#MZEE
Вставка
- Опубліковано 27 вер 2024
- JUMAPILI HII USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA DUA SALA NA MAOMBEZI LITAKALO AMBATANA NA VIFUNGO KUTAKUWA NA MAJI YA UPAKO NA MAFUTA YA UPAKO KWA UTIMILIFU UTAKAYO MALIZA UCHAWI NA MASHETANI MIKOSI NUKSI NA BALAA MAJI YA UPAKO HAYA YANA UWEZO WA AJABU NA PIA MAFUTA YA UPAKO YA UWEZO WA AJABU UKIAMINI KUSAIDIKA NI LAZIMA .KUFUNGULIWA NA MIUJIZA TELE. TUTAKURUHUSU UJE NA TATIZO AMBALO UTATOKA NALO USIOFU CHIEFMWANTEMBE AMEKUWA BARAKA KWA WENGI KATIKA ARDHIZI YA TANZANIA KWA MIAKA 37 SASA KUPITIA YEYE MUNGU AMEKUSA WENGI NI MZEE WA UPAKO CHIEF MWANTEMBE BISHOP ANTONY LUSEKELO HAYAA SHIME KANYANGA TWENDE WAKATI WAKO NI SASA. HATASHUGHULIKA NA MATATIZO YAKO BILA KUCHUKUA DINI YAKO. KWA MAWASILIANO 0754606082 KABLA YA KUPIGA ANDIKA SMS UTAJIBIWA KWA WAKATI. Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
mzee nakuelewa sana Mungu akubariki sana mtimishi
Nakupenda saaana baba Transifoma nimekuwa nakufatilia saaana mahubiri yako umenipa kushinda
baba MUNGU akubariki sana nabarikiwa sana na mahubir yako
Asante Sana. Neema nyingi Kwa Jina la Yesu Christo
Nakuelewa Mkuu
Chief
Una Viwango
Unanibariki baba
Unafundisha zaidi ya walimu
Napenda sana masomo haya
Amina
Amina 👏👏👏
Mzee ubarikiwe sana, hii injiri ni yaviwango
Hawa ndo wachungaji jamani daaa natamani sana ningekuepo
Ukombozi wa nabii vladimir Putin kwa dunia
Amina
Amina
Wewe ni baba yangu wa imani sijawahi kukusahau sijawahi kuoa
haiku kusema ni mchungaji wangu wewe uliniwekea mikono nikiwa masikini wakutupa leo kila anaeniona anashtuka
Amina mungu anaweza