MIMI NINAPOSIMAMA WATU WANAANZA KUCHEKA - CHALAMILA, IKULU DSM.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @kwetuarts
    @kwetuarts 3 місяці тому +6

    Bad say Mr. Tubadilishieni au tubolesheeni mifumo ya maisha kwanza.

  • @mohamedally1594
    @mohamedally1594 3 місяці тому +3

    Hii kauli ya muheshimiwa Chalamila ni kauli ya miaka 10.
    Ni ukweli ambao mgumu kuukubali 😃

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 місяці тому +2

    Mbona hajamsalimia.makamu wa rais afu nimeona kama yupo hapo

  • @universalchristsfamily-ucf4904
    @universalchristsfamily-ucf4904 3 місяці тому +3

    Amina , Mungu akubariki. Hotuba nzuri.

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 3 місяці тому +4

    Shida ni unafsi! Nchi inapotea na bado mnasifiana! Kiongozi hana vision yuko busy na kutalii kwa kodi za watanzania, hana uchungu na pesa zetu, ndo maana haoni shida kuwambia vijakazi wake wale urefu wa kamba zao

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 місяці тому

      Lugha ya picha. Wapumbavu hawawezi elewa maana yake. Wengine walidhani Adam na Eva walikula APPLE wakati kilicholiwa ni tunda nyama!

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 місяці тому

      ​@@TamuzaKaleHata wewe kumbe HUJUI KITU

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 місяці тому

      Bado upo ktk giza la kifala

  • @barakalukeha6184
    @barakalukeha6184 3 місяці тому

    1:29 punguza kusifu wewe ndugu samia anafanya ni sehemu ya majukumu kama wewe na mimi huku niliko ,,kwani samia hatulimpi mshahara??acheni hivo jamani,,,,,,au ni kuogopa nafasi yako isitwaliwe

  • @frankwakungwa906
    @frankwakungwa906 3 місяці тому +2

    Speech nzr Sana 🙏

  • @esaukiyeyeu5191
    @esaukiyeyeu5191 3 місяці тому +3

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia mtu akianza kuwa serious

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 3 місяці тому

    Mama punguza safari za kutalii na jasho LA wa Tanzania zunguka angalia Hali ya unaowaaongoza wanateseka sana huku acheni kuchezea hzo hela za raia

  • @rizikikalalu9529
    @rizikikalalu9529 3 місяці тому

    Nakukubali mkuu wamkoa wangu

  • @SaidMbande
    @SaidMbande 3 місяці тому

    Rasto tv