤
Wow🎉🎉
Huyo sister mbwela kaacha hadi mkapu wake🤣🤣🤣🤣
Naenjoy dada Oliver unafanya kwer nakupena❤❤❤❤❤❤❤
Safi wanangu
Anaishi kwenye script lkn kama mwanafunzi😂😂😂😂
Good❤
Kazi kazi 🎉🎉
kina SIMBA ZULEEE mpooo wapi
Wapi zumba😂😂MBWELA kazi safiii😊😊
Kapela hii movie nzuri sana 🎉🎉🎉🎉