JOH MAKINI : NAMPA NIKKI MBISHI 0 KWENYE MISTARI YAKE/ ATAFUTE VYA KUONGEA
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
TUNACHUKIANA KWA SABABU TUNAOGOPANA TUNAOGOPANA KWA SABABU HATUJAJUANA HATUJUANI KWA SABABU TUNATENGANA DUNIA NI NZURI WALIMWENGU HATUNA MAANA
Fid q hapa aliona mengi sana ndio maana akaandika hivyo.Yaani fid q ukimpitia amaindi wala nini ila atakachoenda kukufanya inahitaji uwe na akiri kubwa sana ili umwelewe
Wazee wa kubebwa wamebakia nusu Lita salute Nikki mbishi
Joh anajua sana kuzungumza, Big up Joh.
Kikosi kazi wapo vizuri saana tatizo wana approach vibaya battle za hip hop dhidi ya Weusi.
Ww una content true say
Kwel ila pia weus wana flow flan hua zina kill
@@nellywizz9631 yes 👉
Brother uko peace sana..niki mbishi asikusababishie kuaribu cv. Waelewa wakisikiliza ulichokizungumza na ulichokizungumza jamaa ni njaa na shibe....njaa buzimwa na shibe..jamaa ananjaa sana inaonekana anahasira kinoma..mshauri tuu afikie malengo. One love
Wewe joh mwepesi Sana kwenye bars
Uwawezi utamaduni rappers ata m1
Unju next level 💥💥
Ungempa alama 2 bro maana challenge kwenye mziki ni kitu cha kawaida sana
Mimi ni mbongo Ila joh ni mkali sana zaidi ya nick mbishi fikirieni mara mbili
John Makini bishoooo tu saizi,HipHop lazima challenge sio lazima wakusifie tu,Na weusi wazeee wa kubebwaaa,saizi chenga,manager wao wa pale mjengoni kashachali,joh mlegezaji tu,Na kwa battle joh kwa nikki akasomeee
Nitajie ngoma tatu kali za Nick Mbishi...
@@Majambo_Duniani_Tv we nitajie Albam,moja ya joh Makini???
@@janguboitz4316 Et anahit songz
Na wewe kabebwe
Huyu bro ni true definition ya fake artist, Kama unahtaj kujifunza msikilize Nikki mbishi kuanzia ngoma hadi interview utajifunza
kujifunza nini kwa nikki mbishii.…???? nini ??? embu kiseme hapa tukusikie??? nyimbo zake amna chochote zaidi ya jealousy
Niki Mbishi ana nn cha kufundisha sasa kama kazi ni kuongelea watu ndo avimbe,Niki ajifunze bas kwa Young Lunya na Conboi wanazo bars zenye maana kuliko ufala wake wa chuki
Namkubali sana johnmakini
Nakubal xana joh ukaaji wako kwny game umegain hujapoteza🙌
Wnafanya sisemi wanasema juu ya majukwaa nawapa tabu hizi kuandika tu copy kwenye vitabu usinitafutie sababu shika lako nishike langu nisje nikakuaribu babu pole sana kama umekushinda ustaarabu joh makini noma sana
Joh ndo ulianza kuchana watu kwenye UFALME!
Safisana brother john
Nikki mbishi yupo sawa..
Let's music take control 🇹🇿🇹🇿
Nimependa
Joh anawaogopa hao machizi, Maana Nikki Mbishi Ni Muuaji kwa Mistari
Hana lolote mbona amepwaya kwa diss ya P mawenge?? Watu wameamua kuwapuuza tu..
Nikki mbishi Bado mkali wa Hip Hop we Bado sana afu uchuga ulonao hausaiidiii babuu me pia chugaa
Penda kutofautisha kati ya baba na mama sw
Kweli umeongea fact
Air weusi💪💪
Og bro👍
Nikki Mbishi balaa juuu zaidi.
Joh bado mshamba sana
Jooh ni kichwa sana... majibu ya kikubwa
Uko.real sana 😂😂 , wish ungekuwa lecturer mzee
Safi sn
Safi sana Joh Makini
Johmakini kwa hizo bars kachomoa uhakika anaogopa kusifia kitu cha uongo
Maksi za Chuki baada ya mistari Risasi. Weusi Cypher iliwahusu Kikosí Kazi 100% sasa ujidai vip Unju Bin Unuki sio size yako, music na maisha CHALLENGES lazima we kubali kuna makundi ya Wasanii wakali wenye uwezo wa kuingiza hela nyingi wanabadiwa sababu ya kutokubaliana na sera za unyonyaji za wanaoitwa GODFATHERS wa music industry ya Bongô ,mmeua NAKO2NAKO kisayansi sana kisa kumentein Umwamba wa Kaskazini katika map ya Tz music wakati NAKO 2.NAKO walikuwa washafanikiwa zaid ya RiverCamp ee Lord akawa bidada Ray C, acheni Jealous.
Joh Makin unazingua afu uezo wako kwa nikki mbishi Bado sanaa
Hapo ni sawa
Wewee majamaa yanajua kuchana sana kikosi kazi sio saizi yako
Joh hawezi ku'battle na Nikki KOKOTE. Mdogo wako Nikki wa pili alimbwanda kwenye dk.10 za maangamizi.
Aminiii kwambaa huo ndo ukweliii
Hilo liko wazi hawawezi kubattle
Niki mbishi ana nn cha ajabu shoo za ovyo anazomewa kila kukicha watu wanatengeneza hela ww unakalia Ku battle izo battle zinasaidia nn
@@yirgayemyirgah7820 Kapitie vizuri huko duniani battle inafaida ghani kwa mwanahiphop.
