Hii ndiyo Computer Ninayotumia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 83

  • @ommymaconcept6420
    @ommymaconcept6420 Рік тому +4

    Hongera sana kak, kazi mzuri nataman tuwe na baraza la madesigner, unatuwakilisha vyema kaka kwny hii industry mungu akubarik san

  • @rutwizovideo1369
    @rutwizovideo1369 Рік тому +5

    Nimekuelewa sana Je, sisi tunao fanya kazi za Video Edting tutapataje mashine nzur maana tukiagiza wana tuletea ambazo hazina vigezo tulivyo agiza tuzipateje kaka watu gani wa uhakika.

    • @Richstartz
      @Richstartz  Рік тому +2

      Ishu hapo ni kuhakikisha unanunua kitu chenye specifications nilizozitaja na kuzi orodhesha

    • @CyimSky
      @CyimSky Рік тому

      Powa

    • @SpoertsHD
      @SpoertsHD 3 місяці тому

      Nenda republic of gamers utapata unachokitaka mkuu sema ujipange kuhusu gharama wata kutengenezea customized computer namna unavyotaka

  • @nicodembrown7508
    @nicodembrown7508 5 місяців тому

    Kaka unajua sana

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 Рік тому +2

    nimejifunza kitu kimoja kwako😂ukitaka kitu kizuri ni kukubali gharama👏👏👏👏👏👏👏👏wengi hukwepa gharama wakiwa wanataka vitu vizuri

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 Рік тому

    Upo vzr sana bro, mm binafsi nakupenda❤

  • @christinasimon4611
    @christinasimon4611 Рік тому

    Ongela kaka nimekuelewa kunielewesha

  • @jifunzekiitalianonajohnson9144

    Pamoja sana.❤

  • @directorFEROU
    @directorFEROU Рік тому

    Hongera sana kaka Richstar

  • @CyimSky
    @CyimSky Рік тому

    Uko vizuri ndugu yangu

  • @samtz30506
    @samtz30506 Рік тому +2

    Natamani Sana utoe tutorial ya namna unavyotengeneza hiyo desktop.

  • @legamond
    @legamond Рік тому +3

    Natamani utengeneze video inayoelezea hizo Online web kubwa kama Amazon /ebay unazotumia kununua bidhaa zako na uaminifu na kama unaweza recommend Kwa wengine

  • @samtz30506
    @samtz30506 Рік тому +1

    Nice rich

  • @christinasimon4611
    @christinasimon4611 Рік тому

    Kwani nilikuwa sielewi kabisa ubalikiwe sana

  • @qurannasunnahtzonlinetv7432

    Kazi nzuri kk iyo desktop paka imekamilika imekua sh ngapi

  • @majenzitv2711
    @majenzitv2711 Рік тому +1

    Good presentation

  • @khalidndemo4386
    @khalidndemo4386 Рік тому

    Safi

  • @USWAZITVONLINE
    @USWAZITVONLINE Рік тому

    Computer yangu moja ukiiwasha leo kumaliza kuwaka ni kesho au wakati mwingine haiwaki kabisa ina blink tu tatizo linaweza kuwa ni nini? Na je linatengenezeka?

  • @Goldengaze-q7g
    @Goldengaze-q7g Рік тому +1

    Kompyuta yang imeniandikia FIHSB is compressed press Ctlr Alt Del to restart😮

  • @sonnybeatz1885
    @sonnybeatz1885 6 місяців тому

    Kaka nikihitaji hiyo computer n bei gan mkuu

  • @EssahPointEntertainment
    @EssahPointEntertainment Рік тому

    NIMEKUPATA VILIVYOOO🙌🙌🙌🙌

    • @Richstartz
      @Richstartz  Рік тому +1

      Shukrani

    • @EssahPointEntertainment
      @EssahPointEntertainment Рік тому +1

      @@Richstartz ila sisi wa music production umetuweka mbaliii🥴🥴
      Bas kama upobize Naomba Kaz niwenakusaidia hapo!!!!🧐🧐🧐🧐

    • @Richstartz
      @Richstartz  Рік тому +1

      Sijawasahau

  • @joelntuka
    @joelntuka Рік тому

    naomba unisaidie ni namna gan nitaongeza rendering speeed kwenye premier pro pc yangg ram 8 ore 5

  • @explorer34
    @explorer34 Рік тому

    Kaka unaweza ukantengenezea kama hiyo yako

  • @syntaxsaintezzer5547
    @syntaxsaintezzer5547 Рік тому +2

    Lkn pia broo ni e-commerce gani kubwa online unayoagizia ivyo vifaa ambayo haina scammers mbali na amazon

  • @Bmtstudiostz
    @Bmtstudiostz Рік тому +1

    Hii desktop kibongobongo ni kufuru
    Ila umenifundisha kupenda vitu vizuri Kaka

  • @alfredystephenk
    @alfredystephenk Рік тому +1

    Mmmmh nimeipenda lkn mimi naanza kujifunza nina desktop ambayo ni dual naweza kujifunza Kwa kupitia hiyo?

