GB 64 Avujisha SIRI ATHIBITISHA CHAMA KUMUOMBA MO ARUDI SIMBA | YANGA HANA FURAHA anarudi NYUMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 152

  • @jafarihamisi7574
    @jafarihamisi7574 4 дні тому +1

    Kumbe kweli madunduka swala usajili wanaulizwa mpaka walevi

  • @frankmsai7461
    @frankmsai7461 8 днів тому +13

    Akafie mbele uyo Babu chama

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 4 дні тому +1

    Chama wakati yupo Simba alikuwa anagomesha wachezaji wenzie,gari likimuacha hotel kwenda mazoezi,lisiporudi kumfuata anagoma kutafuta usafiri mwingine,mpaka gari limrudie yeye Nani,kafanya mazuri ndio,alikuwa analipwa kwa kazi hiyo,Akirudi Simba itayumba,huyo ni Kirusi!

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 7 днів тому +7

    Chama katuliza sana ,, kwasasa tunaamani abaki uko uko utopoloni

  • @Behd145
    @Behd145 8 днів тому +23

    Gb 64,chama hatumtaki mlevi,kiburi,anagawa makundi,pia rafki wa cheupe

  • @MezdDimosso
    @MezdDimosso 7 днів тому +10

    Hatumtaki huku Simba huyo jamaa alileta mazarau kwenye club yetu brother G B tahazari sana😮

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 4 дні тому +1

    Wasithubutu kumrudisha Chama,atawavunja moyo wachezaji waliopo na Sprit iliyopo kwa Sasa,wasimrudishe kabisa,ataivuruga Simba,Acha ujinga wewe,

  • @abdallahluhinda
    @abdallahluhinda 8 днів тому +13

    Asirudi huyo duka la wakulima,kwani wamekosekana wachezaji katukosesha ubingwa mara tatu mfululu,alisema anaenda kwenye timu inayoongoza kwa makombe. Chama usirudi tena Simba allahuma aamiin.

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 7 днів тому +5

    Hafai kurudi Simba Chama aende akamalizie kwao Zambia.

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 7 днів тому +6

    Happana chama ni msaliti

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 7 днів тому +9

    NACHOFIKIRIA HUYU CHAMA ATAKUJA KUIVURUGA SIMBA KAMA ATARIDI

  • @BarakaKasimu-y5u
    @BarakaKasimu-y5u 8 днів тому +7

    Chama wetu acheni arudi wanasimba tusisahau mchango wake wazee chama ni chama tu brother karibu tena lunyas chama wetu..🦁

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 7 днів тому +4

    Kwakweli naomba sana Chama asirudi ndani ya kikosi Cha Simba, ana kiburi na ni msaliti

  • @anwaraliakrabi554
    @anwaraliakrabi554 6 днів тому +2

    Chama alikwenda yanga kubeba mataji aendelee tu kukaa benchi yanga ,mimi siafiki chama kurudi simba ,akirudi mimi nastaafu kushabikia simba

  • @chandegea-i4i
    @chandegea-i4i 7 днів тому +4

    Chama akirudi simba anakuja kuwafundisha viburi wachezaji wadogo bora afie huko kenge huyu na njaa zake

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 7 днів тому +4

    Chama Afai kuludi Simba....kwani tumekwama Wapi mpaka tumuitaji Chama...Atutaki...Mkitaka kujua ili tupige kula mashabiki.

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 8 днів тому +6

    Msaliti huyo asirudi,akirudi tu simba inayumba tena

  • @SaidMasoud-f2q
    @SaidMasoud-f2q 6 годин тому

    Boss mrudishe chama we msameheeee sawa.

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 7 днів тому +5

    Chama ameingizwa chaka na Ashura cheupe

  • @KefaMawamgunda
    @KefaMawamgunda 15 годин тому

    Namkubali sana huyumwambaa aludishwe simba kulehakumfaii tumsamehe mwamba

  • @salehestambul5535
    @salehestambul5535 6 днів тому

    Chama Chama safi sana akirudi itapendeza sana kwa vijana wale kazi itakuwa tamu sana.

