WOLPER KASIMULIA MWANAMKE ALIYEVAA HIJAB ALIVYOMUIBIA HELA DUKANI KWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #Wolper

КОМЕНТАРІ • 407

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 роки тому +150

    Yoyote anaevaa jalbab kwa nia mbaya ili kuwaharibia waislamu sifa inshaa,Allah mwenyezimungu atamuumbua.

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 4 роки тому +9

    Wewe samehe, kisha Mwachie Mungu mtoa riziki .

  • @racjidiyssmdias7597
    @racjidiyssmdias7597 4 роки тому +1

    Hongera Dada kwa kumsikza mamako,hapo tayari mungu anakuandalia mema. kaza moyo utapata zaidi ya hiyo uloipoteza Fanya subra basis.Hongera sana

  • @Doomy-ef4ez
    @Doomy-ef4ez 4 роки тому +2

    Muachiye mungu atakulipia

  • @ummukulthumdaffi7185
    @ummukulthumdaffi7185 4 роки тому +66

    Pole dada ila Msiwahukumu wanaovaa hijab maana wengi wao wanavaa kwa kulichafua na kuichafua dini ionekane mbaya.... Unakuta mtu c muislam ila yuwapenda kuvaa hivyo, maana ni vazi la heshima kwa kila mwanamke , na mwanamke anapaswa kuvaa nguo yaheshima ,,,na uislam siyo kanzu na baibui ila ni imani ya mtu.....pia niwaombee binadam wenzangu kama mim., tuwe na roho ya huruma na kumuogopa Mungu....kumbuka ukimdhulumu mwenzako leo ,kesho mungu atakufanya ukapoteza zaidi ya kile ulichodhulumu na dua ya aliyedhulumiwa inajibiwa haraka sana na Mwenyezi Mungu....
    Mnisamehe kama nimeteleza kwa maneno yangu maana mkamilifu ni Allah..

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 4 роки тому +2

      nc vzur

    • @alibinali_
      @alibinali_ 4 роки тому +1

      Ummukulthum Daffi kweli ata mimi sikupenda hilo shwala kabisa kwa sababu uislam sio kanzu wala baibui ni imani ya mtu so wawache kuongea vibaya sio sawa na pia kusema kweli watu wingi wanachukia sana Muslim huo ni kweli

    • @ummukulthumdaffi7185
      @ummukulthumdaffi7185 4 роки тому +1

      @@alibinali_ Allah awasamehe na awaongoze vyema ktk njia iliyonyooka,,, na aniongoze pia mim na wew na waislam kwa ujumla

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 4 роки тому +1

      @@ummukulthumdaffi7185 Allahahumah Amiiiiiin inshaaallah 👏

    • @vanessamagezi6986
      @vanessamagezi6986 4 роки тому +2

      Una maneno ya bushra mpaka umenifurahisha bi mdada Ummukulthum.

  • @mamasamana9073
    @mamasamana9073 4 роки тому +3

    I like your life style

  • @edsoniminani7061
    @edsoniminani7061 4 роки тому +3

    Daaah pole sanaa dada Mimi mwenyewe Alikuja kwangu amevaa hivo hivo Dukani kwangu akawa anauliza Bei za simu baadae akadokoa simu Ila nikamuona ile ANATAKA kuondoka nikamunasa aise nilitaka kumuamshia Nzi sema nikamsamehe

    • @alicekwizera7334
      @alicekwizera7334 4 роки тому

      Edsoni Minani mungu akibaliki dada utupati adresse yakwenye tutatowa izogahuni

  • @narasaarashid5546
    @narasaarashid5546 4 роки тому +13

    Hawa watu wanawaharibiaa wenzao kuna wanaovaa kwa kujistiri nakuna wanaovaa kwa wizii pole sana dada

  • @tulahelisha4563
    @tulahelisha4563 4 роки тому +1

    In love with that sweet actress

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +11

    Pole utapata zaidi ya hizo in sha Allah

  • @queenphilanda5355
    @queenphilanda5355 4 роки тому

    Mungu atakulipa Dada Jackie

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 4 роки тому +1

    Pole sana dada,Allah atakupa zaid na ulichoibiwa inshaaAllah.
    Bei za magauni dada nimelipenda hilo la green

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +1

    Wallah kitu cha kuiba hakina Barka kabisa, Allah atakulipa wolper wetu, tena kikubwa zaidi ya hiki ulichoibiwa.

