JE WEWE MUNGU USHINDWE NA NINI? Boaz Danken ft Eliya Mwantondo
Вставка
- Опубліковано 15 лют 2023
- we are just a Vessles The Glory and Honor belongs to Him ONLY JESUS THE KING OF GLORY
Je WEWE MUNGU USHINDWE NA NINI?
means What can you God not do?
it's a Question
I beleave inside the content of this song many bondages are going to be released in Mighty name of JESUS
Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Shalom V. Mbuke
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Emmanuel Mtika
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
#BoazDanken .
more of Boaz Danken
• Boaz Danken at Rhema F...
• SIFA ZIVUME -Boaz Dank...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• SIJAONA MWINGINE- Boaz...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• Boaz Danken-UJULIKANE ...
• MUNGU KAMA WEWE HAYUPO...
• JE WEWE MUNGU USHINDWE...
• YESU NI BWANA- Boaz Da...
• Boaz Danken-Sifa Kwa M...
• Boaz Danken_ WAKUFANANA
• MFANYIENI BWANA SHANGW...
• Boaz Danken_ROHO MTAKA...
• BWANA WEWE NI MWEMA- B...
• YOUR WILL BE DONE- Boa...
• JEMEDARI WA VITA- Boaz...
• BOAZ DANKEN-MWANGALIE ...
• Boaz Danken - Wanadamu...
• UNAWEZA MFINYANZI Boaz...
• Boaz & Pastor Iman Dan...
• Amen Amen -Boaz Danken...
• BOAZ DANKEN - UONGEZEK...
Nauskia wimbo huu mwaka 2024 😢nitaubeba wimbo huu moyoni huu mwaka
Je MUNGU ashindwe nanini😢😢😢
Boaz boaz boaz nimekuita mara tatu baba yangu na mtumishi wa MUNGU😭😭😭🙌🙌,, MUNGU awabariki mnoo,, MUNGU awafikishe mbinguni kwakweli msiishie hapa🙌🙌😭😭
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@@boazdanken Amen
Aminaaa
@@boazdanken
Uliposema viungo anavyo vingi, nikupe tu ushuhuda AMEMPA MTOTO WANGU UBONGO MPYA
Anashindwa na nin et??!! … HAKUNA LA KUMSHINDA MUNGU WETU WA MBINGU MWENYE MATENDO MAKUU.🙏🏾
Hallelujah sifa na utukufu kwa Yesu
Huu wimbo nilipomsikilizisha Mama aliniuliza ameimba nani nikatajia jina akasema huyo mwimbaji ana nguvu sana na Mama alikuwa anaumwa mguu ukapona kwa kumsikiliza akawa anaimba amepona, na Mama hajaamini bado, nilimtukuza MUNGU. Utukufu una yeye tu.
Roho Mtakatifu yupo kazini bado kupitia wimbo huu. Utukufu kwa Bwana
Hskika naamin haya ninayopitia sitashindwa kwa jina la yesu😭😭🙏
Jeremiah 32:27 "Behold, I am the Lord, the God of all flesh. Is there anything too hard for Me?"
Glory and Honor to Jesus
Tanzania 🇹🇿 is a land of Revival
Wimbo huu unanikumbusha Mara ya kwanza nilipousikia kipindi Cha Corona, na siku hyo ilikuwa ibada ya j5 jioni nikauweka kabla ya mchungaji kupanda kwa ajili ya neno tukiwa tunaomba naye alipopanda tukajikuta ibada yote tukiurudia na wingu la Roho mtakatifu lilishuka kwa namna ya ajabu na ibada iliishia kwa wimbo huu je wewe Mungu ushindwe na Nini.
Mungu akubariki Sana mtumishi wa MUNGU kwa mafunuo ambayo Bwana ameachilia ndani yako ya kutuzamisha ktk roho kupitia kumwabudu Mungu 🙏
Wimbo wangu pendwa 🙌🏾🙌🏾 Ubarikiwe sana kaka yangu
Utukufu na heshima kwa Yesu asante Mtumishi wa Mungu
Nakupenda sana MTUMISHI Rehemasimfukwe ,napenda nyimbo zako 😢😢😢YESU azidi kukutunza
Now to him who is able to do far more abundantly than all that we ask or think, according to the power at work within us⭐💫
Amen Amen Glory and Honor to Jesus
Hakuna chakumshinda yy 😭😭😭💯
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
🙆♂🙆♂🙆♂🙆♂ undani na uzito wa ufunuo ......😭😭😭😭😱😱😱
Hakika, Mungu wangu ushindwi na jambo, unawezaaaa🙌🙌🙌🙏🙏
This song just makes you praise,,,it's beautiful!
