GIGY MONEY KAKIRI KUWA ALIZALIWA CHOONI | JACQUELINE WOLPER ATUBU KANISANI MBELE YA MCHUNGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2023
  • GIGY MONEY KAKIRI KUWA ALIZALIWA CHOONI | JACQUELINE WOLPER ATUBU KANISANI MBELE YA MCHUNGAJI
    Fuatilia matukio yote ya Burudani hapa kwenye channel hii; AVmediatz kisha Subscribe, Like, Comment na Share video hii popote.
    Habari za Burudani, Interviews za moto na matukio yote makubwa ya kila siku unayapata hapa! Subscribe sasa.
    Instagram: avmediatz
    Facebook: web. AVmediaTZ
    Twitter: AVmediaTZ
    TikTok: www.tiktok.com/@avmediatz
    Website: www.avmediatz.com/
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 49

  • @Lolololo_09
    @Lolololo_09 11 місяців тому +5

    Nimelia mimi jamani . Mungu wetu ni wetu sote..❤❤

  • @mashachaney2048
    @mashachaney2048 11 місяців тому +3

    God Anatupokea Tulivyo,na kwa hali yoyote, Grace of God❤

  • @juvestinatarimo7678
    @juvestinatarimo7678 11 місяців тому +2

    Mungu alisema njooni wote mliolemewa na mizigo atatutua Yesu awaonekanie gigy n jackline

  • @saumumgulwa-sv4kz
    @saumumgulwa-sv4kz 11 місяців тому +2

    Nakupenda Bure dada

  • @CeciliaShirima-pl6ow
    @CeciliaShirima-pl6ow 2 місяці тому

    Basi mama usilie❤❤❤❤❤

  • @proviaprojectus7350
    @proviaprojectus7350 11 місяців тому

    My Gigy ❤, l'm praying that God to give u ease, new possibilities in every sphere of life😊

  • @SarahDanny-np3pi
    @SarahDanny-np3pi 11 місяців тому +6

    Gigy money nakupenda sana ❤️ huwaujifichi unasema kweli

    • @m.vmediazawadi4570
      @m.vmediazawadi4570 11 місяців тому

      Alafu wakina Zawadi sijui tuna matatizo gali kila Zawadi kuna kitu kapitia jamani pole sana

  • @majmadramas5726
    @majmadramas5726 10 місяців тому

    Mungu akutunze ❤❤

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 11 місяців тому

    Amen

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 місяців тому +1

    Gigy umekuja kwa Mungu sio na ulivovaa mungu wako atakuona mara moja wachungaji muna rahaaa

  • @judithonyango1449
    @judithonyango1449 11 місяців тому

    Kw kweli Mungu Mkubwa

  • @ELLYJ24
    @ELLYJ24 11 місяців тому +1

    Huyu nabii kanyoa denge yupo sawa na mtu wa kidunia hana tofauti na wakina jux

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 11 місяців тому

      Haya mmeshaanza ulitaka anyoe upara?

  • @saimonlengai6263
    @saimonlengai6263 11 місяців тому

    Jesus..

  • @greysonmalila1296
    @greysonmalila1296 11 місяців тому +1

    Uyu jamaa malisa si mtoto wa Mama lusy uyu 😢 haki tena uyu jamaa wa Ilandutwa uyu namfaham mpaka bibiake kama kweli Mungu anamtumia Amsaidie kukemea dhambi izi vituko zisiwe kwaajili ya kutrend iwe ni ya utukufu wa Mungu

  • @ruumo1201
    @ruumo1201 11 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂Gigi nikiki ahahahhaahah

