Kidene Amshangaza Diamond Na Babutale kwenye Show watu Wakata miti wapigana vibao amri ya singeli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024
  • #kisene #singeli #morogoro
    Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

КОМЕНТАРІ • 64

  • @rajabulipongo4135
    @rajabulipongo4135 2 роки тому +4

    Singeli bwana huu nimziki wanyumban bhana 2022 like hapa tujuwane

  • @RajabuMdoe-n8s
    @RajabuMdoe-n8s Місяць тому +1

    noma san kk😄😄😄

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 3 роки тому +4

    Simba wenu hajaamsha kama kinene ,,salute brother

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +2

    Weeee ni king wa singeli bhana

  • @abeidhassan8656
    @abeidhassan8656 Рік тому

    huyu jamaa ni noma namkubali vibaya maisha

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 3 роки тому +1

    Kidene wewe ni noma sana wakimbize

  • @OnesmoSembuche
    @OnesmoSembuche 11 місяців тому

    Imepita iyo

  • @ramadhanyusuph2362
    @ramadhanyusuph2362 Рік тому

    Nawaona wahuni💥

  • @conshazmtanashati1526
    @conshazmtanashati1526 3 роки тому +2

    Balaaah

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa726 3 роки тому

    Kidene mzee wa bakora

  • @mrdollar460
    @mrdollar460 Рік тому

    Nice

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +1

    utasababisha watu waumizane , watatoana macho na upuuzi wako mbona hamna health and safely ? kwenye kundi la watu namna hiyo kuna mambo mengine huwezi kuyafanya lazima uchunge usalama wao .

  • @festolaurent1312
    @festolaurent1312 3 роки тому

    Dangote had umemkubali kidene xo pw

  • @jumamwanjo5053
    @jumamwanjo5053 2 роки тому +1

    Wauni ukienda nao sawa mbona awakupingi

  • @mohamedkigwehe4025
    @mohamedkigwehe4025 3 роки тому

    Af Ooo coronavirus ipo sawa ipo lakini sisi magufuli alishatuaminisha kwahiyo coronavirus kwetu sisi mchumba tu

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 3 роки тому

    Jamani huko ni muhadharaaaaa au niiiii

  • @islamsaid9587
    @islamsaid9587 Місяць тому

    Kk vp nataka namm nitoe nyimb

  • @IamRaySmartTz
    @IamRaySmartTz 2 роки тому

    😆😆 kidene utawauwa kumamake wallah aise

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 роки тому +1

    Hapa ni wanaume tu wanaoruka ruka au kuna wanawake????

  • @audiphastangale1893
    @audiphastangale1893 3 роки тому +2

    Ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kumuona na kumsikia huyu msanii alinishangaza kupita maelezo

    • @kultomkultom5390
      @kultomkultom5390 3 роки тому

      Alikushangaza nn sasa??

    • @audiphastangale1893
      @audiphastangale1893 3 роки тому +1

      @@kultomkultom5390 Kwanza jamaa singeri yake ni ya kitofauti ni kama ana rap michano konk tena free style lakini ni alivyowa control watu kuwaambia watu kakakate matawi ya miti wanatii anasema hayo ni madogo waende kukata matawi mengine wanaenda kama kawaloga vile

    • @kultomkultom5390
      @kultomkultom5390 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq 2 роки тому

    Hahaha yale maji aloyarusha cio buree akiamrisha watu wanafanya

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 4 місяці тому

    Ndio maana mimi sim niliacha Nyumbani niliyajua aya

  • @Abdalahabduliy
    @Abdalahabduliy 2 місяці тому

    kwer

  • @marthacornel1184
    @marthacornel1184 3 роки тому +3

    Kideene rais wa singeli

  • @geotz1160
    @geotz1160 3 роки тому +1

    Kidene utawaua

  • @chidoxog2588
    @chidoxog2588 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @AlexWatson-r1k
    @AlexWatson-r1k 3 місяці тому

