- 31
- 120 839
AIC Geita Vijana Choir
Tanzania
Приєднався 8 вер 2021
This special channel for broadcasting the gospel through all songs from AICT GEITA VIJANA CHOIR (GVC)
You can share with us in proclaiming God's word with your thoughts or with your possessions.
Call Us:+255 765 103 079
You can share with us in proclaiming God's word with your thoughts or with your possessions.
Call Us:+255 765 103 079
NIMEJUA SIRI
#NIMEJUASIRI ni wimbo ambao una siri kubwa ya mafanikio yako wimbo huu ni ibada kamili ya kubalisha maisha yako. Karibu Sana kuusikiliza
Special Thanks
-AICT KALANGALALA GEITA
-Mch. JONH MASANYIWA
CREDITS.
-Song writer ZACHARIA JEREMIA NDAKI(MABULA)
AIC GEITA VIJANA CHOIR (GVC)
AICT KALANGALALA GEITA CHURCH
MUSIC DEPARTMENT
-MOSES BASS (BASS)
-DAVID SOLO(DVD),(SOLO)
-MASANJA FREDRICK KILAGO ( MASANJA),(KEYBOARD)
Lyrics writing MABULA ALOYCE
Audio Mixing & Mastering Engineer MASANJA FREDRICK KILAGO( MASANJA)
Special Thanks
-AICT KALANGALALA GEITA
-Mch. JONH MASANYIWA
CREDITS.
-Song writer ZACHARIA JEREMIA NDAKI(MABULA)
AIC GEITA VIJANA CHOIR (GVC)
AICT KALANGALALA GEITA CHURCH
MUSIC DEPARTMENT
-MOSES BASS (BASS)
-DAVID SOLO(DVD),(SOLO)
-MASANJA FREDRICK KILAGO ( MASANJA),(KEYBOARD)
Lyrics writing MABULA ALOYCE
Audio Mixing & Mastering Engineer MASANJA FREDRICK KILAGO( MASANJA)
Переглядів: 283
Відео
YESU KRISTO (SIFA NO:97)
Переглядів 6592 місяці тому
#YESU KRIST0 (SIFA NO 97) Huu ni wimbo unaopatikana katika vitabu vya "nyimbo za sifa" na ni wimbo namba 97. Wimbo huu ni wimbo unaofufua tumaini lililokufa ndani na nafsi za watu, wimbo huu utakuhudumia na wimbo huu ni ibada kamili. Wimbo huu umekuwa baraka kubwa sana kwa kila ausikilizaye.Karibu kushiriki baraka hizi amina. Special Thanks -AICT KALANGALALA GEITA -Mch. JONH MASANYIWA CREDITS. ...
Kongamano limepamba moto hapa AICT KALANGALALA GEITA
Переглядів 1382 місяці тому
Kongamano limepamba moto hapa AICT KALANGALALA GEITA
Kongamano la umisheni hapa AICT KALANGALALA GEITA
Переглядів 1542 місяці тому
Kongamano la umisheni hapa AICT KALANGALALA GEITA
AIC GEITA VIJANA CHOIR _JIACHIE LIVE PERFOMANCE AT AICT SENGEREMA CHURCH..Official Video 2024.
Переглядів 7018 місяців тому
Aic Geita Vijana Choir Live Perfomance at Aict Sengerema Church March 2024
AIC GEITA VIJANA CHOIR _MIFUPA MIKAVU_Official video.
Переглядів 20 тис.9 місяців тому
Tazama video mpya ya aic geita vijana kwaya inayokwenda kwa jina la Mifupa Mikavu. Music director Zakaria Jeremiah & Evance Ogunde(Josia) Other musicians Bass guitar Aman Victor Gyunda Solo Josia & Nahumu Gideon Key board Yusuph Zakaria Manamba Raymond Evance Ogunde (Josia) Zakaria Jeremiah Ndaki Saxophone Dickson Maige. Video directed by PETER KITULA- JR $ ZACHARIAH DINA MAKEJA .( zacmak pro)....
