Broo upo vzuri sana ....ushauri wangu sauti yako inafaa sana kuimba dancehall,au ragga kama za kina patoranking, arrow boy wa kenya, Fanya mpango uandikee ngoma izo bongo bado hatujampata
wakati ulivyo kuja Chunya kwashoo turifurah sana kiukwali now Niko iringa Mara nakusikia kwa interview ebony song ikopoa sana mwambie eee arudi nyumbani yalemabaya shafuta e king
Dondosha like Kama wamkubali huyu mwamba
Waooooooh nice video nimeisikiliza audio sana nkawa naisubir video,big up sana B2k mnyama
Leo nimekuw wa10 nipen ss hiz like 10 zatosh km unamkubl b2k
Nakubar sana b2k mungu amubalik sana
We noa
Kama unaitazama hii ngoma 2020 gonga like 😍
Top
@@Kibandulo noma sana
@@Kibandulo kjkk not lk.
Sio 2020 hadi leo hii 2023 still🔥🔥🔥
sio 2020 hadi 2024
Wimbo mzuri sauti nzuri hongera video nzuri keep it up ulete kichupa kingine bora zaidi ya hiki
prisca mlyuka 0765273892 nichek
@@mpapakatani5264 mhhh
@@mpapakatani5264 Congo DRC tuna furahi kwa nyimbo
Nice
Illa kweli azidishe moto
ngoma kali sana bro!! i belive ipo siku utafika pale unapo pataka .Gonga like yako hapa kama na wewe unripenda ngoma hii!!!!!
ngoma kali b2k tumeipokea kwa mikono miwili mashabik wako 💪💪💪💪👏👏👏👏👏🔥🔥🔥
@B2k the @B2K kizazi sana mzee wangu , kitu ki kubwa ichi baba big up
B2k mnyama hii ngoma inanikumbusha mbali Sana big up bro
kazi nzuri b2k kama umekubar gonga like apa
Qq
Qqq
Daima unazidi kuwa bora home boy,, endelea vema B2K!!
Nice vocally...my friend...i have enjoy well ur song
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇻🇹🇯🇸🇻🇸🇻🇸🇮🇸🇬🇸🇩🇸🇷🇸🇪🇸🇬🇶🇦🚆🚖🚘🥝⛽🚨🚥🚙🚨🚙🚥🛴🚲🛵🚙🚗🚐🛢️💜💜💜💜💜💜🌟⭐🌟⭐🌟⭐🌟⭐🌟🌈⚡
Alie shoot hii video ni moto kakaza saanaa dah b2k nomaaa saanaaa
DUUH HII NI KALI MZEEE #KAMWENE makambako stand upppppppppppppppp gonga like for B2K
Kamwene nimeilewa kaka
Uhakika broo
Tunakukubal sana
Nakupenda sana b2k like Kama ñawwunampenda ilitumfate wote makambako
mwambieeee!!arudi nyumban,,,,,bonge la dude brooo
b2k mkaal sana
@@idrissaallyhamisi7029 Nice
daaaaa we msenge unajua mamae duuuuuuuu umeweza sana❤❤❤❤❤
Anajua sana afu humble sana, blood much appreciations kwako
Nakukubal mpka mwisho brooo hakika unajua
Bonge moja la ngoma huwa sichoki kuichek dar mwamba🔥🔥 nakuelewa sana
nakubalii bro B2K kazi nzurii ujawai kosea bro na Mlembo Mery..
kadamshi
It's NC song 🎶 video kak umetisha
Nakubal miak yote
Gonga like kam unamuelewa @b2k mnyama
tixha xana
Official Kibandulo nakubali msumari og
@@emmanuelbura7506 nic song
Namkubalizaid yasanaa
Mamb
umetisha sana bro mungu akuongoze katika safar yako ya mzik
Fireeee
@@fausalimu4578 vp
Naipenda sana sauti hiii❤❤❤❤❤❤❤ B2K you are on 🔥🔥🔥🔥🔥 2024
B2k mnyama nakukubali sana bro
nimehipenda hii ngoma nakubali na mungu aku bariki!!
Broo upo vzuri sana ....ushauri wangu sauti yako inafaa sana kuimba dancehall,au ragga kama za kina patoranking, arrow boy wa kenya, Fanya mpango uandikee ngoma izo bongo bado hatujampata
B2K nakuli sana mungu yupo pamoja kazi njema broo
Sapoti tusongee white masai napita kusikiliza bonge la song naukisema unipend roho itauma mwambie
Shazamarashasha naomba sapoti yenu wakuu Wangu wa nguvu
Kaza mnyalukolo
Nipo nawee
Wahehe gonga like tupush
Ilove 💓 u🎉b2k mungu awe nawee 🙏
Kinyunyu hii ni Kali Aisee
Iko poa sana iii home boy....
My love for this song is in another level 🙂😊😊
vinagongana vikombe sembuse wanadam tunapita we mwambieee kama na ww imekugusa😀😀😀 per moja sana b2k mnyama
Nakukubali kaka mungu akuinue mziki wako mzur sana
b2k mnyama nakubali cn stail yk ya kipekee
I wish you all the best B2K😘🇰🇪
Wewe nimkali sanaaa sanaaa. Nenda dar mkuu usibaki huko kama meda utaharibu
Oyaah we mwanangu sub na viewers sjui unatoa wapi..? Still song 💥💥
Jamaa ana kipaj cha kipekee ungefaa ajiunge king music
Good work continue with that spirit..