    Acha ushamb undio mzk waktaa pny ww

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому

    Uyo mwanamke apo mbele

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 3 роки тому

    Kidene unajua kusepa na vijiji hata ulaya utasepa na vijiji

  • @antoniambugano5060
    @antoniambugano5060 2 роки тому

    Nakubak

  • @ip_header
    @ip_header 3 роки тому +1

    Watu kwakupenda upuuzi, hapo ameimba nn kama sio kelele tu

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 роки тому

      Mimi mwenyewe sielewi chochote nimeenda kwenye page yake pia sioni maajabu..... ila baadhi ya watu wanakarama ya kupendwa hata wakofanya yasiyoeleweka

    • @siajalimasina5616
      @siajalimasina5616 2 роки тому

      Huezi kuelewa

    • @kendrickwizz
      @kendrickwizz Рік тому

      Utaelewaje wapenda singeli nilazima tuwachanye😂😋

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 3 роки тому

    Mziki kelele nying hakuna anachokiimba.

  • @RichardShitindi33
    @RichardShitindi33 6 місяців тому

    Soma

  • @mathiasstive6301
    @mathiasstive6301 3 роки тому

    Mh hatari

  • @mziwandabwamkuu5531
    @mziwandabwamkuu5531 3 роки тому

    Hata anachoimba mm sikielewi zaid ykusikia kata majani anaongea tu mhmhmh makubwa namliza bando langu kusenge kwer yaani mm tu ninayemsikia kwenye mtandao kelele zake mpk kichwa kinauma sasa cjui watu waliopo kwenye shoo mziki mwingine hata show bure Kama ilivyo show hii mm unipti nibora nikango'lee majasi shambani

  • @shinjemackenzie6256
    @shinjemackenzie6256 3 роки тому

    Nifuraha kwa shetani pale wakala wake anapowaendesha mazuzu wa kibongo atakavyo mf kata majani mazuzu wanakata hata angelisema wale kinyesi chake hao mazuzu wangelikula hii inaitwa njoo kwa shetani kuna raha

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah Місяць тому

    😂😂😂

  • @ktheboykajungilo5089
    @ktheboykajungilo5089 3 роки тому

    Huyu Nae Sijui Ananini

  • @kareemmngeza478
    @kareemmngeza478 3 роки тому +2

    Singeli nesheni

  • @amina-we6vo
    @amina-we6vo 2 роки тому

    Jamaa hii nyota alikoitoa anipeleke

  • @mziwandabwamkuu5531
    @mziwandabwamkuu5531 3 роки тому +1

    Watu bwana yaani mnaacha kuwashangilia wakina mboso wanaimba nyimbo za maana unampigia kelele huyu kinata na nyiimbo zake zakijinga tangu apande kwenye steji nimeskia kata majani hebu tusimalize nguvu na sauti zetu sisi mashabik kwanyimba za kisenge jamani mnasumbuliwa Kama machiz heti kata majani ukirud home mtu umechoka Kama umetoka kulima kumbe kuangalia show tu poleni

    • @lusekelomwaigwisya850
      @lusekelomwaigwisya850 3 роки тому +1

      Huwezi elewa

    • @lazoboe8763
      @lazoboe8763 2 роки тому +1

      Utaelewaa tuuu ata kiroho mbaya

    • @YohanaPetro-xv9tp
      @YohanaPetro-xv9tp 6 місяців тому

      Washingilie Wewe Usitufundishe Nn Tuflahie ata Wewe Mbona Upo live Unaburudika Na Singeli

    • @TumainiPs
      @TumainiPs 6 місяців тому

      Ukikua utaacha

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +1

    ina maana huyu akipiga show watu wanaingia kwa pesa ? naona fujo tu

  • @the.sanJaco
    @the.sanJaco 3 роки тому

    Mh

  • @mrdollar460
    @mrdollar460 Рік тому

    Nice

  • @AlexWatson-r1k
    @AlexWatson-r1k 3 місяці тому

    Acha ushamb undio mzk waktaa pny ww