Kweli mzee said hamna kitu njaaa tuu hajui ata kuchambua mpira toka alivyo enda wasafi akaisemea simba vibaya mnooo eti aliye shinda derby ndio mshindi wa Nbc humuen mzee said yule wakuichambua hii simba unamuona ni mamluki asiye jua kuchambua mpira kwa sasa sina hata muda wa kumsikiliza yule Ni mamluki amekalili maisha Msimu umebadilika huuuu
Hawa machawa wanaotaka kupendwa na matope fc , kila siku simba inakuwa akifanya kitu ni kama kabahatisha lakini akifanya yanga inaonekana kapatia na ikiwa mbaya ni bahati mbaya , hawa ni watu wasiotufaa
Mimi nilikua shabiki wa Mzee Said ila nimeanza kumshuku kama timu inafanya vibaya ni vizuri kuiponda ila timu yako inafunga 5-2 unaendelea kuponda hata kama ni ushauri kidogo unatafta njia nzuri ya kushauri na kukiri timu kama ipo vizuri Hata watangazaji wa Wasafi wenyewe walishangaa baada ya kuskia sauti ya Mzee Said Mzee wetu tunampenda ila ajirekebishe
We mwenyewe gb 64 ni mpumbafu tu tena naweza nikakuita mnaz huna hadhi ya kuzungumzia mpira kiujumla siku zote unazungumzia positive za simba ya kubeza upinzan wakat sometimes unazidiwa wa si mjinga tu
MASHABIKI WAKURITHISHWA TEAM NDIO TATZO KUBWA WANAAMIN UKIWA SHABIKI LAZIMA UWE KAMA BENDERE UNAFUATA UPEPO TU. AJUI UNARUHUSIWA KUONGEA USICHOKIPENDA. WANATAKA AWE KILA KITU NDIO NDIO.😊
Huyu hajui chochote mbumbumbu tu mzunguwareli hajitambui. Yeye mwenyewe njaa tupu anategemea ushabiki umlishe si hizo sambusa na vichips na ni msahaulifu sana
Kweli mzee said hamna kitu njaaa tuu hajui ata kuchambua mpira toka alivyo enda wasafi akaisemea simba vibaya mnooo eti aliye shinda derby ndio mshindi wa Nbc humuen mzee said yule wakuichambua hii simba unamuona ni mamluki asiye jua kuchambua mpira kwa sasa sina hata muda wa kumsikiliza yule Ni mamluki amekalili maisha Msimu umebadilika huuuu
Mhhh nadhani simba hawana shkran hata kdgo wkt umefungiw mzee said ndy kawa kpao mbele anayasemea mpka leo smba imeanz kuw fresh
kweli kbs
Sasa kwani ligi imeisha!?Uje useme baada ya bingwa kujulikana sio tu kumtukana Mzee wa watu bila sababu
@@JosephineItambukatukanwa ay anaambiwa kweli watu Timu zinawaumaa
Kama mimi ananiuzi sana
GB ,,upo vizur sana kaka yangu
Yaan Gb 64 umenifurahisha sana yule mzee unamuhangaisha
Kweli ujumbe umefka mzee saidi anapenda sifa na wakati jezi ya Simba kapewa na cm kubwa kanunuliwa na simba bola mzee MASATU Yuko vizuri
Hata huyo GB64 wako unayemsifia alinunuliwa simu sema anajizima data
mimi naelewa simba mechi zake zinakuwa ngumu sana kuanzia uwanjani hadi wachambuzi lakini itafanya vizuri tu
Mzee Said njaa huyu Simba imempa umaarufu Leo anaitukana kutwa hadharani ,Zee jinga lile
Miraji naye achunguzwe
Gb 64,, mpe somo huyo mzee anaropoka hovyo hovyo utadhani Hana kazi ya kufanya, njaa tuu
Kiukweli kabisa huyo mzee saidi ni mnafiki sana 😡😡
Miraji, Mzee Said na Mchome hao watu Ni wa kuangalia Sana Wana chembechembe za usaliti Sana.
Kabsaaaaa
Kwan wanaongea uongo wanaongea ukwel naa ukwel unauma ndo maan mnaumia
Uyu ndo mwehu aongei kuhusu mpira anapiga mdomo amewek usimba mbele
Mwehu mwenyewe
Yan Mimi ata simfatiliagi Mzee said tangia aende clouds fm kuropoka ujinga kuhusu Simba namuonaga mjinga tu yule Mzee njaa
GB 🔥🔥🔥
Milaji mzee saidi mchome kaduguda wote hovyoo kabisa.
Hata mie nilishaliona hilo muda hao watu 3 ni mamluki
Boraa GB64 umesemaa
Hata miraji, mchome na said wote yanga wasituzingue..!
