I like this guy. He is very knowledgeable and understanding. Kumbe mapesa ya tajiri wa CHADEMA Freeman Mbowe wala hayafikagi kwenye kanda mfano huko Ruvuma na Mtwara? Huo utajiri wake kumbe unawanufaisha chawa wake tu kina Benson Kigaila, Yericko Nyerere etc na sio chama at large halafu Mbowe anasema "hiki ni chama changu". Duuh, asante mwenyekiti Mapunda toka Ruvuma kwa kutupa taarifa hizi muhimu
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano nchi nzima kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi.
BABA MBOWE NIKO CHINI YA MIGUU YAKO NAOMBA PUMZIKA KIDOGO UTARUDI TU.NYIE NI WATU MUHIMU KTK CHAMA.YAANI WEWE NA LISU NI KICHWA NA MOYO VINATEGEMEANA.PLEASE FANYENI MOJA
Nawaambia ukweli ili uwasaidie. fanyemi utafiti. Mtu akitaka kuwini nyoyo za watanzania walio wengi basi ajitenge na kauli za na siasa za kizamani za kumponda magu sababu watanzania wa kawaida bado wanampenda sana. Waliridhika na utendaji wake na kazi zake nzuri kwa taifa hili. Walimpenda na kumwamini uzalendo wake kwa taifa lake. Hilo kakangu wala halipingiki.
@@SeverinMagwaya kwanini awe mtakatifu? Haihitajiki mtakatifu kuongoza nchi bslli mtu mwenye kuona mbele na mwenue msimsmo thabiti, mzalendo, mchapa kazi hodari asiye na woga wa kukemea na kutumbus watu wachafu. Mtu anayependa na kujali watu wote hasa wa chini wanaoonewa na wakubwa, mtu anayejua maana ya rasilimali be.kuzipogsnia kama Magufuli hiyo inatosha kabisa hatuhitaji mtakatifu sababu hayupo. Wwwe unataka nini.kwani?
Uongozi mzuri wa uwazi na ukweli na kazi nzuri zenye kasi zaa Magufuli siyo vitu vya kubeza. Ni viongoziwachache sana Wanaweza my match up hata hawa wa afrika wanaoelewa jilo. Labda huyo kijana mdogo Ibrahim Traoure kiongozi wa Burkina Faso amepataumaarufu afrika na duniani anapitia mule mule kwa nyayo za Magufuli na anafanya maajabu kwenye nchi yake. Anapendwa na wananchi wake wengi na afrika wanamuunga mkono wanafata nyayo zake. We kajaribu kumtuatilia la Google utashangaa. Utadhania mtoto wa Magufuli. Mbegu zilizopandwa na Magufuli afrika zimeanza kuzaa matubda.
Wenje na mbowe wasaliti jeshini wanaitajika kupigwa lisasi wamepewa pesa za abduli na mama abduli waisram wakristo amkeni msilale msilale inchi iripo sio iripo
Mbowe alianza kuonekana siyo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano nchi nzima kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi. Utaona ccm ndio wanapendelea Mbowe aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.😂😅😅
MBOWE.kaa pembeni urikuwa unawanowa vijana wako iri iweje! Nanina kuumbuka urikuwepo uchaguzi Kama huu .ukachaguriwa.ukapita.naukasema hii kazi ningumu.kama ningumu kwa nn.unaitaka.kaa pembeni mzee wa anga
Kaka anaongea point mbka naona maojiano muda mdogo ,,team lissu wanatema nondo mtupu na sio wapiga kelele wa mbowe hakuna hoja wanazo zaidi ya upuuzi mtupu ,,,pia mwandishi hongera kwa maswali mazurii ⭐
Ni kweli kabisa maana ukimsikia Mtu anakuambia Katiba si kitu ni Kijitabu tu ..huyo mtu hahitaji busara anahitaji mtu wa kumuambia ukweli kama ulivyo sio mtu anayesema Sukari ni Chumvi na Chumvi Sukari !!