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 4 роки тому +1

    Allah atamlaani huyu dada licha kuiba anaweza kusamehewa lkn katudhalilishia vazi la kheshm kbs Subhana llah

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 4 роки тому +20

    Ila vitu vya kuiba mwisho wa siku vinatesa sana

  • @zainabudaudi4169
    @zainabudaudi4169 4 роки тому +6

    Poleee sana my wangu

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 4 роки тому

    Pole sana dada. Ni kweli wanaharibu nguo

  • @zainababdul3019
    @zainababdul3019 4 роки тому

    Allah atamtosha kachukua kwa haraka kakuachia baraka, ila sio wote wanaovaa stara ni waislamu

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому +5

    Hahahah nimekuonea huruma maskeen but umenichekesha sana dada jack pole sana maa

  • @oddolizermedia5890
    @oddolizermedia5890 4 роки тому +13

    Huyo mwizi saizi atakuwa kanunua bando kupitia hiyo hela aloiba ndo yuko anaku zoom tuu😁😁wezi bhna

  • @durkasmaghuwa2201
    @durkasmaghuwa2201 4 роки тому

    Naitaji kitenge wolper nitakipata vip nko kenya au unieleze nikija tanzania duka lako liko semu gani napenda vitenge vyako vyavutia sana mungu akubariki kazi ya mikono yako

  • @mwajumayunus419
    @mwajumayunus419 4 роки тому +9

    Yaani nampenda huyu dada kumbe mchakarijaj

  • @jamilaathumani9004
    @jamilaathumani9004 4 роки тому +3

    pole jaki Mungu atakuludishia ila wewe dada msafi sana

  • @fidesbenard2836
    @fidesbenard2836 4 роки тому

    Pole jakclin Mungu atakulipa kwa njia nyingine pole sana

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 4 роки тому +1

    Ilo Vazi huwa halinivutiiii Maana Mambo Yake Sio Mazuriii

    • @africa7479
      @africa7479 4 роки тому

      Kwan wanaovaa vimini hawaibi? Tatizo sio vaz ni mtu mwenyew

  • @davinagodfrey6240
    @davinagodfrey6240 4 роки тому +1

    Pole sana my dear....mimi yalishanikuta, nikaibiwa pesa nikiwa salon sinza kumekucha...na mdada aliyeniibia alikua amevaa stara jamani, yaani kavaa baibui na nikab ukimuona huwezi hata kumuhofia...Yule dada sura yake haijanitoka mpaka leo maana alijua kuniliza...wanadhalilisha sana hili vazi, Mungu atawahukumu..

    • @iktharsalum4797
      @iktharsalum4797 4 роки тому +1

      Davina Godfrey Amiin wanafanya watu wote wanajistiri wasiaminike

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому

    True kabsaaaa, Wanaharibu Wanalipea hili Vazi Sifa Mbaya,Pole Sana J.Wolper.

  • @elimidakashumba2422
    @elimidakashumba2422 4 роки тому

    Pole Sana, sisi wakazi wa makoka kuna wizi wa simu mpaka chumbani usiku wanazichota hata Kama simu ziko wapi. Nashauri watu kuwa Malini kwa Sasa watu wanajitoa muhanga hawaogopi. Tushirikiane tuwakamate.

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 4 роки тому

    Pole dada kweli inauma sana mungu atamlaani tuu

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +6

    Wolper❤🌹

  • @mwanahawalyuba8639
    @mwanahawalyuba8639 4 роки тому +1

    Pole wolper wangu

  • @tulahelisha4563
    @tulahelisha4563 4 роки тому

    Pole mumy ila jmn mnaovaa hijabu kwa maana mbaya kumbukeni Mungu yupo na anaona..
    Piga kaz wolper😍💪💝

  • @fatmakakuni8915
    @fatmakakuni8915 4 роки тому +1

    Pole Jack utapa nyingi kuliko ulichoibiwa inshaallaah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому +1

    Tatizo c vyazi wtu wanaharibu tu muachie mungu pole da

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 4 роки тому

    Pole sana mpenzi unavyojituma MTU anaiba pole sana Mungu atakulipia

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 4 роки тому

    Daah Ila mwizi ama tapeli ni watu wabaya sana wanakrdisha kabisa nyuma pole dada mwenyez mungu atukpa na zaidi nac pia tumelizwa but all in all tumeacha mungu coz malipo ni hapa hapa duniani

  • @latefalatefa5594
    @latefalatefa5594 4 роки тому

    Daah pole sana Dada nikilud nitakuja kununua vitenge nimeviona vizuri sana

  • @sekelamwakyelu8577
    @sekelamwakyelu8577 4 роки тому

    Pole sana mpz,,,,,umeongea kwa uchungu sana,,,,kwanza huenda mwanaume hyo,,mjin hapo dear,,,

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 роки тому +8

    Yaan nilisoma na mmoja anavaa ivo na maranyingi alitumia wakat wa mitihan tu na alikuwa anakamatwa..kwaajil ya kuficha vibuti.
    Lakin sio wote wako ivo.wachache wanawaharibia wengine.

