Boaz Danken-UJULIKANE UNA HAKI
Вставка
- Опубліковано 16 бер 2023
- #BoazDanken .
more of Boaz Danken
• Boaz Danken at Rhema F...
• SIFA ZIVUME -Boaz Dank...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• SIJAONA MWINGINE- Boaz...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• Boaz Danken-UJULIKANE ...
• MUNGU KAMA WEWE HAYUPO...
• JE WEWE MUNGU USHINDWE...
• YESU NI BWANA- Boaz Da...
• Boaz Danken-Sifa Kwa M...
• Boaz Danken_ WAKUFANANA
• MFANYIENI BWANA SHANGW...
• Boaz Danken_ROHO MTAKA...
• BWANA WEWE NI MWEMA- B...
• YOUR WILL BE DONE- Boa...
• JEMEDARI WA VITA- Boaz...
• BOAZ DANKEN-MWANGALIE ...
• Boaz Danken - Wanadamu...
• UNAWEZA MFINYANZI Boaz...
• Boaz & Pastor Iman Dan...
• Amen Amen -Boaz Danken...
• BOAZ DANKEN - UONGEZEK...
Mungu amekupaka mafuta kwa kazi hii mtu wa Mungu
Amen!We are all blessed
Hakika
MY FELLOW KENYANS 🇰🇪 wapi likes za minister @Boazdanken ! Let's push this...
More grace big brother! This is so powerful ! Ujulikane una Haki usemapo neno lako ! You're a blessing
Keep it up the good work sir
🔥🔥
My favorite Kenyan worship minister Jeremy jeradi official God bless you sir
I love your song Baba-Eh jambo gani Hilo Usiloweza
@@Dj-sarah254 glory to Jesus Christ
@@Dj-sarah254 sifa Kwa Mungu
Am glad nimekuwa wakwanza💥💥💥 Ujulikane unahaki Mungu wangu Mtakatifu Yesu
💖
Wow!!Holy is u Jesus.Big up Boaz .
@@fapiansmusembi9916 vsiee to yy
@@fapiansmusembi9916 vsiee to yy
Haleluya
Huu uimbo umenikumbusha abali za mtume Paulo alikua tayali ata kufa kwa hajili ya injili Yesu tupe moyo wa kuwa mawakili wako wazuri
Ubarikiwe mwalimu Boaz
alikuwa tayari hata kwa kifo kwa ajili ya injili ya Yesu,,wengi walikombolewa.Amen
Mtakatifu ni wewe yesu. Mwaminifu ni wewe. Hakika neno lako lina nguvu
Ujulikane una Haki Mtakatifu Yesu . Hakika tunaye Mwenye Haki. Amina
Ujulikane we YESU
Mungu ujulikane una haki kupitia neno lako
God is real...hajatuita tuwe maarufu bali yeye awe maarufu na atukuzwe 🙌
Ujulikane una Haki Jehovah!
Ujulikane unahaki kusema kwa neno lako ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nmeisubiria sana hii video kutoka
Mungu akubariki Sanaa kaka binafsi naifurahia kazi Yako naamin mungu anafurahi zaidi
Ujulikane una Haki..
Mtakatifu Yesu..
YESU unijibu sawasawa na haki yako utakavyo ww BWANA, Eimeeeen.
Hakika Mungu ana haki. Ajulikane yeye ni mwenye haki asiyekosea.
😊🙏Ujulikane Ewe Mungu kuwa u pamoja na Mtumishi wako Boaz
Amen
Mwaminifu baba. #TrueWorship
Ujulikane una haki Mungu wangu Asante Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana,, nyimbo nzuri Sana yenye uwepo wa Bwana
Amen barikiwa mtumwa Wa BWANA kazi yako ni njema
Waoooh ubarikiwe Boaz
MMMMMH YEES!!! watu waijue haki yako YESU
More grace
Ujulikane unahakii
Kaka mkubwa hongera
Niko pale pale buhongwa nakusiliza
❣️❣️❣️❣️. Boaz danken mbalikiwa wa Bwana Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu
Sifa kwako Bwana Yesu
Mtakatifu ni Yesu
Ujulikane Yesu ,🙌🙌🙌🙌🙌🙌
I pray this words over Kenya.. may God's righteousness and justice be revealed through the government structures including DCI offices and courts of law!!
Wanyonge na maskini wakajue kuwa Mungu ni mwaminifu👐
Amen Amen 😭😭
amen 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Amen!
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Asantee mtumishi wa Mungu
Tumekiwq tukisubiria nyimbo nyingine ya kumtukuza Mungu
Ubarikiwe sana
Na Ujulikane una haki - mtakatifu ni Wewe Bwana😍
Hongera kaka
Blessed from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya
Hakika Mungu ujulikane una nguvu💥🙌🙌
AMINA BARIKIWA SANA, SON OF LIVING GOD
Ujulikane una haki Wewe Yesu. Watu wanafanya makosa kwa makusudi lakini wanajihesabia haki. Ee Mungu ujulikane una haki utoapo hukumu Mtakatifu Usiye na upendeleo. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Boaz Danken.na familia yako.
