MAKOSA YA NDOA [ FULL MOVIE ][ MICHAEL WA SHILINGI 🙌😢😢😢👌💕❤❤❤❤❤❤💕💖🤳

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #KingMedia#KhamisKingFilam#Michael#Shilingi

КОМЕНТАРІ • 188

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl Рік тому +3

    Movie nzr mno asanteni kwa funzo pia ❤more love 😘

  • @AminaMohammed-u5u
    @AminaMohammed-u5u Рік тому +5

    Mashaallah Mashaallah filamu nimeipenda sana hii. Inamafunzo tosha katika jamii zinazotuzungusha shukurani sana. Ahamd. Shiringi

  • @bintimarkan5898
    @bintimarkan5898 Рік тому +1

    Asante kwa mafundishoyenu mzr nimejifunza kitu kwa kweli

  • @shanyabuzefa5855
    @shanyabuzefa5855 Рік тому +1

    Hongera maiko wa shilingi kwa kazi njema kusamehe ni jambo nzuri nimejifunza kitu hapa

  • @MunyaoJulius
    @MunyaoJulius Рік тому +2

    Wah movie zuri kweli ikona mafunzo mazuri❤❤❤❤

  • @GilberthRajabu
    @GilberthRajabu Рік тому +2

    Jaman chezea kila kitu so mke wa mtu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @latifabrayt7509
    @latifabrayt7509 Рік тому +2

    Umeniliza latifa and hemed😢😢😢😢😢😢😢😢 movie nzr sana imetufunza

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 Рік тому +1

    OG nembo wa mtaa from Kenye Micheal is my legend rejesha shilingi

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +1

    Michel kaz nzur san part2 plz ❤❤❤❤

  • @sabastianmusyoka3403
    @sabastianmusyoka3403 Рік тому +2

    Tunawakubali sana ila tumalizie shilingi pliz.7stian kenya❤

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 Рік тому +2

    Jamani tuandamane kwa ajili ya shilingi 😢pengine tutasaidika roma,tupostie plzplz

  • @FzoneMwandi
    @FzoneMwandi Рік тому

    Duhuu ni kweli shilingi inatumis sana mimi siko tayari kwakufata filam yoyote ile kabla sija malizia shilingi

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز Рік тому

    Mama n mqaarm kwel manshallah ❤❤❤ila ss wanawake pia tuache kusaliti ndoa zetu

  • @SalmaSalma-e8g4k
    @SalmaSalma-e8g4k 4 місяці тому

    Mashallah movie nzuri ❤❤❤

  • @BwanaMdogo-cq1jh
    @BwanaMdogo-cq1jh Рік тому

    Akika filamo nizuri ila tunaka mutumalizie shilingui Kwanza mana tuna Hamo yakumaliza here from Mozambique ❤️❤️❤️💖💖💖

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому +1

    Michael umecheza vizuri sana basi utoe zingine❤❤❤❤❤❤

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Рік тому

    Latifa ww unamakosa kbs yn penzi ndio uvunje ndoa yako Pole Medi😥😥😥😥😥😥

  • @MpunduMariam
    @MpunduMariam Рік тому

    Big up sana ndugu zangu mafunzo mazuri sana munatufundisha❤🇧🇮🇸🇦

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Рік тому

    Nzuri sana, ila sio wanaume wengi wanaeza kukudhamini tena

  • @allybulula9104
    @allybulula9104 Рік тому +2

    Kaz mzur imefundisha Sana

  • @BwanaMdogo-cq1jh
    @BwanaMdogo-cq1jh Рік тому +1

    Tunaitaka shingui kwa hamo sana bwana rusheni kamba ipo tunasubilia

  • @OnePATCHO
    @OnePATCHO 5 місяців тому +1

    Maïko tuna taka SHILINGI iendele hapa Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @FathyaSalum
    @FathyaSalum Рік тому +3

    Sio ya leo hii move ni ya mdaaaaaa Sana niliangalia wakat npo zenj kabla haijaja shilingi jmn shilingi ipo wapii😢😢😢😢😢😢

  • @edinarobert6716
    @edinarobert6716 Рік тому +1

    Nimependa sana❤❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 4 місяці тому

    Napenda move za Michel

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث

    ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢 ongereni sana wapenz kwa mafuzo mazuri sana ubarikiwe wote

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 3 місяці тому

    Kwaiyo karim mmmemuacha tu 😅😅 aendelee kualibu ndoa zingine😂😂 angepewa hata kishipaa

  • @thefirstlane5236
    @thefirstlane5236 Рік тому +12

    Tunataka shillingi, tunataka shilingi, tunataka, shilingi 🚶‍♀️🚶🚶‍♀️🚶💔💔😡😡😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪

    • @AnnWairimu-dq5kf
      @AnnWairimu-dq5kf Рік тому +2

      Tunataka shilingi ama tuandamane kama raila 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @josephegesa7017
      @josephegesa7017 Рік тому