Hawa machawa wanaotaka kupendwa na matope fc , kila siku simba inakuwa akifanya kitu ni kama kabahatisha lakini akifanya yanga inaonekana kapatia na ikiwa mbaya ni bahati mbaya , hawa ni watu wasiotufaa
Kabisaaa wanataka sifa kwa Vyura mbuzi wale wamenitoka njaaa mbaya
Ata me kiukwer miraji sina imani na miraji ana uzarendo na simba
GB uko sahihii njaa tuu ya mzee saidii nakuchekesha kwingi ndio media zipate views
Mzee Gb64 uko vzur sana, kiukweli yule mzee side nina miez sasa simfuatii kabisa
Kiukweli hilolimzee saidi linanikeraga sijawahi kuona zeehuwagalinatumwa Hilo ikiwezekana lingezuiwa kuzungumzia simba Kama vp
mzee anapanick sanaaaa😂😂😂😂
Kwa hiki Mzee Said simtetei Tena anaanza kukosa adabu na polepole anaanza kupotea huyu Mzee wetu Said.
Safi sana umemunyoosha huyo mzee ŵa punyeto😂😂😂
Mzee said ajui mpiraaa.
hii ni pamoja na miraji mara moja
GB64🦁👏👏👏👏👏👏👏👏
Simba na Yanga jee
Big up sana bro gb64 ni shabik wa simba kwel nakufatilia sana piga hao na kuna yule miraji kuna mda simwelew hawa n mamluk wanatumwa pumbavu zao
Kweli mtu wangu Miraji Naye ni chawa
Hata mimi miraji simuelewi
Kuuumekuchaaaa tayarii 😂 Aah sasa kumtukana hapo unakoseaa mzee wawatu 🤣 ! We mwambie tu kawaida iiih 🤣🤣 !
Mpumbav sio tusi
Niliongea mim nikatukanwa yule Mzee sio mwenzetu atumtak
Kweli mzee side kawa chawa
Na Simba akikutana na Yanga vipi mbn hujagusia
Simba na yanga ikawa aje
Yaani njaaa ni shidaaaa sana inaweza chonganisha watu 😂
Mzee commit+ space+ chance😅😅 Mpanzu wa Kawaida tu sanaaaa,,
Uyo mzee apunguze njaa hatumtak simba
Kwel kabisa gb
Baada ya Ahmed Ali,anakuja GB 64,msemaji namba 2 wa SIMBA SPORTS.Weweee,moto wa kuotea mbali.Maua apewe GB 64!!!
Mbn ujatoa matokeo ya Simba na yanga kwenye rigi msimu huu
Mimi nilikua shabiki wa Mzee Said ila nimeanza kumshuku kama timu inafanya vibaya ni vizuri kuiponda ila timu yako inafunga 5-2 unaendelea kuponda hata kama ni ushauri kidogo unatafta njia nzuri ya kushauri na kukiri timu kama ipo vizuri
Hata watangazaji wa Wasafi wenyewe walishangaa baada ya kuskia sauti ya Mzee Said
Mzee wetu tunampenda ila ajirekebishe
Yaani alie negative siku zote ndio anakupenda,, Mzee saidi yuko negative na trust
Sahihi wachambuzi design za mzee said hamna kitu
Ukosahii Simba imeingiliwa
Hauna Issue kelele sana, jeuri sana
Ww mwenyew njaaa
Kka GB hachana nao Mabululu sio tu! Na simba kachukua bao bora kafu hawajuh ball hao waaache tu!
Na Mimi pia uyo mzeee simuamin uyo ni yanga tu
Said ni mshamba tu Hana elimu
Yule babu hajui mpira ni mchekeshaji uchwara tu.
Mzee saidi njaa itamua
Ww mwenyew njaa acha kumsema Mzee wawatu ukajiona ww km Simba yafamilia Yako acha njaa tunakujuwa unatafuta umaarufu ili upate kibaruwa Simba ww namzee saidi unaojiona ww mkubwa dah unazarau saana
Sasa hivi Simba kila mchezaji ana nafasi ya kucheza,ila wasikae Sana Bench,ligi ni ngumu na imejaa ujanja ujanja mwingi😂😂
Yule mzee mm huwa xmuelewi achuguzwe
GB upo Sawa Kwenye kumbukumbu, kuna watu njaa na pia watu wamekuja toka Porini wanataka umaarufu Kwenye hivi Vilabu
We mwenyewe gb 64 ni mpumbafu tu tena naweza nikakuita mnaz huna hadhi ya kuzungumzia mpira kiujumla siku zote unazungumzia positive za simba ya kubeza upinzan wakat sometimes unazidiwa wa si mjinga tu
GB anachamba khaaaa😂
Kweli ananjaa anapenda kuwa burudisha wapinzani wa Simba huyo sio Simba mamluki
GB sasa hiyo dharau, yaani Mzee Said ana Ubongo wa Mende. Kwanza Mzee Said sio mchambuzi yeye ni Mburudishaji tu kwa washabiki wa mpira.