Good music
Good voice
Everything in you seems to be good
Unaweza sana me nakufatilia sana upo vzr
Appreciate sana manigg B2k
Bless. Hit after hit keep up brother
poa xna dogo nakubali xna kama but utatoboa
Ngoma kali san b2k imekuzid kimo
Toka Tunduma second generation crew ngoma kariii home boy b2kize from makambako
njombe stand up
Pa1 b2k..
Love u're songs🙏💪
B2k jitaid mungu yupo
Rumayo Jr b2k
Daaaa hii Nymbo inaniliza wap my. Anna pumzika kwa Amani my b2k uko vzry kaka nice
wasenge wote wakasome uyu chaliii hatari duh me nmempigia salute
Bg up bro umetisha...Kutoka 254 mombasa kenya
Mzee baba hatari sana akika,nimepagawa nayo
Mziki mzuri kaka inatamba hadi 254 Kenya endelea ivyo ivyo
SAUTIII TU me lzm nrudii nyumbanii😍😍😍 QALY YAO🔥🔥🔥
Mbona unachelewa sasa rud wang😂😂😂
B2k mm.shabiki yako bro unajua mpaka unakera kaza bro utafikia malengo amini kwamba huu mwaka wetu
Big up Sana b2k ucku napolala nisiposkia nyimb yake naumwa mama
video tuirudie ngoma hit sanna hii
mbona
Tanzania ekx
You’re voice is a stress freee dose!! Inlove with eeevrthing💕💕🙌🏻🙌🏻🙌🏻
God bless you anything you have been need to do go straight u have been Knowing to sing bro
Aise ngoma Kali bg up b2k
Dah b2k mnyama unalalamika kinoma mzee babA.yaani unaimba kwa hisia kali big up bro
I just had this song today and mehn..I love it😢❤,Sauti yake for me🥰
Ngoma kali Mpk kali tena. Hongera sana mkuu
About this song 🎵 I remember 2019 nikiwa kwenye situation ya maisha yangu kuvurugika na mipango kusambaratika ila now naiwatch tena mambo imekaa sawa
Makambako/mlimba finest
umetisha b2k Wa NJOMBE Mwenzangu tupo pamoja
We jamaa nakuelewa ad celew an,,big up kaza man
hivi huyu jamaa hawamuoni jamani....dah....nice song
Love song mzee umecheza hisia zetu big up
You are witnessing rare raw talent with this young man. I hope you won't be distracted by fame. God Bless
Kipenzi cha makambako unaimba Hadi lahaaaaa nakupenda Sana
Good mnyalukolo big up sana ndugu yetu iwakilishe njombe yetu
I love it❤️🥰
Well done mdogomdogo wetu endelea kutuwakilishia makambako na njombe kwa ujumla
B2k we utafka Bali Sana ilove you b2k
Nimeirudia mara sita kuisikiliza ngoma imetulia kinoma sana mzeee
Tusambaze upendo walau mwanetu aje akamate 1m viewers
B2K MNYAMA amin kwamba ukimuamin mungu everything is possible
Jully Kamonga o
Kasha shika
@miraclejohan9711 Dua Nene sana jah bless 🙏🙏🔥
ua-cam.com/video/c-UL-dIo1bU/v-deo.htmlsi=JnsDf_4Y7SSnK8PJ
Chapa makambako ❤❤❤
wakati ulivyo kuja Chunya kwashoo turifurah sana kiukwali now Niko iringa Mara nakusikia kwa interview ebony song ikopoa sana mwambie eee arudi nyumbani yalemabaya shafuta e king
Nakuelewa mzazi kaz konk boss
Umesahau tulikotoka zaman,,,,,,, Ni motooo
Mungu akufungulie milango yote ya mafanikio aliyokupangia ;cmnt from violeth fungo makambako
Kaza buti mungu akubariki pamojaa Sana safari moja
Sou do Brasil gostei muito dessa música 🤩🤩♥️🙏👏👏👏👏👏👏👏👏muito boa 💯🔥🔥🤩🤩🤩
Jamn kaka unanyimbo zuri sijui kwanini mumejificha
Heee musi nais mesmo ya xto aki Mozambique🇲🇿🎉
Nyimbo nzur sana ❤❤❤❤❤
Nakukubali sana b2k pambana soon utafika mbali
Mzee baba unajua sana natamani wote walione hili
Kazinzima courage ukiendeleya nikvizuri sana
Yap karibu mwanza magu, sengerema, misungwi, ukelewe na geita
Dope bwa mdogo since day 1
B2k rudi kufanya ngoma kama hizi ....mzee una vocal ya tofauti na wasanii wengine! Baki katika category yako usiende lwenye ma amapiano
nafasi uliyenayo nzuri naomba ushikilie usitie kiburi na kupenda mademu kwa sasa^
Tisha baba pamoja san kaza piga kaz mungu yupo atakufikisha utakapo kaka.by young mst
Ukisema UNIPENDI roho itauma mwenyewe MWAMBIEEEEEEE #AMEGAINFO @AmegaInfo SANA KAKA GONGA LIKE KWA SANA
Bro hi ngoma ni Cali naipenda ulivyoimba apa mm naitwa Mr g. Kutoka Mombasa Kenya saloot bro
Na producer anakujuliaa hatariiii yaaan unakaaa kweny key vizur sana melody iko sawa tone yako vyema 90 babu kazaaaa
mwanga WA nyanda za juu kusini hakuna wakukukamata Labda wakubali kushka shat
Kama unazama iyo ngoma 2024 gonga hapa
Pa1 sana b2k goma kali
Daaa dogo anajua sana yn nmemkubali nihatar
mzee unajua sana aisee,jah bless utatoboa tu