Yammi - Tunapendezana (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лют 2023
  • Music Video by Yammi performing "Tunapendezana" (c) The African Princess Label 2023, The Music Video was shot in Dar es Salaam,Tanzania, Directed by Kenny.
    Stream My EP 'Three Hearts' - smartklix.com/ThreeHearts
    Everything Yammi: linktr.ee/yammitz
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    Listen to Yammi on Digital Streaming:
    Audiomack:audiomack.com/yammitz
    Apple Music: / yammi
    Spotify:open.spotify.com/artist/6yV5H...
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    Deezer:www.deezer.com/us/album/38618...
    Follow Yammi on Social Media:
    Instagram: / yammitz
    Twitter: / yammi_tz
    TikTok: / officialyammi
    Facebook: / itsyammitz
    +For More Information Booking Yammi:
    Contact:yammymanagement@gmail.com
    ©2023 Ziiki & African Princess Label.All rights reserved.
    #Yammi #ThreeHearts #Tunapendezana

КОМЕНТАРІ • 4,4 тис.

  • @forcienelokoiluku
    @forcienelokoiluku 10 місяців тому +19

    Watu wanaopenda kusikia ngoma hii usiku gonga like hapa na comment ❤❤

  • @Reneeeeee1235
    @Reneeeeee1235 Рік тому +517

    Kama unamuona yammy mbali dondosha like twende sawa

  • @sharifamarwa2887
    @sharifamarwa2887 Рік тому +11

    kama unampenda yammi dondosha like twende sawa jamani.❤️🥰❤️🥰❤️🥰

  • @alfredkasololo5242
    @alfredkasololo5242 Рік тому +14

    Wimbo nzuri sana kabisa. Pongezi kwa musichana huyu anaye imba wimbo hii. 🙏❤️🇨🇩

  • @georgekais813
    @georgekais813 Рік тому +115

    This girl is on 🔥🔥🔥🔥🔥like kwa wanaomkubali Yammi 🇹🇿❤️

  • @crownprince399
    @crownprince399 Рік тому +25

    Nani ako napenda YAMMI love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @xXHanna84Xx
    @xXHanna84Xx Рік тому +40

    Hello from Sweden! I love to discover different music from all over the world and I'm so happy I found this gem. ❤ I have no idea what she is saying, but music has no language barrier. ❤

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 Місяць тому +2

    Mumependezana kweli hila bado mana hapo kwenye mavyazi bado kuna kasoro na kuwapotezeana kupendezana kwenu,basi pia vyazi vyaeni la heshima mtu ujiheshimu ndipo atape kuheshimiwa zaidi.nawaombea dua inshallah ndoa idumu mpaka umri kiama🤲.

  • @javy_c1k
    @javy_c1k Рік тому +67

    Naupenda huu wimbo. Shukran pia kwa subscribers wangu kumi. Mzidi kunisupport nami nigrow Nawapenda

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 Рік тому +74

    Tunapendezana 🥰🤗 like za mabinti tulioambiwa na tukasika...

  • @mercyerambo1011
    @mercyerambo1011 5 місяців тому +7

    She's giving Ruby vibes...Their voices are almost alike and soo beautiful!❤🇰🇪

  • @alexmrwaa1033
    @alexmrwaa1033 Рік тому +18

    Damn i can't believe I hadn't discovered this jewel but I'm here now love the melodies this kid is going places

  • @jamesmuhandi6808
    @jamesmuhandi6808 Рік тому +18

    Wallahi nyimbo mzuri,msanii mzuri,mwanzo ana kiuno Cha muhindi💯💯💯♥️♥️

  • @braitonurio
    @braitonurio Рік тому +9

    Nimekua wa 01 ku comment likes zangu wapendwa

  • @simbaabdallah2645
    @simbaabdallah2645 Рік тому +3

    😢 She don't deserve this number of views and comments angekua ameimba zuchu mungemsaport this girl she is talented and she is my favorite now ❤

