H1 ALL STARS_Naipenda_H1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • wimbo wakijiji cha H1
    kinachopatika zone ya tatu
    katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma nchini Tanzania barani afrika
    ni wimbo ulio wahunganisha bahazi ya waimbaji wa muziki kijijini humo
    kwakuimbia kijiji chao wimbo washangwe na furaha
    nia nikutaka kuonyesha jamii kua wanakipenda kijiji chao cha H1 kwahali namali iwe kwenye miangaiko na mafanikio(shida na raha)
    N.B:wimbo huo umezaminiwa na
    #Rajabu_Mmeo_Ramsey
    #shukuru_Ngabo
    #Ivonne_Ngabo &
    #Bruley_P_Kasro
    ambao ni vijana waliokua wakuhishi katika kijiji hicho kwasasa ni wakaaji wa
    #MAREKANI.

КОМЕНТАРІ • 65