  • @Godlizen
    @Godlizen Рік тому

    Kk sasa mbona mashine yangu inapiga kelele masikion saut kwa umbal sana

  • @jifunzekiitalianonajohnson9144

    Nimejifunza kitu hapa. Namna ya ku price..sio nawekeza kwenye vifaa kama kaka rich 11m.halafu mteja anasema ni elfu 30.nitengenezee logo😂😂😂

  • @syntaxsaintezzer5547
    @syntaxsaintezzer5547 Рік тому

    Ivi broo rich ram 16GB inarun smooth kabisa kwny music production bila ku consolidate chochote kwny DAW yen ku ran multiple plugins bila kutumia wav inaweza ???

    • @Richstartz
      @Richstartz  Рік тому

      Yes inaweza but ina depend na factor nyingine

  • @elkanakilumbe
    @elkanakilumbe Рік тому

    So tunaweza kununua, pc ya UKUBWA wowote ule, then ukaupgrade?

  • @djkabby739
    @djkabby739 Рік тому

    Nisaidie jinsi ya kutengeneza kama yako Bro

  • @MasukeMdeli
    @MasukeMdeli Рік тому

    Hiyo laptop inapatkana kwa bei Gani kaka

  • @bayau-hashtag
    @bayau-hashtag Рік тому +1

    GPU napata wapi Kama iyo ??

  • @AshurahNyasuguta
    @AshurahNyasuguta 10 місяців тому

    Unanunua wap rom na proceser

  • @valyagraphicstz799
    @valyagraphicstz799 Рік тому

    Nicee

  • @venanceandembwisye8318
    @venanceandembwisye8318 Рік тому

    Rich naomba msaada namna ya kuagiza kuptia alibaba

  • @director_ggxstudio3297
    @director_ggxstudio3297 Рік тому

    Nina Dell Latitude E7490 kitu gani kiongezewe ili kuiongezew speed mkuu

  • @Anjeline_Buhendwa
    @Anjeline_Buhendwa Рік тому

    Bro mbona hiyi youtube yako huwa hairushi matangazo

  • @mrfocusvipaji8591
    @mrfocusvipaji8591 Рік тому

    Dah bro natamani kufanya unachokifanya utaki ata kijana wa ziada apo

  • @manolomakaveli8464
    @manolomakaveli8464 Рік тому +1

    Ikikupendeza katika video ijayo share links ya hivyo vifaa kutoka sites uliponunulia

  • @kennyblessedit
    @kennyblessedit Рік тому

    Bado unatafuta kibonde wa fifa au ushampata 😅

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Рік тому

    😂😂😂 ngoja nije tucheze football but nikidhinda unaniuzia hii computer desktop

  • @MzeebabaYeba-bb2nc
    @MzeebabaYeba-bb2nc Рік тому

    Mim nauliza ili upate pesa kwenye ancaunt yangu ya youtube unafanyaje

    • @Richstartz
      @Richstartz  Рік тому

      Lazima channel yako iwe monetized

  • @KikakaX
    @KikakaX Рік тому

    Ningetamani nijue bei ya kila kimoja ili nijipange ili nijue naanza na nin? hahaha

  • @tops-brand
    @tops-brand Рік тому

    Hio disk top duuuuh

  • @LupiaClassic
    @LupiaClassic Рік тому +1

    Hujazungumzia Monitor unayotumia kiongoz

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 Рік тому

    Duhh!!! Laptop kama yako nikitaka kuipata nitaipata wapi?na natakiwa niwe na kiasi gani?

  • @richardndegese1448
    @richardndegese1448 Рік тому

    Mother board ni Aina gani?

  • @berrymshana4686
    @berrymshana4686 Рік тому

    Nakuelewa sana rich but ka.a hutojali naomba number zako

  • @baruanimkanje7034
    @baruanimkanje7034 Рік тому +1

    bro unatunyanyasa😂

  • @EssahPointEntertainment
    @EssahPointEntertainment Рік тому

    Laptop beigan!!!?

  • @ashrafismail-fm4sz
    @ashrafismail-fm4sz Рік тому

    Kaka nauliza vp uki upload vidio yenye water mark maybe y azam lakini ukaweka uchambuzi wako kuna tatizo lolote