Nandy feat Harmonize - Usemi Sina (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,6 тис.

  • @OfficialNandy
    @OfficialNandy  2 місяці тому +289

    HARMO ANAULIZA KWAO WAMEZALIWA WANGAPI NA JINSIA GANI?

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 місяці тому +264

    Goma Letu la Kufungia Mwaka 2024, Wewe Unaye sikia na kutazama huu wimbo Mwenyezi Mungu Akubariki na akufikishe mwaka mpya ukiwa na Afya, Njema 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Kingpop-p5t
    @Kingpop-p5t 2 місяці тому +347

    Najua wakenya mko huku nipeeni likes zangu kma unamkubali harmonize na naddy💕💕💕🎶

    • @immaxOsborn2120
      @immaxOsborn2120 2 місяці тому +4

      Kwani naddy ni yupo apo

    • @JoyceKamnde
      @JoyceKamnde 2 місяці тому

      Mambo

    • @KoufYaal-Runnah
      @KoufYaal-Runnah 2 місяці тому

      @@JoyceKamnde oy oy vp ap unalionaje lingoma hili uku nandy kule tembooo

    • @Kingpop-p5t
      @Kingpop-p5t 2 місяці тому

      @JoyceKamnde poa

    • @Kingpop-p5t
      @Kingpop-p5t 2 місяці тому

      @@KoufYaal-Runnah wanaza ata kushinda zuchu na diamond wake😂😂

  • @OfficialNandy
    @OfficialNandy  2 місяці тому +144

    Weka Comment yako hapo chini nasoma 👨🏾‍💻Niambie kati ya Bibi nandy na Babu Harmonize nani ameuwa sana😂

    • @saarobojunior9993
      @saarobojunior9993 2 місяці тому +8

      Nyote mumeweza nawapa pongezi Kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @Tizo15-c7k
      @Tizo15-c7k 2 місяці тому +7

      Wote mama kila mtu katendea haki mapande yak

    • @NashonThadeo
      @NashonThadeo 2 місяці тому +2

      Asee na iyo mikunjo kwenye paji la uso kama kibibi flan cha 1930 ivi

    • @BarackPhares
      @BarackPhares 2 місяці тому +3

      Wote mmefanya poa sana ila nandy , unavyo cheza kama mzee kweli ❤

    • @Billnass
      @Billnass 2 місяці тому +20

      SIJAPENDA ULICHOFANYA YAANI UMEOLEWA TENA MKE WANGUUUUU HAHAHAHAA

  • @AllyMansour
    @AllyMansour 2 місяці тому +88

    Kusema kweli ngoma imetulia saana.nipeni like zangu❤❤❤

  • @stinofire324
    @stinofire324 2 місяці тому +46

    Kama wewe ni shabiki wa Nandy na harmonise Ku tokeya Congo RDC 🇨🇩 nipeni like zangu 🎉🎉🎉

  • @deejayclef
    @deejayclef 2 місяці тому +61

    Wenye mnawatch in the year 2036 jua mimi niliwatch 2024

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 2 місяці тому +180

    Kama ume ludia huu wimbo zaidi ya mala moja gonga like hapa ❤

  • @Jeffrey-v7d
    @Jeffrey-v7d 2 місяці тому +68

    Yani watu niwanafki kabisa nyimbo kali kamaii unaisemea vibaya , congratulation konde and my sister nandy kazi iyi ninjema sana nipeni like zangu , I come from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @OfficialNandy
      @OfficialNandy  2 місяці тому +6

      Salamu Zimefika👏🏼👏🏼❤️

    • @Jeffrey-v7d
      @Jeffrey-v7d 2 місяці тому +1

      ​@@OfficialNandy Thank you I am here to encourage you with your best products that you produce here 🙏🙏🙏🐘🐘🐘👸👸👸

    • @KoufYaal-Runnah
      @KoufYaal-Runnah 2 місяці тому +1

      @@Jeffrey-v7d ni nzur

    • @RobyCasian
      @RobyCasian 2 місяці тому

      🎉​@@OfficialNandy

  • @mrpoorbillionaire4505
    @mrpoorbillionaire4505 11 днів тому +1

    I love this ♥️

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 2 місяці тому +585

    ila nandy na harmonizie kuna sehemu nime penda kwenye uzehe kama wewe ulipenda sehemu kama iyo like yako apa🎉🎉

