Wao fety nilijua 2 umefollow inlove na adili vile nilianza kuwartch move big manze gd job but eeee wachawi naogopa sana nilipoona adili unapita katikati yao but fresh nice move
@@Adili677 tatizo kaka movie zako humalizi kama ile goma la kichawi ndo imeishie vile au itaendelea usichelewe sawa kaka movie zako nzuri ila humalizi broo
Fetty Nakupenda bure unacheza vizuri
Wapi Fetty ake and adili good job 👍 jaman mnajua kuninogesha 🥰🥰🥰🥰 nalala na 8 Mungu awafanyie wepesi kwenye kazi zenu inshallah 🙏🙏🙏
Wao fety nilijua 2 umefollow inlove na adili vile nilianza kuwartch move big manze gd job but eeee wachawi naogopa sana nilipoona adili unapita katikati yao but fresh nice move
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Adili Napenda kuchek movie zako kila wakati adi mdogo wangu anasema Napenda kuangalia mov za kichawi ila sio kweli ndio Ninazo zikuta kwako kwa nn et
Angalia ucjiunge tu😂😂😂
Hongereni sanaa kaka umeweza kupitaka karikat ya wachwi duh aisee ni funzo pia
Asante sana 😁😁😁😁😄😄
Ijapokuwa alikuwa mchawi pia Ila alikulinda mpaka dakika za mwisho Hyo Kali ak hongera Sana broo uar do great
Nakupenda kka ww n Fetty ,Kutoka Kenya mumeweza bro
Hongereni sana
Nyie mi nawapenda awa watu jmn😍😍😍 mfke mbali🙏
Ameeen
@@Adili677 siku naitaj niigize nanyi na mim ninaigiza pia🙏🔥💝
@@irene4889 karibu sana
Mm nataman sana kuigiza jmn
😂😂😂😂😂😂😂😂niliche sana pale kwenye kupita ata mm nisinge weza ila ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️💯💯
Ameen
😁😁😀😃😃😃😀😀😃 ule mtihan ni noma sana yan hatar zote
hizo sauti bana zinabore but movie zako adili nzuri sana
Hongereni sana move nzuri sana
Asante
Eti mnyamwezi nae mchawi😅😅😅😅
Ila all to all kazi zur Endelea kupambana
❤
Mumetisha kinoma jmn bro adili n Fetty
Adil bonge la handsome mweusi😉😉😉
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈 jaman Asante sana
Mungu awazidishie🎉❤
Napenda filamu zenu
C wte wkuchekeao wanakupenda adili jmni umeponea chupuchupu🥰🥰🥰🥰
😄😀😀😀 kwenye tundu ya sindano
Kuna funzo kubwa sana.. sio wote wnaokusaidia wana kusaidia kwa wema
God job God job❤❤❤❤❤❤
Nzur saan nimeipenda
❤ napenda filamu zenu😢
Movi nzur sana ❤❤❤
Bongo iko sawa yatufunza mengi na jinzi ya kuishi.
Wizardry is a fuck in life. Congratulations guys , go on and on. From congo DRC.