  • @petromasebo6090
    @petromasebo6090 7 днів тому +3

    Binafsi nitabaki kuheshimu kazi ya chama ndani ya Tim yetu kabla hajaasi,kwa sasa chama ni jasusi tu linalotska kutumiwa na Hersi Said ili kutuhalibu baadaye

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 7 днів тому +5

    Leo umechemka

  • @melissa_garden
    @melissa_garden 7 днів тому +1

    Chama anafaa kuchezea Simba arudi tu. Tajiri amrudishe

  • @michaelseme7730
    @michaelseme7730 7 днів тому +3

    Asirudi atatuharibia wachezaji wetu anaushawishi mbaya

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 7 днів тому +7

    Chama arudi Simba asitafie simba

  • @KatambaSteven-s2x
    @KatambaSteven-s2x 5 днів тому +1

    Toka uko hatumtaki usimsifie ujinga

  • @salehestambul5535
    @salehestambul5535 6 днів тому

    Chama safi Rudi Simba baba uweke vitu sawa.

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 7 днів тому +2

    Unaongea point Sema haiwezekani

  • @MussaChivalamba-v4u
    @MussaChivalamba-v4u 6 днів тому

    Chama banaah vyovyote vile

  • @MwanaishaHussein-q7q
    @MwanaishaHussein-q7q 6 днів тому

    Kumbe huyu msambaa mwenzangu ❤❤

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 7 днів тому +1

    Nikikumbuka mechi ya Azam,Kirumba Mwanza Kayoko kama kwaida yake,Chama akahamua mchezo uwe sare

  • @MrRizwan1978
    @MrRizwan1978 7 днів тому +2

    Very true

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 7 днів тому +2

    Chama na asirudi ni duka la Utopolo

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 8 днів тому +5

    Mwacheni arudi mtoto ametambua makosa yake Wana Simba mukumbuke wema wake ,,siyo kumuhukumu

  • @ibrahimuakwilombe
    @ibrahimuakwilombe 7 днів тому +2

    Haturudi nyuma'chama wa jana siyo wa leo'sasa ana miaka 34,tunataka vijana wa under 25'chama hana nafasi teeeeeena simba'😊😅

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 7 днів тому +1

    Hatumtakiiiiii............

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 7 днів тому +2

    INACHEKESHA SANA 😂😂😂😂❤

  • @SetMohamed-i9y
    @SetMohamed-i9y 8 днів тому +1

    Mzee Chama, asije abaki huko hilo

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 5 днів тому

    Ndio,chama Inampasa kurudi unyamani

  • @CharlesMugaya
    @CharlesMugaya 7 днів тому +1

    Gb umechemsha. Hatumtaki. Usiangalie historia angalia current performance.

  • @EmmanuelMwita-vr4qz
    @EmmanuelMwita-vr4qz 7 днів тому +2

    Hatumtaki kaka

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 8 днів тому +1

    Borachama asirudi

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 8 днів тому +1

    Nilitamani Chama astaafu akiwa Simba na angefikiria kuanza mafunzo ya ualimu akiwa Simba..!

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 5 днів тому

    Chama hatumtaki kwenye timu yetu ya simba aende mwanza kwenye timu ya pamba😅😅😅

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 7 днів тому +1

    Chama hapaswi kurudi,maana tulimbembeleza akae Simba akaringa sana,tulimuhtaji akatuacha,akafie mbele kwanza atacheza nafasi ya nani?Ngoma anatosha.....!!

  • @saidasaa5385
    @saidasaa5385 7 днів тому +1

    asirudi Simba harumtaki Hata kama alifanya mengi lakni alikuwa analipwa pia

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 7 днів тому +1

    Regarding of the great things He did for SIMBA SC not withstanding, Why should you sign back a player who betrayed you in the first place to sign for your greatest rivals , and wants to come back, at this crucial time When the league is in the final stretch, This whole situation looks suspicious.

  • @LazackAbdalah
    @LazackAbdalah 7 днів тому

    Akuna cha thaman atumtak

  • @PlsFinancial-n2q
    @PlsFinancial-n2q 7 днів тому +2

    Jaman.mnaposema mabaya ya mtu kumbukeni na mazuri yake.hakuna mchezaji ambae ameleta mafanikio Simba kama chama.na liko wazi😢😢

    • @JulianaJapheth
      @JulianaJapheth 7 днів тому

      Kweli kaka angu arudi simba chama kafanya mengi sana simba

  • @piliskaHalimas-o1n
    @piliskaHalimas-o1n 5 днів тому

    Chama kurudisimba syojambolakumkataa kwaniametendamema sanasimba. Njookwenu kumenoga, hakunawakuzuiausiruditofauti nauwongoziwenyewe. Hakuna mwanadamasiekosa naakaombamsamahaa asisamehewe. Chama Karibu simba

