BARAKA MPENJA AMVULIA KIBU KOFIA/ASEMA HAYA BAADA YA GOLI/"SIMBA NI TIMU KUBWA".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @lukumanshaha
    @lukumanshaha 15 годин тому +6

    kibu mungu akupe maisha malefu❤❤❤❤❤

  • @LiisaMaisha-is1hi
    @LiisaMaisha-is1hi 12 годин тому +7

    Uweso alikuwa vutio langu kubwa ingawaje hatajwitajwi sana.big up uwesu

  • @twahasalumu1865
    @twahasalumu1865 8 годин тому +5

    Semeni kweli Valentine Nouma ni mzuri aanze tu

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 16 годин тому +5

    Ubayaaa ubwelaaa ❤❤

  • @AnethMdoda-k8k
    @AnethMdoda-k8k 16 годин тому +10

    Hongera mpenja 🤾

  • @NeemaManeno-w7c
    @NeemaManeno-w7c 13 годин тому +2

    Simba nguvu moja❤❤

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 13 годин тому +3

    ❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪

  • @shukurmbwera2022
    @shukurmbwera2022 15 годин тому +3

    Mpenja nimekusoma sana facts tupu umeshusha

  • @GeorgeNzige
    @GeorgeNzige 15 годин тому +2

    Mwamba🔥🔥 ubaya ubwela

  • @faithmbagwile9051
    @faithmbagwile9051 16 годин тому +6

    Maneno ya Busara kabisa hayaa..

  • @IsackaKaleman
    @IsackaKaleman 15 годин тому +1

    Baba umetisha mpenja uishi milele

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 15 годин тому +3

    Mm sijaskia sauti ya mpenja leo ama nilikuwa uingereza😊

  • @gaudenciakalindo8898
    @gaudenciakalindo8898 14 годин тому +1

    Ubaya ubwelaaaaaaaa😂

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 15 годин тому

    UBAYA UBWELA🎉🎉🎉

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 16 годин тому +3

    ❤❤❤❤❤

  • @OkeloTanzania
    @OkeloTanzania 4 години тому

    mpenja unajua

  • @adamshango
    @adamshango Годину тому

    Ivi Ile pasi iliyoleta goli la pili ilipigwaje maana kama vile ulikata kona

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 16 годин тому +14

    Hivi kibu si alisawazisha goli dhidi ya al hilal Tripoli! Pale bado mwaka ulishatimia?

    • @ErickKimario-t6u
      @ErickKimario-t6u 16 годин тому +2

      Ndio 🎉

    • @Simonleonad
      @Simonleonad 15 годин тому +3

      Mwaka ulikuwa bado,katimiza mwaka kwenye ligi kuu,lkn sio yakufata hayo mi ya utopolo,lakuangalia ni michangi wake kila anapokuwa uwanjan

    • @omarykazembe3180
      @omarykazembe3180 15 годин тому +3

      Wengine nadhani mechi ILe na al ahly Tripol walikuwa hawajazaliwa.
      Pia mpira umevamiwa tuna kundi la watu wasiojua ABC ya mpira na ndio wenye kelele nyingi na maoni yasiyo na maana

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 6 годин тому

      NA WANAOSEMA NAO HAWAJUI MPIRA VILE VILE NAMBA ANAYOCGEZA KIBU KUSHINDA SI LAZIMA KWAKE ILA IKITOKEA

    • @Samweldanielnyambega
      @Samweldanielnyambega 6 годин тому

      Amemaliza mwaka kwenye ligi kuu ila kimataifa anafunga Sana aliifunga AHLY, JWANENG, AHLY TRIPOL mwaka ulikua bado sana

  • @FidelisMathewmagele
    @FidelisMathewmagele 3 години тому

    Maroen kila mechi anatereza kiatu chake hakuna njumu chini .tutafute beki mwingine foado hafai atatugalimu. Huku watu tunapresha

  • @EliasMipata
    @EliasMipata 14 годин тому

    Mpenja ukosawa...

  • @GogoMan-n6z
    @GogoMan-n6z 10 годин тому

    Simba timu jipange mchezoujao msijisahau

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 13 годин тому

    Al tripoli ni mwaka

  • @KARLOMILLANZI
    @KARLOMILLANZI 9 годин тому

    Mpenja upo sahihi sana, kwa comment ya ubora wa Valentine Nouma dhidi ya Mohamed Hussein.

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 6 годин тому

    Kibu hajapiga mwaka bila kufunga kwani wakati aliwafunga Al Ahly Tripoly mwaka umeisha?
    Sema anamwaka bila kufunga NBC Premier League

  • @RidhiKanju-y2h
    @RidhiKanju-y2h 6 годин тому

    Kibu ndio shujaa

  • @jumphaji
    @jumphaji 16 годин тому +3

    😅

  • @IpyanaMwakajinga-o1o
    @IpyanaMwakajinga-o1o 8 годин тому

    Kibu mwamba

  • @frimasonidunia86
    @frimasonidunia86 3 години тому

    Saf

  • @chapaudindiudindi8804
    @chapaudindiudindi8804 15 годин тому

    Beki shamalon anaboa sana akae njee kama mechi zote tu

    • @LucasRuben-x1t
      @LucasRuben-x1t 13 годин тому +1

      Leo tume geuka tuwe wa vumilivu kukosea kupo hata yeye kajua ndiyo mana kaomba kutoka mwenyewe katolewa yule ameomba

    • @AwedhaAbdallah
      @AwedhaAbdallah 4 години тому

      Haiwezekani kukaa nje makosa yametokea tu leo kosa ni kurejea kosa

    • @LucasRuben-x1t
      @LucasRuben-x1t 4 години тому

      @@AwedhaAbdallah mechi moja tu tumesahau kweli mpira kaz sana

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 3 години тому

    HAKUNA LOLOTE HUU MCHEZO ULIKUWA NA VISHIRIA VYA RUSHWA ..NA HII NI MBAYA SANA SANA SANA