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize 2 місяці тому +174

    Wale tunao kubali hii ndio video bora ya mwaka tuonyeshe upendo hapa

  • @deviskalokola03
    @deviskalokola03 2 місяці тому +89

    Tunaosubir ii ngoma tujuane apa kwa like

  • @idrischichy
    @idrischichy 2 місяці тому +37

    Duuh! Kama umelikubali teke la Shem nandy gonga like apa mtuwangu😂😂😂

    • @Grace-p9e
      @Grace-p9e 2 місяці тому +2

      Nilikuwa naitafuta sanaaa hii comment 😂😂😂😂😂😂😂

    • @dullahkitalu8655
      @dullahkitalu8655 Місяць тому

      Lile teke nimecheka sana

  • @SalimAlly-u1m
    @SalimAlly-u1m 2 місяці тому +11

    Honestly hakuna mwaka nandy aliutendea hki km 2024 maan ht song nying mpk zn kera na nying zmeshk mpk no 1 honger kipenz chetu

  • @skyciousanglo599
    @skyciousanglo599 2 місяці тому +16

    bombo claaaaaaaaat, wapare wote mikono juuu kwa Nandy the African princess

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah 2 місяці тому +1417

    Hacheni ubaguzi ndugu yenu hapa kutoka Burundi BUJUMBURA likes zangu jamani Leo Siku yangu yaku zaliwa 🌍🌍🌍🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @CJ-vd9wn
      @CJ-vd9wn 2 місяці тому +22

      Siyo hacheni ni acheni

    • @WanderaNadia
      @WanderaNadia 2 місяці тому +16

      HbD 🎉to you dear

    • @Akbar_Rich10
      @Akbar_Rich10 2 місяці тому +11

      Turabakunda cane ❤️🥰🔥

    • @BillyBlack001
      @BillyBlack001 2 місяці тому +4

      Isabukuru nziza

    • @Keddyboom
      @Keddyboom 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @pablokdot555
    @pablokdot555 2 місяці тому +89

    Rwandan 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Banya Rwanda gonga like Apa kama tunachangia Damu 🔥🔥🔥🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii 2 місяці тому +31

    Huyu ni Harmonize na Nandy,kazi ni safii hata kama mnanichukia buree,ebu jazeni kibaba nyie🎉🎉

  • @CalvinJames-k1s
    @CalvinJames-k1s 2 місяці тому +2

    Mbona umewahi kuisha huu wimbo jaman ❤❤❤❤❤ haaa

  • @aishaelias9071
    @aishaelias9071 2 місяці тому +20

    Mimi ata Nandy akikohoa Nita like tu ❤ nampenda sana

  • @ChrissJoel-t1c
    @ChrissJoel-t1c 2 місяці тому +39

    Hii nyimbo itachelewa sana kutoka trending
    Masaa 9 ipo namba moja trending na itakaa sana ebu gonga like kama unaamini views 1M kwa siku moja inawezekana

  • @mosesmbinda7414
    @mosesmbinda7414 2 місяці тому +31

    Mistari imeweza kwa kweli. Likes za 🇰🇪 zikam kwa wingi

  • @djideGuchi-e9w
    @djideGuchi-e9w Місяць тому +3

    Ndio hizoo jeshii wetu ❤❤❤❤

  • @samanthawanjiru8330
    @samanthawanjiru8330 Місяць тому +1

    This gal is talented kabisa
    A great combination with Konde boy

  • @RamazaniAmisi-ns5mf
    @RamazaniAmisi-ns5mf 2 місяці тому +50

    wa swahili acheni u swahili gongeni like Asante Nandi na harmonize kwa kutupa kitu kizuri

  • @FAITHMUSIMBI-mh4uv
    @FAITHMUSIMBI-mh4uv 2 місяці тому +12

    Me Ni mkenya Wa kwanza kucomment gonga like❤wimbo mzuri

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 2 місяці тому +24

    Wooooooow so Amazing song
    Amazing Audio
    Amazing video
    Everything Amazing and so good 🔥
    Congratulations The African Princess Nandy And Harmonize Good idea and good job❤🔥🔥🔥🥰🥰🙌🙌🙌

    • @Chamd-s4x
      @Chamd-s4x 2 місяці тому +2

      Big ups to these people ❤❤❤ but honestly 1984 with such nyash😅😅

    • @francesmpangwa8801
      @francesmpangwa8801 2 місяці тому

      😂😂😂​@@Chamd-s4x

    • @KoufYaal-Runnah
      @KoufYaal-Runnah 2 місяці тому

      @@francesmpangwa8801 yes of course congratulations to African princess nandy and harmonize

  • @RahimuHabibu
    @RahimuHabibu 2 місяці тому +9

    Bombo claaaaaat 🚬🚬

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 2 місяці тому +13

    Creativity ya hali ya juu kabisa ,japo 1984 smartphone bado zilikuwa hazijafika📌

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 2 місяці тому +15

    La kufungia mwaka ❤.

