🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZUBEDA SEHEMU YA 5 - MARCH 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • 🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZUBEDA SEHEMU YA 5 - MARCH 1
    #jioniyaleo #Live #Efmtanzania #Highlights
    / @efmtanzania
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

КОМЕНТАРІ • 45

  • @HellenMunanie-t8m
    @HellenMunanie-t8m 7 місяців тому +2

    Vero simulizi zako tamu,huku KENYA nakupata vizuri

  • @MashakaHamady
    @MashakaHamady 7 місяців тому +1

    Yaan nakupenda sana aunt napata mafunzo kupitia simulizi

  • @rehema-le8gq
    @rehema-le8gq 7 місяців тому +1

    Pamoja sana dada

  • @feyritteh
    @feyritteh 7 місяців тому +3

    Da vero mbna arusha hampatikani

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 7 місяців тому +3

    Leo kulikoni hapo studio, ila polen najua mambo yatakaa vizur soon, Be Blessed

    • @희정홍-s9e
      @희정홍-s9e 7 місяців тому

      Wanaume wanavituko sana nn hiki sasa 😢😢😢 inakera mpaka dada wa kaz

  • @ClintonMwacha
    @ClintonMwacha 7 місяців тому +1

    Tupo pamoja sister

  • @zennasuddi1254
    @zennasuddi1254 7 місяців тому +2

    Yan leo inakatakata kweli hatusikii vzur kabisa da vero

  • @sarahkatembo9783
    @sarahkatembo9783 7 місяців тому

    Nimempenda rafikiake zuu

  • @jimmyjames8176
    @jimmyjames8176 7 місяців тому

    Habari za majukumu dada Veronica,.:! Sasa mbona mmebadili mfumo wa simulizi? Wengine kwenda *live* ni changamoto so tukitaka kupata episodes za nyuma hatuzioni.. au ndo kila kitu mmebadili?

  • @HawaFadhili-c2z
    @HawaFadhili-c2z 7 місяців тому

    Da vero arusha hupatikani

  • @MashakaHamady
    @MashakaHamady 7 місяців тому

    Aunt Vero naendelea kukusillkiliza

  • @JokhaKhamis-z8e
    @JokhaKhamis-z8e 7 місяців тому +4

    Leo. Hatukusikia vizuri inakata kata sana vero

  • @mariammuhamed6669
    @mariammuhamed6669 7 місяців тому +2

    Wifi mtu na mke mwenza awa wafanyakazi wakike mungu ana waona

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 7 місяців тому +2

    HASANTEE

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 6 місяців тому

    Mmmmh pole zubeda

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 7 місяців тому +2

    Leo mmeboa studio, sauti haipo Sawa.

  • @NasmaMvual
    @NasmaMvual 6 місяців тому

    nakupend san sister ang

  • @AminaAlly-o9x
    @AminaAlly-o9x 7 місяців тому

    Habari dada veronika ivi mkoa wa mtwara wilaya ya masasi munapatikana namba gani maana nimeama mkoa

  • @salomekilavi6421
    @salomekilavi6421 7 місяців тому +1

    Vero kuna shida na internet

  • @SophiaYohasi
    @SophiaYohasi 7 місяців тому +1

    Si tunakupendasana da Vero jamani ila Leo ina kata kata sana

  • @fauziahashimu5540
    @fauziahashimu5540 7 місяців тому

    Pole San dada zubeda hao ndiyo ma wifi Kama chawa vile Wana roho mbaya sn🤔

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 3 місяці тому

    Ila nae zubeda alikuwa mbeya sio kila K2 lazima ufatiliy hapo utaishi Kwa Amani ila. Ukiwa unafatiliya kila K2 utaishi Kwa wasiwasi haswa ukiwa na wafanyakazi

  • @salomekilavi6421
    @salomekilavi6421 7 місяців тому

    Plz rekebisha mitambo

  • @violentjames
    @violentjames 7 місяців тому

    😢😢

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 7 місяців тому +2

    Subra kutoka kurdistan lraq da veronica mbona ivyo Leo yaaani sijui kwangutuu mtandao haupo sawa kbs kutetemeka nakuganda gandatuu ila da zuu ndowa yake ishaingia jini kisilani apo mmmmh adi uluma😢 na meanza kujifunza apo kwa wifi na uyo mdd wakz aisee mm nikipata ndowa sitokuwa nadd wakz😂😂sitaki kuibiwa mume 😅

  • @ClaraTemba
    @ClaraTemba 7 місяців тому

    Yaani wanakuwa hawawezi kujificha wakianza kuchepuka lazima utamjua tuu na wao ndo chanzo cha matatizo kwenye ndoa.

  • @WinstarWilly-fo8rr
    @WinstarWilly-fo8rr 7 місяців тому

    Jamn arusha atuwapati

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 7 місяців тому

    Huo ugonjwa hautaki ukae nyumbani kwako, pia hausikiki vizuri da vero

  • @gracesongelael631
    @gracesongelael631 7 місяців тому

    Wifi sio shogaako,chunga sana

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 7 місяців тому

    Eeh!Sinaga uvumilivu wa kujinga kama huo

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 7 місяців тому

    Pole zuu wifi ameletashinda kwenye ndoayako

  • @emanuelmakwanda8647
    @emanuelmakwanda8647 7 місяців тому

    ☎️☎️

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 7 місяців тому

    Leo haisiki kabisa

  • @jacobmwandenga3364
    @jacobmwandenga3364 7 місяців тому +8

    Hapo ndio wanaume tunapofel kabisa kubadilika mpka mke awe na hofu

    • @glorybrayankessi7002
      @glorybrayankessi7002 7 місяців тому +1

      Mwanaume akichepuka lazma akamatwe yani tabia lazma abadilike, mwanamke huwezi kumjua hata

    • @ireneherman76
      @ireneherman76 7 місяців тому +1

      Umeon eeh😅😅😅

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 7 місяців тому +1

      Nyinyi ndo mapema kuwahisi kabisaah

    • @HelenaRhobimosabi
      @HelenaRhobimosabi 7 місяців тому

      Jamani dada Vero umedamshi na Mungu amekubariki sauti

  • @GraceGerazi
    @GraceGerazi 7 місяців тому

    Chezea mawifi ww na hao watakuwa niwasukuma😅

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 7 місяців тому +1

    Sio kwanini uliuliza hivyooo
    Yani wemwanamke nimpekepekeee sanaaaa yani utasema nesi wa wamahabala wacha uwendelee kupigwa namatukio mpaka presha ije ukuondowe uhai wako uwache wanao wakiteseka😮😮😮😮😮😮😮😮

    • @annakbunga8377
      @annakbunga8377 7 місяців тому

      Mbn kama umepanic ndugu

    • @JanethJaneth-b5f
      @JanethJaneth-b5f 7 місяців тому

      @@annakbunga8377 😂😂😂😂😂😂Mwanamke mpekepeke sanaaa

  • @HamisAlly-h9o
    @HamisAlly-h9o 7 місяців тому

    😂😂