PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 23 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,7 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  3 місяці тому +827

    HII NDOA YA MIMI NATINA NAONA KABISA ITANITOA ROHO JAMANI MNISHAURI NIFANYE NINI MIMI??😭

  • @MaryBiyaki-wb4kr
    @MaryBiyaki-wb4kr 3 місяці тому +79

    Kama tuna wapenda kelvin na loveness jameni nope likes zenu na wapenda sana donta tv💞💞

  • @Aggiehitoh
    @Aggiehitoh 3 місяці тому +240

    Wale hatumpendi tina gonga likes ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Ellyhussein-89
    @Ellyhussein-89 3 місяці тому +430

    Mnaosapoti kelvin ampe talaka tina amuoe loveness chapu tujuane kwa likes hapa

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому +1

      Mimi hhapa nataka ampe Tina talaka Ili amuoe loveness nawapenda sana

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 місяці тому +1

      😊😊

    • @EditaMalaki
      @EditaMalaki 3 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @DennisWanyonyi-x3j
      @DennisWanyonyi-x3j 3 місяці тому +1

      Tupo wengi dada,Kenyans we love you

    • @MwanasitiAli-b8k
      @MwanasitiAli-b8k 3 місяці тому +1

      Kwan VP mwanaume akiowa huwa anafaa ackiluze mke Kwa kila kit

  • @ErnestJeremia-nw5eo
    @ErnestJeremia-nw5eo 3 місяці тому +176

    Wangapi mnampenda kelvin na loveness

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 3 місяці тому +17

    Kelvin unajua act like ni kiukweli ukweli,ila u shld stand by ur principles l sei😅 KENYA

  • @MugabeMedard-yf9jn
    @MugabeMedard-yf9jn 3 місяці тому +387

    Duuuh jamani kama utafurahi kuwa kelvin wakiachana na tina like hapo

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 місяці тому +569

    Team loveness tujuane kwa like jmn team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪🥰♥️ nawapenda jmn

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 3 місяці тому +629

    Mashabiki wa Donta tv kama unaamini Tina anaondoka kwenye hii ndoa na mambo yake yanaenda kufeli yote gonga like ❤❤ zako hapa kumpigania lovenes ❤❤🎉🎉

    • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
      @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 3 місяці тому +5

      Aende anisinya mm akua kma mwarabu kla kitu mfanyikazi alafu mamake kelvn aboo ata aulizi kinachoendelea yy amwagia mtu maji ya baridi ila loveness n maisha yote muachie mungi2

    • @MariaFransis-g6l
      @MariaFransis-g6l 3 місяці тому +3

      Yani mama ae Kelvin anambowa Yani kumwagia mfanyakazi maji ya baridi daa ila mungu yupo huyo Tina Hana KAZI yy ni kulandalanda tuu kila kukicha kufua nguo za mmeo aaah

    • @fatmaubwa-z8s
      @fatmaubwa-z8s 3 місяці тому

      huyu mama wa kelvin kama mama wa waititu walai😂😂😂😂 mi hutamani nimchape wanaboa sana​@@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 3 місяці тому +1

      Ayende kabisa uy ni shetani wa muguu mumoja

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 3 місяці тому +1

      ​@@MariaFransis-g6l yani anaboa sana

  • @KipkiruiBrian-br3pe
    @KipkiruiBrian-br3pe 3 місяці тому +135

    Team loveness hoyee......huyu Tina aondoke kabisaaaa 😢....kama tuko pamoja na hili gonga like 👍 from kenya

    • @rayianny
      @rayianny 3 місяці тому

      👍👍👍 aondoke kabisa ju Tina ananifanya pak nakichukia hiking kipindi

    • @OnesmusKitavi
      @OnesmusKitavi 2 місяці тому

      Aede kabsa 😮😮😮

    • @ZawadiRashid-c2w
      @ZawadiRashid-c2w 2 місяці тому

      Achana nae tina

  • @GloriaAssala
    @GloriaAssala 3 місяці тому +15

    Unanikera sana Kevin unapo mwita tina yeti mgewangu😂😂😂😂 mke yoka?😂😂😂😂

  • @petronillamotari1754
    @petronillamotari1754 3 місяці тому +51

    Tina aondoke kwa hii ndoa kwa sababu atamtoa mtoto Wa watu roho jmniii Kelvin ningeomba umuoe lovenesss ❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️

