MAGOMA ASHITAKIWA NA UONGOZI WA YANGA KUGHUSHI SAINI MAGOMA AOMBA WAKAFUTE KESI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • JUMA MAGOMA AOMBA YANGA WAKAFUTE KESI WALIOMFUNGULIA MAHAKAMA KUHUSU KUGHUSHI SAINI

КОМЕНТАРІ • 74

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +9

    Mzee we msanii sana umeanzaa Kuomba msamaa kijanja utaozea jela Mzee wangu huo umri ushakutupa sio mtu wa mikesi

  • @omarikipingu8299
    @omarikipingu8299 2 місяці тому

    Mzee Magoma, Net work ziro

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 2 місяці тому +7

    Mwandishi na huyu mzee wote network za mirembe

  • @shamilamurady8520
    @shamilamurady8520 2 місяці тому

    Asiachiwe huyo sheria imuwajibishe tu, Ana mdomo sana 😅😅😅😅

  • @LumumbaFarhani
    @LumumbaFarhani 2 місяці тому +5

    Network 0 kasahau ni yeye alianza mahakamani!! 😂😂😂

  • @petrooverton6643
    @petrooverton6643 2 місяці тому +1

    nadhani waandishi wetu waki tanzania hawana kazi za kufanya kweli

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 місяці тому

      Kabisa Awana KAZI za kufanya waoji ata mazichi

    • @ommymatumla8986
      @ommymatumla8986 2 місяці тому

      Mwandishi fala sana hata kuuliza maswali hujui...

  • @JoelMwakabanga-wk6zz
    @JoelMwakabanga-wk6zz 2 місяці тому

    Sio mzim huyo ana shida

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 2 місяці тому

    Mwandishi noma sana 😂😂

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 2 місяці тому

    Huyo mzee Magoma ana mavi kichwani, bora atafutiwe mume mapema😂😂😂

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 місяці тому

    Hakuna kukaa mezani hapa ngoja ukashangiliwe ukonga/keko

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 2 місяці тому

    Jmn mwenye timu mbona haendi klabuni, aje tumpe timu. Kila Nabii na zama zake, Mzee Magoma zama zako zimeisha jitambue

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 місяці тому +1

    Magoma muongo sana hao wengine walikuwa wapi kipindi chote walichokuwa wanatembeza bakuli

  • @ashahamza2822
    @ashahamza2822 2 місяці тому +1

    Mdomo wako umekupoza sasa unahaha

  • @moffattambwe
    @moffattambwe 2 місяці тому

    Yani kuna waandishi sijui huwa awana maswali wapo kinazi tu mpk wanakera kuna maswali ya msingi ya kumuuliza wanauliza kinazi tu

  • @stephanobhoke5268
    @stephanobhoke5268 2 місяці тому

    magoma kavaa jezi mbili ya ndani msim uliopita ya nje msimu huu hatari sana

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 2 місяці тому +2

    Hizo kadi umegushi kama ulivyogushi sahihi ya Mama Karume.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 місяці тому

    Mimi ni Simba damu kabisa ila huyu magoma akili zake ni timamu kweli?

  • @omarikipingu8299
    @omarikipingu8299 2 місяці тому +1

    Koti alilolivaa mzee Magoma kwenye interview Lina mistari ya kijani, anapo dai jezi mpya Zina rangi nyeupe, mbona yeye kaivaa rangi nyeupe

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 2 місяці тому

    Kiki tuuuu

  • @omarikipingu8299
    @omarikipingu8299 2 місяці тому

    Anatishia tu, mdomo tu huo. Hana kurujuan wala kurumwezian

  • @NduwimanaMoussa-bu3ic
    @NduwimanaMoussa-bu3ic 2 місяці тому

    Wekica.nini.tulishakujuwa.acamahakama.ifanye.kaziyake..wewe.utatupa.rahayenye.tunayo.yamakombe.kwanza.ufungwe.hunamana.mtimu.yawanainchi.

  • @AbdallahShekhan-qx3kp
    @AbdallahShekhan-qx3kp 2 місяці тому

    Kurujuani ndio nn ili zee alikusoma sasa tunamsomea dua la kumtia uchizi na hiyo kofia ataivalia puani aache uchizi ss machizi kuliko yeye.