indeed reni% washiriki wote mungu_ awaripe naawafikishe_ munapopataka
movie nzr...hongeren sn
Namuona kaka toka bagamoyo rast man daty
Yah wala ujakosea unamjua kumbe😄😄😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣
@@Adili677 namjua vibaya mm kwetu hapooo magomeni kwa kisina😂😂😂😂😂😂kituo kidogo cha polisi
@@aishatanzania1194 😄🤣😄😄😄😄😄😄napajua nimeshashut pale
@@Adili677 yap ndo dhangu kuwafata fata nyuma mkiwa mnashut😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bonge moja la movie hilo ni movie la kwenda kabisa
Movie nzur hongeren sana
Asante
Movie kali sana❤🎉
Lakin Uyu kaka anaetafutw na wachawi bongi la handsome
Da nimempenda uyo Dada mana amekuws msaada kwa huyo kaka
I don't like bongo movie lakin iii mmetisha ongeren sanaaa...☺️☺️☺️♥️♥️
Asante sana tena sana
Movie kali sema jamaa movie zote 😢 zakichawi
Yap nashangaaa mmi
Kweli tena nlitaka kusema
Kali za wana
Ivi niulize Mchawi Lazima Awe nasauti Laivo
Nyanditi nmekuona big up sana
Adil ur so hensome❤
Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏😂
Move kali sana
Good job
Good job 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice one 🙌🔥💘
Jmn namuonea huruma huyu kak jmn😭😭😭
Amazing Swahili movie 💚
Nice story big up Tz
Thank
Jamani addy raha😅
Unaweza kutana namdada mzuri kafunga kilemba ukajua nimzuri kweli kumbe kigagula hafai hata kwasekunde kuanaye feti msaidie Huyo kaka
Mchawi hana alama😄😄😄😄😄
Mbona hamja endeleza
Ak nimependa hii movie
Kaka huyo inabidi umshukuru huyo dada alikuwa anakulinda Sana kwa kila Hal we mwenyewe ukiwa hujui lolote kwel mchawi Hana alama
Mov nzr mno
Mko vzr
Hii movie kiboko kabsa nzur ajabu
😂😂😂 tego hilo chuma 500🏃
Yani nyie nawakubali mno movies zenu nzuri mno
Asante sana sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mmh kwahali hii hatutaweza kwend bagamoyo 😅😅😅
Kali sana🔥🔥🔥🔥🔥
kweli duh mchawi hanaalama
Ila wachawi hawana akili wanatesa mtu eti kodi mia tano kisa nyama tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈
🤣🤣🤣😄😄😄😄🤣😄 hatar sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂
Wow 🥰🥰 nice move
Kodi miatano 😢😢😢
Napendamove.zenumchawihanaalama💥💥❤❤❤💯
Nawakubali sana mungu awafikishe mbali
Joseph peter ukiish na wat kama hawa ukiwajua chonja kama kuku
Na location bagamoyo 😂😂😂😂😂😂😂😂mtu kwao bahnah😂😂😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰🥰
😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ewaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nice🥰🔥
Simbaaa simbaaa simbaaa ADILI MTU MBAYAAAAA
Sjui mwanang ukajkutaa Nan ktk movie hy me Natty😅😅😅😅
Dalali kama dalali
@@Adili677 tatizo kaka movie zako humalizi kama ile goma la kichawi ndo imeishie vile au itaendelea usichelewe sawa kaka movie zako nzuri ila humalizi broo
Woow🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Movie kali
Iko vizur
🔥🔥🔥🔥🔥nzurii
Nice movie 👌👌👌👌
Thanks wahundaji movie😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚫🚫🚫🚫🚫💯💯💯💯💯💯💯🚰🚰
Verry nice
napnd sna movie zenu
🤣🤣🤣aujajinyea kweli apo adili
Nice one😔😔😔🤔
Thanks 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Uwongo
Move tam nimependa sana ulipopit katkat ya wachawi kwa ujasili 👺👺
Thanx sana sana kwa sapot yako
uko frsh bro ila usishituk chumba jero tu
npndaga movi zenu
Nilitamani nikwambie sio ukarimu wana maana fiche 😅🤣😂😹😆😅
😁😁😁😁😁
muko frsh kwamuvi hizi
Me hii naipend nshaiangalia Mara nne
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Itafahamika tu 🔥🔥
Kaz kaz tu mpaka wanyooke ndugu yangu
Eshermn!x?💖💓😎🥰🍕🤨😑😔
Nice
Thanx sana
I like
Adili apo kupita Katikati ya wachawi cjui kama ujajialishia🤣🤣
😀😄😁😁😁😃😃😃😃😃
Movie nzur
Adil ww muoga kwel kundi la wachawi waogopa ka ambae umekufa 🤣🤣🤣🤣
Daty unataka uniulie bby wangu😅😅adabu una ww
Naisubiri binti simba qwa hamu
Unataka Maj ya chupa
Sizoni zililzotafusilwa
Wekaka kimbia hataujiulizi ukalimu gani huo unafukia Tu mitonge na mijusi shauliako
😁😁😀😀😄😄😄😄
✌✌the complete actor
Kaz kaz tu
@@Adili677 uko vizur Broo mov zote mnajua napend hata mazngra yana kidhi uhalisia dah! Bongo nw tuko juuuuuuuuuuu....!!!!!!
😘
Utamu utamu
jmni me mb zng mnamalza nyinyi
🔥🔥🔥🔥
Waas
ivi nikweli wachawi wanaongea ivo?🤔🤔
No sio kweri hawaongeag hvyo
Mov nnzil san