TABASAMU AKOSOA MSWADA BIMA YA AFYA “ETI NIKATIBIWE NA HELA YA KAMARI HAIWEZEKANI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Mbunge wa Jimbo la Sengerema Hamis Tabasamu akichangia muswada wa kutunga Sheria ya bima ya Afya kwa wote na.8 wa Mwaka 2022 unaoengelea kujadiliwa katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

КОМЕНТАРІ • 10

  • @peterdismas7480
    @peterdismas7480 11 місяців тому

    Bima ya afya ina utapeli mkubwa na haina msaada, bima nimelipa 400,000/- lakini muhimbili waliniandikia vipimo nikatakiwa nilipe shs 500,000/- wakati nina bima, huu siyo utapeli 400,000/- ni ya nini sasa mmechukua. Na matokeo sikuweza kufanya vipimo na baada ya kuona bima haina msaada sijarenew tena na ninasubiri kudra za mwenyezi Mungu kusubiri kufa tu. Hospitali za serikali zilizoanzishwa kwa kodi za watanzania gharama zake za vipimo na matibabu ni kubwa sana watanzania tutakufa.

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 11 місяців тому

    Jamani chanzo cha pesa za kuendesha hii bima si endelevu. Sasa watu wakipunguza kubet na mapato yakashuka itakuaje? Sasa mabilion ya dp weledi sindo yangesaidia kutibu watu bure . TUNA PESA ZETU NYINGI ZA DP JAMANI ZITUTIBU BURE TUU TUTASHUKURU SANA😢❤❤

  • @hanifaabdalla2096
    @hanifaabdalla2096 11 місяців тому

    👏👏👏

  • @robertpaul3625
    @robertpaul3625 11 місяців тому

    Umeongea point,ngoja tuone itaishaje hii kitu.

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 11 місяців тому +1

    tabasam hujawahi kukosea good nyie ndo mnaotakiwa hapa bongo

  • @leonardmdegela9999
    @leonardmdegela9999 11 місяців тому

    wagonjwaa tunao umwa Figo jamani garama zinatuuaa daricc Iko juu Sanaa haiendani na vipato vyetuu msaada jamani serikar yetuu sikivu

  • @GeorgeNtugwa
    @GeorgeNtugwa 11 місяців тому +1

    Bima ya afya Kwa wazee ni kuanzia milioni na kuendelea kisa wanamagonjwa makubwa yenye gharama kubwa je pesa wamepata wapi?

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 11 місяців тому

    Kuna watu wajiita wachungaji bungeni kidogo tu mungu mungu ndio kwenu kamali ni halali kwenu

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 11 місяців тому

    unachoongea wanakuelewa ila tu

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 11 місяців тому

    Huu ndio uhalisia wa akili zenu