  • @natamihambo8077
    @natamihambo8077 2 місяці тому +1

    Mtangazaji kipo anachokitafuta. Maswali ya kichonganishiiiii.

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 2 місяці тому +1

    Wacha uhongo ww ulisoma wapi kurjuani n nn kama s uhongo hakuna katika tiba neno Hilo Wala vitabu vya falaki navijua vyote hamna

  • @abrahammwamlomba8922
    @abrahammwamlomba8922 2 місяці тому +1

    Waache wapige Hela mradi tunashinda

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 2 місяці тому

    Mzee omba radhi yaishe , yanga taasisi kubwa ,,,,tambua ulipokosea, ili mambo yaishe....ikitokea yanga ikafungiw na fifa ,kumbuka ww ndio chanzo..ivyo hakuna mwanayanga atakayekuelewa...

  • @IddyMzuri
    @IddyMzuri 2 місяці тому

    MZEE MAGOMA KASEMA ETI KAMA HUNA KADI YA KLINIKI WW SIO MWANACHAMA WA YANGA,

  • @jamesdaud3054
    @jamesdaud3054 2 місяці тому +1

    Mzee utachemka tu umeyatimba

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 місяці тому

    Mzee magoma Upo sahihi kabisa

  • @mapundadaudi2911
    @mapundadaudi2911 2 місяці тому +1

    Shida yawe mzee ni kutaka kuhoji vitu nje ya utaratibu,waulize wawakikishi wako wa AGM ,kwani yanga inawatu wangapi,je? Kunatasisi gani ambayo haina changamoto? Hata familia zetu zinachangamoto zinazotofautiana.lkn kila nikikusikiliza unajadili watumishi na viongzi kula,we omba nafasi @ Ajira kama D mbili unazo.

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 2 місяці тому

    Huyo Mzee mpuuzi pamoja na kujifanya mchawi. Mchawi huwa hajitangazi. Aendelee na hiyo kurujuani yake. Shenzi kabisa.

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge 2 місяці тому

    jalibu kupeleka hapo utawajua wanayanga akina nani

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega 2 місяці тому

    Atakwenda FIFA kama nani?yeye sio mwanachama wa Yanga,TFF wala FIFA......

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 2 місяці тому

    MZEE Magoma ameva kama ki C.E.O.

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 2 місяці тому +1

    SUBIRI SHERIA IFUATE MKONDO WAKE WEWE SIUNAJUWA SHERIA??SUALA LA KUKAA PAMOJA NA YANGA SAHAU KWASABABU YANGA HAWAKUTAMBUI KAZI UNAYO MZEE NA KESI ILIKUWA HAIWAHUSU ILIKUWAJE HUKUMU IANGUKIE KWA RAIS WA YANGA NA WEWE UKAKAA KIMYA??

  • @peterfelix489
    @peterfelix489 2 місяці тому

    Huyu mzee ukimsikiriza unajua kabisa chizi ana laana za wazee wake

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 2 місяці тому

    MWANDISHI WA HABARI HAJUI NINI ANAFANYA .

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 2 місяці тому

    Hivi huyu Mzee hasa hoja yake ni nn, mbona kama mwehu

  • @HASSANMKUYASALUM-wu4ey
    @HASSANMKUYASALUM-wu4ey 2 місяці тому

    MAGOMA VAA JEZI KWA MIJIBU WA NAMBA YAKO JEE YAKO UNAUJUWA
    MAANA HUELEWEKI MAANA MARA ULINZI WA MALI INJINIA. AONDOKE
    HEBU CHUNGA HESHIMA YAKO

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 2 місяці тому

    Wewe kumbe hasadi zakusumbua njaa pia

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx 2 місяці тому

    Sasa kama ulimpa nn sasa unaongea kwenye media

  • @beatricemhongole8852
    @beatricemhongole8852 2 місяці тому

    Kenge wewe unaomba watoke Mahakamani.
    Subili unywe shubiri

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 2 місяці тому

    Yanga haitatokoea,we mzee hv unakunywa pombe gani?

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx 2 місяці тому

    Wewe mwadish ni walewale

  • @AyoubGeorge-n6o
    @AyoubGeorge-n6o 2 місяці тому

    We Mzee katafute mashamba bwana mbona unakua kama mjinga mjinga ,

  • @AmeMahmoud
    @AmeMahmoud 2 місяці тому

    Magoma ata wewe apo unatengeneza pesa

  • @amoursuleiman9773
    @amoursuleiman9773 2 місяці тому

    chizi hili jizee

  • @ramadhanimambya6569
    @ramadhanimambya6569 2 місяці тому +1

    Ww nani alikukabidhi yanga wewe???