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 4 роки тому +10

    Duuh na Corona hii jmn lilaaniwe ilo jizi

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 роки тому +4

    I'm coming to inshallah

  • @salmakiame9864
    @salmakiame9864 4 роки тому

    amelizalilisha vaz abalo linaheshima kubwa mungu ampe hukumu kwa kuzalilisha vaz mwezi huu mtukufu pole sana dda j.

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 4 роки тому

    Pole sana dada yanguu mungu atakupa saidi yahiyoo

  • @blandinadambala6887
    @blandinadambala6887 4 роки тому

    Mwachiye mungu wolper

  • @magretnyadzua2281
    @magretnyadzua2281 4 роки тому

    Pole sana mungu amuadhibu atakavyo

  • @mwajumarashidi2983
    @mwajumarashidi2983 4 роки тому +1

    Pole Wolper wangu

  • @dotomzungu7855
    @dotomzungu7855 4 роки тому

    Daaah pole dear una imani sana

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 4 роки тому +1

    Ulinzi wa mali zako ni kusali na kutoa sadaka zote yaani sadaka ya hiari,zaka au kikumi na sadaka ya shukrani pia uwe mwaminifu kwa Mungu wako kama hufanyi hivo basi muda mwingine pesa na mali zinapotea kwa njia za ajabu

  • @angelmwandata2233
    @angelmwandata2233 4 роки тому +4

    Pole da jack umeongea kwa uchungu mweeeh!😭😭mungu mwema kila siku🙏🏼

  • @princesstriza1589
    @princesstriza1589 4 роки тому

    Napenda milard ayo sana...habari safi na interview nzuri

  • @roanmakero2309
    @roanmakero2309 4 роки тому

    Dada pole sana mpaka happy analaana ya kutosha ,endelea kupambana bado hajakupunguzia kitu.ila kuwa mwangalifu zaidi punguza uzembe.

  • @hawa4968
    @hawa4968 4 роки тому

    Uchaa mungu upo moyon na mwislam mzur niyuule waislam weziwe watakao salamik na mkono wake na mdomo wake na muda mwengin MTU anavaa nguo za heshima ili aibe tuuu.

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 роки тому +3

    Pole sana dada jack

  • @fatmakakuni8915
    @fatmakakuni8915 4 роки тому

    Allah atamuumbua kwakweli maana katuharibia sisi waislamu na pengine hata sio muislamu

  • @zaraannabell3195
    @zaraannabell3195 4 роки тому

    Pole da jacky Mungu atakulipia tuu

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Pole sana Wolper, kumbuka kutoa sadaka

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 роки тому +1

    da jack huwaga,nakupenda,bureeee

  • @mejumaahamisi1785
    @mejumaahamisi1785 4 роки тому

    Wolper waeza safirisha from tz to kenya

  • @yusraabdulla4947
    @yusraabdulla4947 4 роки тому

    Yan madera ni mazur sanaaa nimependa😘😘😘

  • @amandajackson9283
    @amandajackson9283 4 роки тому

    Dada wolper naomb no zako nimependa vitenge vyako

  • @hellennthiwa6190
    @hellennthiwa6190 4 роки тому

    Pole Sana Jackie,kuja Kenya uyo mwizi akule nyasi

  • @janekemunto2347
    @janekemunto2347 4 роки тому

    Pole sana dada.....nitapata aje izo vitenge dadangu vinapendeza

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 роки тому

    Jamaniii unavyo hangaika vyote wanaona vipii khaaaaa polee Sana my daaaaah pole mwayaaa atalaanika Sana nguvu yamtu hailiwi

  • @uwizeyeimanazuwena2923
    @uwizeyeimanazuwena2923 4 роки тому +6

    Dada mwenye actualy zake mwenyewe

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +10

    dada tupatiye nimero (namba)zako ajili ya kupata izo gahuni na vitenge .sisi tuko bali tuhusiyane

  • @Doro2022
    @Doro2022 4 роки тому +1

    Pole sana

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому

    Mungu azidi kukup iyo imani ya kusameh my sis kila utaxh shik kigeuk pes kwa uwez wake mung