      Apo n sawa

    • @AnnWairimu-dq5kf
      @AnnWairimu-dq5kf Рік тому

      Maandamano yameanza ya shilingi🚶‍♀️🏃‍♂️🏃‍♀️🕺💃👯‍♂️🚶‍♂️🚶‍♀️🏃‍♂️🏃‍♀️🕺💃🚶‍♂️👩‍⚖️👨‍⚖️👨‍🏭👩‍🔧👩‍🍳👩‍🌾

    • @irakozechantal1669
      @irakozechantal1669 Рік тому

      💔💔💔💔💔🇧🇮😭😭😭

    • @jacklineachieng8647
      @jacklineachieng8647 5 місяців тому

      Tunataka shilingi tunataka shilingi tunataka shilingi😢😢😢😢😢😢

  • @puritykalasinga371
    @puritykalasinga371 Рік тому +2

    Meddy love your part such Amazing, Amazing movie great lesson learnt keep up the good work ❤️❤️❤️ love watching

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 6 місяців тому

    Huyu jamaa anajuwa sana ❤❤❤

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e Рік тому +1

    Nimeipenda sana❤❤❤

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s Рік тому

    Daah linafuza huna mbambambaaaa ❤❤❤

  • @jacklinekenyanya9352
    @jacklinekenyanya9352 Рік тому +1

    Mke hakua tayari na ndoa maanake kadanganywa

  • @HOJAMANENO-zj5zr
    @HOJAMANENO-zj5zr Рік тому

    Nanyie wanawake muwe na hakili Kuna muda mnawachosha waume zenu ko umiolewa jieshimu ,,tamaaa ndo mbaya Sana huleta ushetan

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 2 місяці тому

    Good message mother

  • @mahsenali8668
    @mahsenali8668 Рік тому

    uyu Michael kumbe ni mjinga kistep ,

  • @magrethsarwat103
    @magrethsarwat103 6 місяців тому

    Funzo Zuri Sana Kwa Jamii,

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 Рік тому +3

    Mwenzenu ninakazi yakutafuta mwendelezo kumbe imeisha 😂😂😂 acha tuu niangalie hoi apa

  • @Fumbini_Arts
    @Fumbini_Arts Рік тому

    Hiyo beat n poa sana

  • @Mohamedishabani-om8qf
    @Mohamedishabani-om8qf Рік тому +2

    Mshaafeli tayar hamna jipya tena

  • @shakilabakari6928
    @shakilabakari6928 Рік тому +1

    Hapo hakuna mapenzi hiv kufanyiwa had mimba mchezo 😢😢ushauri huo citaki labda nicjuwe

  • @PhilomenaKangalawe
    @PhilomenaKangalawe Рік тому

    Sauti yako iko vzr bro

  • @DieuAshuza
    @DieuAshuza 5 місяців тому +1

    Kama haulete shilingi sisi hatufate movie zenyu kwetu congo

  • @faridajackson8643
    @faridajackson8643 5 місяців тому

    Mwi show 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @سميةالشرياني
    @سميةالشرياني 4 місяці тому

    Tunataka shilingi bhana

  • @zabibushauri3244
    @zabibushauri3244 Рік тому

    Jaman mm sinaaman shilingi nahitaji

  • @WilliamBigy
    @WilliamBigy Рік тому

    Msipoendeleza shilingi sisi wakenya hatuangalii tena movie zenu

  • @Isayapetro1920
    @Isayapetro1920 Рік тому

    Tunataka shilingi sisi

  • @mwanaharusichizikalama7790
    @mwanaharusichizikalama7790 Рік тому +3

    Kwani shilingi imeisha unajua unapoteza mashabiki ukitumana movie naiishe ndo uweke nyingine

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому +1

      Wakisifiwa tu. Baaas wanaharibu

    • @shakilabakari6928
      @shakilabakari6928 Рік тому

      Mumeambiwa msubili itakuja kwahyo kama shilingi haipo watu ndo wasifanye mambo mengine nyie vipi

  • @Lucy-bn1tz
    @Lucy-bn1tz Рік тому +3

    Tunataka Shilling 😢😢😢😢😢😢😢

  • @Mohamedishabani-om8qf
    @Mohamedishabani-om8qf Рік тому +14

    Mshaanza kutuletea drama tena tunaitaji shilingi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Na pengine kwa shoo angepewq ange
    Msaliti mume zaidi

  • @AbubakarySemkuya
    @AbubakarySemkuya 4 місяці тому

    Shilingi ishapotea tena

  • @Asia-vc9em
    @Asia-vc9em Рік тому +1

    Jama shilingi ndio furaha yetu

  • @CharlyKanduki
    @CharlyKanduki Рік тому +2

    Hatuna hamu ya iZi muvi zenu tunataka shilling

  • @kazungumwiru5170
    @kazungumwiru5170 Рік тому

    Vipi tena shilingi

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 Рік тому

    Haifundishi maadili zaidi ya udayuuth mtupu

  • @ZachariaKoroso
    @ZachariaKoroso 3 місяці тому

    Leta shillingi Duuh

  • @ukhtyzainab7254
    @ukhtyzainab7254 Рік тому +1

    Daah inataka moyo sana

  • @Saadiya-t9r
    @Saadiya-t9r Рік тому

    Asante movie inamafuzo

  • @FreedahSonga
    @FreedahSonga 3 місяці тому

    Jamani shilling shilling shilling

  • @edisondiokeresy2306
    @edisondiokeresy2306 Рік тому +4

    Msipo leta shilingi siangaliii tena muvi ya mtu yeyote anae usika kwenye shiling

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Рік тому +2

    Km umkali mbona ustafute wakwako ndo uoneshe io mechi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PurityDida
    @PurityDida Рік тому +1

    Shilingi jamaniiii😂❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉ikowap?

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Рік тому

    good movie

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Рік тому

    Hyu mschana Hana mana kbcaaa aliokutuma nnani utembee n Karim mwanakulitafuta mwanakulipata

  • @VailethSanga-h8v
    @VailethSanga-h8v 8 місяців тому

    Bonge la move

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Рік тому +2

    Movie kali❤❤

  • @سميةالشرياني
    @سميةالشرياني 4 місяці тому

    Washakula shilingi zoteeeee😅😅

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Hata mimi ningempa talaka mana angeyakuta yaliyomo yamo ktk mechi alocheza inamana ndo angekuwa mchipuko wake daima dawamu

  • @AbdallaAthaman
    @AbdallaAthaman Рік тому

    hii movie ya mwaka gani naona lukman ni mdogo sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Hemedi anajua anajua tena

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 2 місяці тому

    Karim wewe ulitaka mzigo sasa chukuwa mzigo peleka kwako ndo uendeleye na ubezema wako

  • @mwanaishakama3381
    @mwanaishakama3381 Рік тому +1

    Mambo mwayafanya mengi mbona msitumalizie shilingi kwanza jamani

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s Рік тому

    Jaman shilingi mambo gan hayoo 😢

  • @tchikomasakoma1963
    @tchikomasakoma1963 Рік тому

    Madunzo mazuri❤

  • @IssaOmulama
    @IssaOmulama Рік тому

    ningependa kujua,je nialali jamaa kuendelea kushiriki tendo la ndoa nae

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому

    Mkiact halafu mkiingiza na mambo ya kiisilam basi ni bora muwaulize masheikh! Kitanda hakizai haram lkn mnakosea kusema ati muishi na musahau yaliopita kwa kua tu ati wazee mlikosana na mkaishi nakuzikana. Zinaa ya ndani ya ndoa m’ke haruhusiki hata kukaa eda namna Allah anavyoichukia zaidi.

  • @DullaMzee
    @DullaMzee Рік тому

    Safi 2

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 Рік тому +2

    Kaka wa shilingi❤❤❤❤❤❤❤

  • @AndersonKazungu-k2f
    @AndersonKazungu-k2f Рік тому

    Tunaka shilingi

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Рік тому +3

    Aisee mpaka nmetokwa na chozi inauma sana 😭😭😭

  • @hamsodady9815
    @hamsodady9815 Рік тому +1

    Nawatuambie kma shillingi imeisha ama vp

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز Рік тому +2

    Kwan shilingi ndio akuna tena ama

  • @SarahTsuma-g3r
    @SarahTsuma-g3r Рік тому

    Pole michael wa shilingi ndo hali ya ndoa ina misuko misuko

  • @MkasiabdalahTwaha
    @MkasiabdalahTwaha Рік тому +1

    Mpaka lini jaman

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Nahadiya namimi nashangaa

  • @mwanamisidini1950
    @mwanamisidini1950 Рік тому

    Tuletee shilingi plz dj plz plz plz

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Рік тому +1

    Minaona Dj kama ameishiwa

    • @mauwabanda2746
      @mauwabanda2746 Рік тому

      Shida so dj walio igiza ndo wameishia hapo si ilikuwa inalushwa sinema zetu ndo ilipo ishia mpaka wakashuti tena mwaka 2047

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 4 місяці тому

    Mama Dini haijasema ivo kitanda hakizai haram sio kweli

  • @سميةالشرياني
    @سميةالشرياني 4 місяці тому

    Shiling mshainunua mihogo

  • @dosihamud-rf5ph
    @dosihamud-rf5ph Рік тому

    Tunataka shilingi jmn

  • @Asia-vc9em
    @Asia-vc9em Рік тому

    Tuleteeni shilingi

  • @HalimaMohamed-em9zg
    @HalimaMohamed-em9zg Рік тому

    Shilingi shilingi aaaaah mmetukatir

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Lakini Latinas unamlaumu bure Rose ila ni kosa lako mwenyewe zakuqmbiwq changing na zako

  • @lilyprince8941
    @lilyprince8941 Рік тому +1

    Tutaacha kuyangalia haya maana move zenu hazifiki mwishoo shilingi umeishia njiani

  • @NyanjeAliTembe
    @NyanjeAliTembe Рік тому

    Keteni shilingi hatutak ngonjera

  • @MkasiabdalahTwaha
    @MkasiabdalahTwaha Рік тому +1

    Jaman xhiling imeixha

  • @latifamohamed7692
    @latifamohamed7692 Рік тому +1

    Huku wapi tena shillingi haijaisha mwatuletea nyingine loh hebu njoo kule utumalizie ndio mambo mengine yaendelee

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 Рік тому

    Khaa Latifa wewe hapana