  • @omarikipingu8299
    @omarikipingu8299 2 місяці тому

    Mbona wewe ulienda mahakamani?. Acha Yanga iende mahakamani. We pumba TU.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 місяці тому +1

    We Magoma unasemaje hapo wewe unawajuwa walioanzisha Yanga wewe au unaongea tu unasema walioanzisha walikuwa hawana elimu hebu fuatilia historia kwanza harafu uongee. Hebu mtume mtu akakununulie kitabu historia ya Yanga kisha uongee

  • @MichaelSangula
    @MichaelSangula 2 місяці тому

    Wewe mzee Kafie huko ulifikiri GSM mnafanana nae huwezi kuongoza taasisi kubwa kama yanga•uhuru wenyewe ulitafutwa na wasio na eliminate lakini hivi sasa inaongozwa na wasomi na wewe mwandishi usiwe kidhabidhabina acha maswali ya uchochezi

  • @godsingu7921
    @godsingu7921 2 місяці тому

    Huyu mzee chetu na chefu kabisa hata akili hana aisee.

  • @yusuphpazzy4880
    @yusuphpazzy4880 2 місяці тому

    Unadai wewe ni yanga damu halafu unasema ukichoka utaipeleka faili fifa je utapata faida Gani yanga ikifungiwa

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 2 місяці тому

    Kwan iyo mic shida ni nn

  • @amiliMwinyi
    @amiliMwinyi 2 місяці тому +1

    Wewe mbumbu kumbe unatamani tuludi kwenye bakuli

  • @abrahammwamlomba8922
    @abrahammwamlomba8922 2 місяці тому

    Acha mambo ya kizamani hao na waajiliwa

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 2 місяці тому

    Huyu lazima akanyee ndooo

  • @twaibujuma5023
    @twaibujuma5023 2 місяці тому

    Ila hii kurjuani asee hio dua sijui hata ipo wp

  • @ramadhanimambya6569
    @ramadhanimambya6569 2 місяці тому

    Mwandishi mpuuzi huna kazi ya kufanya kumuhoji mwehu.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 2 місяці тому

    Huyu mwuandishi mjinga kama magoma, bara letu siyo masikini, huyo anayemhoji mshirika wa simba achana nae.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Wewe tulia tu umegushi utafungwa Mzee ,unadanganya tukuachie yanga,yanga Haina ubaguzi wewe mtoto anaweza kuwa yanga baba Simba hii ni burudani tu

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 місяці тому

    Huyu mwandishi anaitafutia TV yake wanaiangalia

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    We mwandishi ni mpumbavu sana jezi zinapoteza asili yake kwani hakuna njano na kijani wapuuzi nyie na huyo Mzee

  • @HerminaBenedict
    @HerminaBenedict 2 місяці тому

    Ww mtangazaji na huyo magoma wako netwek 0 unakosa wakuhoji?unaona umejipata

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 місяці тому

    Wewe atausemeje yanga hawakutaki nyeupe haivaliwi nasimba pekeake mzeee wewe kuwa na akili atasimba wanaruhusiwa kuvaa njano yanga itabaki kuwayanga tu nasiojezi jezi zayanga nzuri namashabiki wa ukweli wote tumezielewa wewe shabiki maandazi kwanza siomwanachama wa yanga wewe tokaapo

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 2 місяці тому

    Hunalolote wewe cmeanza sasa unamalizwa unawadanganya wasiojua kurjuwani kurjuani fanya tuone

  • @FaridsalehBinsadun
    @FaridsalehBinsadun 2 місяці тому

    nyinyi kweli nimeamini nyinyi utoopolo mzee yuko sawa lakini kutokana nyinyi ni chura mnapinga lakini iko siku mtamkubuka nyinyi mataira

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 місяці тому

      Mchukueni kaka akaimu nafasi ya Ngungu kama anawafaa😀😀😀😀

  • @AmeMahmoud
    @AmeMahmoud 2 місяці тому

    Magoma ata wewe apo unatengeneza pesa