    • @Marry-v7o
      @Marry-v7o 3 місяці тому +1

      kwaker love unakaz ukiwa karibu na kevin kaz ukimtenga napo shida duuuh

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 місяці тому

      amesema hawzi fanya mnacho taka atafnya anacho taka yy

  • @vinskiongozi
    @vinskiongozi 3 місяці тому +100

    Miongoni mwa wa kwanza, kutoka kenya, tunamkubali kelvin sana. Gonga like tafadhali

  • @MaryMmole-en9qz
    @MaryMmole-en9qz 3 місяці тому +46

    Tunaompenda lovenes tujuane kwa like

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 3 місяці тому +7

    Oh my Gosh mama kelvin amewakuta kelvin kayatimba tena😢😢 kutakuaje sasa dada wetu atakua na amani kweli muvi Iko lit congrats kelvin na team yako nawapenda sana ❤❤❤

  • @LindaBruce-n8b
    @LindaBruce-n8b 3 місяці тому +151

    Wale tunachukizwa na vitendo vya tina gonga like jamani

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz 3 місяці тому +487

    Tunaomchukia Tina tujuane kwa likes jamani nawapenda sana❤❤❤

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому +3

      Waaaw nitafurahi sana endapo baba karobo ataona👍😡🥱🥱🤗😰🙏🖕💝😭

    • @doradora-y1q
      @doradora-y1q 3 місяці тому +2

      Mm.namchukia vibaya sana😊

    • @MariaFransis-g6l
      @MariaFransis-g6l 3 місяці тому +3

      Mm namchukua saaan na hayo makope Yake utazani Jini simpendi mungu anisamehe

    • @EvaAlex-vd9fi
      @EvaAlex-vd9fi 3 місяці тому +1

      namba moja nimim

    • @fatmaubwa-z8s
      @fatmaubwa-z8s 3 місяці тому +1

      ​@@MariaBayo-i5q😂😂😂baba karobo tena

  • @annastaciaSyombua
    @annastaciaSyombua 3 місяці тому +54

    Team strong tujuane😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪..,,, Kelvin kazi zake Safi kabisa😊

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 3 місяці тому +3

    Nawatakia maisha marefu wote mnao fatilia ndota tv na mungu awape riziki za halali

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 3 місяці тому +20

    Kazi mzuri sana kevi movie hiiii nimetokea kuipenda mno kwamajina naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @VeronicaIbrahim-wv4dg
    @VeronicaIbrahim-wv4dg 3 місяці тому +307

    Kama na wewe umekerwa na kelvi kumuoa tina gonga like hapa tujuane😂😂🎉

  • @RoseMelry-i8h
    @RoseMelry-i8h 3 місяці тому +108

    Wakwanza leooo jmn maana toka inzae mv c jawai kupew like ata moja kbs

  • @Lucy-o4h
    @Lucy-o4h 3 місяці тому +110

    Aaaaah kwani hii ndoa ya kelvin na tina yavunjika lini, wangapi tunataka ivunjike

  • @MwasitiHamis
    @MwasitiHamis 3 місяці тому +5

    Jaman Tina simpendi hata kidog Kelvin mpe talak huyo aondoke zake maan naona ananitoa roho jaman. Wanaomkubali kelvina na lovenes gonga like hapa nawapenda❤❤❤❤

  • @Vikecel
    @Vikecel 3 місяці тому +3

    I like this movie from eden burundi.kelvine and laveness ❤acha niwapeni hongela sana.tina aendelea na jeuli zake atakoma kama mbwa wa jangwani

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 3 місяці тому +60

    Aya mapenzi tina yananikera kwl 🫣 kelvin umepoa sana aisee 💔😢,Be strong💪 movie imepoa bana 😂😂😂