  • @TomezzMartommy
    @TomezzMartommy 6 місяців тому +1

    ny all time song

  • @shamimjuma3605
    @shamimjuma3605 Рік тому +20

    Our girl understood the assignment African princess ❤️🔥🔥🔥😍

  • @officialidakeys
    @officialidakeys Рік тому +9

    Yammi Unajuwa Unajuwa Unajuwa Tenaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
    Tunao Mkubali sana Yammi Like Apa Tujuane 👇👇👇👇👇👇

    • @javy_c1k
      @javy_c1k Рік тому +1

      Npitie u subscribe jameni

  • @Lunarr-es9dw
    @Lunarr-es9dw 16 днів тому +1

    This beautiful tune is so addictive ❤

  • @taysonelinda2211
    @taysonelinda2211 Рік тому

    hongera sana kabisa. wanao jua mapenzi wa sikilize.

  • @dorothyshee777
    @dorothyshee777 Рік тому +173

    One of the most talented artist who agrees with me 💯

  • @tamarabebefaith5395
    @tamarabebefaith5395 Рік тому +39

    Sijawai kuwa obsessed with songs 🔥 kama za Yammy ....she always delivers golden pieces ... proud of you from Kenya 🇰🇪

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      I’m the first like no matter what others say.

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      Glad that finally, I got to watch the original video

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      Such an inspirational video this is.

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      Just shared this video with my friends and family.

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      Everything about this video is simply perfect. Thank you

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому +2

    #31 🥰 mziki mzuri haujawai kuchuja wewe Utabaki kuwa juu na DUNIA itakutambua siku moja

  • @jaymouzkenya
    @jaymouzkenya 4 місяці тому +1

    Wimbo nzuri sana ,yani wimbo huu ni wimbo wakuishi.

  • @farida7645
    @farida7645 Рік тому +6

    Alilililiiiii tulosubiri kwahamu tujuzane💃💃💃💃💃😍❤️

  • @IIam_suzzy220
    @IIam_suzzy220 Рік тому +34

    She nailed it 😙💕🫶🏾

  • @BakaliJuliusi-op9eg
    @BakaliJuliusi-op9eg Рік тому +1

    huu wimbo nimeupenda sana tena sana shukrani zote kwa yammi from dar💕💕💖💖💖💖💞💞💞💞

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому +3

    #20. 📸Mziki ingekuwa ni chakula basi nyimbo zako wewe tungeshiba sana

  • @gmediatz4328
    @gmediatz4328 Рік тому +10

    Reviving a retro classic isn’t easy, but this song pulled it off so well.

  • @alphahappy3501
    @alphahappy3501 Рік тому +6

    I feel like am watching Ray C , she got some ray c’s vibes I so like her she’s so original ..all the best yammy 🥳

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому

    #11 Wewe Sio wa mchezo Ngoma kali sana video Kama Sio ya Tz hii

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому +2

    #5 🎬 Video kali sana Mziki mzuri kila kitu hujakosea wewe ni Zaid yao unajua sana

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Рік тому +55

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @shadrachmuatha
    @shadrachmuatha Рік тому +7

    Sauti nzuri ngoma kali.congratulations girl

  • @user-bm2vx1lg6r
    @user-bm2vx1lg6r Рік тому +1

    Kabisa nyoyo zetu zimEshikaman😮

  • @wycliffegetenga1719
    @wycliffegetenga1719 Рік тому +9

    This lady is someone else 💕❤️

  • @appleflavour
    @appleflavour Рік тому +5

    Mdada mzuri sauti nzuri wimbo mzuri your blessed🌹🕊

  • @asmaali1400
    @asmaali1400 Рік тому +11

    So loving yammi n her songs

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому +2

    #27. 📸 wanangu wa #Daressalaam hii ngoma vip kwa wale wenye Malove love

  • @Queenbaby254
    @Queenbaby254 Рік тому +4

    She is an upcoming artist just like me QN BABY,wish her the best of luck as she begins her new journey

  • @samahaahmed7915
    @samahaahmed7915 Рік тому +9

    who else is addicted to her the way I am??