  • @ISSACKNTACHO-u3y
    @ISSACKNTACHO-u3y 7 днів тому

    Namkubaaari chama ,sinabaya nae,,arudi tu

  • @saviourramso4339
    @saviourramso4339 7 днів тому

    Kaka GB64 Unanikosha mambo unayoyaongea namm ndo mana nampenda Chama hadi kesho

  • @Userog254
    @Userog254 7 днів тому +1

    Kirusi pandikizi hicho hatutaki kwani tumepungua nini mpk apokelewe

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo 7 днів тому +1

    Kibabu kinazarau mjinga yule kilisema kinaenda kutafuta furaa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 днів тому

    Gb hapo unatudanganya chama atubu dhambi kwanza alio tufanyia Simba tulimpenda lakini yeye alitufanyia uhuni sana

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa 7 днів тому

    Hamna huyo,alibembelezwa mno kubaki Simba lakini akadengua akitaka kuleta kombe la mabingwa kupitia Yanga.HATUMTAKI

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q 7 днів тому

    Huyu katumwa na chama hakuna anayemtaka chama hana thamani tena

  • @issakwisamwakisambwe4080
    @issakwisamwakisambwe4080 7 днів тому

    Hatumtaki tena akafie mbele kwani lazima arudi simbasc

  • @LamwaySindiko
    @LamwaySindiko 7 днів тому

    Huyu chama msenge tu yeye ndo alitusababisha kucheza shirikisho apeleke mitamaa yanga

  • @storytime1204
    @storytime1204 6 днів тому

    Hatumtaki chama acha ujinga

  • @ShabaniMoshi-z8k
    @ShabaniMoshi-z8k 7 днів тому

    Mimi mwenyewe namkubali chama arudi Simba hata mtoto alikosea na ameomba samahani basi mopokeen

  • @AlfonceKasanyi
    @AlfonceKasanyi 7 днів тому

    Chama kwa Simba Bado anahitajika anaweza kuwa na mchango tu kwenye assist

  • @MariyamBaraka
    @MariyamBaraka 7 днів тому

    Kweli hkn binaadam asie na makosa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 днів тому

    Waituumiza sana waliuza mechi yadabi 64 Gb hao wasaliti

  • @KwellyRyoba-n5s
    @KwellyRyoba-n5s 7 днів тому

    Asirudi asirudi na asirudi kwani huko Yanga amekosa nn.Thamani yake haitakwaisha lkn alitamba agenda yanga kuchukua ubingwa na Yanga.mshenzi kabisa CV za magori Caf amepata akiwa simba halafu anatukimbia kisa hatujafuzu kucheza CAF anatukimbia,Asirudi tena asirudi

  • @GodethNgulizi
    @GodethNgulizi 6 днів тому

    Kama kamuomba boss msamaha aludi amejua kosa lake msameheni wapenzi

  • @Kevworx
    @Kevworx 7 днів тому

    Arudi ila mechi na Yanga asicheze kabisa maana simuamini namuona duka

  • @yusuphtina1336
    @yusuphtina1336 6 днів тому

    Arudi

  • @CeciliaRichard-j3d
    @CeciliaRichard-j3d 6 днів тому

    Arudi tu bado Ni mwamba kwe2

  • @DeoNsemwa-g1m
    @DeoNsemwa-g1m 8 днів тому +1

    Toa Joshua rudisha Chama

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 7 днів тому

    Abaki huko huko alipo hatumtaki kabisa katuumiza sana alikuwa anaondoka ligi inaendelea anaenda zambia na mabegi yake tunapoteza mechi tukiwa tunamtegemea Balua na Chasambi kwa sasa abaki huko huko aliko hatumtaki tena usiseme katufanyia makubwa kwani yeye alikuwa anacheza bure si alikuwa analipwa hatumtaki kabisa tuliamua kuanza upya Mungu ametusaidia tumefika pazuri abaki huko huko

  • @ChrissBoy-w6x
    @ChrissBoy-w6x 7 днів тому

    asirudi huyo atapata kiburi sana ataendelea kutudharau zaidi

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 7 днів тому

    Kilasiku chama anaongeza pesa.

