Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
JAY COMBAT KWENYE BIRTHDAY PARTY YA DJ RAMA K MTONI BAR KILAKALA, NI MIDUNDO YA USWAZI SHOW LIVE
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2024
- JAY COMBAT KWENYE BIRTHDAY PARTY YA DJ RAMA K MTONI BAR KILAKALA, NI MIDUNDO YA USWAZI SHOW LIVE
#JINOMOJAMEDIA
Follow Us On:
INSTAGRAM:
jino_moja_media...
FACEBOOK:
profile.php?...
TIKTOK:
www.tiktok.com/@jinomojamedia...
#singeli #jinomojamedia #jinomojarecords #midundoyauswazi #jino1media #jino1records
nakukubali Jay Combat show kali sana
Shoo kali sana asanteeeee
Nakubali hapo enyewe 🎉
Umeuwa baba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaan sijui chakusema we ni mtu nanusu
Unyama sana😊
Oy wew fundi umetisha
Nakubalii 👍👍
Mbona mjomba umejificha Sana mm nimeskia kipande tik tok jiiune chap wakutambue gonga like na unajua
Hiko kipande kinatisha combat angejua angekitoa asee bonge ya ngoma
Aaaah,,😂
Moro nyumban
Umetish sn
Jay fund san,uyo alishawi kuibiwa nyimbo na mczo mwanae san waoo,jey mtaan lin kigambon,
mtaalam sana om boi..
Jay unajua apo nakubal
Unajua mbaka unakela
Umetisha san
Umetixha🎉
Hii no kachumbali umeweza sana
Good job boy
Chewa apo
Home moro nakubal
Jay kombati bilaa kuchoka
Umetisha sana boy
Kaka unaju Sana tenasana
Kikubwa dua unajua
UNajuaa Hadi unakeraaa maninaaaaaaaa
Naiyo ya kumuibia mama naomba jina lake
Unyama blaza san
sawa
Huu ndio mziki wetu Tanzania.
Very much brother unaweza
Moro Hakuna kama wewe, you the best j kombati
Kwa heshim
Oy we unyama san brother
mwamba anajua
Nakubari track Zak 2 mama na uzima nazikubari
❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Nyimbo inaitwaje iyo ameanza kuimba apana iyo kwani wenani nataka iyo
Unajua kaka
Unaweza brow mijino 32 lindi 1 apa
Jay combat. 🔥💥
Unyama jay kombati were ninoma
Ubalikiwe MAMA HARUN..🙏🏿
Nipo mbez Dar ili vibe sijalipat kitambo sana la hom city
Zinakuja kama zooote usitoke
Kaka pamoj sana😮😮😮
Unajua kak
Alooooo usela mpk peponi
Unajuaaaaaaaaaaaaaaaa
Inaitwa nifute machoz
Jay combat weeh sikia sikia ona xx wenzak 2nacoment katikat 2nacoment eeeh unajua xn jay mpk 2natung nyimb yak kwa njia ya kucoment
unajua mbk unakera jay
noma saana
Wane2
Makini
🔥🔥🔥🔥🔥
Unajua sela
Oya me sio mtu wa kukomenti Lakin kwaheshima kabisa chafu yangu unajuwa Sema unatuheshimisha Sana Sela arafu tunakusikiliza xana dear ilala, tunakuelewa unafanya niipende singeli unakitu utafika mbali mikazo tu
Staaaaaaaaaar
🔥🔥🔥🔥
Ulpomlzia2 apo umenkoxh kumbe uku dar tunakosa mengi
Hisia kutoka moyoni
Watu awaioni hii talent kweli😢? Hapo inaitajik2 studio Kali🦍🦍
👍👍👍👍👍👍👍👍
Nkbl
Bila kuchoka apo pokea mauwa yako Toka ifakara kwA watoto wa bichi kauzu dago
Baba umeuw chewasse
Darodi
Nyimb
Nyimbo inaitwaje
inaitwa >kwani wee nani
Unyama zaid ya sana Yani
Au vp
Kitu
Aipingw
Atal
Kinachoniumiza watoto wamor atupat nyumb zenu dar
kaka uyu dar star kw xaxa anackilizwa xana kla kona kla boda wanapqa xana nqoma zake
😂😂😂
Dg @lpha apah 32 yan majin yanayoanziw na j ujue mnajua kuimb nawakubal xn jay combat na jeusi mc mzee wa 10+10+10+2= ukijub af chekelea ww
Bila kuchoka😮
Unajua kaka🤙🏼🤙🏼🤙🏼
Unajua kaka 👏👏👏
Unajua kaka 👏👏👏
Unajua kaka 👏👏👏
Unajua kaka 👏👏👏
Unajua kaka 👏👏👏