No reform no election ndio mpango mzima wa ukombozi kwa sasa. Wanatakiwa wanawake wengi bungeni wakatetee maslahi ya watoto wao. Siyo habari ya CHENJI YA PESA za kula siku mbili tatu. HUO NI UJINGA WA KUPITILIZA…..wamama msikubali hiyo
Yaani hoteli ya siku mbili au tatu na hela ya kula wiki moja ndiyo iwatoe ufahamu? Haiwezrkani. Wamama ni wajanja zaidi ya hapo. Pesa inaliwa na kura inaenda kwa kiongozi asiyeyoa rushwa. Rushwa haijengi inabomoa.
Ili ukipewa pesa ya bure Kwanini usipokee? Ni pesa yako. Kwenye sanduku la kura ni Siri yako wewe unampiga mtu asiyekuwa mchafu wa rushwa. Mtu safi mwenye sera na mwelekeo unaoonekana. Mtu atakayekemea rushwa kwa vitendo toka moyoni
Wewe ni tatizo..Ukizoea kupokea rushwa ipo siku utatoa rushwa pia.Mbowe anapitia haya kwaajili ya kupokea rushwa toka CCM...Lowasa alikuja kugombea urais na chadema wakamsaliti Slaa kwaajili ya rushwa...Haya yote yatafumuka endapo Lissu hatashinda...
Kwani kulazwa mahotelini watalala huko siku ngapi? Hata Kama ni wiki nzima itakuwa na faida gani Kama utapoteza faida za miaka mitano au hata 100 ijayo? Wa awake tutumie akili zetu twende na mtu mwaminifu mwenye sera zilizonyooka kutuvusha tapa tulipofikia. Tuangalie kule mbele
Lissu,Lemma ,Heche,Slaa,Zitto ,Mwambukusi,Maria Sarungi..wakae ACT..kama uchaguzi utachakachuliwa..basi wa waende ACT...Nahakika hao watu wataijenga ACT bora..ikiwa kama Mbowe na wenzie watafanya forgery..

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Asante Lissu kwa kutoa elimu maana na faida za no reform no election.
Wenye vichwa vigumu hawawezi kuelewa. Wajanja wamekuelewa
No reform no election ndio mpango mzima wa ukombozi kwa sasa. Wanatakiwa wanawake wengi bungeni wakatetee maslahi ya watoto wao. Siyo habari ya CHENJI YA PESA za kula siku mbili tatu. HUO NI UJINGA WA KUPITILIZA…..wamama msikubali hiyo
Lissu hapo umeongea ya maana. Wenye akili wamekuelewa
Lissu umepiga nondo Kali sana hiyo kama wamana wanekuelewa hawatafanya makosa
Hongera makamu
Yaani hoteli ya siku mbili au tatu na hela ya kula wiki moja ndiyo iwatoe ufahamu? Haiwezrkani. Wamama ni wajanja zaidi ya hapo.
Pesa inaliwa na kura inaenda kwa kiongozi asiyeyoa rushwa. Rushwa haijengi inabomoa.
Catherine Ruge anavyomkata jicho Lissu😂😂😂😂😂
Mtoa rushwa si mtu safi hata kwa mungu ni mkosajj.
Tusidanganyike wamama. Mtu safi awe msafi kweli hata kwenye giza.
Lissu mwelimishaji. Watu wavivu kichwani hawawezi kumsikiliza zaidi
RUSHWA INATOLEWA KWA SIRI NA KURA YAKO nayo INAPIGWA KWA SIRI….akili mu kichwa.
kula kwingine kura kwingine…..akili mu kichwa
Ili ukipewa pesa ya bure Kwanini usipokee? Ni pesa yako. Kwenye sanduku la kura ni Siri yako wewe unampiga mtu asiyekuwa mchafu wa rushwa. Mtu safi mwenye sera na mwelekeo unaoonekana. Mtu atakayekemea rushwa kwa vitendo toka moyoni
Wewe ni tatizo..Ukizoea kupokea rushwa ipo siku utatoa rushwa pia.Mbowe anapitia haya kwaajili ya kupokea rushwa toka CCM...Lowasa alikuja kugombea urais na chadema wakamsaliti Slaa kwaajili ya rushwa...Haya yote yatafumuka endapo Lissu hatashinda...
Rushwa ni mwiko,kupokea au kutowa.
Lissu yoyeeeeee
Kwani kulazwa mahotelini watalala huko siku ngapi? Hata Kama ni wiki nzima itakuwa na faida gani Kama utapoteza faida za miaka mitano au hata 100 ijayo? Wa awake tutumie akili zetu twende na mtu mwaminifu mwenye sera zilizonyooka kutuvusha tapa tulipofikia.
Tuangalie kule mbele
Uko sahihi mwanasheria
Mpokea rushwa ni muuza utu. Ila unaweza kupokea pesa na kura inaipeka kwenigne. Kura ni siri
Kuuza utu kwa ajili ya ya vijichenji vya pesa ya siku mbili tatu ni ujinga usio na mfano.
Lazima tufanye sera zenye ukombozi.
Bawacha wapo kwa mbowe.
Wenye brain Iliyo hai tumegundua hili.
Lissu,Lemma ,Heche,Slaa,Zitto ,Mwambukusi,Maria Sarungi..wakae ACT..kama uchaguzi utachakachuliwa..basi wa waende ACT...Nahakika hao watu wataijenga ACT bora..ikiwa kama Mbowe na wenzie watafanya forgery..
Lisu oyee
Sawa mandonga
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🔧
Uko saw kk
Ndio tunakufaham wewe mropokaji
Wewe utakuwa una mtindio wa ubongo..
Kuweni Binadamu some time.
Hapo ameropoka nini?
Hawa wanapenda kumsikiliza anayesema wamependeza
@@sewandomkuchu9267kabisa