AIC GEITA VIJANA CHOIR _HABARI NJEMA _Official video.
Переглядів 2,8 тис.10 місяців тому
Tazama video mpya ya aic geita vijana kwaya inayokwenda kwa jina la Habari Njema. Music director Zakaria Jeremiah & Evance Ogunde(Josia) Other musicians Bass guitar Aman Victor Gyunda Solo Josia & Nahumu Gideon Key board Yusuph Zakaria Manamba Raymond Evance Ogunde (Josia) Zakaria Jeremiah Ndaki Saxophone Dickson Maige. Video directed by PETER KITULA- JR $ ZACHARIAH DINA MAKEJA .( zacmak pro). ...
GVC WALITEMBELEWA NA CHRISTINA KUTOKA MISRI,WAKIZUNGUMZIA KUENDELEZA NA KUBORESHA HUDUMA YA UMISHENI
Переглядів 23211 місяців тому
Geita vijana kwaya wakiwa na mgeni Christina Kutoka Misri wakizungumzia Jinsi ya kuboresha na kuendeleza huduma ya umisheni Tanzania na Duniani kote.
AIC GEITA VIJANA CHOIR _PATAKATIFU _Official video.
Переглядів 5 тис.11 місяців тому
Tazama video mpya ya aic geita vijana kwaya inayokwenda kwa jina la Patakatifu. Music director Zakaria Jeremiah & Evance Ogunde(Josia) Other musicians Bass guitar Aman Victor Gyunda Solo Josia & Nahumu Gideon Key board Yusuph Zakaria Manamba Raymond Evance Ogunde (Josia) Zakaria Jeremiah Ndaki Saxophone Dickson Maige. Video directed by PETER KITULA- JR $ ZACHARIAH DINA MAKEJA .( zacmak pro). Au...
AIC GEITA VIJANA CHOIR _ JIACHIE_Official video.
Переглядів 14 тис.Рік тому
AIC GEITA VIJANA CHOIR _ JIACHIE_Official video.
AIC GEITA VIJANA CHOIR _ REHOBOTH_Official video
Переглядів 17 тис.Рік тому
AIC GEITA VIJANA CHOIR _ REHOBOTH_Official video
AIC GEITA VIJANA KWAYA WAKIWA KATIKA SAFARI YA UMISHENI GEHANDU,WILAYA YA HANANG MKOANI MANYARA.
Переглядів 550Рік тому
AIC GEITA VIJANA KWAYA WAKIWA KATIKA SAFARI YA UMISHENI GEHANDU,WILAYA YA HANANG MKOANI MANYARA.
AIC GEITA VIJANA CHOIR WAPELEKENI WAMISHENARY
Переглядів 8 тис.Рік тому
AIC GEITA VIJANA CHOIR WAPELEKENI WAMISHENARY
Rehoboth coming soon date 15 October save date don't wish to miss it🙏
Переглядів 495Рік тому
Rehoboth coming soon date 15 October save date don't wish to miss it🙏
GEITA VIJANA CHOIR WAPELEKENI COMING SOON JIANDAE KUIPOKEA 🙏
Переглядів 723Рік тому
GEITA VIJANA CHOIR WAPELEKENI COMING SOON JIANDAE KUIPOKEA 🙏
GVC wakiwa katika usiku wa Rehoboth wakifanya live recording Yao🙏 usisahau kusubscribe
Переглядів 326Рік тому
GVC wakiwa katika usiku wa Rehoboth wakifanya live recording Yao🙏 usisahau kusubscribe
AIC GEITA VIJANA CHOIR.MWENYEKITI AKIZUNGUMZA NA W.W.K DUNIANI KARIBU USIKILIZE
Переглядів 3412 роки тому
AIC GEITA VIJANA CHOIR.MWENYEKITI AKIZUNGUMZA NA W.W.K DUNIANI KARIBU USIKILIZE
Haya Mungu akubariki
🎉🎉❤❤
Sifa na utukufu upewe eee Bwana barikiwa GVC