  • @HijjahMtema
    @HijjahMtema 7 днів тому

    Ww gb 64 chamu muda wake umeisha sasaivi nisimba mpya ya vijana

  • @KifaiMosha
    @KifaiMosha 7 днів тому

    Sikupingiiii kaka

  • @sulleimanshalua168
    @sulleimanshalua168 6 днів тому

    Chama ni msaliti...hapaswi kurud Simbasc, aende kwao Zambia hatumtak

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 7 днів тому

    HATUMTAKI CHAMA NI MSALITI AMEPEWA KAZI MAALUM NA ENG. HERSI.

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 7 днів тому +1

    Mimi nadhan chama angebaki tu yanga
    Hivi wakat mechi inauzwa si alikuepo?
    Mtawekewa mamluki kwenye timu alf mwisho mtajilaumu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 7 днів тому

    Tulimwambi yanga kubaya wewe gb acha ujinga kwahiyo tuachewachezaji wetu wilotupa ashima tumludie chama hatutaki.

  • @ThaniSaid
    @ThaniSaid 7 днів тому

    K2 gn mnatak kufany simba,,chama asipokelew tena apo kama mchezaji wetu wa simba

  • @MohamediKassimu-d4c
    @MohamediKassimu-d4c 6 днів тому

    Msaliti acha kumtete

  • @shabanipande5379
    @shabanipande5379 7 днів тому

    Nikwel aiseeee

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 7 днів тому

    Kwahiyo tuache gbrisila tumrudishe chama

  • @WakalaWabukala-f1l
    @WakalaWabukala-f1l 8 днів тому +1

    Kamahivyo rudisha na manara maana hatuwaelewi

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 7 днів тому

    Ataziba nafasi za usajili apishe hatumtaki

  • @FaustineMpanda
    @FaustineMpanda 5 днів тому

    Aende zake maana anayo tamaa

  • @SundayTweve
    @SundayTweve 8 днів тому +1

    Tumuache arudi nyumbani

  • @InnocentGavu-l5i
    @InnocentGavu-l5i 8 днів тому

    Oya gb,chama anakuja kutuharibia team

  • @NazilisalumukadeweleNazilisalu
    @NazilisalumukadeweleNazilisalu 7 днів тому

    Jamani wanasimba wenzangu kama kuna mtu ajawai kukosea Ajibu koment yangu anastasia kusamehewa

  • @saddykambonana
    @saddykambonana 7 днів тому

    Haiwezekani tena hatumtakiii

  • @MWATANOMOTEE
    @MWATANOMOTEE 8 днів тому

    Si pesa zilikuwa zinawawasha mwacheni azichume ila roho ya muda iko Simba sports

  • @Cel-osbMwanawajeshi
    @Cel-osbMwanawajeshi 7 днів тому

    GB kuwa seliazi bwana,chama wa nini?

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 8 днів тому +2

    Akuna acheni bamge zenu chama ni mamluki tu

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 8 днів тому

    Hamisa hana kosa.. bongo mmezidi kuwasifia wachezaji wa nje ambao ni wa kawaida! Alichokuwa anaweza Aziz KI ni mashuti peke yake.. ambayo hata Ali Machela alikuwa fundi wayo..! Binafsi nilikuwa sioni "exceptionalism" ya Ki na wachezaji wengine..! NI mchezaji wa kawaida sana. Hamisa mnamuonea mtoto wa kisukuma..!

  • @Fatherjaybadmaan
    @Fatherjaybadmaan 8 днів тому

    Arudi atakaa zake Benchi moaka anastaafu

  • @NdamilaSalada-st8rl
    @NdamilaSalada-st8rl 7 днів тому

    Chama Rudi hata sahizi

  • @AlyAbass-g8o
    @AlyAbass-g8o 8 днів тому

    Ssfi sa sana gb 68 chama bado salt simba

  • @boazmpazi260
    @boazmpazi260 7 днів тому

    Hata Manula kafanya makubwa, kuna makosa ya kusamehe na kurudisha mtu sio sabotage (duka)

  • @IbrahimAlharthi-i4d
    @IbrahimAlharthi-i4d 7 днів тому

    Samaki akioza usimtupe, mtafutie viuongo umkaushe au atakuja kumuokota mwengine ulie uje ujute. Tutazame kutokana na umri na uwezo wake wa sasa Mnyama atafaidika asirejeshwe kwa kuwa ameipa Simba makubwa wengi na sasa hawapo. Chama alijaribu wengine akatambuwa kaumia na akirejea hatarejea tena makosa yake