Kweli😢 atoke tubaki na saido na kina phiri??? Hata nzi watatucheka😮 saiv nikuambie tu watu wametega tujukanyage wambeba😢 akienda uto tutaongea haya?? Ngoma nae alipata tatizo kmb kramo alivyokuwa al hilal akakaa muda kurudi kakosa namba!! Akavunja mkataba kuja simba leo huyo tunavimba nae
Aisee angewekwa mezan akapewa mapumziko huku bado akiwa na mkataba simba ikasijili mtu kisha akipona atarudi kama wanavyo tolewa kwa mkopo kisha baadae wanarudi
❤❤❤❤❤ aubino bado yupo sanaaaa mmesikia nyuma mwikooooo❤❤❤
Tunakupenda sana KRAMO ila haina jinsi utusamehe2 acha maisha mengine yaendelee
Kweli😢 atoke tubaki na saido na kina phiri??? Hata nzi watatucheka😮 saiv nikuambie tu watu wametega tujukanyage wambeba😢 akienda uto tutaongea haya?? Ngoma nae alipata tatizo kmb kramo alivyokuwa al hilal akakaa muda kurudi kakosa namba!! Akavunja mkataba kuja simba leo huyo tunavimba nae
Kila la khery mnyama Simba sports club leo piga hao mlandege Saba bila Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Kesho tunataka uchindi❤❤
Kila La heri Chama langu simba
Kila la kheir Simba sports club. ❤❤❤
❤
❤❤❤❤❤
Please 🙏 kocha Mpe nafasi Aubio kiram maana
Wamuache tuu watu kamaa saido,balake,phir,na chama ndoo wakuondoka simba mm kwasasahivi sioni mchango wao
Aisee angewekwa mezan akapewa mapumziko huku bado akiwa na mkataba simba ikasijili mtu kisha akipona atarudi kama wanavyo tolewa kwa mkopo kisha baadae wanarudi
Bado hajapona vizuri
shukulani sana wachezaji was Simba 👍😎
Tunahitaj kumuon kramo uwanjan
Hapo ni zaman onana wa nn kwenye timu ya simba
hii clip ya muda na muona onana.
Wee
Viongozi tumechoka kampeni zenu tunataka usajili wa maana acheni porojo zenu
Ungepewa nafasi yakusajili ungemsajili nani usajili ni kamar Shee anaweza uko kwao mzr akaja bongo akashidwa