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 11 місяців тому

    MUNGU AWAPE maixha marefuu gigy money and wolpe

  • @wardahcharles1951
    @wardahcharles1951 11 місяців тому +1

    Ubungo riverside barabara yakwenda jeshini

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 11 місяців тому +2

    Makan8sa ya siku hizi

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 11 місяців тому +2

    Kanifanya nitoe machozi tu

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 11 місяців тому

    Nakupenda gigy pole nahongera

  • @user-nj9wy5be2t
    @user-nj9wy5be2t 11 місяців тому

    Ilo kanisa lipo maeneo gani

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 11 місяців тому

    MUNGU ni mwema jamani

  • @azaniayusuph1945
    @azaniayusuph1945 11 місяців тому

    Nimepemda imani yako dagg

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 11 місяців тому

    Mnamchezea mungu Huna heshima gigiy

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      hahahaaaaa sio peke yake hata yule mtumishi sijui dada nguo yake kiufupi dini hii inamaajabu ya kweli kuliko ya kibaniani

    • @janethmgimba3084
      @janethmgimba3084 11 місяців тому +2

      nguo sio matendo ataukivaanguo ndefu alafu ukawa unatenda dhambi je tofauti niipi apo ulisikia nan kasema mbinguni wataenda wenye nguo ndefu wevipi moyo safi ndio unao takiwa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      @@janethmgimba3084 hahahaaaa kwenda uchi ni laana musifanye kila kitu kukirahisisha

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 11 місяців тому +2

      ​@@janethmgimba3084Kama mtu hasomi biblia ndiyo shida inapoanza wakati mungu mwenyewe alisema watu wavae mavazi ya kujisitiri

    • @janethmgimba3084
      @janethmgimba3084 11 місяців тому +2

      unacho sema sahihi tume ambiwa tujisitiri mwili lakin wakati huo moyo wako uwe umestirika kabla kwakutenda matendo mema na gigy ye nmtu wamitandao hvo kama akiamua kuokoka taratibu mungu atamubadilisha so kanisan wanaitwa wenye zambi iliwatubu sio wasafi kwakua hao tayari walisha mjua mungu

  • @SaraJeremia
    @SaraJeremia 11 місяців тому

    Nimeumia sana ujue binadam atakama angekuwa chizi sikana kwamba ana mungu ndani yake mungu akubaliki apo ulipo yeye yupo nawatesi wako kalibu kulikounavyo omba

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 11 місяців тому +2

    Hamna lolote hapo ni ujanja tu. Hawa washavuta mtonyo wao kuwapumbaza wajinga ili kanisa lijipatie wingi wa watu kuja kutoa sadaka na fungu la kumi.

    • @julianapeter9893
      @julianapeter9893 11 місяців тому

      Acha kuukumu watu ata kama unafanya thambi kiasi gani lakini ukijua kua mungu Yuko nawew unafunguliwa unajikuta umeshaacha

  • @gabrielmnozya8881
    @gabrielmnozya8881 11 місяців тому +2

    Ndo maana unaakili Fyatu kumbe ulizaliwa chooni

    • @EuphrasiaNtawatawa
      @EuphrasiaNtawatawa 11 місяців тому +7

      Hayo siyo maneno ya kumtamkia mwanadamu mwenzio,kama mkristo safi unatakiwa kumuombea kwa Mungu ambadilishe,hakuna anayetamani azaliwe maeneo yenye sifa mbaya,hata sasa ukiambiwa eneo ulilozaliwa kina sifa mbaya huwezi thubutu kukiri kuwa na wewe ulizaliwa hapo,so anastahili pongezi kwa kukiri kwake though its very painful

    • @susancharles1660
      @susancharles1660 11 місяців тому +4

      Msimhukumu hakupenda kuzaliwa hivyo

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 11 місяців тому

      Duh

    • @user-zq2qo7lp9i
      @user-zq2qo7lp9i 11 місяців тому +3

      Nakuombea roho wa Mungu akupe hekima na busara

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 11 місяців тому +4

      Yan unajina la malaika na unaongea upuuzi kwel

  • @saumumgulwa-sv4kz
    @saumumgulwa-sv4kz 11 місяців тому +1

    Nakupenda Bure dada