Huyu Ras Inno anajua vitu vingi sana juu ya sanaa ya muziki. Nimshauri tu, hivi vitu alivyoongea aandike katika kitabu chake. Asante baruan kwa session.👍👍
Baruani....hiyo shoo bomba!....mahonjiano yenye utaratibu na maeleze muafaka, Ras Inno u mtaratibu kweli, historia ya kirasta waifafanua kama kitabu kurasa baada ya nyingine....umependeza!..."twangonja raundi zingine kadhaa ikewezekani mtayirishi Baruani"
Nimependa ....kwasababu anafahamu vitu vingi Sana vya kihistoria......wakati mwingine panapo majaliwa ...muulize kwa niaba...hizo nyama ambazo hatumii ni zipi ....na hizo anazotumia ni zipi na sababu zakutumia na kutotumia. Kazi nzuri Sana Rasta Baruan...keep it up.
Yuko sahihi ..... Bob aliimba forever lovin Jah ..... Humo ndani ndio anazungumzia jinsi jamii ilivyokuwa inawatazama marasta kipindi hiko na kuwahusisha na fujo , vurugu na ubaya . Respekt
Dah! Ikiwezekana Ras Inno arudi tena kwa kipindi kijacho....Katika watu wote uliowahi kuwaita kwenye kipindi hichi, huyu Ras Inno ni mbobezi. Twamhitaji tena
nimeipenda sana hii interview ukiskiza kwa makini utaelewa mambo mengi ambayo ulikua hujui kiukweli mimi ni msanii but nilikua sijui maana ya rap na maana ya rnb rasta inno nakukubali sana naskiza interview kutoka china ila nimehisi niko afrika wahgwan I and I
Hawa ma Ras huonekana kama watu waajab sana kwenye jamii lakin huwa wanawaza sana na wanajua mambo mengi sana lakin pia wana utu na uninadam mkubwa sana na ni wastaarab sana, peace and love i and i, aman mimi na mimi
Rastafari H.I.M Girmawi Kedamaw'e Haile Selassie I Jah First Negusa Negas Ababa Jon Hoy...izes to the world...but Afreeka first...Original black message of truthz & Rightz instilled in I & I rise fwd Exodus...Movements of Jah people...men & people will fight you down when you see Jah light...let me tell you if you're not wrong everything is all right...Wonderful & Marvellous...upfulness...beautiful for situation the joy of the whole earth is mount Zion....Revelation reveals Jah truth...babylon world flesh & devil system is falling down to utter destruction...Æthiopia/Afreeka the wise shall arise...I.N.R.I...Selah inna Ameyn & Ameyn...
Mama yake Bob alishawahi kueleza story ya kubadilika kwa jina la Bob from Nesta Robert Marley to Robert Nesta Marley . Jina la Nesta alipewa na baba yake likimaanisha kwa lugha ya kiingereza "Messenger" .Mama yake alipokua akimtafutia Bob passport ya kuingia America kutokea Jamaica, afisa husika wa uhamiaji alisema Nesta ni jina la kike ( Nesta was traditionally a girl's name) . Mama yake akasema hapana baba yake amempa hilo jina (Nesta) . Lakini yule afisa akasema ni vizuri akaitwa Robert Nesta badala ya Nesta Robert . Mama yake akakubali na Bob mwenyewe alikua hapohapo wakati haya mazungumzo yaki endelea kati ya Afisa wa uhamiaji na Mama yake. Hivi ndivyo jina la Robert Nesta Marley lilipokuja.
Hawa jamaa wana uwezo mzuri wa kujieleza maana nakumbuka mwaka 2014 niliwahi kumhoji Rasta mmoja juu ya imani yao kwa kipindi cha masaa matatu, alijieleza bila kuchoka. Believe in Christ Jesus you will be Delivered. Otherwise, you cage yourself into evil bonds.
You dont have a Deadlock to be a Rasta, Rasta not a deadlocks things but Devine Conceptual of you heart, Rast aint a religion but a movement to maintain the balance. In the world.