Huyu mzee saidi sio nilikuwa namuona mzee wa busara kumbe hafai si ahamie yanga na yeye
Yule Mzee comedian watu wanampendea kuchekesha tu siyo kuchambuwa mpira
Anakuaga anapenda sifa za kijinga ili awafurahishe yanga
Kaka njaa mbaya sana
Mzee mzima chawa wa yanga utatapikwa we mzee umri umetosha
Tutakuja kukumbusha juu ya Angola
MASHABIKI WAKURITHISHWA TEAM NDIO TATZO KUBWA WANAAMIN UKIWA SHABIKI LAZIMA UWE KAMA BENDERE UNAFUATA UPEPO TU. AJUI UNARUHUSIWA KUONGEA USICHOKIPENDA. WANATAKA AWE KILA KITU NDIO NDIO.😊
Nduguyangu.nimekuherewa.sana.uyomze.nyaha.hitamponza.kwanzahatamimi.msimuhu.ndonamsikia.katokawapi
Mzee saidi siyo mchambuzi yeye ni mshabiki
Kwanz wasaf wote yanga hawaipend simba ila mungu atawalaan
Wakati anawasifia mlikuw mnampigia makofi saiz anawakosoa mnamwambia ana njaa, 😂
Ni kwel braz umenena
Tena asikatize msimbazi hatutaki mamluki sisi
Mm ilikuwa namkubal mzee said ila kwa sasa hatufai kabisa
Gb.mzeesaidi.namchome.wote.machokotu
Kweli kaka huyu babu mm ananichefuaga
Huyu hajui chochote mbumbumbu tu mzunguwareli hajitambui. Yeye mwenyewe njaa tupu anategemea ushabiki umlishe si hizo sambusa na vichips na ni msahaulifu sana
kakaa gb64 Achana nae huyo mzee Ananjaa yanga wanamtumia yeye sasa hivi nayule mjinga mchome
Mpe huyo Mzee ovyo asijua vby 😂😂😂
Gb 64 wapasue hao wambea
Mzee Said amekengeuka yule mzee
Basi mseme na miraji kwasababu anaongea ukweli
Nikweli huyumzee mpumbavu
Magereza yanafunza watuuu😅
Sema wala usimuogope uyo mzee said amezidi,iyo yanga anayoisifia ina point ngapi caf?
Shangaa ndugu zee limenitoka like natamani kutapika kutwa Simba mbaya hio Yanga inakicheza kipi
Gb64.mzeesaidi.anapumuliwa.kisogoni
Nyie Makolo mutachunguzana nyote
Mwanzo nilikuwa namfatilia uyo mzee lkn sasaivi sitaki ata kumuona njaa kwel wala sio uongo
kweli gb64 umenisaidia huyo mzee nimchome wa pili
huyo Mzee kweli Hana akili tatizo watu wanatafuta kiki kama yanga wazur wanapointi ngap?
GB nina zawadi yako nitakutafuta umemaliza yoote lile zee njaaaaa
Achakumsema mzee Saidi vibaya wewe mpumbavu 😊😊
Mpumbav ni wewe Lile lizee ni mamluk
Mzee yeye sio mchambuzi ila anaongelea mpira vile anavyoona yeye ila wewe unakuwa unaongelea ushabiki wa timu yako kwaiyo wewe ndio mwenye njaa 😅😅😅
Anataka kumuiga mzee magoma
Mzeee saidi ako sawa km kakosea ni maoni yake tu lakini km wanasimba bila ya mzeee saidi kwa chagamba interview haebambi
Kweli uyu mzee sometimes anazingua akiona mic za Wasafi
Kwn mzee said ni mchambuzi yy si anaongelea t mpira na kutoa maoni muacheni yule sio mamliki jmn
Mzee saidi mtu wa mpira kuliko ww kuchwa tenge yani we hujui mpira shost unaongea pumba mnoo
Mzee saidi ninani ndugu muandishi.? Mbona unaturetea mapicha pichaa
Muache mzee said unaadabu wewe
Msharowa mate ya pombe apo waandishi
Umenena kiongoz, Mzee said njaa tu.
Ww mwenyew hyo sura Ina onyesha unanjaa2 Tena yakufa kalale huko alafu inaonyesha ww mlev wagongo cma tukupe pesa ukanywe matap tap shoga ww
Ila gb ulixhawai kuvuta bangi
huyu ngosha mumsamehe
Ali kamwe alisema lini? Tofauti champions ligi na machi za vichochoroni,, wala mpira hautofautishwi hivyo