Watu wanaangalia kuchagua mtu zaidi kuliko chama kutokana na hali ilivyo. Chama si tija sababu watu bado wanapindisha katiba zao na wanakula rushwa. Sahau kabisa kuja kuchukua nchi bila kuwa na mtu safi na mwenye kaliba na hulka ya kimagufuli kwenye msimamo ukali na uongozi wake. Mtu atayeweka mezani maono na mikakati ya kitaifa na siyo siasa za ukosoaji tu bila solutions zenye mashiko. Mtaisoma namba halafu mtasema mmeibiwa ushindi kama kawaida yenu.. Think before you react or say anything. Jishikamane na tactic na style za Magu ili mpendwa na watu wa kawaida na chini ambao ndio wengi
Mbarikiwe sana Ruvuma, Nsengwile sana.Lissuuu ndo mpango mzima
Chilau mewawa
Usengwile mlongo na chilau mewawa
Sele umenifurahisha sana
Mzungumzaji ana elimu ya kutosha mimi nimekuamini sana uwe mwalimu kufunduisha siyasa. Chadema.
I like this guy. He is very knowledgeable and understanding. Kumbe mapesa ya tajiri wa CHADEMA Freeman Mbowe wala hayafikagi kwenye kanda mfano huko Ruvuma na Mtwara? Huo utajiri wake kumbe unawanufaisha chawa wake tu kina Benson Kigaila, Yericko Nyerere etc na sio chama at large halafu Mbowe anasema "hiki ni chama changu". Duuh, asante mwenyekiti Mapunda toka Ruvuma kwa kutupa taarifa hizi muhimu
Very humble
Tundu antiphas lisu tosha❤❤❤
Uko vizuri sana Mungu akubarik sana mkuu
Kutoka Zanzibar wajumbe tunaomba mumchague Lissu anaitetea sana Zanzibar na Tanganyika bila ya kutubagua please 🙏 nileteeni Lissu
Hongera.hongera ni lisu..na john heche mtapita nipo zambia kama ni uchawi tunaloga. Nikichambua mganga wao tayari nimgojwa.
mmmmmmh mwanagu unatisha mh!! waganga
Zambia sehemu ngan
😂😂😂😂
Tabora Kigoma msiniangushe Lisu ndiyo habari ya mjini
Tuleteeni lisu na heche
Safi kaka 🎉🎉
Jamaa anajua mpaka anekara ❤❤
Wana dodoma chagueni lissu
Umewasomesha vizuri m/kiti yaani upo vizuri sana.
Saaaafi Dadi kadoda Ina maana tususie biashara za mbowe maana yeye SI Tajili
Mawazo ya kijima
Umejibu vzr sana team Lissu inawatu makini
Jamaa anaongea ametulia sana
Leo nimejua Siri kosa la Mbowe ni kutoka gerezani na kuenda lkulu iliwakera sana WANA CHADEMA
Endelea kuamini hivyo hivyo Ila tunaenda na Lissu ndo jibu letu
Wala sio hivyo,ukikaa madarakani mda mrefu unachuja tu
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano nchi nzima kila mkoa.
Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi.
Wana Arusha muchagueni mh.lissu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
huyu mtu anaehojiwa anaehojiwa yupo na akili nyingi sana, amemuwacha mbali sana Ntobi na Yericko
Kweli asee haaa haaaa
Team lissu always wanaakili
Ntobi na Yericko ni vichwa maji hamna kitu kichwani
😂😂😂😂😂@@1stladyafrica402
Amewaacha mbali sana
BABA MBOWE NIKO CHINI YA MIGUU YAKO NAOMBA PUMZIKA KIDOGO UTARUDI TU.NYIE NI WATU MUHIMU KTK CHAMA.YAANI WEWE NA LISU NI KICHWA NA MOYO VINATEGEMEANA.PLEASE FANYENI MOJA
Mimi kama Tim lisu waite wajumbe wengine waonekane hapo
Safi kabisa
Correct, Lissu and Heche!