Urasta ni sehemu ya dini kikiristo ya jehova iliyoanzishwa na wajamaika katika karne ya iliyopita,na kumweka mfalme haile selassie, kuwa mtume wao, na Neno Rasta ni neno la kiethiopia,lililotokana na ufalme wa Ethiopia.
Rasta sio aina ya nywele. .ingia Google ujue kwanza nn maana ya neno rasta.....Rasta limetokana na mfalme wa Ethiopia..alikua anaitwa Tafari Makonen ..ambaye ndiye haile sellassie..Ras..Tafari
Naona mtangazaji hajui nini halisi maana ya Neno Rasta.....Rasta sio aina ya nywele...Rasta ni imani..sio aina za nywele...tofautisha kati ya dread lock..na rasta
peace & love Ras Inno, kama itawezekana tunaomba huyu Ras arudi tena kuna vitu vingi tunahitaji kujifunza toka kwake
Rasta is always well informed! I'm impressed.
Rastafarians ndiyo jamii pekee ya wafrika wanaojielewa. Aisee interview iko dope!
Ras Ino very smart aisee. Na Baruan naye dah anajua sana
Huyu Ras Inno anajua vitu vingi sana juu ya sanaa ya muziki. Nimshauri tu, hivi vitu alivyoongea aandike katika kitabu chake. Asante baruan kwa session.👍👍
14:25 "Amani Na Upendo , katika nafsi iliyokuwa moja, mbele ya anayetuona"
Sana sana!
Huyu jamaa ni hatari anajua vitu ving sana
jamaa kichwani yuko vizuri sana....Anaakili sana akumbukumbu kubwa sana
great guy ...ras Inno
Baruani....hiyo shoo bomba!....mahonjiano yenye utaratibu na maeleze muafaka, Ras Inno u mtaratibu kweli, historia ya kirasta waifafanua kama kitabu kurasa baada ya nyingine....umependeza!..."twangonja raundi zingine kadhaa ikewezekani mtayirishi Baruani"
Pisi ❤❤❤🦁
Nimependa ....kwasababu anafahamu vitu vingi Sana vya kihistoria......wakati mwingine panapo majaliwa ...muulize kwa niaba...hizo nyama ambazo hatumii ni zipi ....na hizo anazotumia ni zipi na sababu zakutumia na kutotumia.
Kazi nzuri Sana Rasta Baruan...keep it up.
Yuko sahihi ..... Bob aliimba forever lovin Jah ..... Humo ndani ndio anazungumzia jinsi jamii ilivyokuwa inawatazama marasta kipindi hiko na kuwahusisha na fujo , vurugu na ubaya . Respekt
Baruan nawewe kumbe upo vizuri
Very informative!! Gonga like kama ume-enjoy haya mahojiano kama mimi
Hongera sana Mnyalukolo! Hakika una madini mengi.
Kimsingi kuna mtu nilibishana naye sana kuhusu Imaani za kirasta leo nimeelewa sana
Dah! Ikiwezekana Ras Inno arudi tena kwa kipindi kijacho....Katika watu wote uliowahi kuwaita kwenye kipindi hichi, huyu Ras Inno ni mbobezi. Twamhitaji tena
Kabisa
nimeipenda sana hii interview ukiskiza kwa makini utaelewa mambo mengi ambayo ulikua hujui kiukweli mimi ni msanii but nilikua sijui maana ya rap na maana ya rnb rasta inno nakukubali sana naskiza interview kutoka china ila nimehisi niko afrika
wahgwan I and I
Bro yuko vizuri nimemkubali,baruan mwenyewe namwona amenogewa na material ya jamaa
I and I Rasta one love brethren
Great show!!!! Ras Inno uko juu!
Hawa ma Ras huonekana kama watu waajab sana kwenye jamii lakin huwa wanawaza sana na wanajua mambo mengi sana lakin pia wana utu na uninadam mkubwa sana na ni wastaarab sana, peace and love i and i, aman mimi na mimi
Sanaaa
This interview was very well done. Excellent!
Nimekuerewamno ras ino munguakuongezemiaka weweni nichuo tosha
safi sana kwa kweli.
