🚨Yanga kukutana na VitalO Fc ya burundi,Ni mpinzani wa Aina gani?Azamfc wanasemaje

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • #football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

КОМЕНТАРІ • 6

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 26 днів тому +1

    Hakuna timu nyepese katika mashindano haya

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 26 днів тому

    JAMANI HII REDIO SIJAELEWA NYIE WATANGAZAJI MMEHAMA WASAFI

  • @haslanclassic40
    @haslanclassic40 26 днів тому +1

    Uyo anae sema vital'O ya burundi ni mbovu kuliko APR ya Rwanda Afatili mpira ana fatilia Team za ulaya VitalO nibora kuliko APR

    • @user-mr9xp5mr7i
      @user-mr9xp5mr7i 26 днів тому +1

      Una wazimu wewe tuulize sisi tunaoishi hapa Buyenzi
      Vital0 ni timu hiyo sasa?
      Bora ata Ainge Noir APR ni Klabu bora kabisa na inapata msaada wa Jeshi ni Timu ya Jeshi la Kagame
      Hujui hata ligi ya Burundi ni takataka kabisa

    • @MZAMILUMNYOTI
      @MZAMILUMNYOTI 26 днів тому

      ​@@user-mr9xp5mr7iyanga washa pita mapema Sanaa to Yani

  • @khamisrashid6581
    @khamisrashid6581 26 днів тому

    Mbona nyie waandishi mnakua wabaguzi inamana tanzania JKU haimo?