  • @flavourtv6847
    @flavourtv6847 Рік тому +5

    #17. 🌸Sasa tumepata pakufanya maskio Yetu yawe active hii ngoma kali sana

  • @zungujoseph
    @zungujoseph Рік тому

    Wewe ni wa juu

  • @AbdullSwamad-hb2dp
    @AbdullSwamad-hb2dp Рік тому

    Bado Sana Dada unapotunga jaribu kuwenda na hisia za mtu km zuchu anacheza na hisia za watu ndomana wimbo unaurejea zaid bdo mtamm

  • @winifridajohn7390
    @winifridajohn7390 Рік тому +4

    I love you yammin. You are the best. I have loved you songs. Keep it up

  • @officialnandy5247
    @officialnandy5247 Рік тому +4

    Wow! The world needs more of these creators.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Рік тому

    Ahhhh kweli mambo!!!! mwanafunzi humshinda Mwalim... ..kidogo kidogo walokuwa wakisema anavaa nguo za heshima....🤔 huyo Mhhhh

  • @dullahmbabe-lv9if
    @dullahmbabe-lv9if Рік тому

    Balaaaaaa ziyoooooo

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 Рік тому +64

    Definition of Good music 🔥🎵❤️

  • @zainabmbonde5954
    @zainabmbonde5954 21 день тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤acha wewe yami

  • @chimbohuru-gh5xk
    @chimbohuru-gh5xk Рік тому +2

    #9 🚦 Nyimbo hii inakufanya unaeche kila kitu kuskiliza tu Dah wewe hatari sana

  • @escolaantoniogabriel4140
    @escolaantoniogabriel4140 Рік тому +4

    Safi kabisa ❤️🇲🇿

  • @user-mm1eu8tz8d
    @user-mm1eu8tz8d 3 місяці тому

    Tunapendezana❤🥰

  • @rizikiathuman
    @rizikiathuman Рік тому +3

    Much love from kenya🇰🇪🇰🇪

  • @neemamashauri1043
    @neemamashauri1043 Рік тому +23

    Tuliofundwa tukafundika tujuane mwaka wa tano huu kwenye ndoa na mme Wangu 🥰🥰 kupishana kauli kupo,,lakini tunapendezana 🥰😘

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc Рік тому

      Mwenzio nimekaanae miaka 10 kakimbilia ujana kasahau watoto

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      #17. 🌸Sasa tumepata pakufanya maskio Yetu yawe active hii ngoma kali sana

    • @flavourtv6847
      @flavourtv6847 Рік тому

      #9 🚦 Nyimbo hii inakufanya unaeche kila kitu kuskiliza tu Dah wewe hatari sana

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 Рік тому

      Mnambiwaga nn uko 😄 akichepuka chepuka

    • @mudymnyama-lx4vv
      @mudymnyama-lx4vv Рік тому

      I’m the first like no matter what others say.

