NJIA YA RELI ILVYOUNGANISHWA NA MELI ZA MIZIGO MWANZA SASA NI MOJA KWA MOJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2019

КОМЕНТАРІ • 13

  • @asiathally666
    @asiathally666 5 років тому +2

    Nakupenda mjomba magufuli Allah akupe maisha marefu yenye furaha

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 років тому +11

    JPM Ni Nomaaa jaman dah sijawahi kuona kiongozi muadilifu kama huyu Africa nzima viongozi mujifunze kutumikia wananchi wenu kama JPM Mungu akulinde Sana'a My President

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому +2

    Asante san viongozi wetu wote mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 5 років тому +2

    Tatizo meli za kizamani hazina uhakika Mara unasikia majanga kwanza tupate meli mpya siyo hizo za mkoloni ukiwa usafiri mzuri wateja watakuja ila meli hizo watu watafata hayo ma lori

  • @kingjafu7759
    @kingjafu7759 5 років тому

    Nashangaa watu wanaomsifia Magufuli wakati hata hajatajwa hapo nahio meli ilikuwepo Kitambo kabla hata ya magu

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 років тому +1

    J. P.m nikwereee bbk

  • @gaykazimoto1419
    @gaykazimoto1419 5 років тому

    Usiseme waachane na maroli mbona wa tz Kiswahili shida roli usafili meri usafili mameliyenyeweyakizamani acha kuponda kazizawatu

  • @shukrankifyasi1500
    @shukrankifyasi1500 5 років тому

    nc

  • @issakawanya648
    @issakawanya648 5 років тому +1

    Ipo myaka yote mwanza

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 5 років тому

      USA kwenyewe mizigo inasafirishwa na malori pia itakuwa sisi tusio na miundo mbinu imara ya reli?!