Duh.....hadi nalia aisee.Inauma mno Ila napenda mashairi yanayoliza kama hivi uwa yananipa hisia mno,nakumbuka nikiwa shule niliimba shairi kuhusu kipofu liliza wakaguzi kuanzia Wilayani,Mkoani mpaka Kitaifa,lilikamata namba moja mwanzo mwisho.Hongera mkuu nishajiunga kwenye channel yako Mungu azidi kukupa nguvu🙏🙏🙏
@@hamisimwagarashi9501 Sisomi Ila nikipata nafasi nasoma mpaka bc napenda sana.Kusoma kwangu mashairi hadi waleo mwalimu wangu wa Kiswahili ananipia usia wa kuendeleza kipaji Ila ndo hivyo.
Amazing kipaji unacho sheikh wangu
Mashallah brother shairi zuri la uzuni sichoki kuliskiza na kulia tu Allah awalaze mahala walipo jichagulia🤲🤲😭😭
Pole usilieee Dadaa
Swadakta.....my Heeeero.
Garashi a.k.a Mwangaza🔥💥
Kaka Geoseph mwarocha upo?
Masha Allah ebwana Hamisi Mwagarashi nimekupenda tangu nikiwa mdogo,,,,,,,ila kwa hili naliskiza Mara kwa Mara nimesubscribe na ku like
Alhamdulillah.
Shukran sana kakaangu Nazir Samboja Kwa support yako Allah akulipe inshaAllah.
Alhamdulillah.
Shukran sana kakaangu Nazir Samboja Kwa support yako Allah akulipe inshaAllah.
Nakukubali babu, my favourite poet
Shukran babuuuu
Fundi 👏🏾 👏🏾 shairi nimegusa hisia. Mungu awarehemu
Aamiin
Duh.....hadi nalia aisee.Inauma mno Ila napenda mashairi yanayoliza kama hivi uwa yananipa hisia mno,nakumbuka nikiwa shule niliimba shairi kuhusu kipofu liliza wakaguzi kuanzia Wilayani,Mkoani mpaka Kitaifa,lilikamata namba moja mwanzo mwisho.Hongera mkuu nishajiunga kwenye channel yako Mungu azidi kukupa nguvu🙏🙏🙏
Pole Sana rafikiangu
Ila nikuulize mpaka saahizi wasoma mashairi au uliyabwaga?
Aaamiin Aamiin Aaamiin inshaAllah.nawe pia Allah AZIDI kukupata nguvu aifungue milango yetu rizki.Karibu Sana sister
@@hamisimwagarashi9501 Sisomi Ila nikipata nafasi nasoma mpaka bc napenda sana.Kusoma kwangu mashairi hadi waleo mwalimu wangu wa Kiswahili ananipia usia wa kuendeleza kipaji Ila ndo hivyo.
@@hamisimwagarashi9501 🙏🙏🙏
Yaarabbi tunusuru! Huzuni iso kifani kweli.
Hapa nilipo nalia jamani!
Great talent brother 👏 🙌
Thank you very much my friend
Aisee kweli ni huzuni
Sote tulipata huzuni inaniliza sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
ISHALLAH MUNGU awarehemu na awajalie palipo na wema peponi 😭😭🤲
Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.
Shukran Sana sister Joice.
Maashallah ❤❤❤
Umesoma na hisia adi umeniliza😭😭
Garashiii santhaaaaaa mkuu wangu
😭😭😭Allah alikuwa ameshaandika kifo
Kweli kabisa
Mashallah mashallah 😭
Dah!mwagarashi msiba huo uliniumiza na kuniliza 😂🤣
Hadi sasa
Ituliza sote ndugu yangu pole
Natamani niwe mwanafunzi wako ila mm nipo tanzania nafatilia sana kazizako
Shukran rafikiangu nitafika tuh
0714741371 hamisi mwagarashi
😂nawakae pole mungu atawapa subra
@@WembeJr Aamiin Aamiin Aamiin
Hongera Kaka...
Shukran rafikiangu Mungu Akulipe kwa kuni support
@@hamisimwagarashi9501 karibu Kaka .... Mungu akuzidishie hekima na maarifa
Amin
Allah akulinde mashaallah
Aamiin Aamiin Aamiin
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun pumzika kwa amani mama mariam na mtoto amanda very painful story😭😭😭😭😭😭
Aamiin
Inasikitsha wallah
Pole baiby
Unatosha broo
Alhamdulillah.
Shukran Sana Kaka
Hengera sana
Shukran Sana kaka.
Mungu atuongezee maarifa inshaallah
Mashaallah
Alhamdulillah.
SHUKRAN
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Niambie Dadaangu Sharon Ondolo.....hili shairi umelisikia Je?
Shukran Sana Dadaangu Kwa support yako Mungu akulipe.
Niambie Dadaangu Sharon Ondolo.....hili shairi umelisikia Je?
Shukran Sana Dadaangu Kwa support yako Mungu akulipe.
Niambie Dadaangu Sharon Ondolo.....hili shairi umelisikia Je?
Kweli ilikua huzuni hatutasahau 😭😭😭
Kabisaaa
Hakika limenigusa hili shairi
Pole Sana kaka...Ila pia nashukuru Kwa kuni support
Shukran Sana rafikiangu
Nimelia😭😭😭😭😭😭😭
Pole Sana Dadaangu Sheila ilmail....Ila jikazee
Tulipatwa na huzuni
Hakika
Wah,,,chesu
Kaka Jeremiah kimori upoo?
😭😭😭😭😭😭😭
Niambie Da Rahma
@@hamisimwagarashi9501 safi mungu akuzidishe kipaji kinawirike amin aki mm nakesha hapa u tube kwa mashahiri yako matamu🙏🙏❤❤
@@rahmasalim5252 alhamdulillah nafurahi sana kusikia hivyo dadaangu mzuri.....ila basi usisahau kuswali.
😭😭😭
Pole Dadaangu Muna usilie
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole rafikiangu
Garashiiiiii
Kuchemngbwaaaa...
Uzuni mtupu,mola awaleza mahali pema poni
Aamiin Aamiin Aamiin
Terrible accident 😢
MashaAllah tabaraqllah.
Thanks very much
Shairi kuntu dady, , , nakupenda
Nakupenda Pia mwanangu.Allaah akulinde mwanangu akuzidishie hekma elimu na maarifa Zaidi Na Zaidi inshaAllah
@@hamisimwagarashi9501 Amiin inshaAllah
😭😭😭