  • @mogoimusa
    @mogoimusa Рік тому +5

    fantastic

  • @dullahmbabe-lv9if
    @dullahmbabe-lv9if Рік тому

    Nishidaaaaa

  • @georgekimambo2094
    @georgekimambo2094 Рік тому

    Daaaahhh

  • @nancymutanu
    @nancymutanu Рік тому +5

    Good job Yammy, keep it up

  • @flavourtv6847
    @flavourtv6847 Рік тому +6

    #19. 🎉Kama unapenda mziki mzuri weka like yako hapa

    • @nakujaleo-kr2gq
      @nakujaleo-kr2gq Рік тому

      #35 #Tunapendezana 🌸 bonge moja la Song kuwahi hutokea pongezi kwako msanii

    • @nakujaleo-kr2gq
      @nakujaleo-kr2gq Рік тому

      #35 #Tunapendezana 🌸 bonge moja la Song kuwahi hutokea pongezi kwako msanii

    • @nakujaleo-kr2gq
      @nakujaleo-kr2gq Рік тому

      #33 🤳 Kama nawaona wanangu wa #tiktok wakijiachia na hii ngoma

    • @nakujaleo-kr2gq
      @nakujaleo-kr2gq Рік тому

      On

    • @nakujaleo-kr2gq
      @nakujaleo-kr2gq Рік тому

      ua-cam.com/video/ipj-j6GQomw/v-deo.html

  • @user-mp4lf4ji8k
    @user-mp4lf4ji8k 11 місяців тому

    Yammi ushatoka❤❤❤ kimaisha

  • @Whiteshow_ke
    @Whiteshow_ke 10 місяців тому +3

    I listen Yammy’s music everyday day. Best compilation of voice, content and artistry. Much love from 🇰🇪

  • @mishisoza9879
    @mishisoza9879 Рік тому +5

    She gives me the courage of confronting one I love 😊 Insha'Allah you will go far✌🏽🦋🖤👌🏽

  • @irinewafula3990
    @irinewafula3990 Рік тому +7

    Nice song💞🔥

  • @floranyati-rl5uc
    @floranyati-rl5uc Рік тому

    Yeyeeee

  • @user-mp1bi8rs6w
    @user-mp1bi8rs6w Рік тому

    Usisikilize. Maneno yawapumbafu mwaya mungu yupo atakutetea utafika mbalii ...liziki kama ipo ipo tu japo itachwerea ❤❤❤❤❤ Nawapenda sana na dada etu nandy❤❤❤

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Рік тому +31

    Yammi isn't pregnant but she always delivers ♥️💯💯🔥🙌🔥🔥🔥... Tanzanians don't know how much we Kenyans love them 😭♥️♥️♥️♥️

    • @ashaali2853
      @ashaali2853 Рік тому +1

      She's talented yummy cute gal pata like yangu from 001

  • @jeannieblackpink450
    @jeannieblackpink450 Рік тому +48

    She’s magical🔥🔥❤

    • @javy_c1k
      @javy_c1k Рік тому

      True. Jeannie npitie u subscribe kindly

    • @shenaizmohamed4021
      @shenaizmohamed4021 Рік тому

      wooow motooo

    • @mirrabell2558
      @mirrabell2558 Рік тому

      #30. 🤷 Hata sjui wewe nikufananishe na Nani huna mpinzani unajua sanaaaaa

    • @mirrabell2558
      @mirrabell2558 Рік тому

      #29. 💥 Hii ngoma natuma kwa wale ma x wangu wote wa #255Arusha

    • @mirrabell2558
      @mirrabell2558 Рік тому

      #28 😎 Nakuvulia kofia Kuna Rafikiangu Anaitwa Khadija anakupenda shida Hana Smart phone 🤣

  • @Dirajumlapublishers
    @Dirajumlapublishers Рік тому

    Karibu tena

  • @EsterMarco-xf5qk
    @EsterMarco-xf5qk Рік тому

    Ukisililiza vzr hii ngoma kuna kasauti ka nandy kama kana jirudia mwanzoni kabisa sijui tyu niwaeleshaje lkn kama umeelewa gonga like twendeleee🙌🙌

  • @cynthiasharifu3345
    @cynthiasharifu3345 Рік тому +3

    Am so excited 🥰🫠💃🏽

  • @babynura6916
    @babynura6916 Рік тому +7

    Good job mumy keep going 💪👍🇰🇪

  • @MauwaMwadzilala-gn6xt
    @MauwaMwadzilala-gn6xt Рік тому

    Waweza tuombe mola ufikie malengo❤

  • @nakujaleo-kr2gq
    @nakujaleo-kr2gq Рік тому

    Balaa sana weww

  • @ceciliamaina2847
    @ceciliamaina2847 Рік тому +10

    so talented 🔥🔥🔥 keep going girl

  • @Fayvanny1
    @Fayvanny1 Рік тому +4

    My favorite song 🎉🎉❤

  • @isdorynyati-dg6oi
    @isdorynyati-dg6oi Рік тому

    Unajuaaa

  • @floranyati-rl5uc
    @floranyati-rl5uc Рік тому

    Uwiiiiiiii

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 Рік тому +3

    Waooooh 😍🥰❤️🔥🔥 🔥 so Amazing

  • @gwenackermann1978
    @gwenackermann1978 Рік тому +5

    Wow beautiful song ❤❤❤

  • @isdorynyati-dg6oi
    @isdorynyati-dg6oi Рік тому

    Uwiiiiiiiiii

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Рік тому

    Yamm sikuwa nakufahamu WEWE UNAJUWA

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Рік тому +3

    Lovely song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @toffeebriz
    @toffeebriz Рік тому +6