Mungu awabarik ❤ Napenda nyimbo zenu
Utukufu kwa bwana
Wimbo mzuri sana GVC MUNGU AKUBARIKI SANA
Kazi nzuri saana GVC
Kazi nzuri saan
Mungu awainue zaidi
🎸🎸🎸🎸🎸🎸
Wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua Gvc kwa kazi nzuri
Kazi nzuri gvc Mungu akubariki
Wimbo bomba sana kiukweli ni fire 🔥
Mungu awabari wimbo mzur
Mmeiimba vizuri sana hii sifa
Ukitaka kuona baraka zake Mungu ni lazima ujue siri. Nimejua siri👏👏
Wimbo Wa Kufunga Mwaka, Mungu awabariki GVC, Mtunzi nakupa 4.9/5
😍😍😇❤
Ujumbe Mzuri sana Siri ni Moja tu kumtumikia Mungu
Hongelen sana GVC Mungu azidi kuwainuwa
Wow good song gvc ubarikiwe sana
Very Nice song ninayoipenda but mmenikatili bass Guitar sijaisikia
Wimbo Bomba Sana... GVC safi sana
NIMEIJUA SIRI..🔥 😇
Wow nimekuwa wa kwanza kupokea wimbo wa NIMEJUA SIRI Mungu ibariki GVC❤🙏
Mungu awabaliki sana🎉🎉🎉❤
f🙌🙌
Mpo vzr kila mmepungua sawa jamani
Mungu ni mwema🙏 Wimbo umenibariki, Hongereni GVC kwa huduma nzuri🙏
Barikiwa sana GVC Mungu azidi kukuinua sana tena zaidi na zaidi
Mungu azidi kuwainua zaidi wana Geita Vijana Choir ❤
amina mtumishi
Mifupa mikavu ilipata kuishi tena kwa nguvu za Mungu.
Aminaa kazi nzuri sana mubariki Sana wa gvc
Mwenyezi Mungu awabariki gvc kwa kazi nzuri
amina mtumishi
Mungu awainue juu sana g.v.c
kwa uwezo wa mungu itakua hivo mtumishi
Ujumbe mzuri sana Geita vijana kwaya hongereni sana Sifa namba 97 unanibariki mno
amina mtumishi wa mungu , mungu akubariki sana
Asante Kwa huu wimbo wana Geita nabarikiwa nikiwa Kenya. Mungu awainue zaidi
amina mtumishi kalibu sanaaa
❤❤
amina mtumishi
Amen 🎉
amina mtumishi
Hakika Yesu kristo alinichagua nilipokuwa adui wake.
amina mtumishi
Hongereni sana GVC, stay blessed 🙏
amina mungu akubaliki sana
Hakika upendo wa Yesu umeniweka kuwa huru, hongelen sana GVC
amina mtumishi
Hakika Kupigwa kwake Yesu Kristo Mimi Nilipata uzima
amina mtumishi
Mungu n mwema nmekuwa wa kwanza kuvuna baraka ya huu Wimborne mzuri mbarikiwe
Barikiwa sana na endelea kushare na wengine waweza kuona
Mungu awabarik sana GVC kwa wimbo wenu mzuri ❤
Kaz nzr nimeipenda sana
Ni wimbo wenye kuleta matumaini makubwa,na ni wimbo unaotupa nguvu ya kuendelea mbele pale unapoona hakuna nguvu Wala matumaini ni Mzuri ata ukiuimba kimoyo Moyo.
amina mtumishi kalibu sana
Hongera sana Geita Vijana Kwaya
amina mtumishi wa mungu
Bwana anaendelea kutukuzwa Mungu awabarik sana GVC
amina mtumishi wa mungu
Nzr sana
Hakuna kujiinua, aliye mbinguni atawainua...safi sana
Kumtumikia Mungu kunafaida dada yangu Dosa bado Binti kabisa .
imagine oddo wangu imelida anasolo nasikia mpaka moyoni 😭😭 i’m proud of you mama angu ❤️