  • @huddahmunny5001
    @huddahmunny5001 2 місяці тому +10

    Weeeeeeuuuuh!Hicho Kichupa !Hicho Kichupa Kiko Chonjoh ❤❤❤❤❤Ngapenda Mimi ...Usemi Sina ,Nakosa Maneno😊!

  • @esthernekoye-ly5cx
    @esthernekoye-ly5cx 2 місяці тому +13

    Naisubiri kwa ham na gamu🎉❤

  • @dashgratien
    @dashgratien 2 місяці тому +2

    🎉wauuh powa saaaana

  • @Frankkishiki
    @Frankkishiki 2 місяці тому +1

    🎵Kwanini nisitulieee, mfano unaninyima niniii🎵💥

  • @JJoshua-nc6hu
    @JJoshua-nc6hu 2 місяці тому +47

    Nimerudia zaidi ya Mara 10 kweli mmejua kuandah kitu bora🎉❤ Naomba ata like 100 J7 kutoka Tabata❤

  • @SimbawaKike
    @SimbawaKike 2 місяці тому +54

    Nasubiria inebakia 58 seconds nataka kua wakwanza ku like na ku watch mwingine anaye subiria like apa♥️

    • @khamisikhamisi7225
      @khamisikhamisi7225 2 місяці тому

      Thanks you good ft Nandy,harmonize🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kingkibuNarcisse
    @kingkibuNarcisse 2 місяці тому +9

    harmonize wewe Bala❤❤🇨🇩🇨🇩

  • @DanielBandolela
    @DanielBandolela 2 місяці тому +12

    Aaaaaaahhh Nandy yani wewe kabisa adi uzee wako kumbe bado pissi Kali 😮😅 ivi nawewe uta mpenda Nandy adi uzeeni njo apa like tukujuwe❤

  • @AdaboyChalesi-fm4xt
    @AdaboyChalesi-fm4xt 2 місяці тому

    Ngoma kali sana 🎉🎉🎉🎉❤

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 2 місяці тому +20

    Harmonize alishapoteza hamu ya kula ndio maana kila anachopewa anakula,wow❤❤ .Nawapenda kutoka 254

  • @janvierndihokubwayo-ws5ce
    @janvierndihokubwayo-ws5ce 2 місяці тому +13

    Nandu ,konde 🎉 nawa penda sana😊

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 місяці тому +12

    Wapenda maendeleo wenzangu 🎉

  • @m-vitalnumbi
    @m-vitalnumbi 2 місяці тому +3

    Huu kali kweli yani hii ni ya mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @theelyon
    @theelyon 2 місяці тому +5

    Urembo wa nandy ❤❤

  • @AgnessEdmund-nn8of
    @AgnessEdmund-nn8of 2 місяці тому +8

    Move imetoka🎥🔥🔥🙌

  • @MasoudMakanya
    @MasoudMakanya 2 місяці тому +10

    Tunafungia mwaka kibabee❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @VictorSumar
    @VictorSumar 2 місяці тому +16

    Kugombana kupatana ad kuzeek

  • @afrihension
    @afrihension Місяць тому +1

    Konde boy, jeshi, tembo, Bahkresa, yaw yaw, Bomboooooclat. Huyu ni hatari. Time to give Harmonize his flowers. Guy is versatile and can kill it in any collabo. Nandy as usual is the African princess. Very good chemistry between these two. Sending love from Kenya.

  • @EmeryTonda
    @EmeryTonda Місяць тому +1

    Ila harmonize ume muzamisha sana Nandy kwenye wimbo wake usemi sina

  • @alimwatsonzo8165
    @alimwatsonzo8165 2 місяці тому +12

    🇰🇪🇰🇪my favorite song. Number 1 and last in my playlist. Lazima niskize ii ngoma several times before nieke next. Video nimeipenda.🇰🇪🇹🇿

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 2 місяці тому +13

    The best video ❤❤ ila mzee Konde anazuga anachambua nyasi kumbe anaangalia mambo yetu bomboclaaaat!!!!

