Pia hizo fatawa wawo huzitoa kwa watu tofauti. Usifikiri kwamba alio wajibu na vile ni walewale. Hapana ni watu tofauti na hayo majibu na ikitaalam ndio maana mnachanganyikiwa nayo hamuelewi
Mawahabi moja ya mapungufu walionayo katika akili zao, ni kuyafanya yale wanayoyapenda kuyafanya ndio sahihi na yale wasiyoyapenda yanakuwa bidaa, Hawa Mawahabi wameleta tauhid 3 wa naona ni sawa na halijafundishwa na Mtume wala kwenye Quraan halipo, Hawa Mawahabi ni mawakala wa Marekani na lsrael yaani mayahud wanalipwa kuuchafua uislam na mazuri aliokuja nayo mtume wameagizwa watie fitna wawakufurishe waislam wawatie chuki wawa dharau masheikh wamdharau mtume wasimswalie wapinge matukufu yake Hawa Mawahabi kama vile kuna kitu kwenye nafsi zao lakini Allah ndio anawajua vilivyomo kifuani mwao iko siku iko siku siri sitafichuka
Dah ujahil kweli mzigo
Kidevu chako hata ndevu hakina unasema unampenda mtume kweli uko sawa shekhee
Pia hizo fatawa wawo huzitoa kwa watu tofauti. Usifikiri kwamba alio wajibu na vile ni walewale. Hapana ni watu tofauti na hayo majibu na ikitaalam ndio maana mnachanganyikiwa nayo hamuelewi
Mawahabi moja ya mapungufu walionayo katika akili zao, ni kuyafanya yale wanayoyapenda kuyafanya ndio sahihi na yale wasiyoyapenda yanakuwa bidaa, Hawa Mawahabi wameleta tauhid 3 wa naona ni sawa na halijafundishwa na Mtume wala kwenye Quraan halipo, Hawa Mawahabi ni mawakala wa Marekani na lsrael yaani mayahud wanalipwa kuuchafua uislam na mazuri aliokuja nayo mtume wameagizwa watie fitna wawakufurishe waislam wawatie chuki wawa dharau masheikh wamdharau mtume wasimswalie wapinge matukufu yake Hawa Mawahabi kama vile kuna kitu kwenye nafsi zao lakini Allah ndio anawajua vilivyomo kifuani mwao iko siku iko siku siri sitafichuka
Yani hiyo mikufu yenu ya kibudha ndio mwaita tasbih