"Wanataka kuniua,Watu 8 wamelipwa Milioni 6" MAKONDA afichua mpango wa kutaka kumuangamiza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 місяці тому +3

    Mkuu huyo alietoa hizo taarifa ahojiwe kazipata wapi ili hao watu 8 wakamatwe haraka sana iwezekanavyo

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 4 місяці тому

      Makonda ni mtu na hathi yake ana uwezo wa kijasusi,mbona asingewakamata mara Moja na kuwashtaki hao watu nane?huko ni uwongo na kujitafutia umaarufutu,I repiet to say nothing else, it's just properganda and looking for comments.

  • @WilliamMarai-o8c
    @WilliamMarai-o8c 4 місяці тому +6

    Baba Mungu yupo anaechimba kaburi kwa ajili yako atadumbukia mwenyew

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 4 місяці тому +4

    Muamini mungu Ufi Kwa uwezo wa Allah mpaka yeye apende Allah ana kurinda Kila mtu utakayo piga kazi iendelee 🇹🇿

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 4 місяці тому +1

    Sasa mnamtukania nini?kama hutaki kutoa Coment si basi,.kweli ubinadam kazi hataufanye nini ni bure

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 4 місяці тому

    Piga kazi makonda usiogope MUNGU yupo na wewe malaika wa mbingu wakufunike makonda

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 4 місяці тому +1

    Arusha tuwe makini kumwaga damu za watenda haki hizo damu huwa haziendi bure na tusiwe tayari kushirikiana na wauaji, kama una shamba la mtu lirudishe kwani muda wote unalimaga hujanunua lakwako?

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 4 місяці тому

    Muongo wewe Acha kuweweseka kwa matendo yako mchafu sio muda utaanza kuongea peke yako Damu za watu sio mchezo mzee baba jasho lazima likutoke ni muda

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 4 місяці тому +4

    na usiogope wala hufi we pambania haki mungu anakuona

  • @ewaldtemu620
    @ewaldtemu620 4 місяці тому

    Makoda Kwa uwezo wamungu chapakazi naipo siku utakuwa raisi wahili taifa na utakuwa mkombozi watanzania

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 4 місяці тому +3

    usiache mlango wazi kwakua mungu anakulimda ndugu sawa kwakua mungu anakulinda amekupa na akili yakujilinda

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 3 місяці тому

    Mwenyenzi mungu yupo kwaajili yako

  • @mwitawambura2548
    @mwitawambura2548 4 місяці тому +3

    Makonda kuwa makini na wanadamu, hata lisu alikuwa akijiamini hivo ila yalitokea ya kutokea, muamini mungu kwa kila jambo na atatenda, lakini pale panapo hitaji tahadhari, chukua tahadhari, usipuuze
    Dunia hii ni nzuri sana ila wanadunia hii si waziri hata kidogo
    Mtu yupo tayari kuondoa uhai wa mwenzake sababu ya pesa

    • @johnkayolo4640
      @johnkayolo4640 4 місяці тому

      Huna haya.
      Yaani unamtaja Lisu kwenye hii story

  • @GodfrryGabriel
    @GodfrryGabriel 4 місяці тому +1

    Hutakufa bali utaishi kwa jina la yesu kristo

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 4 місяці тому +1

    Kama hujawahi kuua hutauawa kamwe,Mungu tu ndiye alipaye kisasi wala haachi.

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 4 місяці тому +2

    MAKONDA, KWELI WATAKUA HAO UMEWAZUIYA KULA NA KUIBA PESA ZA UMAA FANYA UNDOKE UNA MADUI WENGI SANA

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 4 місяці тому +2

      Aondoke aende wapi?
      Hakuna mtu atakaye weza kumuua. Maadui za mtu mwenye haki ni maadui wa Mungu wakutane na upanga wa Mungu kwa Jina kuu la Yesu Kristo Àmina

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 4 місяці тому

    Ndugu umeshapendeka kwa kazi nzuri unayoifanya . Habari hizi huwa hazitangazwi haraka kiusalama . Huu ni uwongo wa kutunga na kujihami ili isipotokea atambe kuwa nilisema haitatokea si mmeona ? Na huu unaweza kuwa wasiwasi . Habari kama hii inaweza kuwatia TAHARUKI wananchi waliopendezwa na UWAJIBIKAJI wako !!!