    • @SafariJamal
      @SafariJamal 3 місяці тому +2

      Ila kazi nzuri Bro 👌 I appreciate from+254🇰🇪

    • @fatmaubwa-z8s
      @fatmaubwa-z8s 3 місяці тому +1

      nishajua lengo lako😂😂😂😂 ila usijali lovness tunae na tunatamba nae😂😂

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 3 місяці тому +1

      ​@@fatmaubwa-z8s😂😂😂 humeon ee nampend sana lov

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 3 місяці тому +1

      Ata mimi

    • @AspaIgnas
      @AspaIgnas 3 місяці тому +1

      Uyo mwanamke hafai 😂

  • @Esther01-g1h
    @Esther01-g1h 3 місяці тому +45

    Na mimi leo nimewahi,wanaotamani Kevi aachane na Tina like apa🎉🎉

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 3 місяці тому +15

    Mmmmmh maskin love wangu na kelvin wake watapitia hali ngumu ila najua matumaini ninayo 😢❤

  • @methodnkundumukiza6367
    @methodnkundumukiza6367 3 місяці тому +9

    Basi🤷🤷Kelvin kimemlamba tena yani hapo hakuna utetezi wowote hatasema kwamba alikuwa anampa dawa🙆🙆🙆

  • @alliceMakasi
    @alliceMakasi 3 місяці тому +5

    Ni kumoto mazeeee ,, from kenya wapi likes

  • @William-y6e
    @William-y6e 3 місяці тому +50

    Wakwanza nipeni like zangu

  • @annetManyonge-gw7rh
    @annetManyonge-gw7rh 3 місяці тому +20

    Leo nimejaribu nipewe likes za loveness

  • @EdsonJackson-nl2bn
    @EdsonJackson-nl2bn 3 місяці тому +18

    Mpo vizur sana ila kelvin jitahid usije ukazama sana kwa tina love mbona katulia sana ❤❤

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 3 місяці тому +3

    😢😢pole loveness 😢ila ww mama wewe ujue mkazamwana bora ni loveness ❤

  • @IssaAbdi-x2n
    @IssaAbdi-x2n 3 місяці тому +4

    Polecana lovenes, Aminiipocku utapata faraja nataman nilie😢😢😢

  • @jacklineshayo3962
    @jacklineshayo3962 3 місяці тому +46

    toka nianze kuangalia hii movie cjawai kuwahi hivi. naomben likes hat mbil ty🎉🎉

  • @FarhatkhamisFarhatkhamis
    @FarhatkhamisFarhatkhamis 3 місяці тому +20

    Asante kelvin na epesod 23 plz tujuze epesod 24 kelvin lini unatoka jaman iyi movie bana atal dah sijui nn kitaendelea jaman kwa loveness mama kelvin gusa unase inaitwa iyo

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 місяці тому

      Mm Nimechoka Hata kuangalia,,,, Naoma Mauza uza Tuu

  • @AbdallahJuma-x1x
    @AbdallahJuma-x1x 3 місяці тому +12

    Kazi nzuri sana. Tupo sambamba Kufuatilia Penzi la Mtoto wa boss na dada wa kazi🎉🎉😊

  • @GisubizoSarah-fr7xc
    @GisubizoSarah-fr7xc 3 місяці тому +1

    Napenda hiyii movie rakini Kevin unaretea matatizo lovenss Niko 🇷🇼🇷🇼 nafurahiya iyi movie sana

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi 2 місяці тому +2

    The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯

  • @AronMaria
    @AronMaria 3 місяці тому +17

    Sijachelewa sana leo,,nimeingoja kwa hamu❤❤

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 3 місяці тому +22

    Jamañi dakika 4 tuu nimewahii nipeni zangu niondoke 🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 3 місяці тому +38

    Wakwanza leo jamn na mm naomba hata like mbili 😂😂

  • @NicksonPaul-f7i
    @NicksonPaul-f7i 3 місяці тому +5

    Mbali na kumuoa tina ukamuacha loveness kitu kingine ambacho unatuboa ni kwamba haujasimama kama mwanaume kwenye familia..unakuwa mnyenyekevu na mpole adi umezidi .ni kama umelishwa limbwata vile..kuna mda unatakiwa uongee kama mwanaume ata kama ni mbele ya mama ako..apo mama alivommwagia love maji ulitakiwa kumwambia mama ukweli kwamba aache manyanyaso kwa loveness

