Hapo solo Joseph mulenga, rithym Gama, bass Abel Barthazal, waimbaji Dede, Bichuka, Gurumo, sax King Enock, kwa kweli Raha Sana kusikiliza na funzo kwa maneno yaliyomo kwenye wimbo huo, Safi Sana Mliman Park mnanikumbusha mbali sana, unatoka shule mchana unasikia wimbo huo unapigwa redioni jiko halijawashwa hakuna chakula na unarudi shule na njaa
Hapa ni kabla Kiswahili hakijaharibiwa na hawa maguruhombwe yasiyosoma. Yangesema 'aheli' badala ya aheri. Katu simsikizi mtu anayeimba na Kiswahili kichafu. Mtu asiyejua lugha hawezi kuwa na fikra mustakim!
Hii DDC Mlimani Park Band ilikuwa ni timu ya taifa kwenye muziki wa dansi miaka ya 1980 - 1985 wakali waliokuwepo ni Muhidin Mwalim Gurumo, Abel Baltazar, Michael Enock, Joseph Mulenga, Abdallah Gama, Hassan Rehani Bitchuka, Shabani Dede, Hamis Juma, Cosmas Chidumule, Benno Villa Anthony, Maxmillian Bushoke, Selemani Mwanyiro, Machaku Salum, Boniface Kachale, Habib Jefu Mgalusi, Charles John Ngosha bado nitaendelea kesho wee acha tuuu
Shaaban Dede 'Kamchape' alikuwa anawasema Msondo Ngoma, walimvua shati la sare yao Kariakoo mchana kweupe, kisa anaenda kwa watani zao Sikinde Ngoma ya Ukae.
Huu wimbo dede anawapiga dongo msondo ngoma maana alipotoka kule siku moja alikutwa na wenye band yao amevaa sare zao yaani msondo.wakamvua na kumwacha aendee zake .dede alichukia saaana ndio akakaa na bichuka watunga wimbo huu.pale anaposema kuwa ulininyang'anya nguo mbele za watu ni kweli walimnyang'anya
unanikumbusha mwaka 85 natembea kwa miguu umbali mrefu nikavimba miguu nikiwa na miaka 13 na mpaka kukandwa kwa mabono hiyo wimbo ikichezwa na rtd akiwepo juma ngondaye ktk chaguo la msikilizaji
Hii ndio ndiyo DDC original bwana. Muziki wao haupitwi na wakati, bado ni mabingwa wa muziki wa dansi Tanzania. Big up DDC
R. I. P Shaban Dede, we still remember your strong message in this song today 7/10/2022
Hapo solo Joseph mulenga, rithym Gama, bass Abel Barthazal, waimbaji Dede, Bichuka, Gurumo, sax King Enock, kwa kweli Raha Sana kusikiliza na funzo kwa maneno yaliyomo kwenye wimbo huo, Safi Sana Mliman Park mnanikumbusha mbali sana, unatoka shule mchana unasikia wimbo huo unapigwa redioni jiko halijawashwa hakuna chakula na unarudi shule na njaa
Hii ndio music , dede na wengineo Mwenyezi Mungu Awafanyie Wepesi
Hapa ni kabla Kiswahili hakijaharibiwa na hawa maguruhombwe yasiyosoma. Yangesema 'aheli' badala ya aheri. Katu simsikizi mtu anayeimba na Kiswahili kichafu. Mtu asiyejua lugha hawezi kuwa na fikra mustakim!
Dede niachie sauti yako, kanisalimie mama angu salome na baba angu mzee mkongewa
Jo Jumbe I
Jumbe kiswahili kitamu. Sasa wewe unasema (simzikizi?) Hakuna kiswahili hicho. Bali tunasema (simsikirizi) angalia pia unachokisema...!!!!!
