MANARA : SIIACHI SIMBA KAMWE/ NIMEUMWA WAMEOKOA MAISHA YANGU/ MO ANA UTU SANA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 162

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 3 роки тому +16

    Wanaoangalia hii baada ya Manara kutoka Simba Tujuane kwa Like

  • @hashimjumanne3779
    @hashimjumanne3779 4 роки тому +10

    Allah awape maisha mareee team simbaa woooooote simba baba laoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤😘😘😘😘😘😘🙏🙏🙏🙏❤❤💪💪💯💯💯

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 3 роки тому +17

    Nan anaaangalia hii interview kipind hiki cha mambo kuvulugika

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 4 роки тому +2

    Mo mungu atakulipa maana unaupendo Sana pia nasi tunakupenda Sana!pia mond nampenda sana!mungu awape maisha marefu!Simba mbele daima

  • @Mabulasamson
    @Mabulasamson 26 днів тому +2

    Nimependa maneno ya boss no👍🏿🧠

  • @ramadhanimushi9727
    @ramadhanimushi9727 4 роки тому +4

    Safi sanaaaa boss wetu mungu akupe maisha na zaidi

    • @hussenissa5092
      @hussenissa5092 4 роки тому

      Ww unasema,wahindi wana,roho mbaya,ww kwenye family yako umewasaidia,akina,nani acha,uchoko ww

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 місяці тому

    Mnashangaza sana kwa huyo mwehu dunia haipiti mungu akulaani sio muda mlefu mtu shoga manara

  • @musakiangio8619
    @musakiangio8619 4 роки тому +2

    Huyu MOO...DEWJ, ALLAH ambariki sana wapo matajir tz wanaona kabisa baadhi ya familia zina hali ngumu kimaisha lkn wanchykulia poa ila huyu jamaa anaguswa sna na familia nyonge. Mtu kama huyu ALLAH haachi kumpa
    GOD BLESS YOU BRO🙏🙏🙏

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +5

    "Unaweza ukazaliwa mtu lakini ukawa sio binadamu "- ( Haji Manara)

  • @actionscene4753
    @actionscene4753 3 роки тому +3

    Kwa hapa Haji ulimfichia MO ila juzi ndio umemwaga ugali

  • @muhammadfadhil9835
    @muhammadfadhil9835 3 роки тому +3

    Hahahahahahahaha watu wana vitu ndani ulimi vina hatari kweli kweli.

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 роки тому +8

    Mimi naona Haji Manara aje astaafu usemaji akiwa na umri wa miaka 70

    • @abubakarimsebenge2592
      @abubakarimsebenge2592 4 роки тому

      Mpak afe maana akizeeka ndio maneno yanaongezeka

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 роки тому

      Mie sitaki asaa aje msemaji mwengine

  • @muhamedjaffar8148
    @muhamedjaffar8148 4 роки тому +1

    Alhamdulillah kusikia uko poa ndugu,Allah akusimamie na akupe nguv zaid kuipigania brand ,nguv moja daima

  • @charlesmwandenuka7986
    @charlesmwandenuka7986 3 роки тому

    Nakuelewa sana haji manara...
    Mo dewiji kweli Upo ju sana Unatakiwa kuwa hivyo ili hata pepo inakusubuli siku utakapo chukuliwa na mungu....
    ......simba inapaswa kuwepo milele

  • @asmahamis4658
    @asmahamis4658 3 роки тому +1

    Mo upo vizur na unahuruma Ila Imekuaje Leo manara kasepeshwa

  • @stn4873
    @stn4873 2 місяці тому

    Mo mwenyewe alikua anashangaa Haji anavyoo muongelea vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @eliahmunna1482
    @eliahmunna1482 3 роки тому

    Honger hongereni sana , hii ndiyo Simba , Manara kazi iendelee

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 3 роки тому +1

    Mimi naangalia ,sasa manara kumbe uliwahi kumsifia mo kiasi hichi

  • @bestnasomgeveke2244
    @bestnasomgeveke2244 4 роки тому +5

    Waaaaaaoooooooooooooo,Mo,wasafi juuuuuuuu

  • @kheryonlinetv292
    @kheryonlinetv292 3 роки тому +1

    Kumbe yalikuwa maneno ya kinafiki tu , Mwamwediiiiiiiiii

  • @fatmafeisal4328
    @fatmafeisal4328 3 роки тому +2

    Haya maneno inakuwaje sasa ????? Leo hii anamuanika MO

  • @hamudseif
    @hamudseif 4 роки тому +5

    Mondi ajui chchote kwenye mpira anaitikia tu apo 😂😂 apo ongelea mziki atakuelewa

  • @emmyarestarcki3431
    @emmyarestarcki3431 3 роки тому

    Asanteeee manara tunakupenda xana

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 роки тому +2

    Hapa ndio utajua binadamu ni kiumbe hatari. sana, Haji anampamba Mo kupita maelezo leo hii Haji kabadilisha maneno kwa Dewji hana utu dah.

