Jinsi ya Kupiga Kompa Solo | FL Studio Tutorial

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @Richstartz
    @Richstartz  3 місяці тому +55

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa tutorial za FL Studio, gonga like hapa

    • @mwanawamfalmetz
      @mwanawamfalmetz 3 місяці тому +2

      Uko vizuri kaka

    • @Meddy360
      @Meddy360 3 місяці тому +2

      ❤❤❤❤❤uishi miaka 100000000 na yangu piah kaka maana ww ndo mwalimu pekee unayetoa material bora saana na Kwa uwazi saana ❤❤❤

    • @mwanawamfalmetz
      @mwanawamfalmetz 3 місяці тому +3

      @@Meddy360 kabisa usipo elewa hapa pengine huwezi elewa

    • @Meddy360
      @Meddy360 3 місяці тому +1

      @@mwanawamfalmetz huo ndo uhalisia ndugu yangu

    • @victormkello9575
      @victormkello9575 3 місяці тому +1

      Sana

  • @WestinoDaHunter
    @WestinoDaHunter 3 місяці тому +6

    We jamaa umefanya natengeneza mziki mzuri hasa wa zouk, shukurani sana 🙏

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 місяці тому +2

    Kaka mkubwa Asante sana unanipatiaga shule ambayo sijui ningeipataga wap Mungu akubariki.

  • @obwahmaxwell8717
    @obwahmaxwell8717 3 місяці тому +1

    Nimejifunza production kwako you are the best. Mungu akuongeze uwe juu zaidi

  • @kividoclassic2390
    @kividoclassic2390 3 місяці тому

    FIYAAAH🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🙌🙌

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 місяці тому +3

    Umejuaje aiseeh Rich 🙏 hii ndio step nimebakisha 🙌❤

  • @shaxonboy_
    @shaxonboy_ 3 місяці тому +4

    Woyooo, teacher Richard huyu hapa❤️❤️❤️

  • @Soundprobeats
    @Soundprobeats 3 місяці тому +2

    Broo umefanya nimekua zouk producer 🔥🔥 ila skuizi napiga zoute ila zouk ni 💥💥

  • @LonasMoto
    @LonasMoto 3 місяці тому

    Nimekubali sana

  • @renatus30
    @renatus30 3 місяці тому

    Ibabidi tufanye kazi kaka

  • @Justin-y1x
    @Justin-y1x 3 місяці тому

    Big up sana

  • @geox_ndege
    @geox_ndege 3 місяці тому

    Hongera man

  • @ElishaMgale
    @ElishaMgale 2 хвилини тому

    Niombe mawasiliano boss Kuna vitu nahitaji kutoka kwako ni pamoja na vinanda

  • @AthmaniOfficial
    @AthmaniOfficial 3 місяці тому

    Bro naomba unisaidie jins nitakayoipat sample nexus hypersonic purity

  • @fabiansululi7511
    @fabiansululi7511 3 місяці тому +1

    Ahsante sana Mkuu 🙏🙏🙏

  • @AthmaniOfficial
    @AthmaniOfficial 3 місяці тому +1

    Bro unaweza nielekeza jinsi ya kuzipata sample nexus hypersonic purity

  • @djmaiuka
    @djmaiuka 3 місяці тому

    I really wish to understand your language, because I really liked the content. Why don't you speak in English? That way you could reach more people and subscribers.

  • @Eco_tz3957
    @Eco_tz3957 3 місяці тому +1

    Nakubalii teacher 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AugustAchog
    @AugustAchog 3 місяці тому +1

    Nakupta sna kaka. Bless sana

  • @kombomvungi730
    @kombomvungi730 3 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @BiQLY-vf5fu
    @BiQLY-vf5fu 3 місяці тому +1

    This is actually helpful. Keep making this videos please . Also do u have something like group on WatsApp or Telegram so I can hit u up ?

  • @JojbClassic
    @JojbClassic 3 місяці тому +1

    Naitaji iyo plugin kweli

  • @sunsetstudioz
    @sunsetstudioz 3 місяці тому +1

    bro kwenye "nitakusikilizisha kwa sekunde chache" kwann hukukat au uliiditch primiere pro ahaha anyway naenjoy turtolial

  • @afrodrex
    @afrodrex 3 місяці тому +1

    Kaka mimi naomba nitukane sio kwa namna hiyo ulivyochapa hyo kompa unajua sanaaa😂😂🎹

  • @nordflavour3455
    @nordflavour3455 3 місяці тому +1

    Kaka umenitoa mbali ki production nimeanza kukufatia toka 2020

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 місяці тому

      Nafurahi kusikia hivyo

  • @iamiconboy
    @iamiconboy 3 місяці тому

    Nakubali sana

  • @NdichiboyTz-iz4bd
    @NdichiboyTz-iz4bd 3 місяці тому +2

    Nijinsi gani naweza nikapata FL studio kwenyesimu

    • @dp.digital_
      @dp.digital_ 3 місяці тому +2

      Daaaah kitu chochote kinachofanyika kwenye cm sio professional force upate computer

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 місяці тому +1

      @@dp.digital_ Sure bwana @NdichiboyTz-iz4bd upate computer kama umeweza kununua simu, basi computer hushindwi

  • @martinndunguru7103
    @martinndunguru7103 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @mrnabbamusic599
    @mrnabbamusic599 3 місяці тому +1

    Drum izo br weka session yake namna ya kuzipiga uko

  • @johnsunthehitmaker1685
    @johnsunthehitmaker1685 3 місяці тому +1

    Nimejalibu kudownload packs lakin sioni link ya kudownload

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 3 місяці тому

    Bro naomba kufaham VAT registration number ili nilipwe mtandaoni ni kitu gani na TIN number nimeambiwa nijaze ila sielewi🙏🏿🥺

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 місяці тому

      Wewe huhitaji VAT. VAT ni kwa wafanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ni 100M kwa mwezi

  • @lvpatrong
    @lvpatrong 3 місяці тому +1

    Am I the only one that don’t understand

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 місяці тому

      You dont Understand Swahili?

  • @PRINCEFILMKIJOLA
    @PRINCEFILMKIJOLA 3 місяці тому

    Ghthuyy