Session hii tamu sana na imetupa historia nzuri na elimu pia, MLETE TENA umalizie
Jah lives from south Africa mbeya ndio nyumbani ❤💛💚✊
Bila shaka mtangazaji umefurahia sana staili ya majibu ya rasta Kama nilivyo enjoy mimi.
Anajua vitu vingi sana.....better arudi tena. Rastars never die, I n I Jah....Rastafarian
Big up Ras Innocent,True story...
Nimeipenda sana hiyo historia
Napenda namna Baruani anavyouliza maswali, yuko makini sana. THIS IS THE BESTER INTERVIEW EVER.
hapa shule nimepata shule dahh....great
Bald head Rasta Baruani ..... Bald head hawakukubalika Sana Jamaica kwakuwa walitazamwa Kama wanafiki
Jamaaa anajua sanaaa kujibu maswali short and clear kabisaaaaaaa
Nimeipenda sana nyundo ya hii. ila ningeomba Ras Inno atuwezeshe kuona nyimbo zake au kutujuza zinapatikana wapi????
Nimeipenda
Hiii interview nzr cjawahi ona
Naskiza kutoka kenya.....ana maelozo mazuri xana
Jah Blessing u Ras Inno
Rastafari H.I.M Girmawi Kedamaw'e Haile Selassie I Jah First Negusa Negas Ababa Jon Hoy...izes to the world...but Afreeka first...Original black message of truthz & Rightz instilled in I & I rise fwd Exodus...Movements of Jah people...men & people will fight you down when you see Jah light...let me tell you if you're not wrong everything is all right...Wonderful & Marvellous...upfulness...beautiful for situation the joy of the whole earth is mount Zion....Revelation reveals Jah truth...babylon world flesh & devil system is falling down to utter destruction...Æthiopia/Afreeka the wise shall arise...I.N.R.I...Selah inna Ameyn & Ameyn...
Huyu jamaa ana vitu vingi mrudishen bhana
ni mtu ambae anajb kwa kile alicho ulizwa nicee Mr kamwene
Kipindi kinzuri sana
Wa gwan man, I'm chun dis consecutively
“NYABINGI” ALITOKEA RWANDA 🇷🇼 ALIKUA MFALME WA UKO RWANDA 🇷🇼
JAMBO UNALO SEMA SIO KWELI TAFAKARI FATILIA ULIZIA TAFUTA KWELI IPO WAZI
Mama yake Bob alishawahi kueleza story ya kubadilika kwa jina la Bob from Nesta Robert Marley to Robert Nesta Marley . Jina la Nesta alipewa na baba yake likimaanisha kwa lugha ya kiingereza "Messenger" .Mama yake alipokua akimtafutia Bob passport ya kuingia America kutokea Jamaica, afisa husika wa uhamiaji alisema Nesta ni jina la kike ( Nesta was traditionally a girl's name) . Mama yake akasema hapana baba yake amempa hilo jina (Nesta) . Lakini yule afisa akasema ni vizuri akaitwa Robert Nesta badala ya Nesta Robert . Mama yake akakubali na Bob mwenyewe alikua hapohapo wakati haya mazungumzo yaki endelea kati ya Afisa wa uhamiaji na Mama yake. Hivi ndivyo jina la Robert Nesta Marley lilipokuja.
Huyu Ras inno mrudishe tena yuko vizuri kihistoria
Hi Ras, took I by storm. Been yarning for insight on Rastafarian concept n history. Jah Bless I n I 🤛🏿
Rastafai.. one love Ras Inno
Blessa 🙏
Hawa jamaa wana uwezo mzuri wa kujieleza maana nakumbuka mwaka 2014 niliwahi kumhoji Rasta mmoja juu ya imani yao kwa kipindi cha masaa matatu, alijieleza bila kuchoka.
Believe in Christ Jesus you will be Delivered.
Otherwise, you cage yourself into evil bonds.
Ras umetisha..