  • @benedictojanuary5222
    @benedictojanuary5222 4 роки тому +3

    Asee Haji Mimi mwanasimba na nakukubali sana hupaswi kuacha piga kazi

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 3 роки тому

    Binadamu ni kiumbe hatari sana, huwezi kuamini kama Manara anayoyaongea leo aliwahi kutendewa Mema na Mo,
    Siijui Imani yake anavyoamini lkn inatia shaka, hata hao Yanga wawe makini nae.
    Inaelekea ni mtu asie na aibu ktk maisha yake, Watu wa aina hii ni hatari sana

  • @salumungaunga3630
    @salumungaunga3630 4 роки тому +5

    Mo 🔥🔥🔥

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 3 роки тому

    Dunia inaenda kasi mnoo,,kwa sasa hawapatani tena ni maadui haswaa kmmmkeee!!!Daahh!!🙌🙌

  • @charleshabibutz2358
    @charleshabibutz2358 3 роки тому +1

    Nice MO

  • @dullybrown3635
    @dullybrown3635 4 роки тому +4

    Hiyi ndo simba,kwetu upendo ndo mali.Mapenzi yangu ya simba yanazidi kuengezeka kila kukicha.Big up sana

  • @edwardmassawe5116
    @edwardmassawe5116 3 роки тому +1

    Sasa unaweza kugundua manara mlia tumbo na mnafki

  • @angelmalavanu9723
    @angelmalavanu9723 3 роки тому +1

    Huyu haji manara hajielewi

  • @KelvinCharles-m4k
    @KelvinCharles-m4k 10 днів тому

    Safi Sana tajili

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 роки тому +2

    Mashaallah tuna wapenda

  • @octavian54
    @octavian54 3 роки тому +1

    😂😂Mbona leo hutaki awe maarufuu

  • @pendomhawi237
    @pendomhawi237 4 роки тому +1

    Tunakupendaaa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому +1

    MO MO MO MO MO MO NO MORE THAN U MO. Manara oye Simba oye

  • @YusuphKidifu
    @YusuphKidifu 25 днів тому

    Mpeninafasi yake haji manara

  • @sulemponra6901
    @sulemponra6901 3 роки тому +1

    Nani anangalia hii baada ya manara kuondoka

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому +2

    Nimekuja hapa baada ya vurumati ktk mitandao jmn nani alokuja kwa ajili hiyo kam mie? Gonga like japo 10 jmn sijawahi pata hata 2 leo nawambaa

  • @vitukotv447
    @vitukotv447 4 роки тому +2

    Namuona simba

  • @sundaymwanga2174
    @sundaymwanga2174 3 роки тому +2

    Mmmmmmmhhh nyoooo

  • @mbozeevanc4325
    @mbozeevanc4325 4 роки тому +1

    Moo unaupendo nakila mtu mungu akubarik Boss

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 роки тому +9

    Moo ni mtu mmoja muelewa sn

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 роки тому +5

    Ikiwa tajili mkubwa anajitolea Hy yote na kujishusha Chini ili awe swwa na masikini ww masikini Nani hs HD uvimbe

  • @faisalswalehe5991
    @faisalswalehe5991 3 роки тому +1

    Dah

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 роки тому +1

    Jaman mwenzenu nipo saudia hadi naona mambo yananipita

  • @abdiabdi4299
    @abdiabdi4299 3 роки тому +2

    Mo Ni mtu mwenye utu

  • @veredianavenance2901
    @veredianavenance2901 Рік тому

    Mo tajiri wetu wa simba

  • @allymisanya
    @allymisanya 3 роки тому

    Duuuuuuh haya maisha yanaend kasi sana kwakwel eti leo haji na Mo hawaendan daaah,,,,!!!!

  • @kabumbabarongo787
    @kabumbabarongo787 4 роки тому +1

    Haji manara una shukrani tulipokuchangia hauna fedha mbona umeshasahau?
    Acha unafiki

  • @AdamHMoshi
    @AdamHMoshi 4 роки тому +4

    Kwa nini Manara anamuongelea Mo Kama mtu wa tatu 😁

  • @azizaayoub8487
    @azizaayoub8487 4 роки тому +4

    Wakwanza leo😂😂😂😂😂😂

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 4 роки тому +2

    Ahaaaa, nimekuelewa MO🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zainabthimis4025
    @zainabthimis4025 4 роки тому