USHAURI mzuri
Tunaenda na Lissu
Tundu lissu kiboko ya uchafu
Waooooh
Hayo ndo maneno
Tuna mtaka KAMANDA LISU
Lisuuuu❤❤❤❤❤❤
Kwahiyo FAM kakabiwa Juu😊😊.
usemayo kweli kabisaaaaaaa
Huyu jamaa niakili nyingi sana kiukweli tuondoe ushabiki wewe msikilize vyema
Mm ni team mbowe lkn daah,nimepanik
Nimefurah sana kukuona kaka Niko
Big up sana father umeongea fact,lissu for change in Chadema
Mkabie juuu😅😅😅😅😅 a hatoboi mwenyekit
Mpuuuzi kweli umenichekesha sana 😂😂😂😂 Eti mkabie juu, Wawabane kwenye Kona wasipige hata shuti nimecheka sana.
😂😂😂😂😂
😅😅🙌😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Uko sawa sana mh mbowe toka kwenye chama miaka20 inakutosha
Brilliant chairman
Umetisha
Nawaambia ukweli ili uwasaidie. fanyemi utafiti.
Mtu akitaka kuwini nyoyo za watanzania walio wengi basi ajitenge na kauli za na siasa za kizamani za kumponda magu sababu watanzania wa kawaida bado wanampenda sana. Waliridhika na utendaji wake na kazi zake nzuri kwa taifa hili. Walimpenda na kumwamini uzalendo wake kwa taifa lake.
Hilo kakangu wala halipingiki.
wewe kwani jpm ni mtakatifu?
Wew naye uko usingizini 😂
@@SeverinMagwaya kwanini awe mtakatifu? Haihitajiki mtakatifu kuongoza nchi bslli mtu mwenye kuona mbele na mwenue msimsmo thabiti, mzalendo, mchapa kazi hodari asiye na woga wa kukemea na kutumbus watu wachafu. Mtu anayependa na kujali watu wote hasa wa chini wanaoonewa na wakubwa, mtu anayejua maana ya rasilimali be.kuzipogsnia kama Magufuli hiyo inatosha kabisa hatuhitaji mtakatifu sababu hayupo.
Wwwe unataka nini.kwani?
Jpm tena humu?😂😂😂
Unaleta habari zipi wewe .magu ana kazi gani hapa
Safi kabisa kaka tubadilike
Bro uko vizuri mchanbuzi tata mahiri
Leta Lisu ❤❤❤❤
Uongozi mzuri wa uwazi na ukweli na kazi nzuri zenye kasi zaa Magufuli siyo vitu vya kubeza. Ni viongoziwachache sana Wanaweza my match up hata hawa wa afrika wanaoelewa jilo.
Labda huyo kijana mdogo Ibrahim Traoure kiongozi wa Burkina Faso amepataumaarufu afrika na duniani anapitia mule mule kwa nyayo za Magufuli na anafanya maajabu kwenye nchi yake. Anapendwa na wananchi wake wengi na afrika wanamuunga mkono wanafata nyayo zake.
We kajaribu kumtuatilia la Google utashangaa. Utadhania mtoto wa Magufuli. Mbegu zilizopandwa na Magufuli afrika zimeanza kuzaa matubda.
Wenje na mbowe wasaliti jeshini wanaitajika kupigwa lisasi wamepewa pesa za abduli na mama abduli waisram wakristo amkeni msilale msilale inchi iripo sio iripo
Mbowe alianza kuonekana siyo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano nchi nzima kila mkoa.
Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi.
Utaona ccm ndio wanapendelea Mbowe aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.😂😅😅
Sikuwahi dhana kama Ruvuma tuna watu watulivu wenye kuongea masuala mfano wa huyu. Safi kabisaa.
MBOWE.kaa pembeni urikuwa unawanowa vijana wako iri iweje! Nanina kuumbuka urikuwepo uchaguzi Kama huu .ukachaguriwa.ukapita.naukasema hii kazi ningumu.kama ningumu kwa nn.unaitaka.kaa pembeni mzee wa anga
Cheusi ni cheusi na cheupe ni cheupe😊😊😊
Thanks brother you said all we want new movement lissu atosha
Hongerani Sana Wana Songea, mchagueni Lissu na Heche, chama katafika Mbali
Duuu Mbowe sasa baaasi 😊😊😊
Atumie busara ajitoe
Hii nchi ina utajiri wa Rasilimali watu, God Bless Tanzania
Lisu moja nyuma mpka kieleweke
Jamaaa kaongea vizur atari
Kweli. Kaka. Lisu. Antosha
lissu na heche
Ni Lissu and Heche
Kaka anaongea point mbka naona maojiano muda mdogo ,,team lissu wanatema nondo mtupu na sio wapiga kelele wa mbowe hakuna hoja wanazo zaidi ya upuuzi mtupu ,,,pia mwandishi hongera kwa maswali mazurii ⭐
Dah Niko
Apumzike tu kwa amani
List top in tanzania
Nilichokuja kugundua watu wanaomsupport Lisu haiseeee wako smart sana yaaani wametulia sana hata kwenye kujibu hoja.