  • @olivaeniko6360
    @olivaeniko6360 2 місяці тому +24

    Wow, Basi nyimbo itengenezewe movie 😁, maana sio poa🥰

  • @Son_Jozeey
    @Son_Jozeey 2 місяці тому +2

    Never disappoint

  • @HamadiShabani-j7n
    @HamadiShabani-j7n 2 місяці тому +2

    NAMBA MOJAA NIYAKWETU TU MAMAEE🔥🔥

  • @DAMIABOY
    @DAMIABOY 2 місяці тому +20

    Bonge la bongo flava ❤❤ like Apa kama umeipenda ili banger aisee

  • @Freddymedia-p7d
    @Freddymedia-p7d 2 місяці тому +29

    Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem

  • @BillAlex-Fx
    @BillAlex-Fx 2 місяці тому +10

    “Mapenzi maua na moyoni mwangu yanachanua “ harmo Buddha cjui kuna kipi unashindwa 🔊🔊🔊🔊

  • @ibrahimMisati
    @ibrahimMisati 2 місяці тому +2

    Nataka mtanzania mrembo nimuoe ❤❤❤

  • @solomonedward3379
    @solomonedward3379 Місяць тому +1

    nandy hiv ukichukia inakuwaje na macho yako hayo hahahahaa talented hongera sana

  • @SunaSalum-tx4zy
    @SunaSalum-tx4zy 2 місяці тому +24

    Naitaj kuona like nyingi zaid kwa hii ngoma kali🎧

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 2 місяці тому +5

    Hii ni nyimbo bora🔥, mistari imekwenda group of schools, Kenya naicheza kwa rpt mode,usemi sina bila shaka.❤❤

  • @icyspicy2002
    @icyspicy2002 2 місяці тому +14

    All love from kenya 🇰🇪 harmonize gives me goosebumps ❤

  • @PrinceJons-tk6wz
    @PrinceJons-tk6wz 2 місяці тому +5

    Dada yangu nandy mwaka 1984 smartphone ambayo harmonize ameishika imetokea wpi au mna time travelarmnaishi umo director kenny amekwama sema video nzuri credit kwako kama umeona sehemu iyo dondosha like yako apa

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 2 місяці тому +1

    Mzee harmo na bi Nandy wamejua kunichekesha sana ....

  • @yusuphmsalilwa2459
    @yusuphmsalilwa2459 2 місяці тому +6

    Noma sanaa konde anajua sanaa

  • @MundhirAbdi
    @MundhirAbdi 2 місяці тому +29

    there is only one princess and she is her official Nandy much love from kenya your biggest fun❤❤❤❤😢😢😢😢

  • @Shafii_mohamedi17
    @Shafii_mohamedi17 2 місяці тому +29

    Nyimbo kali na video kali sana🎉🎉🎉

  • @PhilipoMbedule
    @PhilipoMbedule 2 місяці тому +1

    Mmependeza mlivokua wazee❤❤🎉

  • @Magubikatv
    @Magubikatv 2 місяці тому

    Daah bonafsi nsmipAtia mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yassirhassan5246
    @yassirhassan5246 2 місяці тому +6

    Ushawahi chunguza... Hawa mastar wawili they never dissapoint wakicombine force 🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉 #usemisina ❤‍🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb 2 місяці тому +31

    Tena nime chelewa ilah nime sapoti 🇹🇿🙌🙌🙌🙌🙌

  • @lazzbishar9281
    @lazzbishar9281 2 місяці тому +6

    Hii ni kubwaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 Usemi Sina 🔥💪 enjoy it

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 2 місяці тому

    Nice video mmeua sana🔥🔥🔥

  • @Electrical254
    @Electrical254 2 місяці тому +1

    Usemi sina❤

  • @travelersbnb5293
    @travelersbnb5293 2 місяці тому +25

    kama unamkubali bombooo claaaa gonga like 💣

  • @JijoSawen-v6b
    @JijoSawen-v6b 2 місяці тому +10

    Nandy kwenye creativity Huwa hakoseagi.😅😂huu mwaka umejua kutufurahisha mashabiki zako❤much love from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪We love you girl