    this a dope ting 💯🔥🔥🔥🔥

  • @HameessZuber
    @HameessZuber 11 місяців тому

    Nakupend zana yammi na wimbo wak nakupend ilove so much💖💖💖💔💔💖💖

  • @mudymnyama-lx4vv
    @mudymnyama-lx4vv Рік тому

    Balaa sana

  • @planking6594
    @planking6594 Рік тому +22

    🔥🔥 nakupenda sana Yammy unaimba vizuri sauti nzuri utafika mbali

    • @trustprocess-xu1sq
      @trustprocess-xu1sq Рік тому

      #28 😎 Nakuvulia kofia Kuna Rafikiangu Anaitwa Khadija anakupenda shida Hana Smart phone 🤣

    • @trustprocess-xu1sq
      @trustprocess-xu1sq Рік тому

      #30. 🤷 Hata sjui wewe nikufananishe na Nani huna mpinzani unajua sanaaaaa

    • @trustprocess-xu1sq
      @trustprocess-xu1sq Рік тому

      #29. 💥 Hii ngoma natuma kwa wale ma x wangu wote wa #255Arusha

    • @trustprocess-xu1sq
      @trustprocess-xu1sq Рік тому

      #27. 📸 wanangu wa #Daressalaam hii ngoma vip kwa wale wenye Malove love

    • @trustprocess-xu1sq
      @trustprocess-xu1sq Рік тому

      #25. 🧑‍💻 nimekaa UA-cam mpaka nimesahau Kuna kula Dah unaweza kuachika kisa huu wimbo Mungu wangu watu wa #254kenya na 256tanzania weka like yako hapa Kama unapenda vitamu Good music ❤

  • @hellenbenny8913
    @hellenbenny8913 Рік тому +3

    Mwaaa so lovely and amazing 👏😍❤

  • @MrBrianOfficial22
    @MrBrianOfficial22 Рік тому +5

    We love you keep it up 🔥✍️❤️💯

  • @anethmsaki4600
    @anethmsaki4600 Рік тому +3

    Nani kaangalia hii video zaidi ya mara kumi

  • @6ix7ne
    @6ix7ne Рік тому

    Yammi ❤❤❤❤❤❤❤unajua

  • @dmankolo812
    @dmankolo812 Рік тому +4

    My favorite everytime and my motivate to.
    You music has got a strong message aki keep it up

  • @mariamabdulrahim1830
    @mariamabdulrahim1830 Рік тому +7

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @s2thek323
    @s2thek323 Рік тому

    10 over 10 Citizen Tv brought me here, this is a gem, Heko kwako Yammi, ngoma tamu sana

  • @ManaKiri-to7us
    @ManaKiri-to7us 11 місяців тому

    Yammy Unajuwa sana nimekubali

  • @ludotz3413
    @ludotz3413 Рік тому +4

    Go Yammi 🔥🔥🙌

  • @rjb31
    @rjb31 Рік тому +14

    Yammy Never disappoint 🔥🔥🔥
    #Yammi

  • @villa499
    @villa499 11 місяців тому

    Sauti mtoto umejaliwa na nyota ya uzuri..mungu kakupa mwili wa dania nakupenda sana

  • @dijahmbinyo7301
    @dijahmbinyo7301 Рік тому +3

    Killed 🔥🔥kiddo ❤❤❤❤❤

  • @bakarikandi7606
    @bakarikandi7606 Рік тому +4

    Good music 🇰🇪