  • @AzungoNgolongo
    @AzungoNgolongo 3 місяці тому +2

    Wenye Hali za chini wanateseka Sana Kwa wenye nafuu za MAISHA,love jasiri

  • @IreneDavid-w2d
    @IreneDavid-w2d 3 місяці тому +10

    Jamnii leo nimechelewa wap Mimi Ila cy mbaya wadau wangu like zangu Basi❤️❤️❤️

  • @DanielManuelMissa
    @DanielManuelMissa 3 місяці тому +21

    Uyu tina nkalofi sana Nani rafiki mwingin anamuona tina mbaya saidi aweke like apa

  • @JeremiahMgoba
    @JeremiahMgoba 3 місяці тому +4

    Kama na ww unapenda Kelvin amuoe lovenes gonga like

  • @DanielCalvin-i8n
    @DanielCalvin-i8n 3 місяці тому

    Mvumilivu hula mbivu Loveness .,usijali mwisho utafaulu cos your character is helping you.Just keep it up .

  • @FurahaJosiane
    @FurahaJosiane 3 місяці тому +3

    Naomba like hata mbili jmn❤🎉❤❤❤ from kenya ❤

  • @SolomonMaitha
    @SolomonMaitha 3 місяці тому +14

    Allah atubariki tunao fatilia ino filamu

  • @NiyonsabaJofred
    @NiyonsabaJofred 3 місяці тому +7

    Kelvin natamani upendo wako na lavness utoke kwenye move uwepo kwenye maisha ya kawaida nawapenda sana❤

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому +1

      Kelvin naomba umuoe loveness namrudi kama mlivyo pendana zamn nawapenda sana Kevin na lovnes❤❤❤❤

  • @Muhsin-d3u
    @Muhsin-d3u 3 місяці тому +12

    Wakwnza kutoka saudi kama unaikubal movie yetu team hammam gonga like🎉🎉🎉🎉

  • @NadiauweraUwera
    @NadiauweraUwera 3 місяці тому +1

    Napenda sana kelvin amuoe lavness wangap wanatak iweivo from Burundi ❤❤❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 3 місяці тому +3

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @joelmuchiri8288
    @joelmuchiri8288 3 місяці тому +12

    Mimi wa kwasha kutoka Kenya nipeni maua ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 місяці тому +11

    Huyu mama Kelvin sio kosa lake yupo kwny nafs ya kuwakmbsha wamama ambao wapo hvy ,

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 місяці тому +22

    Ambao tunaomba ndoya kelvin na tina ivunjike haraka na loveness aolewe na kelvin please like hapa tujuane❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ValerianaMdendele
    @ValerianaMdendele 3 місяці тому +2

    Kaz nzr sana uschekewe bas kutuletea af samahani ile ya kijana tajir aliyejifanya maskin ili apate mke bora iliishia wapi jaman

  • @gudilasway4144
    @gudilasway4144 3 місяці тому +1

    Leo nimelia kwa ajil ya Yale anayopitia loveness, pole lavu vumilia tu, movie nzuri sana hii

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 3 місяці тому +10

    Nyie mwenzi siumizi kichwa najua Tina atasambaratishwa na heading ya move itatimia🙏i hili ni penzi la mtoto was boss na dada was kazi👌👌👌Halijaandikwa penz la mtoto was boss na Tina mpoooo👌👌

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому +1

      Kwa kweli hapo tu umepatia shoga angu❤❤❤❤❤

    • @Shinyg3l
      @Shinyg3l 3 місяці тому +1

      @@MariaBayo-i5q eeeh so najua hayo yote yatapita na love atakuwa na kelvin🥰🥰mother house

    • @basheerunurdeen5113
      @basheerunurdeen5113 3 місяці тому +1

      😅

    • @MarthaJonathan-ek7to
      @MarthaJonathan-ek7to 3 місяці тому +1

      Nawapenden sana donta tv

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 місяці тому +1

      Tina siku ukipata Mwanamme Ndio ulivo Hivo duh

  • @BahatiabdalaMndeme-u4k
    @BahatiabdalaMndeme-u4k 3 місяці тому +10

    Bradha Kelvini kazi nzuri sana

  • @PauloJohn-s6r
    @PauloJohn-s6r 3 місяці тому +9

    kazi nzuri mungu mbariki loveness❤

  • @nabilamahadhy
    @nabilamahadhy 3 місяці тому +2

    Jaman muviyetu inaelekea patam But hatujaonyeshwa maishayaAMINA na JAMES ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍😍😍😍