Kweli Mungu hashindwi na kitu kabisa🙏
Walioshindwa wanakuja kwako😭😭😭
Mtumishi MUNGU akuzidishe kwenye huduma hii maana umekuwa baraka kwa watu wengi
Kaka boaz danker Amina sana nimebarikiwa😢😢❤
True indeed Jesus christs Gospel has conquered Tanzania
Mungu azidi kukupa moyo w a unyenyekevu
Je wewe mungu ushindue na nini, ohh! God what is too hard for you
Mungu hajawai shindwa Na hatawai shindwa Na chochote God bless you Boarz
Glory and Honor to Jesus please share to many
I'll share man of God 🙏
Yesu kristo aliye hai hashindwi na lolote yeremia32:27,Mungu awatumie kama yy apendavyo
This son is 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
I can do all things, through Christ Jesus who strengthens me 🙏🏽❤️
Glory and Honor to Jesus
Forever and Ever 🙏🏽
Je wewe Mungu ushindwe na nini? Halleluyah!!!
Uwiiii hii tunaifanyia zoezi na jumapili inaimbwa watu wabarikiwe..we love you man of God,we are very interior but we normally use your songs during our worshipping services,God bless you sana
Glory and Honor to Jesus
Dunia nzima iko viganjani pako, kila usemalo linatendeka. Hallelujah
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Amen 🙏
Kaka Boaz Mungu akuinue juu hii injili ipenye mataifa yote na watambue Yuko Mungu
Mungu hujawahi kushindwa,na huna historia ya kushindwa..naomba umuinue mama yangu kitandani maana hujawahi kushindwa🤲🏽
How are you?
Karibu Kenya 🇰🇪❤
Mungu wetu hawezi shindwa ,na hakuna historia yakuwa ameshawahi shindwa.
Glory and Honor to Jesus
Safi sana mtumishi wa bwana .. Mungu akubariki sana na uishi maisha marefu boaz
Mungu akubaliki sana mtumishi mbingu isikie sauti zako ,
Mungu wangu hachindwi Amen amen and amen.
Glory and Honor to Jesus
.....Hakuna wakumshinda Mungu hakika🙏
GOD bless you in advance the servant of master JESUS
Ye huyo Mungu ashindwe na nini??
Haijalishi nayoyapitia sasa...😭😭 Mungu wangu hashindwi....
Omnipotent God He's😪🔥🙌.More Grace Minister Boaz and Mwantondo🔥.Kenya loves You🇰🇪🔥👌
Glory and Honor to Jesus
Kaka Boaz ubarikiwe sana zaidi ya Jana🌲
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
Hakuna la kumshinda mungu
Yeye hashindwe na chochote.
Amen
Asante 🙏
“ Je wewe MUNGU ushindwe na nini?”😭🙌🏿
Watumishi wa Mungu Bwana awabariki sana 🙏🙏,,, mumefanyika wa Bariki Katika Kizazi hiki Sana 🙏🙏. Nawapenda sana hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.Wacha NEEMA ya YESU wetu izidii kuwatosha🙏🙏.
Glory and Honor to Jesus please share to many
Kweli Yesu Kristo unaweza je wewe Mungu ushindwe na nini , Nimebarikiwa Sana na wimbo mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu .
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Hakika Mungu hakuna la kukushinda utukuzwe milele
Amen Glory and Honor to Jesus please share to many
,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God is a master. He specializes in the impossibilities.
God preserve His servant.