Umeongea ukweli mtupu, ikichama kina watu wenye akili nyingi, mlikuwa mmejificha wapi?
Wakunyumba mwenzangu kura kwa Lissu,msituangushe
Mbowe kwaheri ukilazimisha uwenyekiti Chadema kwaheri
Sawa kabisa ,,mbowe kashauliwa na ccm huku anajua kua yeye alifaa apumzike
Ni kweli kabisa maana ukimsikia Mtu anakuambia Katiba si kitu ni Kijitabu tu ..huyo mtu hahitaji busara anahitaji mtu wa kumuambia ukweli kama ulivyo sio mtu anayesema Sukari ni Chumvi na Chumvi Sukari !!
Mseleleko lisu
Kukabia juu hoyee
TUNDU Antipas Lissu 🎉🎉🎉
Viva lisu
🎉🎉🎉🎉🎉
Mkabie juuu 😂😂😂😂😂😅
How is this guy
Kweli
Ccm na wapambe wake wanakomaa Mbowe awe mwenyekiti wakti wao ndo walikua wanammela kungangania cheo
CCM inawahusu nini??
Lisu oyeeeeeee.
NAMI nakubaliana NAWE Lissu atuvushe ndiye
Mtangazaji mshamba sana, anaongea maiki anaiweka kwa anaemhoji, kumbe cheka tu mda mwingine wanaongea ukweli
Chadema kiboko poleni sanaaaa Mbowe must go
Mboe weachiatu utaaibika Bure meku
Tunamwitaji lissu na heche basi
MAGUFULI ALISEMA UKIONA ADUI ANAKUSHANGILIA MUANGALIE SANA HUYO MBOE ANA DANGANYWA AJIULIZE,
Lisu ana tosha
Ni kweli kwa maoni yako lkn kura hukata maneno, tusuburie kura
LISSU HECHE
LISSU HECHE
LISSU HECHE
Lissu for Life
Tuleteen lisuuuu
Huyu jamaa ana akili nyingi
Nimecheka kuna BWANA anasema mkabie juuu😂😂😂😂
Watu wanaangalia kuchagua mtu zaidi kuliko chama kutokana na hali ilivyo. Chama si tija sababu watu bado wanapindisha katiba zao na wanakula rushwa. Sahau kabisa kuja kuchukua nchi bila kuwa na mtu safi na mwenye kaliba na hulka ya kimagufuli kwenye msimamo ukali na uongozi wake. Mtu atayeweka mezani maono na mikakati ya kitaifa na siyo siasa za ukosoaji tu bila solutions zenye mashiko.
Mtaisoma namba halafu mtasema mmeibiwa ushindi kama kawaida yenu..
Think before you react or say anything. Jishikamane na tactic na style za Magu ili mpendwa na watu wa kawaida na chini ambao ndio wengi
MBOWE ana wasiwasi ya nin kwa myaka 20😂😂😂
Lissu lissu🫡🫡🫡
Huyu jamaa anajua kujenga hoja Saba aseeee
Inatakiwa Kofi Kofi ngumi ngumi fimbo fimbo hengo hengo nyundo nyundo panga panga ccm cdm
Sijasikia Arusha,moshi,kigoma na tabora
Ahaaa hapo nimekuelewa
Lisu ni sunami ya taifa ha
Very nice chairman
Kwery kabisa wario mshauri ndo wachawi kabisa
Sauti kama ya RUGE
LISSU.HECHE.INATOSHA