  • @SuleyAnderherrera
    @SuleyAnderherrera 3 місяці тому +2

    Jaman tokea movie iyanze sijawai pata like😢😢

  • @fardamkali5866
    @fardamkali5866 3 місяці тому +6

    Woooooow nmewahii. Naombeni mauwa yangu

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 3 місяці тому +4

    Da pole sana loveness bora ungekubar t kelvin akupangie hp uko gerezana kwa huyo asojielewa kwamba tina si mke bar ni mshenz

  • @AminaDaudi-t9w
    @AminaDaudi-t9w 3 місяці тому +14

    Wa kwanza leo naomba like zang

  • @SiwemaJohn-o5d
    @SiwemaJohn-o5d 3 місяці тому +10

    Yaani duu Kila kosa la Tina anapigwa love kwann mm naumia duu😢😢😢

    • @SiwemaJohn-o5d
      @SiwemaJohn-o5d 3 місяці тому +2

      Alafu huyo mama apunguze kukufuatilia wew n mwanaume bwana

    • @LucyMatotay-td7ru
      @LucyMatotay-td7ru 3 місяці тому

      Machozi yamenitoka 😢😢😢

    • @SiwemaJohn-o5d
      @SiwemaJohn-o5d 3 місяці тому

      @@LucyMatotay-td7ru nakwambia ni atar saana duu sijuw itaishaje hii move

  • @Isacrisi
    @Isacrisi 3 місяці тому

    Dahh. braza kwenye tasinia ya movie nakuona wewe TU.. ipo good broo kelvin

  • @FatmaNassor-b4d
    @FatmaNassor-b4d 3 місяці тому +6

    Wao hv ndo tunataka shabiki zenu musitugandishe

  • @ChristineMaloba-hk9je
    @ChristineMaloba-hk9je 3 місяці тому +16

    Wa nne kutoka kenya like zangu❤🎉

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому +2

      Wa kwanza kutoka Nangwa like zangu🎉❤😅👋🙏👇☝️

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 3 місяці тому

      @@MariaBayo-i5q nangwa n wapi😆🤔❤️❤️

  • @StephanoStephano-xe2px
    @StephanoStephano-xe2px 3 місяці тому +6

    Leo nimewahi na mm jamn duuuuuhhh ❤❤❤

  • @paulwenga3568
    @paulwenga3568 Місяць тому

    Ila kelvin angemlekod Tina maneno machache y upuuzi akawasikilizishe wazazi wake, ndoa 🔥🔥🔥

  • @stanleychelule9782
    @stanleychelule9782 3 місяці тому

    Kazi mzuri donta tv ,,
    Kevi protect our loveness furaha yake ni furaha kwetu na mpee talaka Tina otherwise utaendelea kukonda

  • @Ahlam-op2wr
    @Ahlam-op2wr 3 місяці тому +7

    Hatimae leo nimekuwa wa mwanzo😂😂

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 місяці тому +10

    Leo akuna kipingamizi wa kwanza mimi

  • @NatashaJulius-ed1yp
    @NatashaJulius-ed1yp 3 місяці тому +8

    Anaesoma hi sms Mungu am barik kwakila jambo

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 3 місяці тому +2

    wanao amini kama tina alionekana na rafiki yake kelvin akiingia gest gonga like hapa

  • @SakinaRamadhan-s8m
    @SakinaRamadhan-s8m 3 місяці тому

    Huu wimbo ukimaliza mv adi faino utoe mzur sana nakazi nzur sana ❤❤

  • @khajimtuliatz
    @khajimtuliatz 3 місяці тому +35

    Wakwanza leo naomba like

  • @EmmanuelUwimana-z8p
    @EmmanuelUwimana-z8p 3 місяці тому +6

    ❤wa kwanza from DRC 4:35 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Mema-h-y
    @Mema-h-y 3 місяці тому +15

    Nipe like zangu toka USA 🎉🎉🎉 wasio penda ndoa ya kelvin na Tina idumu nipeni like zangu apa