    • @millymilly7244
      @millymilly7244 2 місяці тому +1

      Hiyo ni KAZI ya producer usijichanganye kaka

    • @JijoSawen-v6b
      @JijoSawen-v6b 2 місяці тому

      The producer can guide you but kama hauna acting skills you'll still mess it up.That's where the power of the artist comes in​@@millymilly7244

    • @JijoSawen-v6b
      @JijoSawen-v6b 2 місяці тому +2

      Ni director not the producer actually.But as an artist if you got 0 acting skills utaharibu video.That's why I acknowledged nandy about it.she brought out the part very well

    • @millymilly7244
      @millymilly7244 2 місяці тому +2

      @@JijoSawen-v6b ❤❤

  • @Leehum54
    @Leehum54 2 місяці тому +4

    Aweeeeeeh!! Hili ni moviee ❤❤ AFRICAN PRINCESS Ni mmojaa 🎉

  • @danlinetz2959
    @danlinetz2959 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤ngoma safi ndo hii🎉

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 2 місяці тому +4

    apo kwenye uzee nandi na harmonize mmejua kunikosa nmewapenda sana❤❤❤

  • @asiwatasi
    @asiwatasi 2 місяці тому +9

    Oyaoya🔥🔥🔥 NANDY ft 🐘

  • @ZackvyMak
    @ZackvyMak 2 місяці тому +5

    Banga moto ile na collabo moja wagwan! Kenya tusign hapa kwa mapema.

  • @MinnahMayah
    @MinnahMayah 2 місяці тому +7

    Mmmh nandy kwenye uzeee kajua bana 5️⃣ Tena Tena na Tena

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 2 місяці тому +1

    Mependa Harmonise kumuheshimu Nandy kama mke wa mtu. Big up

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 2 місяці тому +3

    Uhakika 💯💯

  • @Akili820
    @Akili820 2 місяці тому +10

    Video nzuri sana nimeipenda🇨🇩🇨🇩☝️

  • @leonardmalau9769
    @leonardmalau9769 2 місяці тому +5

    Director aliumiza kichwa.....harmo n nandy mmeua hiii Kali sanaa🇰🇪

  • @peterjosephmjaka
    @peterjosephmjaka 2 місяці тому +17

    Hii Video Ni Kali Sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ALEXVICTOR-wk4pl
    @ALEXVICTOR-wk4pl 2 місяці тому +2

    All the way from TANGA nimependa ngoma 🥳🥳🥰🥰🥰🥰

  • @MigodiWayehova
    @MigodiWayehova 2 місяці тому

    Hii ngoma tamu🎉🎉🎉

  • @centmia_wykds36
    @centmia_wykds36 2 місяці тому +4

    Nyimbo nzuri nimeipenda ya kufungia mwaka hala Nandi ❤❤🎉

  • @AkonJacquesAkonkwa
    @AkonJacquesAkonkwa 2 місяці тому +16

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢😂😂😂❤❤❤❤ hapa tumetiya mikono juu🙋🙋. Hii kali toka congo

  • @SamuelMusala-ur8fd
    @SamuelMusala-ur8fd 2 місяці тому +33

    Ila harmonize ❤
    Mimi na dhani ujamaa anastahili number moja

  • @SesiliaMwala
    @SesiliaMwala 2 місяці тому +1

    Shida yako unapenda mno punguz kupenda harmoniz 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SaleheAlly-li8sc
    @SaleheAlly-li8sc 2 місяці тому +2

    Asante @nandy@harmonize@directorkenny kwa chupa kaliiiiiiii la mwaka❤❤❤ bomboclaaaaaaaaa💥💥💥💥

  • @NishimwealexiBerozi
    @NishimwealexiBerozi 2 місяці тому +6

    goma la mwaka nandy ft konde siku ya leo mume ni bamba kwl ❤❤❤❤❤ from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Directorkashaniboy
    @Directorkashaniboy 2 місяці тому +5

    Aki nandy weewee❤❤❤ umeniziba mdomo usemi sina big fan wako niko live

  • @malinjia
    @malinjia 2 місяці тому +5

    ❤Kali saana

  • @PriscaAdagi
    @PriscaAdagi 2 місяці тому +1

    The best ♥️

  • @juliethrenfrid2666
    @juliethrenfrid2666 2 місяці тому

    Mmeuwaaa woteee nimerudia mara kumi kumi,,, umeuwaaa mpare mwenzang😊❤