Tunashinda zaidi ya kushinda kwasababu tunaye Yesu Kristo mfalme wetu aliyetufanya kuwa watoto wa Mungu huku yeye akiwa mzaliwa wa kwanza GVC Mungu akufanyie nafasi uende utukufu hadi utukufu
Asante mwana wa Mungu ubarikiwe sana endelea tu kutuombea ili maombi utuombeayo Mungu akayape kibali nasitukainuliwe nayeye akionacho kinyonge na kukipandisha juuu zaidi💚❤️💚❤️🙏
Amen tunawapenda sana pia marafiki zetu kwani tumeendelea kuuona upendo wenu kwetu wakati wote Mungu awabariki sana pia kwa support ambayo mlifanya Mungu azidi tu kuwainua zaidi 💚🙏
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu pia endelea kutuombea tu katika utumishi wetu tulionao Mungu azidi kuwa kiongozi wetu nawala tusizitumie akiri zetu wenyewe🙏❤️
🙌🙌🙌🙌🙌 Bwana nifanyie nafasi namimi mwaka huu nafasi nyingine
Amen Mungu akutendee hakika
Tunashinda zaidi ya kushinda kwasababu tunaye Yesu Kristo mfalme wetu aliyetufanya kuwa watoto wa Mungu huku yeye akiwa mzaliwa wa kwanza GVC Mungu akufanyie nafasi uende utukufu hadi utukufu
🙏🙏🙏Utukufu kwa yes
Milele Amina mtumishi wa Mungu
Bwana ametufanyia nafasi 🎉nasi tutazidi kuongezeka 👏👏
Nawaombea mzidi kutenda yaliyo mema naimani mtafanyiwa nafasi zaidi ya hii. Mungu awe nanyi kutimiza kusudi lake
Hakika Bwana amenifanyia nafasi ninazidi kuongezeka.
Mungu awazidishe Ameen!
Hata mm nixhafanyiwa nafas Mara dufu na mungu wangu 🙏🙏🙏
Wimbo nzuri sana una utukufu wa Mungu
Mungu tufanyie nafasi
Bwana ametufanyia nafasi asanteni GVC kwaya kwa ujumbe mzuri 🙏
Christian Khahemba huyo ni chomba
Sijakuelewa samahani
Sifa na utukufu ni vyako Bwana,hongereni kazi nzuri ya Bwana Yesu.
Amen Mungu awabariki sana
Mwenyezi Mungu awabaliki kwa hiyo nyimbo Lehobothi
Hongereni sana watumishi wa Mungu.
Mungu wetu aendelee kuwainua zaidi na zaidi.
Amen mtumishi wa Mungu tunapokea kwa Jina la Yesu
Kazi nzr,mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi
Nyimbo nzur
Hongereni wapendwa
Hiyooo imeendaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎧
Barikiwa saaaana watumishi hii live imekaa poa saaaana and it's sound so powerful with full of God miracle
Mungu awainue zaidi na zaidi watumishi ❤
Mungu awapeleke utukufu hadi utukufu watumishi wa Mungu 🙏❤️
Naipenda GVC
Chombo iko hewani hongereni kwa hatua kubwa iko poa saaana
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana 🙏
Amen tubarikiwe wote
Kazi nzuri Sana Mungu awabariki na kuwainuwa Zaidi ❤️❤️
Amen mtumishi wa Mungu tunapokea kwa jina la Yesu endelea kutuombea tu na Mungu akubariki sana 🙏❤️
Woow kazi ya kwendaa mbarikiwe had nataman nijoin Kwa kwaya hiii 💗💗🫰
Huu ni mwaka wa Rehoboth. nilitoa wimbo wangu wa Rehoboth mwezi wa sita angalia youtube msigwa rehoboth
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu Mungu ameamua kuwafanyia watu nafasi
Kazi nzuri yeny utukufu ndan yake❤
Uimbaji mzuri sana, mahubiri makamilifu mungu awazidishie nehema zake.
Mwal. Stephen mulinge
AICK Kenya Israel Revival Choir. Machakos Kenya
Amen sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana kwa comment yako Mungu akubariki zidi kutuombea🙏
@@Aicgeitavijanachoir_Tanzania Amina
Hakika ni utukufu juu ya utukufu
Amen sana mtumishi wa Mungu.
Mungu akubariki sana kwa comment yako endelea tu kutuombea 🙏
Hongereni sana kweli hatua mmeipiga, hayo ndo mafanikio yetu.kwaya na kanisa kwa pamoja.
Amen sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana 🙏❤️
Mkue zaiidi
Asante mtumishi wa Mungu,
Endelea kutuombea tu mtumishi 🙏💚
Mungu aendeleee kuwainua zaidi na zaidi kazi ni nzurii sanaa ❤️🔥🔥🥰
Asante mwana wa Mungu ubarikiwe sana endelea tu kutuombea ili maombi utuombeayo Mungu akayape kibali nasitukainuliwe nayeye akionacho kinyonge na kukipandisha juuu zaidi💚❤️💚❤️🙏
Tunawapenda Sana kazi ni nzuri Sana aic bujora tuko pamoja nanyi wapendwa Mungu azidi kuiinua KAZI yake isonge mbele.
Amen tunawapenda sana pia marafiki zetu kwani tumeendelea kuuona upendo wenu kwetu wakati wote Mungu awabariki sana pia kwa support ambayo mlifanya Mungu azidi tu kuwainua zaidi 💚🙏
Hongeren wakwetu Mzidi kuongeka zaidi🥰
Amen kafanyiwe nafasi na wewe pia Mungu akubariki sana 🙏
Mbarikiweni sana mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu pia endelea kutuombea tu katika utumishi wetu tulionao Mungu azidi kuwa kiongozi wetu nawala tusizitumie akiri zetu wenyewe🙏❤️
❤❤❤❤Mungu ainuliwe zaidi
Amen mtumishi wa Mungu endelea kutuombea tuzidi kuwa na Roho ya unyeyekevu mbele za Mungu 🙏
Mkovizur
Asante mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe sana 🙏
Asante my dear
Hatua kubwa muno
Hakika brooo Mungu nimwema sana 🙏
Kazi nzuri sana, MUNGU awabariki
Asante sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana kwa comment yako na uzidi kutuombea tu❤
Hongereni jamani saaaana
Asante sana mtumishi wa Mungu zidi kutuombea tu na Mungu akubariki sana 🙏
imeenda hiyo mbarikiwe siku had siku mwenyekit apewe mauwa yake
Hakika anastahili kabisaaa barikiwa sana 🙏
Kazi nzr mwaaa♥️♥️mungu awabariki sana
Asante sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nawewe pia na uzidi tu kutuombea 🙏
❤️💚❤️💚❤️💚❤️💚
Hongereni sana watumishi wa MUNGU
Asante sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana 🙏
Mungu ni mwema, hongereni sana,
Asante sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa comment yako endelea tu kutuombea🙏
Kazi mzuri Sana hongereni
Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nawewe pia 🙏
Amina mmekuwa wa viwango vingine❤
Asante mtumishi wa Mungu barikiwa sana endelea kutuombea tu Mungu afanye kazi pamoja nasi tusije tukamuacha ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏❤️
@@Aicgeitavijanachoir_Tanzania Amina tuko pamoja katka kuombeana na kazi ya MUNGU isonge mbele
Kazi njema saana aise
Asante sana mtumishi wa Mungu endelea kutuombea 🙏