@@mugadimon3563 kwann uzungumzie uko dunian nipe mfano wa hapahapa bongo,,,battle za APA bongo zinafaida gan kwny hiphop au zimemsaidia nn Huyo mbishi,,nenda kapitie pitie izo battle za uko dunian ujue tofaut ya battle na chuki
Hapo hamnA kitu namtaka nikki aje ajibu hapo
Joh is real mazee,
Up fine brother
Mwamba 🙌🏼
Joh inaonesha hufuatilii HIPHOP pili hujui kutofautisha chuki na Challenge nyie mnaogopa kujibu challenges sababu hamna packages za mistari mnabaki kusema mnachukiwa tu
Umeongea point mwanangu hawa machalii hawana uwezo ni watumwa w media hiphop n challenge hawa jamaa hawapend challenge wabovu kupanga vina et naogopa kujbu on behalf k kweli huyu
Tatizo sio challenge, tatizo kutaka kutumia watu ili uweze kusikika. Kikosi kazi wana talent lakini hawajui biashara ya mziki.. Tangu wapo tamaduni music kazi zao kudiss weusi , mara zilla , mara ROMA. It's just simple battle ni kugawana mashabiki. Huwezi kua na brand ndogo kushinda mimi afu nikujibu diss ili upate platform. Kama edo boi alivyomdiss joh. Mziki lazima uwe tu na talanta kali za nje zisizosikika kwenye mainstream, kina Conway, big krit, king los ni wakali kuliko kina Kendrick na drake ila huwasikii. Ndo kama kina niki , wapo mtaani na watabaki kwa Ujinga wa kuamini biashara ya music ni kuandika na ku battle.
Wapate mafanikio kama wao kwanza alaf ndo waje kuchallenge sio underground a challenge star ili apande chati au asikike
Zeroo nyingii misingii akuna kwa swala l biashara yoo big ila kwenye makonzi joh badl nyanya
King Joh
shoout out to joh makini.....AMBIENI HUYO MZARAMO (NIK MBISHI) ABATTLE NA PESA ACHE UJINGA. WEUSI WANABATLE NA PESAA. MUSIK NI PESA NOW.
"if you don't make money, you don't make sense" TYGA
Yuko sahihi sana
Nomaa
Joh makini ako sawa, maisha ni yake
hahaha yy mbn kuna line yke yangoma ya bye bye inasema hz kundika hatukopi kwenye vitabu usinitafutie sababu chunga lako ntakuharibu babu hyo line ilikua inamlenga fidq
Nikki anapenda Diss sana
True
Akili 100 joh
umejenga chuki pia Joh ili ukatae udhaifu wa m2 jarb upande wako
Chuki haina culture
Makini mwamba
Nikki mbishi ni kisanga babu..
Kizazi
Ww joh unamuogopa mbishi wote nyie watano humumuwezi unju unaogopa ogopa wewe
Dr unju
Is Real joooh!
UYU MBWIGA WA ARA MSENG SANA
John makini Noma hata Jina lake tu linatisha bro
Mbwa sana huyu 😂😂
Yoyo aliekuja kulifaham jiji la dsm
Hizo chuki 2 Joh weusi 2naowajua wa zaman now uchaw
"Hizi vitu naandika sicopy kwenye vitabu"
Wewe joh wewe niki mbishi humuwezi wewe ndio sifuri kwa niki wewe mwenyewe ulikuwa unamchukia fid na humfikii
Hajawah mchukia fid joh makin
Sio kumchukia anamuogopa ukanda mwingi shobo nying kwa ma presenter ndo knachowabeba hawana lolote ma k tu
Ngoshaaaaaaaaa
Kaiona hii
Reality
Unju mtu hatar sn
Air weusiiiiiiiiiii Chuga Stan
Uyu job makini anaongea nini sasa???? Eti joh makini is lyrically better than nicki mbishi.. the fucknoutta here😂😂😂
Punguzeni chuki zisizo za msingi unasema sio hater? Je sifuri inatoka wapi?
Wakwanza today
joh makin kwa nikki ni chukiiii
Mkubali mkatahe John makini hawezi kubato na unju wala na p the mc
Tatizo uwezo wako Mdogo brother usiwe na chuki
The guy is fake collabo na chidima,davido,na hakuna impact ni kweli.
Ya Azama zero sawa lakini ya Nikki mbishi Ina bars ndani
shoo ya kibabee
Mwamba wa kazikazini
Ahhh hii 0 🤣🤣
Mwamba
Lazima uchanwe kwnn usichanywe na umekuwa wacky skuiz
Uwanja ni Mpana
Na keki ni kubwa
Kila mtu anaweza kufanya anachokifanya na bado akala
Nick mbish mshamba
Acha uoga usichanwe wewe ni nani? hujui hip hop
Yatambue madhara ya kubana mkojo kwa muda mrefu👇👇
ua-cam.com/video/I2eaTVt4QYQ/v-deo.html
Mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe
0
MAKINI hhahah
Nyie wachaga mnaubaguzi na uoga ndomana mnakosoa na hapo umetia aibu kwa kuonyesha chuki hadharan kiuharisia hao ulioikosoa mistar yao hakuna hata mmoja unaewezafikia hata robo ya uwezo wake ukitoa jina unalotumia
Acha bangi, uchaga umeingiaje hapo
Ukanda ndo unawasumbua hawana lolote km kwel yeye mwana hiphop ajibu hiphop battle ktu cha kawaida mfano NAS na JIGGA sema hawa matak weus uwezo mdg
Joh ana kiburi cha kubebwa kwenye media
Llllllllll
Yatambue madhara ya kubana mkojo kwa muda mrefu👇👇
ua-cam.com/video/I2eaTVt4QYQ/v-deo.html