MASHINE ZA KUPANDIA ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA. # intermec engineering.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2024
  • intermec engineering ni kampuni iliyopo morogoro tanzania inayotengeneza mashine mbalimbali zinazotumika kwenye kilimo kama hizi planter kwa ajiri ya kupandia, na mashine za kuongeza thamani mazao ya kilimo. kwa hiyo kama unashida na mashine au ushauli tupigie simu 0620511969

КОМЕНТАРІ • 4

  • @user-bk6ue5zl5t
    @user-bk6ue5zl5t 4 місяці тому +3

    Kwanza hongeraaaa sana kwa kutengeneza mashine nzur hapa hapa , hii inaonesha jinsi gani tunaweza wenyewe pia,
    Kingine je hiyo planter ya row 7 bei gani

  • @macotv2197
    @macotv2197  4 місяці тому +1

    Guys, unaonaje hizi mashine je kuna mahali pa kurekebisha maana hizi bado ni prototype ( majaribio) hazijaanza kuingia sokoni.