Kmwe we msomi hata kama itakuwa unabachelor education, kwa sababu suali alilokuuliza Dada kuhusu mw,kiti ukakataa yani umepatia kichizi kwa maana ulikuwa mtego huo na umeutegua. SEMAJI LA AKILI NYINGI piga kazi kaka.
YANGA ACHENI UPUMBAVU, NINYI NI WATU WA HOVYO SANA KILA TEAM IPAMBANE KIVYAKE MAKE NINYI MPAKA VIONGOZI NI WATU WA HOVYO SANA MMEKUWA NI WATU WA HOVYO SANA WATU WA KUPOKEA WAGENI NA KUWAAMBIA KUWA FANYENI HIVI
Kwani wewe kolo ni lini umechukua kombe la caf?? Jibu ni kwamba haijawahi. Lakini mbona ni ya Saba zaidi ya zile ambazo zilishawahi kuchukua?? We nae jingalo
Ali kamwe uko vzr kwenye kuyajibu maswali na kutoa points safi sana
Da dogo mungu aendelee kukulinda iendelee kua na siku nyingi yanga unapointi ya Hali ya juu sana
Tunaziombea timu zetu TZ zote ziingie Makundi 2023/2024
💛💚🖤🔥🔥🔥😍😍semaji Bora tz
Babaa napenda sn unavyo mtaja M/Mungu Inshaallah Allah akuzidishie
Aly kamwe awo wanafik awo
Aamina M/Mungu amuweke Inshaallah
Ally nakukubali sana semaji letu
Mpo vizuri.
Kipindi hiko mpoki hata passport zko document zilikuwa hazkubli ulikuwa watisha sana
Ally akili mingi
Uko sawa sana mdgo wangu Ally Shaban kamwe kaza buti tuko nyuma yako
Alafu Ally kamwe sio msemaji ni Afisa habari acheni kumshusha
🎉🎉🎉yanga hatupoi
semaji letu
Nce all
Alikamwe umeenda uko kwa wanafiki kufanyaje bana unalazimisha tuwasikilize siyo
Kmwe we msomi hata kama itakuwa unabachelor education, kwa sababu suali alilokuuliza Dada kuhusu mw,kiti ukakataa yani umepatia kichizi kwa maana ulikuwa mtego huo na umeutegua. SEMAJI LA AKILI NYINGI piga kazi kaka.
Kwani kolo miaka mingapi Hana kombe kwani sio klabu kubwa
KILA TEAM IPAMBANE KIVYAKE MAAKE NINYI NI WAPUUZI SANA
KIPINDI CHA LEO SIO KIZURI KWA SABABU JEMEDARI SAID HAYUPO
Tofauti yake na wengine ni yy anatumia mda mrefu kufikiria lakusema lkn wengine..................
Wao mpoki
Makolo munamakasiriko
Bora anaesema tutembee uchi kuliko kujiita semaji la Dubai nikutia aibu sana
Kumbe una historia ya simba
Ipo siku gongowazi mtaambiwa mtembee uchi na bwege semaji lenu
unaumia?
Bado hujasema mpaka useme
MPOKI UMEUAAA
Fikra na Elimu na mashirikiano
YANGA ACHENI UPUMBAVU, NINYI NI WATU WA HOVYO SANA KILA TEAM IPAMBANE KIVYAKE MAKE NINYI MPAKA VIONGOZI NI WATU WA HOVYO SANA MMEKUWA NI WATU WA HOVYO SANA WATU WA KUPOKEA WAGENI NA KUWAAMBIA KUWA FANYENI HIVI
Hili ndio jinga kabisa,twalibu wewe ni tahila
Sisi swala sio kushinda ishu ni kupita
kabla ya 3 African Kwa ukubwa haijaingia hatuwa za makundi miaka 20 ajabu unakaa kuongea na watu unasemaje huna aibu
Kachukue mic za mama ako uongelee na aibu juu
Kwani wewe kolo ni lini umechukua kombe la caf?? Jibu ni kwamba haijawahi. Lakini mbona ni ya Saba zaidi ya zile ambazo zilishawahi kuchukua??
We nae jingalo
Makundi yepi?
Akili huna
@@willyfreddaud390umemjibu vyema
Kumbe ukiwa msemaji wa UTOPONGA ,you must be crazy. YANGA YA TATU AFRICA.😂😂😂😂
We kolo upo dunian kwel ww??
Hivi makolo munanini jamani 🤣😂😂🤣
Hivi umeelewa wa 3 kivipi
Kwani wewe hujui?? Jingaloo
Unabishana na takwimu 😊😊😊 bas lete takwimu zako ww
MPOKI UMEUAAA
ACHA UPUUZI , TOKA LINI YANGA IKAIOMBEA SIMBA MEMA PUMBAVU KABISA
Umesikiliza mpaka mwisho basi inakuuma mjinga wewe