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
MUNGU wetu halipo jambo la kumshinda kama umekata tamaa unaona MUNGU hawezi sikiliza wimbo huu baada ya kumaliza hatua mpya Iko mbele Yako Kisha mtukuze YESU KRISTO
Utukufu na heshima kwa Yesu
Amen
Mungu akubariki ndugu Boaz, Naamini kabsa huyu si wewe ni roho mtakatifu ndani yako
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Je wewe Mungu ushindwe na nini?hakuna lakukushinda.....Mungu akubariki mtumishi kazi yako ni njema
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Mungu si mwanadamu, Mungu is beyond our thinking self! Mungu anafanya mambo kwa namna ya kutisha sana, maisha yangu tu mwenyewe ni A LIVING TESTIMONEY. Kipande umeimba kuhusu miungu wa duniani, umenikumbusha niliambiwa mimi ni mungu wako wa dunia hapa ila JEHOVAH NISI alionyesha ukuu wake kama alivyofanya kwenye miujuzi ya fimbo ya musa na fimbo zao ....😂😂😂😂😂 hata hapa kuketi kwangu ni muujiza kuna watu hawaelewi ! naweza kuandika ... Kaka Boaz ubarikiwe kwani kwa huduma yako unanibariki sana na kunipa kusema na Mungu kila nikusikilizapo
Hakuna lolote, yeyote, chochote 🙌
Glory and Honor to JESUS
Yesu hajawahi kushindwa,,,,barikiwa sana mtumishi
Glory and Honor to Jesus please share to many
More grace big brother ! Baraka tele !
Je wewe Mungu ushindwe na Nini
Amen Glory and Honor to Jesus
Hakuna kama wewe mungu, haujawaishindwa kamwe,halleluya
Glory and Honor to Jesus
Bravoooooo💪💪💪💪💪👍👍👍👍
HaKUNA CHA KUMSHINDA HAKIKA MUNGU NI MUNGU
Glory and Honor to Jesus
He is God of impossibilities whatever seems impossible to us human beings it's possible with our God none like him🙏
Amen Glory and Honor to Jesus
Indeed what is impossible to God? We need to hear more of the Glory of GOD and his MIGHT! instead of stories about the enemy
Glory and Honor to Jesus please share to many
Kaka Mungu akuweke miaka 100 duniani Ili nimtukuze Kila siku kupitia ww... Nakupenda sana sana
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@@boazdanken Aminaaa🙌🙌🙌🙌
MUNGU WETU MWAMINIFU KILA WAKATI
Glory and Honor to Jesus please share to many
Utukufu Kwa Yesu ambaye hashindwi na chochote Kuna namna nilikuwa napitia lakini Bwana asiyeshindwa na chochote kupitia mjumbe wake Leo nimepokea neema mpya Tena noted "UTAJIRI WA DUNIA NI KAMA TONE MOJA LA MAJI KATIKATI YA BAHARI" hili Neno ni dogo ila ni kubwa sans Saba barikiwa sana mtumishi
Hakuna jambo gumu mbele za Mungu,naiombea ndoa yangu Kwa Imani nitayashinda majaribu
Hakika Boaz danken unamtumikia MUNGU katika roho na kweli endelea kushusha kazi za MUNGU unanibariki sana MUNGU akuongezeee, atukuzweee MUNGU aliye hai
Utukufu Kwa Mungu 🙌🏼
Nothing is difficult for our God .He is all able. Boaz danken ebu reply.plz
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
My worshipers shall worship me in truth and faith , may God bless you servant of God, may He use you to greater heights for His glory ...No man can do this but only by the Spirit of the living God...
Nakuombea Mungu akubariki na akutunze ktk sifa. Barikiwa sana 🙏🙏
Glory and Honor to Jesus
You was ministering to me Man of God🙌🙌🙌nothing is impossible to God..Greetings from India 🇮🇳
Glory and Honor to Jesus please share to many
🙏🙏
hakuna la kumshinda Mungu. Anaweza yote
Glory and Honor to Jesus please share to many
This minister Boaz ,Nairobi twakupenda bure,you are a blessing. God bless you and keep you Sir.
Glory and Honor to Jesus please share to many
Barikiwasana Mtumishi Niko hapa naitazama Kwa uzuri,,nauona utukufu wa Mungu
Glory and Honor to Jesus please share to many
Boaz tunawaombeni basi muwe mnakuja na mikoani kama mbeya tunawaitaji sana pia tunaitaji huduma yenu maana kama vijana tunabalikiwa sana kupitiwa nyimbo na kuokoka kupitia nyimbo hizi maana mtu akisikia anaguswa kupitia nyimbo tunawaom a sana mkopata muda mje jamani
Glory and Honor to Jesus
Je wewe Mungu ushindwe na nini???? To God nothing is hard, impossible neither difficult.