Ras Kamwene, Moja ya nyundo ya maaana kuwahi kutokea, jaama anaelewaka vizur, sio masuala ya kuwaita akina mpoto wanakuja kuhamaki kwenye nyundo
daaah busara nyingi sanaaaa
Big up rast mn tp pamoja xn bng ndo kila kt kwet marast
You dont have a Deadlock to be a Rasta, Rasta not a deadlocks things but Devine Conceptual of you heart, Rast aint a religion but a movement to maintain the balance. In the world.
Kunakitu kaka Ino ajakiweka wazi kua Haile Selassie ndio mungu wa Rastafari
loo! historia nimeiskia leo,
Kweli huyu Ras Ino nafama historia ya muziki...kwa muda sijaona mahonjiano mazuri hivi
this guy has read history ...alot of issues.....darasa
Love Rastafarian
Kasoro mimi na ukoo wangu tu!!!
Hili jamaa linajua mambo haya du!
bright guy
Siku zote Rasta hua na mawazo pevu sana
Shikamoo rasi inno
Urasta ni sehemu ya dini kikiristo ya jehova iliyoanzishwa na wajamaika katika karne ya iliyopita,na kumweka mfalme haile selassie, kuwa mtume wao, na Neno Rasta ni neno la kiethiopia,lililotokana na ufalme wa Ethiopia.
Ushindwe na ulegeee
Suere
IKIANGALIA HIII INTERVEW UNA ENJOY KWELI CZ HAWA WATU WOTE WANAJUWA WANACHOKIFANYA BIG UP KWENUU✌
Bange
Kenya every Thursday Friday is a reggae day
Kipindi kizur mualike tena
Kumbe hata mimi ni Rasta hasante inno
Dreadlock Bob alisema NI IDENTITY tu ...... Wala hainauhusiano na urasta......
Rastaman Vibration
Inno yupo deep sana
HIM first. Kadamawe kadamawe
Mi simo
Raster ni movement na dread ni mtindo wa nywele wenye asili ya mtu mweusi ulio na chimbuko la utamaduni wa kiafrika.
Kwanini msiende studio,mkaongee kama mnajua?
Go Ras go Ras
RAS is amharic meaning prince .. Prince tafari makonen.. ..he was a prince before king hence Ras tafari makonen.. But this guy has history
Good ino
Duh uyo ras wa iringa NBC tupo nae bwana tunamuona
I and i ire rasta
Watu kama hawa ndio tunaotaka kwa interview sio kila wakati kina Juma lokole
Ayeee
Huyu jamaa #RasINNO ana elimu gani?
Hahahahha ya urasta
hii ndo NYUNDO sasa
Sio kila muafirika ni Rasta
Ni kila Rasta ni muafirika
Hivi ni ukweli
Sio kweli. Wapo wa Jamaica, nao ni waafrika?
MTU mweusi cyo lazma awe mwaafrika
Arudi tena ras inno
Mara nyingi rasta wanaabudu jumamos! VP kwa rasta wanaoabudu jumapili?
Rasta sio aina ya nywele. .ingia Google ujue kwanza nn maana ya neno rasta.....Rasta limetokana na mfalme wa Ethiopia..alikua anaitwa Tafari Makonen ..ambaye ndiye haile sellassie..Ras..Tafari
Wewe ngedere.umesikiliza interview vema au unabwabwaja km mavi? Hajasema rasta ni nywele we kichwa kiazi
For real
kinyondinyondi che kiki mwagito
Ata mm napenda urasta nipo na iman ya kirasta
Amen
Kuna story nyingi za kijiweni moja wapo Calton barret na kaka yake wanatokea Burundi ni baseless story myalukolo
Duh kumbe osama alıkua anauza bangı? Rasta unaushahıdı ?
Rasta umeniacha hoi apo ulipo sema osama anauza bangi
Naona mtangazaji hajui nini halisi maana ya Neno Rasta.....Rasta sio aina ya nywele...Rasta ni imani..sio aina za nywele...tofautisha kati ya dread lock..na rasta
irie man...🇹🇿🇹🇿🇹🇿
👊👊👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kijiji Cha Marasta, nyote mlikufa kwa kuumwa na nyoka. Tuliwapa Morogoro ila hamkuweza.
Bangi tu