Putin amejibu waliosema amefeli kule Syria jibu ni rahisi tu wameshafikia malengo ya kilichowapeleka pale Syria hivo basi ni muda wa wao kwenda sehemu nyingine, japo hajazungumzia kwamba wanaenda wapi but vifaa vyao wanavipeleka Libya kwenye base yao mpya ambayo inajengwa huko
Rahb salute kwako broh ur absolute genius kwa hizo kaz, Allah akulinde ukue zaid inshaaalaah
Uchambuzi Safi,nimekubaliana kaka
Rabi upovizury sana tena sana Allah kakupa neema kabisa
Good job ❤
Putin amejibu waliosema amefeli kule Syria jibu ni rahisi tu wameshafikia malengo ya kilichowapeleka pale Syria hivo basi ni muda wa wao kwenda sehemu nyingine, japo hajazungumzia kwamba wanaenda wapi but vifaa vyao wanavipeleka Libya kwenye base yao mpya ambayo inajengwa huko
Wamefeli bana
Kumupenda mda mrefu kama dk 30
Uchambuzi mzuri sana ila unakua mfupi sana tunaomba uchambuzi uwe hata dakika25 hivi maana ladha inapoanza tu dakika 8 za Uchambuzi nazo zimekwisha
Unajua kuchambua
mo faya rab
Respect