  • @fauziasitara5059
    @fauziasitara5059 4 роки тому

    Dahhh kajistiri na kumbe mwizi pole sana

  • @ashuraniyonzima5214
    @ashuraniyonzima5214 4 роки тому +1

    Pole sana my wolper

  • @aminahamisi3925
    @aminahamisi3925 4 роки тому

    Kwausawa huu jamani pesandefuhiyo Ila muachie Mungu Ila mie ningeibiwa hiyo nKwakweliningezimia😢😢

  • @astridsanzugwimo2209
    @astridsanzugwimo2209 4 роки тому

    Pole sana Dada Jack Mungu atakulipa

  • @faridaothman
    @faridaothman 4 роки тому +4

    Hebu tuchukue dakika moja kuwaombea wanachuo waliokula Ada

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 роки тому +1

    Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo..!!
    Hao wanachafua Uislamu na Waislamu, HIJABU ni vazi takatifu kwa wanawake kama Qur'ani ilivyobanisha. ALLAH ATAENDELEA KUWADHALILISHA HAO WEZI WANAOTUMIA VAZI LA HIJABU @professa_mashiko

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 роки тому +6

    Actuary akeeeeeeeeee

  • @marykilambo1819
    @marykilambo1819 4 роки тому

    Pole Sana dada

  • @mamasamana9073
    @mamasamana9073 4 роки тому

    Nataka vitenge, naomba number

  • @janekemunto2347
    @janekemunto2347 4 роки тому +7

    am from kenya.....vitenge viako smart I need you no plz

  • @fatmamashallahdadadidahama9824
    @fatmamashallahdadadidahama9824 4 роки тому

    Nkpenda sana jacky my 😘😘😘😘

  • @dasonsdachi3087
    @dasonsdachi3087 4 роки тому

    Pole Sana mamii wezi wanatia hasira

  • @asiakilea2590
    @asiakilea2590 4 роки тому

    Pole dada yangu

  • @dotomzungu7855
    @dotomzungu7855 4 роки тому

    Mungu anakulipa

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 роки тому

    Kweli kabisa wolper umezungumza wezi wanatuharibia Sana mbwa hawa

  • @mutonisandraamina8092
    @mutonisandraamina8092 4 роки тому

    Pole Sana da Jackie

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 роки тому +5

    Muwe makini jamani huo amezoea kwahio usijiachie Jack nama za simu tunataka vitenge

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +1

    Pole akija mteja wahivyo akibandua mguu naweuna bandika hakuna kumuacha hata sekunde moja

  • @cecymaro1374
    @cecymaro1374 4 роки тому

    Dada iyo sadakaaa iyoo ushaota fungu la kumi kweli mwachie molaa ukumbuke kutoa na sadakaa usilaumu sana...

  • @ruthanaya1225
    @ruthanaya1225 4 роки тому

    Pole dada penda hayo magauni yako mazuri kweli

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 роки тому

    Wengi wanatuharibia hili.vazi na wengine sio wasilaam ni wakristo aibu mwanamke kuwa mwizi wallah pole sana Ila mungu hatamuacha salama na mwezi huu mtukufu

  • @chantalgakima2276
    @chantalgakima2276 4 роки тому +1

    Unabusala dada Wolper

  • @hadijakilango6859
    @hadijakilango6859 4 роки тому

    Wizi mbaya sana ashalaanika uyo

  • @sirlohkibs2737
    @sirlohkibs2737 4 роки тому +3

    pole sister kilakinasho tokea hopangwa na Allah insha allah utapata riski zaiidi kuliko hiyo. japokua inaumashana

  • @aminahamisi3925
    @aminahamisi3925 4 роки тому

    Ilaunavitenge vizuri mpenzi

  • @asmaally3457
    @asmaally3457 4 роки тому

    Kwa bidhaa maridadi na uhakika karibu Asma cosmetics,
    Kwa matatizo ya michirizi, makovu, nyama uzembe, kuongeza shape,hips,miguu,kuwa mweupe,n.k
    Karibu ofisini, SMS/whatsap0693_330284

  • @jemybamupende998
    @jemybamupende998 4 роки тому +5

    Huyo mama Hana akili kabisa âme komaa akiwa mwizi

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 4 роки тому +3

    kama umeckia mwanakaka like hapa

  • @namnyakishamburi911
    @namnyakishamburi911 4 роки тому

    Actually ake weueweeeeeeeee akiiiiiiiiii

  • @ashiraally527
    @ashiraally527 4 роки тому

    Dada leo umeongea kiupore sana leo

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 4 роки тому

    Pole sana mpendwa

  • @swahibamnene5847
    @swahibamnene5847 4 роки тому

    Pole dadangu kabeba shida zko

  • @masogangemasogange7835
    @masogangemasogange7835 4 роки тому

    Hiyo pesa ni kidogo sana