@@twilakambangwa5952 Nawe pia unachapia. Sio (simsikirizi) Bali simsikilizi. Sio " r " Bali " l "
😂eti waguruhombwe
Hii DDC Mlimani Park Band ilikuwa ni timu ya taifa kwenye muziki wa dansi miaka ya 1980 - 1985 wakali waliokuwepo ni Muhidin Mwalim Gurumo, Abel Baltazar, Michael Enock, Joseph Mulenga, Abdallah Gama, Hassan Rehani Bitchuka, Shabani Dede, Hamis Juma, Cosmas Chidumule, Benno Villa Anthony, Maxmillian Bushoke, Selemani Mwanyiro, Machaku Salum, Boniface Kachale, Habib Jefu Mgalusi, Charles John Ngosha bado nitaendelea kesho wee acha tuuu
umemsahau mtu wa kuitwa Ali Jamwaka
reginald nyinge kweli kabisa
Joseph Bernard, Ibrahim Mwichande, Freshy Jumbe, George Kessy, Remmy (Golden finger), Abdallah Dogodogo, Kassim Rashid, Julius Mzeru, Francis Lubua,
Mchanga unakula vingi
Sikinde ngoma ya ukae
Old is Gold!!hii song itadumu milele
Kwa kweli wimbo Bora kabisa kwa marehemu Shaban Dede, hapo king Michael Enock anachafua kwa midomo ya bata
Nyimbo kali sana'' tutakukumbuka Dede kila uchao kwa umahiri wako na uwezo usio na Mashaka''''
kwa taarifa za hivi punde Shaban Dede hatunae tena
Sikiliza hilo bass guitar lilivyotulia, Mwanyilo, Mwanyilo uko wapi Mungu akubariki popote ulipo iwe kuzimu au duniani
Mwanyilo alishatangulia mbele ya haki
DDC should ressurect we enjoy real swahili music.
katika taraja rejea Shaban Dede alikuwa anapiga vijembe msondo
I will live to remember
Rest in peace #Shaban dede
Kaka izi nyimbo nikizitaka nazipataje hamna uwezekano wa kunitumia watsup kwa gharama flan yan nazipenda sanaaaa
Wimbo huu ni hasira baada ya dede kuvuliwa nguo na watu wa ottu sasa msondo ngoma alivuliwa kweli na akabaki na kaoshi.ndio akatulia akarusha dongo .
Kitendo hicho kilifanywa na Juwata Jazz wakati huo. Kabla haijabadili jina kwenda Ottu.
Hahaha
R.I.P shaaban dede
c mchezo talaka rejea maneno yanayoeleweka ujmbe tosha, bw Dede na kundi zima la mlimani, asante ally
Shaaban Dede 'Kamchape' alikuwa anawasema Msondo Ngoma, walimvua shati la sare yao Kariakoo mchana kweupe, kisa anaenda kwa watani zao Sikinde Ngoma ya Ukae.
Acha hizo Dede.... Rudi bhana Kwa huyo dada
Acha hizo Dede.... Rudi bhana Kwa huyo dada
Ally Mtalika ..hapo imetumika fasihi,mtoa talaka ni msondo
Huu wimbo dede anawapiga dongo msondo ngoma maana alipotoka kule siku moja alikutwa na wenye band yao amevaa sare zao yaani msondo.wakamvua na kumwacha aendee zake .dede alichukia saaana ndio akakaa na bichuka watunga wimbo huu.pale anaposema kuwa ulininyang'anya nguo mbele za watu ni kweli walimnyang'anya
Nikiisikiza ihi nyimbo njaa yote inapotea kipindi kile nchi ilitulia mno maisha mazuri c mda uhu daah,mungu awa rehemu wote waliotangulia,
nakumbuka mbali sanaa
Alikua anajua sana kuandika nyimbo za mapenzi
Dede umenikuna haswa
Dede enzi za uhai wakee..
mzee makwega,aliyewahi kujihusisha na butiama bass umewahi kumsikia!
Wakati mziki ulipokua mziki!bia na mziki baada ya kazi
poa sana jamani dede
Huu ndo ulikuwa mziki bhana tulii enjoy kwa kweli
Zama hazitorudi tena hizo....majonzi
bro shabani dede ww mkali unajulikana
spiros papadelis safi dede
unanikumbusha mwaka 85 natembea kwa miguu umbali mrefu nikavimba miguu nikiwa na miaka 13 na mpaka kukandwa kwa mabono hiyo wimbo ikichezwa na rtd akiwepo juma ngondaye ktk chaguo la msikilizaji
Mwaka 85 nipo Darasa la nne
Hakika tutamkumbuka sana tu dede
Hasani rehani Bitchuka pole sana, R.I.P "kamchape"
Maneno kumtuu Jumbe
Shaabani dede KAMCHAPE
Inna lillah wa inna ilayhi raajioon.
Nginde og
wacha izo Dede mbona umbona umeludi
Uwongo huu wimbo hauna maana hiyo unayofikiria. Huu wimbo ulitungwa kwa maaana nyingine. Bwana salum
@@twilamtumbi5351 una uhakika au unabisha?
After Dede leaving JUWATA not Bima Orchestra
DDC ndicho kilevi changu
Dede enzi za uhai wakee..
Apumzike kwa amani!
Nginde weeeeee....namsikia mzee mzina marehemu Mzambia, Michael "King' Enock almaarufu kama "Teacher" akiutafuna mua (Saxophone) kwa madaha kabisa. Rest in peace nyote mliotangulia mbele za haki...