CONGO NI OVYO SANA NYINYI C MLIWAPIGA MASHABIKI WA YANGA NA WENGINE WALIRUDI PEKU BILA VATU NASIMU ZAO NA WARETI ZAO MLIWANYANG'ANYA MLIWAPIGA LEO UNAOMBA MSAMAHA. ACHA UJINGA WAKO. WATU WAMEPOLWA VITU VYAO.
Huyo presda wa Mazembe fala sana mbaya zaidi anaishi hapa Dar anajua tunavyowakalimu alafu wanatwambia ujinga kuwa unywe juice hvi juice na kupiga, kuibiwa cmu, na kuvuliwa viatu vinafanana?
Nyie msijifanye wajanja mnajua mtakuja bongo ndio mana mnaomba msamaa wakati watu wameumia wengine wamepoteza vitu ngoja tulipize alafu ndio tukae nchin sasa
Usijisumbue kuongea atu msamei mtu watu wame pigwa ,wameibiwa,sim,ela,viatu,yan mpaka tulipiz iyo adabu yenu na tunataka tuwaonyeshe Yan usijisumbue kuja tutaanza na ww akuna Cha fear Pyaar
Well said President mpira ni fair play na sio vita
Kwahiyo mtupge alafu mje uku bongo mje kutupatia soda eti sio mtajua hamjui mungu si athumani
Tumewasamehe ila mtakiona cha moto mkija kwa mkapa😢😢😮
Msamaha saiv hatupokei Subilin kwanza mech ya marudiano iishe ndo mtuombe😂😂😂
Big confidence Mr president we accept your apologize
CONGO NI OVYO SANA NYINYI C MLIWAPIGA MASHABIKI WA YANGA NA WENGINE WALIRUDI PEKU BILA VATU NASIMU ZAO NA WARETI ZAO MLIWANYANG'ANYA MLIWAPIGA LEO UNAOMBA MSAMAHA. ACHA UJINGA WAKO. WATU WAMEPOLWA VITU VYAO.
Hatutaki wala kupokea msamaha bali moto ni moto tutamalizana na nyinyi kiume mtakuja huku 😂😠😠😠😠
Tulieni na sisi tulipize kisasi kwanza
Huyo presda wa Mazembe fala sana mbaya zaidi anaishi hapa Dar anajua tunavyowakalimu alafu wanatwambia ujinga kuwa unywe juice hvi juice na kupiga, kuibiwa cmu, na kuvuliwa viatu vinafanana?
Kumbe refa siku hizi ni mungu??
Mtaelewa
Hamjazoea kushenyetwa na yanga au
Yaani ninahasira😊😮😮
Nyie msijifanye wajanja mnajua mtakuja bongo ndio mana mnaomba msamaa wakati watu wameumia wengine wamepoteza vitu ngoja tulipize alafu ndio tukae nchin sasa
Ndokuwa apa TZ na weye auta fanya nothing.
Oya msije walah
Sim na mali za watazania mtazirudisha
Usijisumbue kuongea atu msamei mtu watu wame pigwa ,wameibiwa,sim,ela,viatu,yan mpaka tulipiz iyo adabu yenu na tunataka tuwaonyeshe Yan usijisumbue kuja tutaanza na ww akuna Cha fear Pyaar
Hatuupokei ila immigration ingieni mitaani wamejaa kama nzige hawana vibali.
Niuongo tu nyinyi mmezoe vita
Ila viti msing'oe awa dawa yao njee
Hivi Congo kweli,mbona ndugu zangu,subiri nimpigie simu broo kwani ni mjeshi na analinda amani uko
we tulia undg gan wa ss na nyie kutuumizia ndg zetu sbilin tarehe 3
Chem alone hana lolote Atebaa nae hafai
Msamaha tutaukubali mpaka tuwagonge na sisi umbwa nyie