Upako na ushawishi alionao Mh.Heche ni mkubwa mno na siku akiwa M/kiti wa chama siku hiyo atavuma watu na chama kitakuwa na wanachama wengi wengi wengi sana
Magufuli alichangia sana kuua demokrasia yaani angeacha kuwe na demokrasia huru hadi sasa upinzani ungekuwa mbali sana na hivyo nchi yetu ingekuwa imara sana.
Eche umejaliwa kipaji molla akulinde daima❤❤❤❤❤✨️✨️✨️
Heche mungu akubariki sana kwa kutoa misaada mikubwa kwa watu kama mimi kwenda chuon tena mimi na mke wangu mungu akubariki sana mungu akusaidie.
Heche mungu akurinde kwakusema ukwer wamambo yanchi hii makamanda tuko pamoja
Tarime mmeshindikana naona wakenya wamewaambukiza hii spirit
❤❤❤kamanda Heche wewe unabaya ❤❤❤❤kamanda ❤❤❤❤
Point this is the voice of leadership into tanzania people
Tarime ni Tanzania nyingine
Man of the people:HECHE
BRAVO KOMREDI HECHE....VIVA CHADEMA!
Umepotea sana mkuu heche
Chama Cha watu wengi Bila posho
Jmn maisha magum ccm ndio chanzo kiukwel tumechoka kuongozw na wez miaka yote hiyo 61 ccm c mpumzike jmn wengine waongoze
Peoples power ✌️✌️✌️✌️
Huyu ndiye Heche kamanda halisi wa Chadema asiye na BEI M/kiti aje
Upako na ushawishi alionao Mh.Heche ni mkubwa mno na siku akiwa M/kiti wa chama siku hiyo atavuma watu na chama kitakuwa na wanachama wengi wengi wengi sana
Heche tupo pamoja kamanda
Wakurya kiboko,hata polisi wamesepa siwaoni
Kazini kwa Waitara kuna kazi tena ngumu
tanganyika yote tungekuwa kama wakurya katiba mpya tungeshapata
😂😂
Kweli kabisa ndugu
@@PeterJonathan-c8k kweli kabisa
Mh. Heche umeshinda na mpaka kushindikana kbsa
Waitara kazi anayo
Washa moto mburula akimbie
Heche uko wapi mkuuu
Sitokaa niipende CCM mbaka kufa kwangu
Waitara kavamiwa nyumbani kwake
Wamemtembelea😅😅😅
Waitara must go
Mkwann in ccm aitakiuchaguz wahaki inaogopannn in alibu siku itendehaki Ione inaogopannn
Sasa waitara atapita wap 😂😂😂
heche Ni mwisho
Makamanda tupambane
Polisi wa huku wa na uelewa mkubwa sana ndo mana hawaangaiki na ukamataji wa wapinzani. Nadhani nao wanataka mageuzi.
Yani hayupo mkulya hayupo anae ipenda ccm
Simba wa mkoa wa mara
Inzi wamedhaamza kujiandikisha muda mrefu sana
Pipooooos pawaaaaa
Like faza
Magufuli alichangia sana kuua demokrasia yaani angeacha kuwe na demokrasia huru hadi sasa upinzani ungekuwa mbali sana na hivyo nchi yetu ingekuwa imara sana.
Tzania haina upinzani,ila ccm ina mashemeji
Hakuna UPINZANI Tanzania Mzee. Msimlaumu Magu
Magufuri aliipenda sana hii nchi ili aijenge na watu wafaidi matunda yao, ila wachache ndio waliodhulumu uhai wake😢
@@JocelyneMary wala hakuipenda.Alikuwa mbinafsi na mpenda sifa za kijinga.
Uko sahihi sana.Magufuli ndio katuharibia nchi na ndio maana Mungu kamuondoa mapema.
Saivi 2025 heche ndie nuru yatarime
CCM imeshachoka bc tu
Huko ccm hawana haki bora wangekaa tu majumbani kwao wajinga hawo