"LISSU WALE VICHWA"MZEE SAID AMCHAMBUA LISSU MWANZO MWISHO ASEMA CHADEMA INAENDA KUZALIWA UPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 36

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo 10 днів тому +3

    Aiseee hongera sana kaka Said unajua. Wewe ni hazina kwa kwa Taifa.

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 10 днів тому +3

    Safi sana upo vizuri mdogo wangu ushawishi wakukusikiliza unao

  • @SamweliChacha-l4y
    @SamweliChacha-l4y 10 днів тому +2

    Very relevant and well-thought analysis.

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 9 днів тому +1

    Muuza kahawa pale stand Arusha Kichwani yuko vizuri sana

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 7 днів тому

    Jamaa huyu ni hatari 😂😂😂😂big up.

  • @danielkanso
    @danielkanso 10 днів тому +1

    Safi sana Mzee said mwenye akili hasubiri kushawishiwa kufanya kitu kizuri Chadema imekuwa ni chama chakuigwa sasa si tu ndani ya nchi tu yaani hata kwa baadhi ya nchi za afrika big Up cdm

  • @frankjohn2425
    @frankjohn2425 9 днів тому +1

    hongera

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 10 днів тому +4

    Uko vizuri sana

  • @Dr.ForexTz
    @Dr.ForexTz 9 днів тому

    The guy is Very composed

  • @nestor384
    @nestor384 10 днів тому +3

    He is good and composed

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 9 днів тому

    Kwer tunawatu wanajua siasa ila hawaonekane mbele zawatu mungu akupe kuvu unajua sana

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 10 днів тому +9

    Hii nchi ina watu aisee.yuko vizuri kichwani

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 10 днів тому +3

    Kula kichwa mzee 😂😂😂 nimekuelewa Said

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 10 днів тому +5

    Mzee saidi namkubali anajuw kuchambuw sn

  • @rogatimushi689
    @rogatimushi689 10 днів тому +3

    Uyu mtu chama kisimuache aisee kimuangalie uyu mtu anajua sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 днів тому +4

    👊👍✌️.

  • @VicentNgowi-i3v
    @VicentNgowi-i3v 10 днів тому +3

    Ni atari sana

  • @henrygwalema1860
    @henrygwalema1860 10 днів тому +1

    Mzee ana imitate sauti ya Lissu kwa usahihi😂😂

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 10 днів тому +1

    Mtu kama huyu unamdanganya ujinga ujinga.. anabaki anakuangalia hakujibu chochote. Safi

  • @noahchuwa
    @noahchuwa 10 днів тому

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 9 днів тому

    Kura yangu ya kwanza nilimpigia Wourd Kabouru,nikiwa nakaa Kigoma alishindana na Azim Premji wa CCM,sikusikia rushwa katika uchaguzi huo.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 9 днів тому

    Yaliyopita yamepita ama wayadhughulikie wenyewe kwa wenyewe,ili mambo ya kjenga chama.

  • @allannahum9717
    @allannahum9717 10 днів тому

    Jamaa anajua siasa

  • @DeograsiaNziku-d7q
    @DeograsiaNziku-d7q 10 днів тому +1

    Watawala wanaangalia Leo kesho yetu hawajui

  • @HerbethKoko
    @HerbethKoko 6 днів тому

    Chadema tuna hitaji mtu kamahuyu mh shimiwa lisu muone huyu

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 10 днів тому +1

    Hakika kabisaa tuwe tunaongea na kuacha akiba....

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu 9 днів тому

    Nyie Chadema mmepoteza chama bado hamjashituka.lisu hapo hamna mtu hapo

  • @KassimAlly-l8x
    @KassimAlly-l8x 10 днів тому

    Kumbe tupo wanatufinya watuachie bwana

  • @niverted302
    @niverted302 10 днів тому

    Duuuh

  • @rogatimushi689
    @rogatimushi689 10 днів тому +1

    Uyu jamaa ni wa arusha ni kichwa sana uyu sio mchezo nakumbuka aliwahi kumpiga gambo maswali mpaka akaingia chocho

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 10 днів тому +1

      Mmmh hyu jamaa Kweli ni noma😂😂😂😂😂

    • @rogatimushi689
      @rogatimushi689 10 днів тому

      Alafu ni mwananchi wa kawaida tuu anajiamini katika uchambuzi

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 10 днів тому

      Excellent analysis, evaluation, judgement, and sound recommendations! Thanks to this anonymous but critical gentleman! Hongera sana!