Mimi napungua Yesu ujulikane 😭🧎♀️
Mtakatifu ni Yesu🙏🙏🙏. Neema iongezeke watu wa Mungu 🙏
Utukufu kwa Bwana,,, Neno lako lina nguvu, Mtakatifu Yesu🎉🎉
Jina la Bwana Yesu Christo lisifiwe wa dada mapambo inaanza punguka. Mungu atasaidiya mpaka bata acha mapambo na maombi yote. Na utukufu utamurudilia Bwana. Mungu akutiye nguvu Boaz unakazu sana.
mwaminifu ni wewe,,usemalo unatenda bwana🙏🙏More grace Boaz
Mungu akubariki
Huyu Mungu Huyu mimi naogopa 😭. Mungu azidi kukuinua mtukishi wa Mungu kibali cha kimungu kikawe juu yako #Holy Holy is Lord God our savior Jesus Christ
This is POWERFUL 🔥🔥🙏🙏 Mtumishi,,,Ninakosa Maneno yakuelezea zaidi Moyoni mwangu Bali😭😭🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪.......UJULIKANE UNAHAKI Mtakatifu YESU 🙏🙏🙏
Wao.... Ubarikiwe
Powerful song🙌🙌🙌🙌🙌 napungua Yesu ili ww ujulikane unahaki
Ubarikiwe sana Mteule wa BWANA, Binafsi na barikiwa sana na nyimbo zako. Kila wakati naziimba
Amen. Only You are Holy Jehovah Adonai. Nimebarikiwa sana
May it be known Holy One, that You are Righteous🙌🙌🙌🙌
AMEEEENNN
Mungu azidi kukuinua kaka
Wow. Glory to God
Ujulikane una haki utoapo hukumu mtakatifu Yesu
Asante YESU kwa zawad hii ya mtumishi wako boaz
Halleluya glory
Hallelujah! hallelujah! hallelujah!
FATHER we bless your holy name ooooh GOD!
Good worship 🎵, naijulikane una nguvu,na tena umwanifu bwana🙏🙏👏👐
Wastahili Bwana wa Majeshi, MTAKATIFU YESU. Ujulikane una haki YESU, unatuwazia mema Bwana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen amen
Ahsante Mtumishi wa MUNGU KWA wimbo wenye mguso...
Ujulikane una haki
🙏🙌
Wow 🎉ujulikane una haki
This song is a great testimony to me.Indeed God is faithful he keeps his word.Thank you Jesus.
Ujulikane una haki unenapo neno lako,naujulikane una haki unapotoa hukumu,Mtakatifu ni Yesu😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
The Lord God is just and righteous.
A contrite heart and broken spirit he cannot despise.
Just watched from Kenya be blessed
Ujulikane unahaki kwa kila atua katika maisha yangu
Mtakatifu usiyekosea....na ujulikane una haki Jehova
I don't understand Swahili but this guy is so powerful 🇮🇱
Ndagha Elisha😅😅
@@ikupaalimwene6751 what ?
Unaitwa Mwakasege na you don’t understand Swahili….!? Nchi ngumu sana hii…😅 Ubarikiwe ndagha
@@elishamwakasege9794 😅
Such kind of song God bless you
Ujulikane una haki Yesu wangu
Love this song, minister Boaz. God is just and holy🙏
Ujulikane una haki maishani mwetu mtakatifu yesu kwa taifa letu la Kenya ujulikane that my prayer
Ubarikiwe ndugu Ebenezer anakupenda kutoka Kenya
The goosebumps,, hallelujah,,na ijulikane ulimwenguni kote,,una haki Baba yangu,, hallelujah
Hallelujah. Hallelujah 🗣🗣🗣
Ooh glory to God..Ujulikane una haki Mungu🙌🙌
MTUMISHI wa mungu Boaz danken. Mungu akubariki sana, Mungu akubariki sana, Mungu akubariki sana. Siwezi kueleza ila mungu akubariki kwa mguso wa roho mtakatifu alioujaza ndani ya huduma ya kujinyenyekeza mbele za mungu, inayolenga kuachilia utukufu watu wanaponywa kwa ibada hii. Acha Mungu ajulikane ana HAKI atoapo hukumu
Yesu ujulikane Una haki. Aibisha waganga , wachawi na wenye nguvu za kuzimu
Powerful ❤ man of God.pure & righteous 😢
Ujulikane una haki Mungu wangu
Oooh I love this one for sure
Your the Lord of Mercy 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Good job 👌
wonderful song may God bless you together with the team everything is well arranged for God’s Glory ❤
Such a powerful song, be blessed abundantly man of God 🙏
Mtakatifu Yesu na ijulikane una haki. ❤❤❤❤❤
This amazing so blessing wow..
May I decrease and you increase Lord.
Hakika ujulikane Bwana kua una hakiii
Ujulikane unahaki Mungu🙏,God bless you Mtumishi🙏🙏
Wauh 🔥🔥🔥 amazing song indeed, Glory to God .God bless you man of God .I love ur songs it blesses me so much.More Grace upon ur life .
Ijulikane unahaki yes,.ubalikiwe mutumish wa mungu
Great a song unto our God. Glory to God and thank you mininster Boaz Danken
Sound of the spirit ❤❤❤