    Daaa pole sana Bosi uliia

  • @sabihimnyetuka7178
    @sabihimnyetuka7178 3 роки тому +2

    Zilipendwa nazinakiki had leo

  • @nichorasandrew2770
    @nichorasandrew2770 4 роки тому +3

    Mo👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿

  • @nassorsalehsalum9736
    @nassorsalehsalum9736 3 роки тому

    Sasa mbona jamaa hapo hamuumpi choice na yeye aongee @diamond platinumz

  • @njamamwalimu2808
    @njamamwalimu2808 3 роки тому +1

    Haji njaa

  • @musanyuka3214
    @musanyuka3214 4 роки тому +1

    Vizuri MO

  • @costantfaliala3842
    @costantfaliala3842 3 роки тому

    Simba juu 🦁

  • @donaldmwakasasa2064
    @donaldmwakasasa2064 4 роки тому

    sema manara maana wengi hawajui hasa utoporo

  • @erickthegreat1887
    @erickthegreat1887 3 роки тому +1

    Kumbe hili ka umaarufu lilianza zamani,

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 4 роки тому +9

    Wapiliii mwamedi kaongea pwenti sana huyu jamaa

  • @MusaKogan-l6q
    @MusaKogan-l6q 11 місяців тому

    Bado haujasema manara yaani mpaka usemeeeee😂😂😂😂

  • @sngrafx8000
    @sngrafx8000 3 роки тому +1

    Mmmh

  • @vitukotv447
    @vitukotv447 4 роки тому +2

    Safi mo

  • @eliudibrahim3058
    @eliudibrahim3058 4 роки тому +1

    Mo longlife bro

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 4 роки тому +2

    Mooo Ni, 🔥

  • @nachiamussa9998
    @nachiamussa9998 4 роки тому +1

    Nmependa iyo wana msimbazii

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Tunajifunza jambo kubwa la umuhimu wa kuweka akiba ya maneno katika kuzungumza!

  • @ramadhanimushi9727
    @ramadhanimushi9727 4 роки тому +3

    Tupo nyuma yako boss wetu

  • @mamutz7320
    @mamutz7320 4 роки тому

    Safi bossi

  • @AhmedMedy-u7x
    @AhmedMedy-u7x 19 днів тому

    Klipu ya zamani sana toka manara yupo simba ya zamani sana

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 3 роки тому +1

    Enzi hzo

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 роки тому

    MWANADAMU NIKIUMBE CHA AJABU SANA BORA UKUTANE NA MNYAMA NA SIYO MTU

  • @jumaramadhan9504
    @jumaramadhan9504 3 роки тому

    Ukweli utabaki kuwa ukweli

  • @theresiateddimboya1079
    @theresiateddimboya1079 3 роки тому

    Daymondi unaakili nyingi hawa walikuwa na tofaut nahizi kwa akili yangu asante kwa kuondowa tofaut zao

  • @azizamihungo9659
    @azizamihungo9659 2 роки тому

    Huyu Manara Ni mnafki Sana nyoo!Maneno yako mwenyez yatakuhukumu

  • @bakariabdala2309
    @bakariabdala2309 3 роки тому +1

    Mo nimmoja tuu

  • @jmusic9627
    @jmusic9627 3 роки тому

    Simba juu young mtakubar tu

  • @issaiddi3261
    @issaiddi3261 4 роки тому +3

    Hatari wataendelea kusubiri

  • @octavianfranc1384
    @octavianfranc1384 4 роки тому +1

    Simba sport Club baba lao

  • @hajishabani7930
    @hajishabani7930 4 роки тому +1

    This is next level

  • @saidymohamedy7289
    @saidymohamedy7289 3 роки тому +1

    MANALA RUDIA HIII VIDEO ITAKUTOWA MACHOZI

  • @ndagiletv521
    @ndagiletv521 3 роки тому

    Boss mswahili....mo

  • @jumaramadhan9504
    @jumaramadhan9504 3 роки тому

    Haji usituzarau Sana mambo madogo tu

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 роки тому

    Babraa anaonekana nyuma as hana Raha kvilee

  • @michaelcellbaba4853
    @michaelcellbaba4853 3 роки тому +1

    Du kula tapishi baba

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 роки тому

    "Heshima utu na kumthamini mtu ni muhimu sana awe maskini awe tajiri "Mo Dewji

  • @ndagiletv521
    @ndagiletv521 3 роки тому +1

    Naona nyuma yupo mchepuko barbra

  • @charlesamonikaunda5033
    @charlesamonikaunda5033 3 роки тому +1

    Hapo ndo ujuwe hela ni mzizi wa shetani Jana manara kasema mo anarombaya kkkkkkkkkkk

  • @mawereremawe1171
    @mawereremawe1171 3 роки тому

    Siri ya ndoa chumbani alivujisha kwa mara ya kwanza sauti ndie msaliti.

  • @veredianavenance2901
    @veredianavenance2901 Рік тому

    Mo tajiri

  • @adelaidehumay9409
    @adelaidehumay9409 4 роки тому +2

    Unajua

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 роки тому

    Kwa interview hii haji ulipaswa utunze akiba ya maneno

  • @octavian54
    @octavian54 3 роки тому

    Sawa leo kimeumanaaa

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 роки тому +1

    Naaam mwamedi

  • @ndagiletv521
    @ndagiletv521 3 роки тому +1

    Apa alikuwa anaficha...

  • @busungujohn4410
    @busungujohn4410 3 роки тому

    Najua huo ulikuwa mchezo wakumuua mtani ,,ww manala