Thanks bro Boaz uve blessed me dearly with this powerful worship song.
Mtumishi wa Mungu.,. Mungu azidi kukuinua sanaa
Glory and Honor to Jesus please share to many
Hakuna cha kumshinda Mungu
Glory and Honor to Jesus
God bless you so much minister Boaz😭😭😭If there is anything that stirs and lifts up my spirit is your worship man of God.I encountered you at grace arena Nairobi and liberty Christian center and I can't really get enough of your worship 😭😭😭 Blessings upon blessings
Glory and Honor to Jesus
hakuna Cha kukushinda wewe mungu , very powerful message man of God , God bless
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Amen,ubarikiwe,
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Mbarikiwe sana watu Wa MUNGU Nazi yenu ni njema sana
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Hakuna lolote linaloweza kumshinda bwana, Nko mwaka wangu wa pili katika chuo japo wengi walisema kwamba sitofaulu 🙏🤲🤲
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Utashindwa na nini Yesu.
Hakuna iliyo ngumu kwako.
Viziwi waskia,tasa wanapata watoto, waliofiwa unawafariji,vilivyo potea unarejesha maradufu.
Je, wewe Mungu ushindwe na nini?
Mtumishi Boaz wewe ni wa baraka kwa mwili wa kristo,mungu wa rehema nyingi akuzidiye kabsa hata kwa utunzi wa nyimbo zako.
Mbarikiwe sana wana wa Ufalme
Glory and Honor to Jesus please share to many
HEEEEEEEEEEEEEEEE 👋👋👋👋👋👋👋👋
Glory and Honor to Jesus
Waooooh Mungu hashindwi na lolote, anaweza ni Mungu asiyeshindwa. Wa kwanza ku comment
Ubalikiwe sana Glory and Honor to Jesus please share to many
Glory be to God , Let Him enlarge your territory spiritually and financially. I will share the link both on Facebook and whatsapp not forgetting instagram 🙏🙏
Dear Lord 🙏🏽❤️
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Aminaa
BMCC yabarikiwa kukupata mtumishi
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
@@boazdanken sawa mtumishi
It's my desire to meet this great man of God someday....his songs moves me in different environments. I desire to worship God more than him
Am Just a Vessel Honor and Glory belongs to Jesus
Mtumishi Mungu aendelee kukuinua zaidi na kukutunza katika unyenyekevu na utakatifu, huduma uliyonayo si yako bali wewe ni kama bomba la kupitisha maji ya kunywa kwaaji ya wengi, ubarikiwe sana, Mungu anaendelea kutukuzwa kupitia wewe.
That's powerful song! May GOD bless you Mtumishi
Glory🙌
Hizi ni Baraka za MUNGU
Hakika, ubarikiwe Baba yangu.
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Amen 🙏 Baba
Hakika.
Amina kubwa
Amen Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
I can't stop reflecting on God's greatness through the words of this song.... Impossibility is not in God's dictionary
Glory and Honor to Jesus
Mungu ushindwe na Nini? Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@@boazdanken Amen🙏🙏🙏🙏 sisi tupungue Yeye aongezeke
Mungu akubariki sana baba
Glory and Honor to Jesus
Yeye ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna la kumshinda,barikiwa Sana mtumishi wa Mungu aliye juu
Na Yesu ameinuliwa zaidi 👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Glory and Honor to Jesus
This song brings tears to my eyes, when I look at how the world is right now, and what I've gone through, there's nothing that this God cannot do! Hakuna chochote kinachoweza mshinda Mungu!
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Hakuna chakukushinda Mungu wetu
Umejitosheleza hakika Ni milele🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
Hakika hakuna Cha kumshinda Mungu
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
@@boazdanken Ameeeeen mtumishi wa Mungu tuko pamoja Mungu azidi kuinua huduma yako
Huyu Mungu hashindwe
Amen utukufu na heshima kwa Yesu