MASOUD KIPANYA ATAMBULIOSHA GARI NYINGINE MPYA ATOA YA MOYONI KUHUSU ELIMU!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • MASOUD KIPANYA ATAMBULIOSHA GARI NYINGINE MPYA ATOA YA MOYONI KUHUSU ELIMU!
    SUBSCRIBE BONYEZA HAPA: www.youtube.co.... HABARI NA MATUKIO YOTE YA KILAMAWASILIANO: 0789298109/ 0745918024.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @edsoncavan4290
    @edsoncavan4290 28 днів тому +1

    Mimi nitafurahi siku kiongozi wa sketa ya technolojia akisema mwanamchi mwenyewe ujuzi wa kutengeneza atengeneze arafu alete kwenye maonesho ya 7.7 naiman nafsi yangu itafurahi sana, maana ni mengi natamani kushangaza inchi yangu, Me nasubiri maneno mazuri ya kuansha isia zetu, kazi nzuri bro masoud

  • @SimonMsigwa-z6r
    @SimonMsigwa-z6r Рік тому

    Huyu kumbe anafan kubwa Sana mamba masud kipanya

  • @muromuro8037
    @muromuro8037 3 місяці тому

    Alafu mnamlinganisha na mwijaku kweliii

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 5 місяців тому +1

    Hebu wizara liangalieni jambo la huyu mtu. Hebu muwezesheni huyu awe na kiwanda.

    • @sawackmlinga
      @sawackmlinga 3 місяці тому

      Kwa viongozi wapi ?Hawa wa kila kukicha Kodi juu sahau labda waondokane na wivu cz toka amezindia gari ya kwanza wangekua niwatu wanawawatu wao support wangesha muwezesha kitambo sishangai hapo tu Kuna baadhi ya viongozi wanatamani wampige Pini chezea ngozi black

  • @flavianmushi
    @flavianmushi 3 місяці тому

    Huyu bro anauwezo mwingi sema namna yakunya kile kilichopo ndani yake kutokana na uwezo wa pesa

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 28 днів тому

    alafu unakuta VETA wanazulula tuu na mawaziri wao

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 3 місяці тому

    Mtu maarufu pekee TZ akiongea lazima uhisi kuchukua peni na karatasi ili uchukue nondo

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 7 місяців тому

    Braza wewe ni hazina ya nchi viongozi wa 🇹🇿hamlioni hili au mpaka wa🇰🇪 waseme "KP"wakwao ndo mstuke

  • @Alwainv
    @Alwainv 6 місяців тому

    I wish nikutane na huyu mtu.