  • @jamilahussein1071
    @jamilahussein1071 3 місяці тому +1

    Yaani hili limuve nitamu jmn ingekua linatoka kila siku sisi twenye free wi-fi ingekua atuli chakula wallah du bonge lamuve kma linatokea china kumbe donta tv bongo♥️🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Fredrickerifazi
    @Fredrickerifazi 3 місяці тому

    Hakika move zenu nzuri naitwa Fredrick erifazi kutokea murong kyerwa kagera kitongo in I kabisika

  • @ANDERSONKIBICHI
    @ANDERSONKIBICHI 3 місяці тому +11

    I love your work kevin

  • @Adelina.Kagina
    @Adelina.Kagina 3 місяці тому +13

    Wa kwanza nipeni maua yangu

    • @MariaBayo-i5q
      @MariaBayo-i5q 3 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LaurenciaKahimbula-ni1pp
    @LaurenciaKahimbula-ni1pp 3 місяці тому +9

    Sku nzur kwang

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza 3 місяці тому

    Ila twende mbele turudi nyuma tina hiii na nafasi yako umeicheza vyema 😂😂😂 yaani wewe nafasi yako ni ya kukere. watu na unatukeree haswa👌👌👌🌹🌹🌹mauwa yako nimekupa

  • @maryamrashid-s6
    @maryamrashid-s6 3 місяці тому

    Kelvin nakupendaa sana kuwa na roo nzuri kwa ❤ness na pia ww sio mtu wa roo mbya hongera sana kwa Kaz zko nzuri 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @RabiaRashidi-y6d
    @RabiaRashidi-y6d 3 місяці тому +5

    Wa kwanza leo..timu Donta Tv burudani kwa wote❤

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 місяці тому +10

    Wakwanza like zangu jaman msinioneee🎉🎉🎉🎉🙏🙏

  • @CynthiaMoraa-n5b
    @CynthiaMoraa-n5b 3 місяці тому +10

    Tina umefikiwa aja loveness ajukue hiyo position

  • @SalmaLukindo
    @SalmaLukindo 3 місяці тому

    Yaani mama kevi ana roho mbaya sana kwa lovenees utafikiria hajazaa wala haujui uchungu lkn mwisho wa siku love ❤️ ndoo mkee kwa kevi

  • @Quch-k5t
    @Quch-k5t 3 місяці тому

    😌😌😌😌 ni Bora kelvin akamioa loveness ampe taraka Tina😌😌nawapenda san❤❤❤🇹🇿🇹🇿

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru 3 місяці тому +16

    Waah.loveness angakubali kupangia chumba haya yasinge tokea ila sawa..naomba na Mimi nimewai😂😂

  • @BenjaminKinga
    @BenjaminKinga 3 місяці тому +7

    Kelvin nakuchukiya Sana kwaku owa tina 🇨🇩

  • @ZaydAbram
    @ZaydAbram 3 місяці тому +10

    Kazi nzuri Ila Kuna wapombavu wengine Wanatumia cover yenu wachukuliwe hatua juu wanatuchangaya...

    • @MrsUnda-jk2cc
      @MrsUnda-jk2cc 3 місяці тому +1

      Kabisa imagine mm binafsi naona wananiharibia bundles zangu vibaya,sipendi pia

    • @Mimah866
      @Mimah866 3 місяці тому +1

      Bora ww umenena

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 дні тому

      Mm hawanipati asa maana naangalia majina

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 3 місяці тому +11

    Wote watakao soma iyi comment mungu abariki kazi za mikono Yao ❤❤❤ ila Kevin umefeli pale tu umeamuwa kuoa tina wanao penda tina aondoke niwanani ?😊

  • @KhadijaMussa-rd6fz
    @KhadijaMussa-rd6fz 3 місяці тому

    Jamn ashakumu si matusi japo kuwa series nmeikuta katikati lkn kampun ya kwao Kevin how inaoneshwa Ofisi ya Kevin tu kwa hapo bongo movie inabidi iongeze kitu kidogo ambacho kinajenga uhalisia inamaan tuone kampun ilivyo kwa uhalisia n isiwe Ofisi tu all in all movie Iko pww sana❤