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 4 місяці тому

    Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kinga yake,na moyoni .mwake amemwacha bwana. Bwana.atakulinda utokako uingiapo tangu sasa milele hata milele.

  • @allythabit3236
    @allythabit3236 4 місяці тому +2

    Uyu jamaa n muongo San

  • @petroisamba8226
    @petroisamba8226 4 місяці тому

    Piga kazi mzee wakijaribu kukuua ongezea speed iliwachanganyikiwe kabsa.

  • @FarajaLusuka
    @FarajaLusuka 4 місяці тому

    Jamani hamani alimuweka modekae atundikwe badala yake akatundikwa yeye mwenyewe hatari sana

  • @ewaldtemu620
    @ewaldtemu620 4 місяці тому

    Makoda piga kazi mungu anakilida

  • @joyceaden5085
    @joyceaden5085 4 місяці тому

    Mbane raia mwema awataje hao watu nane wakamatwe

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 4 місяці тому +1

    Pambana makonda,Viva mkuu wa mikoa yote Tanzania

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 4 місяці тому

      Mikoa yote ipi mbona kila mmoja amepewa hadidu zake za rejea kwani kuna kuingiliana?

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 4 місяці тому +1

    Tunaimani na Makonda, Makonda okoa Watanzania zuluma imezidi,

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 4 місяці тому +1

    Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 4 місяці тому +2

    Hufi bw wewe ni kibosile, mbona we ndoo walewale!

    • @Mtabirwatv9327
      @Mtabirwatv9327 4 місяці тому

      Jiangalie ndugu utajikuta kwenye ushahidi unahusika nawaza tu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@Mtabirwatv9327ukiuwa kwa upanga utauwawa kwa upanga

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 4 місяці тому

    Acha misifa ya kihuni wakuuwe kwa wema wako upe Jaladio weeee

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 4 місяці тому +1

    Acha uongo

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 4 місяці тому

      anatafuta kiki huyo Hana lolote.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому +1

      Kama hujau sawa ila kama aliuwa damu zinamnukia, ukiuwa kwa upanga utauwawa kwa upanga

  • @barrehotel-q5t
    @barrehotel-q5t 4 місяці тому

    Mh makonda baba piga kazi kazi Mh makonda cku zote kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji kwahiyo sisi Tunakuombea dua kwa mwenyezi mungu muumba wa mbingu na aridhi akulinde na akujalie afya njema Inshaallah amin

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 4 місяці тому +4

    Nothing else,huko ni uwongo,unatafuta kiki wewe uuliwe una Nini?na wewe ni Mmoja wa watu wasiojulikana Tanzania?

    • @japharymagesa735
      @japharymagesa735 4 місяці тому +2

      Chuki haifichiki kaka pole sana 😂😂

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 4 місяці тому

      Wewe ni mtu mwenye akili nzuri

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 4 місяці тому

      Unajulikana wewe baba yoyoo

    • @MngwaliAllykizangwa
      @MngwaliAllykizangwa 4 місяці тому +1

      Mtu akiwa mtetezi kwako bado una maneno ya kale watu. Wasiojulikana,hivi hujifunzi kutoka kwa hao kina lema,na wenzake umesikia wanatia neno,maana tunataka tutapochukua nchi toka ccm,,tunatarajia wawe hivyo

    • @DamagaMbiti
      @DamagaMbiti 4 місяці тому +2

      Chunga sana ulimi wako ndugu

  • @michaellorri2275
    @michaellorri2275 4 місяці тому

    Mjinga huyo nani amuwinde, acha kutafuta kiki!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      Mshamba anajificha kuficha uovu wake