🛑CHASAMBI NI ZAIDI YA MUTALE, THOMAS KIPESE AKERWA NA KOCHA WA SIMBA KUTOMPA NAFASI CHASAMBI
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- CHASAMBI NI ZAIDI YA MUTALE, THOMAS KIPESE AKERWA NA KOCHA WA SIMBA KUTOMPA NAFASI CHASAMBI #azamfc #football #wasafi #yanga #footballclub #globaltvonline #millardayo #simba #live #simbasc
Huyu Chasambi na Mpanzu ni combination safi, ni zaidi ya Kibu na Mutale,Kibu ana maguvu tu lakini Chasambi na akili ipo.
Coach of Simba remember chasambi he is talented
chasambi ni mzuri sana kuliko joshua mutale mutale hamna kitu pale nibora mutale wakae benchi hamna kitu pale yule ni garasa
Ni kweli kabisa JOSHUA MUTALE sichochote si lolote mbele ya Ladacki Chasambi ukweli usemwe Chasambi ni bora sana JOSHUA MUTALE aondoke tu hapo SIMBA SPORTS CLUB anamaliza chakula cha Wachezaji wetu
Chasambi acheze nafasi ya Mutale kocha asitutanie labda kama ni majeruhi
Chasambi ni mchezaji mzuri na anao uwezo,kwa Mutale mmh bado hajanishawishi..mpeni dogo nafasi msimbanie..
Nikweli mutale anamuweka chasambi nje kweli au karabaka
Chasambi namkubali sana kwanza hata kufunga yuko vizuri viongozi walione ilo
Mara nyingi vaadhi ya watu hasa wachambuzi na viongozi mbalimbali wanatuita watanzania wote ni makocha lkn ukweli mpira ni mchezo wa wazi.Naamini Kila mpenda mpira lazima anasikitika Chasambi kuwekwa nje ya kikosi Cha Simba sioni sababu ya muntale kucheza dkk zaidi ya 70 huku Chasambi akiwa nje kabisa pia sioni kilicho zaidi kwa Baluwa kumzidi chasambi
Chasambi ninoma
Sawa kaka tom
Au Mohamed Kajole marehemu mzee wa banana kick
Maoni mliyotoa wote ni mazuri kwani kutetea kipaji cha chasambi ni kutetea nembo ya taifa mpra mchezo wa wazi
Kiukweli nikwavile sina uwezo lakini chasambi sio wakukaa bench
Chasambi ni mtu kocha a nafeli
Hatuko hapa kumrwkebisha coach lakini tungependa kumwona kijana akipeperusha bendera ya simba walau kwa dak 45 tu zinamtosha dogo anakitu
Chasambi na balua ACHA ni moto
Chasambi anaweza kuwa zaidi ya Kibu ila siyo Mutale! Na ndiyo sababu Fadlu ni kocha siyo wewe!
Atamthibitishiaje mwalimu wakati hapati nafac
Wengi tunaona hlo chasambi ni mchezaji mzur mno na hajakosea katika kucheza kwake!
KWAni hamna WA KUMWAMBIA kocha amupe nafasi TUNAUMIA mshabiki wampe bafasi
apewe mtoto acheza ajakuja kukaa tu bench hapna. mnapoteza kipaji ya chasambi mkiacha ivo please apewe nafasi me namwamini acheni kusarau wachezaji wetu Tanzania 🇹🇿 kuna wachezaji wazur lakn mnadharau
Sisi sote tunalaumu kutochezeshwa Kwa Chasambi ila taarifa zilizopo ni kwamba,Chasambi ni mlevi sana.Sijui kama ni kweli!
Wewe nyuma mwiko mlevi mama ako
Kwer chasambi chuma kikolimoto
Huyu kocha inabidi aelezwe ili ajue profile ya Chasambi. Mara mbili amekuwa mchezaji bora wa under 20 mara mbili mfululizo akiwa na Mtibwa Sugar. Ana uwezo mkubwa sana
Komaaaaa uka heze yy mbona wenzake wanapewa nafasi
Kweli hakuna haja ya Mutale wakati Kuna Chasambi our coach is the dog
Chasambi mzuri ila anaangukaanguka rahisi fatilia
Kuliko Mutale?
MUTALE na MUKWALA WARUDI WALIKOTOKA NI WACHEZAJI WA VIWANGO DUNI MNO😮😮😮
Si ni yy akawe mwalim…asimfundishe kocha na asitafute umaarufu kwa simba…ndo kwanza mechi nne tu zimechezwa atukomeeee
Kocha anamweka mchezaji benchi baadae atapendekeza aachwe kwa kisingizio cha kuwa hana kiwango..mchezaji apewe nafasi kocha anaogopa aibu kumpa nafasi akijua fika kuwa dogo atafanya makubwa..asimbanie akubali dogo acheze tu
Tuache unafiki,mwalim ndo anakaa na wachezaji,nadhan kumlalamikia mwl tunakosea,tumwambir chasambi aongeze bidii amuthibitishie mwl kwny awanja wa maandalizi kuwa yeyeni bora,hakun mwl ataona kizr ashindwe kukitumia,lbd kuna namn anapway kweny maandaliz na hatujaon mech ya majirbio mpkss mech zot ni tight ko apambane,na sio yy pekeak,hata karabaka
Mutale hovyo kabisa yaani akipiga krosi lazima aanguke yaani sijui yukoje ana kazi ya kuanguka anguka tu kocha anatakiwa aliangalie hilo
ATEBA MZURI ILA NI VYEMA AJE MZURI ZAID AKE ILI KINA MKWALA WAPISHE NAFASI KWA STRIKER MPYA
CHASAMBI WAMPE NAFASI HATA KWENYE DERB AANZE BADALA YA KUANZA NA MTALE
Kiuukeel wschzaj wandn wana jituma kuliko njee tuwaamin koz wanauzalndo ndn yk
Mtu mbaya ni matola agekua ni mugunda wa tanzania hute wagejeza wasiue wachaza vipaji
INATAKIWA KOCHA WA SIMBA AAMBIWE. NYIE WANDISHI TUNAOMBA MWAMBIENI HUYO KOCHA AJUE UKWELI KWANN ANAWANG'ANG'ANIA WALEWALE? TUNAOMBA MWAMBIENI PALE NAPOONGEA NA WANDISHI WA HABARI
Kipese wewe nimkweli
BINAFSI FALDU AWASILISHE JINA LA MUTALE ATOLEWE KWA MKOPO , BINAFSI NILIVUTIWA NA NAMNA ALIVYO CHEZA MUTALE MECHI YAKE DHIDI YA APR, BAADA YA HAPO HAKUNA KITU AMEKUWA KAMA SAIDO , VIONGOZI WASIPOTEZE MUDA NA MCHEZAJI ASIE JIELEWA MUDA WA MATAZAMIO UMEPITA , SASA NI WEKA TU WEKE.
YUPO MATOLA SASA ANAFANYA NN? MTOENI MATOLA MWEKENI MGUNDA ANAFAA SANA KULIKO MATOLA YUPO KWENYE BENCHI LA UFUNDI LAKINI CY MSAADA KWANN HAWEZI KUSHAURI JUU YA WACHEZAJI WANAOWEKWA BENCHI?