KIDENSA MC, LIVE SHOW TOP CORNER MIKONGENI KUSHEREHEKEA USHINDI WA MPIRA WA MIGUU, MIDUNDO YA USWAZI
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- KIDENSA MC, LIVE SHOW TOP CORNER MIKONGENI KUSHEREHEKEA USHINDI WA MPIRA WA MIGUU, MIDUNDO YA USWAZI
JINOMOJAMEDIA
Follow Us On:
INSTAGRAM:
...
MDUNDO.COM
mdundo.com/a/3...
AUDIOMACK
audiomack.com/...
FACEBOOK:
www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
Nakubali mwanangu anajua
Nakubal xna apoh kidensa dg alpha apah from xant migo unajua bro
Huyu jamaa nataman siku moja hata aje urongon beach kigambon mwaka mpya au x mass noma sana
Unatakq aje urongon atafika
🕸️bora aToke shamba uko
Siopoa
😂😂 napaelewa sana
Cyo poaaa
Mwanangu unajua sana..kilonda apa..chamwino magengeni ..moro town
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Niko Kongo uyo kideza nakubali sana nasikilizia ngoma zake kwetu mologolo mindu💪😃
Naona kuna panga kuna nyundo kwani kuna ujenzi unaendelea😂😂
Izi show Moro peke ake. Stesheni,misongeni,kingorwila,mikese,nk❤❤❤❤❤
Oy huyu jamaa siopoa
Nakubali kaka kidensa
Kabisa Moro icon
Oya noma sana mwene2 moro town aina kufeli apoh
Msema kwel kipenz cha mungu jamaa anatembea sana kikubwa akaze asilizike mapema kam mzk anauweza
Uyuuu kuma anajua
wefundi unajua
Ebwan uyooo kidensa nimtu hatari sana yani Yuko vzr sana 👊
Ah
Uyu. Kidensa
Anajua kuimba🎉
Namkubar sana mwamba uyu ni noma
Ndo zetuuu Kivyetu vyetuu 🇹🇿♥️
Unatish San mzeeee by official George Nesto Toka kasanga
Kidesa apige hata show kutwa nzima aisee
Balaaa kidensa unajua
Unajua bro
Jamaa ana panch kwenye mic ya ad laha sana kumsikiza
Atali Sana
Anajuaa
Sasa mbn farida😂😂
Yani sijuw niniseme nini huyu mwamba sio pow atatufanya tunguze chakula da sio pow❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉kaza but🎉🎉🎉
Kidensa 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nilikuwa sisikilizi singeli lakin cm yangu inanyimbo za huyu Kide nasikiliza asubuhi mchana na nikilala yan Kama dozi namkubali sana
Oy kidensaaaaa unajua mwane2 akn kam ww ka mkubwa ao wengin wanaig2 familia kuu
Anajua bhn 2ache unafki
Uswaziiiiii
unaweza kaka
TUNAMTAKA URONGON MWEZ WA 12 🔥🙌🏽
Umetisha sana familia we appreciate it
🔥🔥
Me Mbon niki play aifiki mbka mwishoo
Inaishia kwenye dakika ya ngapi?
Fresh Asa ivii imekaa sawa inafika kuna masekeche nimefanya 🫡🫡jino moja
Uyu siku moja aje EFM ASE😂😂😂
Kuna msenge kabeba zuna😂😂
Mzki asilia huu naukabal
m2 mbad
nkibal xn aj kilomanjar kwet kun vaib xn
hakuna kama wewe kaka